CHUMA HIKI HAPA NDO MRITHI WA LEMA RASMI ASHUSHA NONDO NZITOO "KIATU CHA LEMA SIO KIKUBWA KWANGU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 38

  • @GetrudaLengesela
    @GetrudaLengesela Хвилина тому

    Hongera sana❤❤❤❤❤

  • @wagabwagab-md7rt
    @wagabwagab-md7rt 9 годин тому +4

    Nimependa ukomavu wako🎉🎉🎉🎉

  • @rogathebarran9944
    @rogathebarran9944 42 хвилини тому

    Hongera brothe unajina la shule yangu niliyosoma naamini nawe ulisoma hapo hongera

  • @JohnSulle-y5j
    @JohnSulle-y5j 11 годин тому +2

    Hongera wakili msomi,mungu akusimamie katika uongozi wako naomba tume huru ya uchaguzi iwe kipaumbele cha kwanza

  • @simonakonaay4802
    @simonakonaay4802 56 хвилин тому

    Hongera Sana mheshimiwa Welwel

  • @devotatarimo8141
    @devotatarimo8141 10 годин тому +1

    Hongereni sana Mungu aendelee kuwatunza na kuwaimarisha, nguvu moja kazi isonge pamoja okoeni chama kisonge mbele.

  • @AliciaKyai
    @AliciaKyai 5 годин тому +6

    Lema anakuwa makamu mwenyekiti na lissu anakuwa mwenyekiti kuhusu mbowe anastaafu

  • @pascoumbu5097
    @pascoumbu5097 3 години тому +1

    Hongera Mh Welwel

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x Годину тому

    Kwakweli kilawila mungu akubariki

  • @TheodoraAnatory
    @TheodoraAnatory 47 хвилин тому

    KWA SURA ANAONEKANA ANAFAA, SIJUI MOYONI

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf 2 години тому +1

    Sawa kwani kimambo akishinda ni haki ya wachaga tungoje uchahuzi tuone kama mtapata kura za kina molel

  • @deusdebitkowa9657
    @deusdebitkowa9657 2 години тому +1

    Tunategemea LISSU akishashinda uwenyekiti Taifa,mzee Mbowe aoneshe ukomavu kama Kilawila.

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 Годину тому

    Najiuliza na Sijui kama hakuna uchafuzi uliyofanyika katika uchaguzi huu!
    Wale mashetani wa kijani hawakuingiza mkono wa uharibufu hapo kwenye uchaguzi wa Chadema??!!

  • @saluhilya8465
    @saluhilya8465 5 годин тому +1

    Hizo ndo busara kuachia wenzako siyo lazima mtu mmoja

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 4 години тому +1

    Chadema mwe makini na Paka mweusi anataka kusambalatisha chama.

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 9 годин тому +1

    Mmhhhh sio fedha chafu zimetumika,

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 5 годин тому +1

    Kilawila team mbowe umeangukia pua 😉

    • @Hkilave
      @Hkilave Годину тому

      Wanachadema nidhamu yetu zero ccm wanaheshimu sana viongozi wao

    • @PiusMdoe
      @PiusMdoe 48 хвилин тому

      Kauli hizi mara nyingi ndio chanzo Cha kutokuelewana

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 Годину тому

    Chadema kuwa makini na mamluki kutoka ccm!

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 2 години тому

    Haya

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 2 години тому

    Chadema huwa hawana sare wanajivalia tu ovyo ovyo

  • @edwardmbonika5102
    @edwardmbonika5102 9 годин тому +2

    Nazanii mmeelewa iyo chama ni ya kikabilaa

    • @songombingo108
      @songombingo108 3 години тому

      Lakini kwani hujui kuwa Kanda ya Kaskani yoote ina makabila ya aina hiyo? Yaani uliona wapi Msukuma au Mgogo akawa huko?😂 😂😂😂

  • @andreafulgence6315
    @andreafulgence6315 10 годин тому +1

    Lema vp amestaafu au mi namkubali lema

  • @ezekielmwakyagi9330
    @ezekielmwakyagi9330 7 годин тому +2

    sacos

  • @khalifamgonja9732
    @khalifamgonja9732 2 години тому

    😅

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 3 години тому

    Lema kama mwiba kwa ccm kuondoka kwake najua wanafurahia

    • @JosephChrisant
      @JosephChrisant 3 години тому

      Nadhani Lema anaenda kuombea umakamu uenyekiti Taifa.

  • @loningoletayo8453
    @loningoletayo8453 6 годин тому

    Tume huru ya uchaguzi kwanza