SAKATA LA MPINA LAZIDI KUSHIKA KASI LATUA MIKONONI MWA WANANCHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 219

  • @OmarMihulu
    @OmarMihulu 3 місяці тому +2

    Mh spika nilikuwa nakupenda Sana ila kwahili umeliamua tofauti namatarajio ya wananchi walio wengi hatamm badala yakushuhuka na mtuhumiwa unamshuhulikia mtuhumu kweli mwogope mungu.

  • @petsmore9955
    @petsmore9955 4 місяці тому +17

    Mbunge mpina ni mbunge safi na anafaa sana. Ni mbunge wa watu na anajitambua.
    Spika ni chawa wa mfumo wa wizidemokrasia (kleptocrasy) ambao ndo mfumo wa chama tawala ambao hauwajali wananchi bali matumbo yao.
    Hongera sana mbunge Mpina. Usiogope uko na mungu maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu !

  • @CharlesKayungi
    @CharlesKayungi 4 місяці тому +2

    Mbunge Mpina ni mmoja wa mashujaa nchini Tanzania. Na wapo wengine wengi wenye damu ya( MWENDAZAKE ) JPM{MZALENDO NAMBA MOJA} Unaweza ukachafuka happy(KUSADIKIKA). Ila bado unahitajika na kizazi hiki. Una nafasi yakuwakilisha wananchi nje ya KUSADIKIKA. Na Mungu akulinde.

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 4 місяці тому +34

    BUNGE DHAIFU CHINI YA SPIKA DHAIFU....NA LINAONGOZA SERIKALI DHAIFU.

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 4 місяці тому +3

    Msomali Bashe ni mwizi analindwa na spiker

  • @exseviangaeje1158
    @exseviangaeje1158 4 місяці тому +24

    Mpina ndio mbunge pekee anatetea wananchi viongozi wetu wana harufu ya rushwa tuou

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 4 місяці тому +36

    MH. SPIKA TULIA AMEKOSA HEKIMA NA BUSARA KATIKA KUSHUGHULIKIA SUALA NYETI LA SUKARI KITAIFA....MH. SPIKA TUNAKWAMBIA...WATANZANIA SIO WAJINGA....MH. SPIKA UMETUMIKA NA GENGE LA MAFISADI NDANI YA SERIKALI NA CCM....HUFAI KUWA SPIKA!

    • @bellahmushi6096
      @bellahmushi6096 4 місяці тому +3

      Ni bunge la kidicteta. Uko maisho wenu

    • @HenryCastuli-jz3cx
      @HenryCastuli-jz3cx 4 місяці тому +3

      Tulia kumbuka kunamaisha baadaya hapo inaonyesha kabisa kuwa umetumika

    • @peterilimwa5754
      @peterilimwa5754 4 місяці тому +1

      watanzania sisi tu ashida sitaki kusema ss niwajinga lkn check Kenya hapo

    • @bakarimmbaga2344
      @bakarimmbaga2344 4 місяці тому +1

      Umesema kweli ndugu yangu: Huyo mama anatumika vibaya kuzima hoja za msingi kwa kutumia cheo alichonacho, vikao vya bunge viko live.. tunaona/tunasikia alichokisema kingetakiwa kitolewe majibu tusikie na tuone! Sasa mhe Mpina anatuhumiwa kwa lipi ambalo lilipelekea kutolewa bungeni wakati hata sisi tulikuwa tukisubiri kusikia utetezi wa waziri husika... Mmh! TULIA kumbuka cheo ni dhamana leo upo kesho nawe utakuwa uraiani utauona moto tunao upitia! Ni sawa... una pensheni nzuri, lakini ni vyema ukaila kwa baraka kuliko kuila kwa laana mama!

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 4 місяці тому

      @@bakarimmbaga2344 ✔️

  • @maxmiliangunze8931
    @maxmiliangunze8931 4 місяці тому +27

    Mpina yupo sahihi.... Kwahiyo muda utasema tu

  • @anthonymandia-j6w
    @anthonymandia-j6w 4 місяці тому +2

    1.Waziri Bashe ajibu hoja
    2.Spika aonyesha udhaifu kwa kutumia Nafasi yake
    3. Kama Tulia anamlinda Bashe na wengine, Niwaombe Wananchi wapaze sauti kuwalinda Wakina Mpina.

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 4 місяці тому +9

    Yani baba nakupata sana!
    Kamua vidonge vya kutosha, wakimeza,wakitema shauri yao!

  • @wilbardBinyenzi
    @wilbardBinyenzi 4 місяці тому +3

    Tulia, hatakama ni mshilika wetu rudisha hofuya Mungu Mpina amesaidia Inchi najua Mungu atamttea, hatamkimhukum

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi 4 місяці тому +20

    Wananchi tusiongee tu kwenye mitandao,tuungane na mpina.akiondolewa tuandamane tuitoe fisiem madarakani.kwa uchaguzi hawa ni wezi wote wanasaidiana

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 4 місяці тому +25

    Kilichowauma ni kwa nini kawashtua wananchi makosa ya viongozi wa CCM

    • @JesuinaBabili
      @JesuinaBabili 4 місяці тому +1

      Nimependa alivyokuja kwa wananchi kueleza alichowasilisha kwa spika… maana angeliwasilisha na kukaa kimya spika Kama si kuikalia report angelichakachua
      Mpina ame out smart ‘Bunge la Mafisadi’

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg 4 місяці тому

      Sijakuelewa

  • @JumaMbungo
    @JumaMbungo 2 місяці тому

    Nigugubali verve umanyie gimba 🎉🎉❤❤

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 4 місяці тому +4

    Uko sawa mtumishi

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf 4 місяці тому

      Mpina ni mbunge WA kuchaguliwa jeee wananchi wake wanawakilishwa na naniii Kwa huo muda atakaokuwa nje ya bungee

  • @BozaDizamile-u1d
    @BozaDizamile-u1d 4 місяці тому +16

    Lissu Asichelewe Aende Jimboni Kwa Mpina Akawape Wananchi Helimu Ccm Inaenda Kufa wakati Wao Umeshakalibia

  • @WinfridaCreitus-bf3zn
    @WinfridaCreitus-bf3zn 4 місяці тому +3

    Mpina yuko sawa sana. Mzee umepiga kwenye mshono. Mbunge si wawanyama huyu ni mbunge wa watu. So kazi yake nikuongea na watu.

  • @judicatendengerio-ndossi1583
    @judicatendengerio-ndossi1583 4 місяці тому

    Mungu ni Mwema. Tunamuomba Yeye Aonaye Ya Sirini Aoneshe Haki Yake Takatifu

  • @SamoMgore-x3v
    @SamoMgore-x3v 4 місяці тому +3

    Nasemaje, mpina apewe ulinzi bungeni nchini duniani mpaka mbinguni mtu wa maana kabisa huyu🤜

  • @filexkivuyo8383
    @filexkivuyo8383 4 місяці тому +1

    Mm pia nakukubali kwa kutuelimisha. Napia tunataka katiba mpya

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 4 місяці тому +9

    Tatizo kubwa la viongozi wetu hasa wabunge ni waongo na kutaka kulindana! Hasa ukiwa CCM hawataki useme ukweli na ndio yanayosababisha maisha kuwa magumu kwa wananchi na isitoshe kuendeleza Wizi wa fedha za umma!
    Hivi Kuna SIRI gani inafichwa hapo wakati tatizo la Sukari linaeleweka!!

  • @TheodosiaSangka
    @TheodosiaSangka 4 місяці тому +1

    WANANCHI WA KISESA WAMENYIMWA HAKI YAO WAMEFUNGIWA NJE YA BUNGE KWA MWAKILISHI WAO KUFUNGIWA VIKAO 15 ! Kwani mbunge si wa wananchi kwa nini asiongee na press ili wanachi tusijue tuhuma za waziri?

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 4 місяці тому +7

    Baba pokea100%

  • @ramadhanibahati2829
    @ramadhanibahati2829 4 місяці тому +5

    Spika anaanza kupolomoka thamani

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 3 місяці тому

    Mimi nsmuunga mkono mpina kwa nguvu zote mpona kaonewa kabisa spika atukuelewi kabisa. Ulijuwe hilo

  • @JosephatMsukuma
    @JosephatMsukuma 12 днів тому

    Bunge la kenya likija kuchagua wakuingia kule kutoka Tz ataenda mpina pekee yake wengne usiniulze angalia makofi wanavyopiga!! M sitaki ubishi

  • @jacksonmwakasege6210
    @jacksonmwakasege6210 4 місяці тому +3

    Kweli ni waoga, makofi kwa sana

  • @dillonfoya
    @dillonfoya 4 місяці тому +1

    Wabunge walioko Bungeni hatukuwachagua ndiyo sababu wako kwa maslahi yao inapotokea Mbunge wa aina ya Mpina kusimama upande wa Wana wa Nchi waliowachagua inakuwa mbaya tuwe nyuma ya Mpina kuwa kuwa mkweli ni dhambi kwa Bunge hili hatufiki mbali

  • @JonasKatundu
    @JonasKatundu 4 місяці тому

    Dada yangu spika wa bunge na bunge hapo mmeteleza kumfungia mbunge mpina. Mnge Anza kwanza kumshughulikia waziri wa kilimo. Bunge ni la Wananchi Kwa hiyo msijisahau mkadhani bunge ni la wabunge.
    ..

  • @AnthonyMarwa-on1pz
    @AnthonyMarwa-on1pz 4 місяці тому +1

    Tatizo la bunge letu wanatuziana Siri ufisadi umezidi mbunge kiongozi ukweli apelekwa kwenye madali na ni katabua nchi yetu

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 місяці тому +1

    HILO BUNGE LINGEKUWA KENYA NA HUYO SPIKA NDO WANGEONYESHWA JOTO YA JIWE. WAKENYA SIYO WAOGA KAMA SISI.😊

  • @sophiaamnaay9726
    @sophiaamnaay9726 4 місяці тому

    Mungu ni mwema jamani penye mbaya wako hapakosi mwema wako. Mpinda yupo sahihi machawa mumetapikwa sasa subirini 2025 muwe OUT OUT OUT maharage ni mboga. Mtakuja taratibu tu

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 4 місяці тому +1

    Wananchi wa jimbo husika mliompa kura Mpina msikae kimya,mteteeni mbunge wenu aondolewe kitanzi na huyu Spika mbunge wa kupewa tu huko Mbeya pazeni sauti mpaka mikoani tusikie na sisi tushambulie hili bunge la Tulia na ccm....

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 4 місяці тому

    Mimi namshangaa spika Tuliaa.yaani hajui msukuma na mnyakyusa.ni ndugu..eti ananbeba msomali,,how comes,,. Au Tulia Ana pasent kwenye biashara ya sukari. ?yutaendelea k kupigwa Hadi lini jamani?

  • @BozaDizamile-u1d
    @BozaDizamile-u1d 4 місяці тому +4

    NINAVYOWQJUA CCM HII ISHU. YA NDUGAI INAMFUKUZISHA CCM CCM HAWATAKAGI WATU WANAOWATETEA WANANCHI WAO WANAJIONA WAMESHATUWINI WANATUTESA TUPO KIKIMYA SASA WAKITOKEA WATU KAMA KINA MPINA WANAOSEMA UKWELI WANAWATOA FASTA MPINA HABAKI CCM

    • @januarysungura8119
      @januarysungura8119 4 місяці тому +1

      Tutampa ubunge mpiba popote atakapokuwa

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 4 місяці тому

      ​@@januarysungura8119Siyo kumpa Mpina tu peke yake, ni vyema tukawatafuta watu wengi wa aina ya Mpina watuwakilishe Bunge lijalo!

  • @hamzaabdallah8637
    @hamzaabdallah8637 4 місяці тому +1

    Eti nabii wa Mungu awe wewe. 😊😅😅😅

  • @LuganoMwakalinga-p3k
    @LuganoMwakalinga-p3k 4 місяці тому +1

    wa kenya hongeleeni kwa kujitambua maana mmeshika tochi na kumulika Tz cjui kama ipo ck watanzani tutapata kuwa na afya ya akili.

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 4 місяці тому

      Afya ya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 4 місяці тому +1

    Wabunge wa CCM wako kulinda masilahi ya waarabu na mwenyekiti wao wa CCM tu, RIP JPM

  • @cyprianmgogo7625
    @cyprianmgogo7625 4 місяці тому +1

    Upo sawa nabii wa MUNGU.
    Spika amedhihirisha kwamba Bashe ni waziri mwizi.yaonyesha spika kachoka kichwani,Sheria zenyewe wamezisoma namna Gani ,eti ni dokta wa Sheria,anashindwa kuamua kesi iliyo wazi kabisa ya kuamriwa na darasa la Saba.spika hujadharauriwa hata kidogo,bali anakusaidia vema kabisa kama wewe ni Dada mzalendo kweli kweli na kiongozi wa Bunge.upo karibu na MUNGU ,ogopa..kwani hujui saa Wala siku.

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 3 місяці тому

    Mbona atukuelewi nyoosha maelezo sema kuwa mpina kaonewa basi maneno mengi yanini

  • @amos878
    @amos878 4 місяці тому +1

    Upo sahihi kabisa nabii hii ccm imejaa wapigaji hatarii wakiongozwa na chura kiziwi 🙈

  • @bakarimmbaga2344
    @bakarimmbaga2344 4 місяці тому

    CHADEMA mko wapi si mumchukue Mpina jembe? Dhahabu inaharibikia shimoni mkiona? Hawa ndiyo kina Mdee 9 mliowapoteza tuna angamia huku jamani

  • @gifatmahundi8750
    @gifatmahundi8750 4 місяці тому

    Mpina yuko sawa mawaziri wanaodanganya bunge ni wengi hata kwenye Afya wanadanganya wanasema bungeni watoto chini ya miaka mitano awastaili kulipa garama za matibabu mbona tunatozwa malaki kama vile atuna wabunge.

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 4 місяці тому

    Wewe Siò Nabii Taperii Huna hoja Udini Unakusumbua

  • @maliakishaushi9089
    @maliakishaushi9089 4 місяці тому

    bashe yupo committed sana

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 4 місяці тому +2

    TULIA ANALINDA MAFISADI, KANUNULIWA NA HAWA MAGENGE YA WAHUNI WANAOHUJUMU NCHI YETU

  • @ommyzubery8358
    @ommyzubery8358 4 місяці тому

    Kila chombo kina kanuni na sheria zake kwanza hilo lieleweke.Lakini namuunga mkono kubwa kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake na maono pamoja na ukweli, kwa njia isiyovunja sheria hivi mbunge huyu walitegemea aseme wapi, na kama ni tuhuma walitaka anyamaze.ikumbukwe bunge lenyewe lina mambo mengi yanaibuliwa hakuna lolote linalofanyika zaidi kuwa ni kama wananchi nchi hii inavyofanyiwa maovu na watendaji wanaolindwa na mifumo ya mamlaka

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 4 місяці тому

    Husikii taarifa kwa wanaosifia serikali lakini anayewakosoa na kutetea wananchi taarifa zinakuwa nyingi ili kumalizia mda wake na asisikike kabisa mwishowe mda wake huisha Hakika Hii CCM tumewachoka jamani sijui tutapata lini katiba mpya tunashukuru mungu awalinde maaskofu mliosimama kuitetea ukweli na haki Duniani

  • @SaidiMohamedi-n2u
    @SaidiMohamedi-n2u 4 місяці тому +2

    Juu kubovu.chini kunaoza

  • @hamzaabdallah8637
    @hamzaabdallah8637 4 місяці тому

    Nabii wa uongo sasa utawezaje kusimamia ukweli wakati unaishi Kwa uongo??

  • @Pcmony
    @Pcmony 4 місяці тому

    😮toka tupate huuru inchi hii ijawai kuo ngozwa bivaya kama sasa wizi ndiokipauumbele chao

  • @Worldunite
    @Worldunite 4 місяці тому

    Unatumalizia mb kwa kuzungumzia bunge linaonyeshwa live, hii umerudia mara nyingi, ila endelea na mada kaka

  • @OmarMihulu
    @OmarMihulu 3 місяці тому

    Spika wabunge iposiku utakufa nautaacha kila ulichonacho naukumbuke kunamwananchi hata Kula Yake yasiku Hana ilanyinyi wabunge mmejipangia mishahara mkubwa wala haikatwi Kodi nabado mwananchi huyohuyo mnamkandamiza Kodi,tozo zakila Aina mnazidi kufanya CCM watu waichukie.

  • @MichaelKibona-p9m
    @MichaelKibona-p9m 4 місяці тому +1

    Mpina yupo sahihi, muda ukifika utaongea wenyewe,❤❤❤❤

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 4 місяці тому

    Bunge la sasa lipo kwa maslahi binafsi na serikali si kwa niaba ya wananchi, ndio maana bunge linapo ilekeza serikali ili ichukue hatua hakuna utekulezaji, mfano: waliotajwa na cag wachukuliwe hatua hakuna hata mmoja walie wajibishwa lea MwakaP wa 3hakuna waliowajibishwa, mmna yake muhimili ni mmojatu wala sio 3 kama wanavotudanganya

  • @AdamKaponda
    @AdamKaponda 4 місяці тому

    Huyosio spika wa bunge nispika wagenge la wapigadili,spikahanamungu hastahili kuitwa mheshimiwa

  • @frankmwinuka3413
    @frankmwinuka3413 4 місяці тому

    Mimi naona spika amefanya jambo zuri. Kamati ya maadili ndio utaangalia kama Mpina amekosea au hajakosea na kuchukua hatua. Wabunge walioko kwenye kamati ni wasomi wanaozijua sheria vizuri. Spika wa bunge ni msomi wa sheria aliyebobea, anajua kama sheria zinavunjwa ama la. Kama tuhuma anazotoa ni za kweli na ushahidi umethitishwa hawezi kuchukuliwa hatua zozote. Kama anatoa tuhuma kwa nia ya kuwapaka matope wengine ni halali kabisa aadhibiwe.

  • @ahmedalasmi8005
    @ahmedalasmi8005 4 місяці тому

    Sipika WA binge hafai ni fisadi kama engine hajui kazi yake Mpina yuko sahihi kabisa jamani ache I dhuluma dhuluma ni hatari kwa nchi i

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 4 місяці тому +1

    Tukishindwa kuonesha haki ya mpina, anaeonekana kufinywa kiaina,basi hata katiba haina maana kudaiwa; tuanze sasa maana tunaitaka katiba mpya ili iondoe ujanja janja waliouzoea!

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 4 місяці тому

    Spika Tulia na genge lake wanaihujumu nchi. Mtu anafanya ufisadi halafu anaadhibiwa aliyefichua ufisadi? Waziri bashe ajiudhuru na hayo marelebisho ya sheria kuwapa loop hole ya wizi mafisadi isitishwe

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 4 місяці тому

    SIFA MOJA TU YAKUWA CCM LAZIMA UWE MUONGO NA KUSIFIA MAOVU HAPO WATAKUONA WA MAANA

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 4 місяці тому

    Amen

  • @josephkidima-nc3di
    @josephkidima-nc3di 4 місяці тому

    Huyo spika anawalinda mafisadi ina maana na yeye ni fisadi_ni mwizi anashirikiana na mawaziri kupora uchumi WA nchi.

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 4 місяці тому

    Mifumo ndo unawatengenezea uoga wote wa ccm wakubali kubadilika na mabadiliko ili wawe huru kuwakilisha wananchi waliowapeleka huko bungeni

  • @charleslukumai7875
    @charleslukumai7875 4 місяці тому

    Wanapenda kuwalinda kwa kuwa ni ndege wafananao.

  • @ClementMakongoro
    @ClementMakongoro 4 місяці тому

    Watanzania wengi ni nyumbu. Hata mimi mkinichagua kwenda bungeni nitakuwa napiga meza kwa nguvu sana mradi zipate posho yangu. Awamu inayofuata mtanichagua tena mradi niwe fisiemu.

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 4 місяці тому

    Sukari kwa nini ilipanda bei waziri ni kwari mwizi siku moja nilisema huyu bashe akiendele kumsikiliza mwiguru nchemba atakuponza yako wapi sasa ?

  • @Focusm-se2sd
    @Focusm-se2sd 4 місяці тому

    Hii nchi daha hatari we msikie spika anaonyesha kuikingia wizara usika nini hii

  • @vicentmakoye237
    @vicentmakoye237 4 місяці тому +3

    Pina

  • @MariaCassian-e2i
    @MariaCassian-e2i 3 місяці тому

    Inatakiwa wananchi woote tungeandanana ndiyo wangejua nini nguvu ya umma

  • @francismasanja-y4s
    @francismasanja-y4s 4 місяці тому

    Mh.mpina yupo vizuri, lakini tumeona pale bungeni kuna wabunge wa kupiga makofi tu hata kama tunaibiwa wao hawajali.

  • @jackoowora600
    @jackoowora600 4 місяці тому

    Hivi kile kimama pale ndio kinacheo gani sikioni kama kinakazi kinachoweza

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 4 місяці тому

    Tulia ni ana dhambi kubwa

  • @emmanuelpeter9744
    @emmanuelpeter9744 4 місяці тому

    Kwa hili ambalo liko wazi na linaloumiza watu kila Leo, Tuko na MPINA 💯
    Waliomwita kamati kwa jambo hili naona wazi wanawaona Watanzania wote wajinga na hawana haki yeyote katika Taifa Lao.
    Huu ni wakati wa Mungu na yote yaliyo sirini yataibuka kwa kasi na Yao yanakuja ndiyo maana wanajihami kwa lililoanza.
    Wamechelewa 😁😁😁😁😁

  • @emmanuelmasele9585
    @emmanuelmasele9585 4 місяці тому

    Tulia ndiyo maana ni namba tasa ili asiendeleze mbegu mbaya.

  • @StevenMasunga-fd7xf
    @StevenMasunga-fd7xf 4 місяці тому

    Kuna wabunge, Kuna mbwa tu ktk bunge, mpina Yuko sahihi

  • @juliethpetro8763
    @juliethpetro8763 4 місяці тому

    Yaan watanzania hii nass kuna kitu tumejifunza.

  • @WilfredMfuru
    @WilfredMfuru 4 місяці тому

    Hivi watanzania mbona siwaelewi mpina anayetetea watu wanapandisha bei sukari kila mwaka kuweni historia maana viwanda vyetu kila kipindi wanaficha sukari hata kile kundi cha makufuli misingi mkono hivi viwanda vyetu wahizi siyo bashe mpina kaongwa awatetee

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 4 місяці тому

    UNAONGEA PUMBA NABIII FRANSISI HAUELEWEKI AU UMESHA KUNYWA MVINYO?...

  • @sumaidgasto4721
    @sumaidgasto4721 4 місяці тому

    Tulishasahau mambo haya sasa yameanza na yataendelea tu. Mambo yahusuyo fedha huimarisha upinzani sana. 2010 na 2015 mambo ya fedha yalitutikisa sana. ila Mungu ni mwems sana atakuja mwingine tutalimia MENO

  • @RamadhaniMaswa
    @RamadhaniMaswa 4 місяці тому

    Kwanini mnaendeleakulindana kunawapigaji wengi ndani ya serikali spika usilete siasa kwenyemaisha ya wa tz

  • @albinusmkono5887
    @albinusmkono5887 4 місяці тому

    Mzee.umeongea vzr lkn umekosea kumjulisha luhaga mpina na hao wabunge wawili sio wazalendo kabisaaa kama mpina. Labda umewaongelea kwa maslahi yao au wamekutuma au labda.hufanyi utafiti.msukuma ni kigeu geu.mfano mmja.kama unakumbuka ndugai alisema wazi kua raisi anauza nchi kwa mikopo.lkn msukuma alimshambulia sana ndugai na alimtisha kua ajiuzuru haraka kabla hawajamwajibisha bungeni.lkn pia alizunguka baadhi ya mikoa kupiga kampeni kuuzwa bandari.hiyo ni mifano midogo tu.mbuge wa kweli ni mpina.japo unamtaja msukuma kwa kurudia rudia badala ya shujaa mpina.hapo umepoteza pointi

    • @marionoti5760
      @marionoti5760 4 місяці тому

      Gwajima na Msukuma nao wamo ??, Hapo umeongea kwa maslahi yako na wao. kukutuhumu kuwa umehongwa fedha za wavuja jasho kutoka kwa watu hao wawili sijakosea. Nchi inaliwa bila kunawa na walio madarakani. serikali imefika mahala inakiri kuwa Watanzania hatuwezi, tukakodi wanaoweza nje ya nchi. Nyerere, karume na wananchi waliopigania tujitawale, walifanya makosa makubwa? Ni unafiki kusherekea uhuru wa Tanganyika na mapinduzi ya zanzibar

  • @emmanueljoseph5272
    @emmanueljoseph5272 4 місяці тому +2

    Kanda ya ziwa ni mnyooko tu hakuna chenga

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 місяці тому

    Tokeni zenu hapa kwani hana Chama?? Mhe Ana Chama na wana utaratibu wao, kila siku kuleta taharuki kwenye jamii, Janja yenu mbona inajulikana, acheni haya maujinga , eti wananchi ? wa wapi? Mbeya au Shinyanga?

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 4 місяці тому

    Jina ndo bunge ila vikao vya ccm

  • @geraldgedi4657
    @geraldgedi4657 4 місяці тому

    Umepiga kwenye mshono nabii , ndo serikali ya CCM ilivyo haipo kwa wananchi , wao ndo walivyo hawajawahi kuwa side ya wananchi.

  • @filexkivuyo8383
    @filexkivuyo8383 4 місяці тому

    Mzee nashukuru kwakutema cheche wasikie mafisadi hao

  • @emmanuelmasele9585
    @emmanuelmasele9585 4 місяці тому

    Joseph Kasheku Msukuma

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 4 місяці тому

    INAMAANA GWAJIMA KAZUNGUKWA NA AKINA ESCARIOT WENGI BUNGENI, UKIWA MUWAZI NDANI YA BUNGE CHAMA HAKITAKUPITISHA KUGOMBEA TENA NA MPINA YUMO

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri 4 місяці тому +1

    WEWE NABII ACHA UONGO WAKO HUYO MPINA ANATUMIKISWA NA MATAPELI NIMUONGO WEWE KAMA UNALENGO LAKO LINGINE ACHA KUPITIA KIVILI CHA WANANCHI

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje8980 4 місяці тому

    Haiwezekani kwa mtu mwenye akili timamu kushangilia maovu badala ya kukosoa viongozi wajisahihishe

  • @maliakishaushi9089
    @maliakishaushi9089 4 місяці тому

    bashe namkubali

    • @ibrahimtesha2733
      @ibrahimtesha2733 4 місяці тому

      @@maliakishaushi9089kwa nini TBC waluondoa matangzo wakati wa kujmalizia mjadala kumsimamisha Mpina? TBC ni kwa maslahi ta wananchi wa kawaida au watawala? TBC itaacha lini kuwa chimbo cha Propaganda za watawala? Aibu!

  • @ngofilowiliam7309
    @ngofilowiliam7309 4 місяці тому

    Wabunge wetu wengi sio watenda haki

  • @PeterMaonga
    @PeterMaonga 4 місяці тому

    Mpina ndie mbunge pekee mkweli wengine ni ndio mzee

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 4 місяці тому

    Huyu kiranja wao spika kubwa ukiangalia hata sura yake tuu unajua naye ni mchumia tumbo tuu, alaaniwe

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 4 місяці тому +1

    Ndugai aliondolewa kibabe ili spika awekwe mwanamke,magufuli pia kaondolewa kwa lazima ila mwanamke aturawale. Hawa wanawake wanapata wapi jeuri hizi?!

  • @KiuteNyaguleta
    @KiuteNyaguleta 3 місяці тому

    Ccm vibaka tu ipo siku yao

  • @oam14l
    @oam14l 4 місяці тому

    Umesahau kumtaja Mbunge mwanamke wa Chadema, naye mzalendo.

  • @EsterYohana-ix7ii
    @EsterYohana-ix7ii 4 місяці тому

    Mungu tusaidie kwahili huyu spika umuadabishe maana anatumia madaraka vbaya

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 4 місяці тому

    Umesahau ungemtaja Taore, Malema na Gadaf