HEEE! MWIJAKU AMLIPA ALI KIBA, ASOMA QUR-AN YEYE NA MWANAWE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 кві 2022
  • Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia...
    Whatsapp. +255772285543
    Call. +255772285543
    Usisahau ku SUBSCRIBE | LIKE | KU COMMENTS , ili upate taarifa zote zinazohusiana na Tasnia ya QASDA | MAWAIDHA | NASHEED | TENZI | MATUKIO MBALI MBALI YA KIJAMII , kupitia hapa channel yako pendwa ya IBRAHIM ZANCOM.

КОМЕНТАРІ • 108

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 2 роки тому +9

    Mashallah hizo juhudi na baada ya Ramadhani twazihitaji Insh'Allah 🙏

  • @safiamohamed635
    @safiamohamed635 2 роки тому +16

    Mashaallah hayo ndio mashindano yanayotakiwa na sio ya kuimba

    • @gracymkumba700
      @gracymkumba700 2 роки тому

      hakuna mashallah hapo karuka aya

    • @islamahmady2428
      @islamahmady2428 2 роки тому

      @@gracymkumba700 kapuyanga vibaya sana.. Nadhani hata alikuwa haisomi kwa kuangalia kwenye Mas-hafu na badala yake alikuwa akiisoma kwa mazoea tu. Lakini pia napata mashaka na elimu yake maana kuna kukosea na kuna kutokujua!

  • @mariamhamad4171
    @mariamhamad4171 2 роки тому +3

    Usimkatie mtutamaa ingalibado Allah anampapumzi ,Allah akuendeleze mwijaku wewena familia yakokwaujumla naiwefamilia bora fidunia wal akhera inshaallah Allah atuongozee wasaniiwetu wote diniyao isiweya mwezi mmojatu iweya miezi yote

  • @abdallajuma6262
    @abdallajuma6262 2 роки тому +8

    Hongera hatutaki ria Alazina yuuminuna bilkhaibi wayuukimuna swalat rekebisha usikurupuke shehe hayo sio maneno ya kina Masha Love tulia shehe

    • @muajumaarashidi4029
      @muajumaarashidi4029 2 роки тому +1

      Kwakweli imenibidi nianze kurudia kusoma tena kumbe Ameruka Ayaa.Duh hugo ka concentrate na camera ndomana

    • @zakialustan722
      @zakialustan722 2 роки тому +1

      kukosea ni kawaida inaonekana hiyo sehemu ameihifadhi hivyo anaenda haraka wanakosea kina sheikh waliid itakuwa yeye cha msingi ni kuombeana dua Allah atuongoze na atatutoe kwenye upotofu

    • @osamaalharthy4150
      @osamaalharthy4150 2 роки тому

      Mashallah

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko 2 роки тому +1

    Mashaallaah jazakumullah kheir amiin ya rabillaamiin

  • @user-vg3bf5vi1y
    @user-vg3bf5vi1y 2 роки тому

    Masha Allah 🤲mungu amlipe Ingawa ameluka au amekosea kusoma Aya ya 3

  • @wiseboywissebo3856
    @wiseboywissebo3856 2 роки тому +1

    Maa shaa Allah , Allah akupe nia na ikhlaas akupe ucha Mungu hadi mwisho wa maisha yako

  • @AminaAmina-mv4ko
    @AminaAmina-mv4ko 2 роки тому +1

    Mashaallah Tabarakallah hizo ndio ziwe nyimbo za kuwa fundisha watoto wetu

  • @jumamwaboko5087
    @jumamwaboko5087 2 роки тому +1

    Allah Awajaalie Mwisho Mwema Kwa wote ya Rabb

  • @tq736
    @tq736 2 роки тому +1

    MashaAllah..mashindano haya,nayakubali sana tena sana..Alhamdulillah.

  • @dehfirstlady12
    @dehfirstlady12 2 роки тому

    Mashaallahu... Mashindano matamu Allah awaongoze watoto.... Next DIAMOND na TIFFAH

  • @user-kf6wy8gs1s
    @user-kf6wy8gs1s 3 місяці тому

    Pumzi bana zinatuharibu na kututia kibri wallahi mwijaku anajua kua yeye hajui kusoma lkn anajaribu kurekod na kurusha mtandaoni hali yakua yeye ni muislamu anajua kitabu Cha Allah watu hufundishwa hawakurupuki tu yeye yupo kwenye mzaha na kuwafurahisha watu wamitandao lkn kwa ALLAH ni hatari sana mwijaku usichezee kitabu Cha Allah nenda kajifunze namna ya kuisoma QUR ANI.

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому +1

    Maashaa Allah maashaa Allah Allah akuingoze. Jifunze quran kwa hukmu kuswali kwa vitendo gusa picha yang mara 2 hapo kama hautojli

  • @biabumwarua2444
    @biabumwarua2444 2 роки тому

    Mashallah Tabarakallah kumbe dini mwaijua Quran pia Allah atuongoze sote jamii muslimina walmuslimat

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 2 роки тому +3

    Mashallah

  • @fatmarashid0005
    @fatmarashid0005 2 роки тому +2

    Maashaallah

  • @fahmiidrissa5537
    @fahmiidrissa5537 2 роки тому +1

    Hawa ni watu wa Ria hakuna chochote kwa ALLAH

  • @sheengazi4245
    @sheengazi4245 2 роки тому

    Good example mashallah

  • @idrissansereko6403
    @idrissansereko6403 2 роки тому

    Asalam alaikum warahmatullahi wabarakatuh.Mwijaku Uko farceur sana ! Vizuri sana mwanao akikua n'a maadili ya kislam

  • @znzmawaidh8702
    @znzmawaidh8702 2 роки тому +1

    Allah atuongoze inshaallah

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 2 роки тому +1

    Mwijaku kasoma shule ya kiislam mashaa allah

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 2 роки тому

    Mashaa Allah

  • @bukuruasina427
    @bukuruasina427 2 роки тому

    Manshallah 🥰 ila suratul bakar kaisoma kimakos kaifadh tena🙏

  • @mrjaula7769
    @mrjaula7769 2 роки тому +5

    Subiri imalize ramadhan wote kenge hugeuka hao😭

  • @ummyratymalkher6725
    @ummyratymalkher6725 2 роки тому

    Manshallah ❤️

  • @munababy1385
    @munababy1385 2 роки тому

    Mashaallh

  • @abdulkareemseif1892
    @abdulkareemseif1892 2 роки тому +11

    Mtume alisema katika kitu ambacho nakihofia kwa umma wangu Ni shirki ndogo . maswahaba wakamuuliza Ni ipi hiyo shirki ndogo?mtume akasema arriya nikufanya ria wengi watakua wakifanya ibada kwa kutaka wasifike waonekane ndivo tunavoona Sasa

    • @abdul-rahmanal-sis7097
      @abdul-rahmanal-sis7097 2 роки тому

      Kuna vitu vingine kwa dunis tulipofika now siwa n kuwa anahamasisha

    • @abdul-rahmanal-sis7097
      @abdul-rahmanal-sis7097 2 роки тому

      N kusoma qur-an sio riya

    • @abdul-rahmanal-sis7097
      @abdul-rahmanal-sis7097 2 роки тому

      Qur-an unaweza kusoma popoti tu ispokua chooni

    • @abdulkareemseif1892
      @abdulkareemseif1892 2 роки тому

      @@abdul-rahmanal-sis7097 ria Ni ibada yoyote ile ambayo utaifanya kwa kutaka sifa

    • @abdulkareemseif1892
      @abdulkareemseif1892 2 роки тому

      @@abdul-rahmanal-sis7097 inamana wewe huwezi kusoma mpk akuhamasishe mwijaku Tena mtu ambaye maisha yake Ni ya upuuzi tu

  • @haithamjuma2472
    @haithamjuma2472 2 роки тому

    Masha Allah jmn isiwe ramadhani tu cku zote mungu yupo

  • @munakhamis982
    @munakhamis982 2 роки тому

    Mashaallah

  • @allymamlo8435
    @allymamlo8435 2 роки тому

    Hawa mabwana siwapendi kwa Ajir ya Allah

  • @rajimaalik.nasheed4237
    @rajimaalik.nasheed4237 2 роки тому

    Masha Allah good saaana mambo yaendeleee

  • @sephania8085
    @sephania8085 2 роки тому

    Mwikaju mwijaku mwijaku nipe mkono

  • @abdulatifmoxamed8047
    @abdulatifmoxamed8047 2 роки тому +6

    Karuka aya moja

    • @abdlmalik4522
      @abdlmalik4522 2 роки тому +1

      Umemuona pia daa mwijaku mwellevu sana

    • @barakatabdul3212
      @barakatabdul3212 2 роки тому

      Hata mm pia nnasema huyu Asharuka Ayaa moja🤔 afanya mchezo na Quran"

  • @maulidharuna183
    @maulidharuna183 2 роки тому

    Alladhina yuumina bil ghaib wayuqimuuna swalata

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 2 роки тому +7

    Mwinjaku umeruka, aladhiyyna yuuminuuna bilighayb wayukimuuna swalata wamin'marazaknahum yunn'fikuun

    • @leylasalim9380
      @leylasalim9380 2 роки тому +4

      Ni kweli ameruka ila kk unapo soma Qur an tukufu unatakiwa utulie moyo umkabidhi Allah SW ili qiraa kikae uzur

    • @suleimanamlima3398
      @suleimanamlima3398 2 роки тому

      ... Amesoma vizuri ... Itakuwa hizi aya za mwanzo katika surat bagharah ameikakilili ndio maana amesahau kusoma BIL GHAYIB ... Inamaanisha hakuwa anaangaria maneno ya Allah yalivyoandikwa.

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 2 роки тому +2

    Ali kiba yupo juu kwa hapo halaf yy hakusoma kwa kulipiza kisas

  • @amourhaji745
    @amourhaji745 2 роки тому

    jamani waislamu tusimkosoe kwakejeli huyonae binaadamu istoshe hajakamika kamausivyokamilika wewe tumkosowe kwautaratibu uliopo
    pia namumba Allah ampemoyo wakuipenda qur -an tusemeni amiin inshallah

    • @shemfukotv9674
      @shemfukotv9674 2 роки тому

      Mwijaku kashika msaafu halafu ameruka baadhi ya herufi yeye kasema hivi a, ladhiina yuuminuna wayukimuuna swalata,, Sasa karuka neno bil'ghaib Yani inasomeka hiv a, ladhiina yuuminuna bil'ghaib wayukimuuna swalata

  • @user-zb5bg2rj1d
    @user-zb5bg2rj1d 3 місяці тому

    Hujui kusoma

  • @casnayharuni7022
    @casnayharuni7022 2 роки тому

    👩‍💻 الذين يؤمنون بالغيب ويقيمون الصلاة.......

  • @dotogiving9293
    @dotogiving9293 2 роки тому

    Inapendeza mashallah

  • @abubakariabdallah8874
    @abubakariabdallah8874 2 роки тому

    MashaAllah

  • @abuuzwiin1876
    @abuuzwiin1876 2 роки тому +1

    sura ya kinafik iyo baba

  • @ramadhanilubuva1956
    @ramadhanilubuva1956 2 роки тому +1

    Safi kabisa mwijaku

  • @user-kf6wy8gs1s
    @user-kf6wy8gs1s 3 місяці тому

    DUNIA IMEJAA USANII HII KILA KONA DAH SIJUI TUNAELEKEA WAPI YARABBI

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому

    Ttz Ramadhani ikiisha mnarudi kule kule

  • @mwanalelee6
    @mwanalelee6 2 роки тому

    Bado diamond na tiffa jmn

  • @seyhamooseif8530
    @seyhamooseif8530 2 роки тому

    Aya ya 3 ameruka skilizen vizuri

  • @rayuubeauty7229
    @rayuubeauty7229 2 роки тому

    alladhiyna yuuminuunabilghaybi wayuqiimuna swalata

  • @joyjilien5432
    @joyjilien5432 2 роки тому

    Someni kiswahili ndio
    Lugha yenu
    Hayo mengine ni ukoloni tu
    ,,kila mtu amwabudu mungu kwa lugha yake
    Sio lugha ya mtu mwingine huo ni ukoloni

  • @siribrahonlinetv4489
    @siribrahonlinetv4489 2 роки тому +1

    Tatizo mnafanya kwa ria (kujionesha)

  • @hassansaid2268
    @hassansaid2268 2 роки тому +5

    Tusifanye mchezo na qur-an jamani

    • @mariamhamisi598
      @mariamhamisi598 2 роки тому

      Mchezo gani wakati wanasoma maneno ya allah

    • @hassansaid2268
      @hassansaid2268 2 роки тому

      @@mariamhamisi598 hujui lolote kaa kimya bora

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 роки тому

    Ila hii dunia hii jamani

  • @kassimathumani1315
    @kassimathumani1315 2 роки тому

    Allah Akbaru Allah akuangamize kenge wewe kitu kama hukijui nibora ukaenda kusoma unaona sifa uwafurahishe watu huku unamuudhi allah nani kakufundisha hio alladhina yuuminuuuuuuna wayukimuna sswalata unakosea aya za mwenyezi Mungu na huku umeshika kitabu kitakatifu Allah Akbaru

    • @jumanyandwi1731
      @jumanyandwi1731 2 роки тому

      Ndomziki kwenye upo nimtihan kwakwel

    • @wakapesatz1451
      @wakapesatz1451 2 роки тому

      Mashanllah ila umeluka kidogo

    • @amourhaji745
      @amourhaji745 2 роки тому

      je ww unaona hujakosea pi naww kakufundishanani kumkosoa mtu kwanjia hiyo

  • @aliabdalla9297
    @aliabdalla9297 2 роки тому

    Kasoma sivyo

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 2 роки тому

    1:18 kakosea aladhina yuaminuna bilghaib wayuqimuna swalat..

  • @hemednassor2362
    @hemednassor2362 2 роки тому

    Heee Imekua dini Ya kuoneshana na kushinndana au

  • @abdallajuma6262
    @abdallajuma6262 2 роки тому +1

    Kuwa makini

  • @aliebrahim9423
    @aliebrahim9423 2 роки тому

    baada Ramadan mambo yaendelee

  • @azruntravel4306
    @azruntravel4306 2 роки тому

    Umeikosea aya hiyo jifunze zaidi

  • @maulidasaa9407
    @maulidasaa9407 2 роки тому

    Jifunze kusoma kwanza ndo utake sifa mana bado hujajua

  • @salumal-baamiry1995
    @salumal-baamiry1995 2 роки тому

    Mwambe Usikufuru Umekosea aya ya 3 apo

  • @nassirkhamis8339
    @nassirkhamis8339 2 роки тому

    Kwijaki anakufuru

  • @idrissansereko6403
    @idrissansereko6403 2 роки тому

    Chunga sana asije siku moja akavaa uchi mbele ya umma kama Zuchu

  • @ummutaswaufi3980
    @ummutaswaufi3980 2 роки тому

    Huyu mwanaume anasifa ajabu wallah

  • @shemfukotv9674
    @shemfukotv9674 2 роки тому

    Mwijaku kashika msaafu halafu ameruka baadhi ya herufi yeye kasema,, a,ladhiina yuuminuna wayukimuuna swalata,, Sasa karuka neno bil'ghaib Yani inasomeka hiv,, a, ladhiina yuuminuna bil'ghaib wayukimuuna swalata

    • @Ahmadbukhatir
      @Ahmadbukhatir 2 роки тому

      alaf hapo yeye kaivuta yuuminuna. huivutii.......unasoma kawaida tu.......mpaka pale kwenye wamimmm..maarazaknahu

  • @drabdi6806
    @drabdi6806 2 роки тому

    Unaisoma quran kimakosa kaka

  • @barakakhemedi1250
    @barakakhemedi1250 2 роки тому

    Angalieni maonyesho yenu na qur a n vitu tofauti Allah hazihakiwi
    Iyo surat bakla umeisoma vp hapo ndgu arazina yukimuna swalata ndo iko hivyo au sio vzr

  • @sudaissaid8428
    @sudaissaid8428 2 роки тому

    salala waruka aya ndo nn wkt una msahafu hapo

  • @allysururu1733
    @allysururu1733 2 роки тому

    assalam alaykum, nenda tena madrasa ukafundishwe kusoma quran, usisome Quran kwa show off, Allah hataki hivyo, umesoma halafu umekosea unaruka aya, alladhina yuuminuna bilghaib,

  • @fadhilirashidi4982
    @fadhilirashidi4982 2 роки тому

    NENDA KASOME KAKA ACHA KUIMBA, HAPO WAMEANDIKA yu u minuna bil aybu wayukimuna swalata na sio WALAZINA WAKIMUNA SWALATA soma Quran sio ya mchezo.

  • @firdausrajabu6822
    @firdausrajabu6822 2 роки тому +1

    Bc tuwe hiv miez yote sio tushndane sahz t

    • @ntumbabernard2165
      @ntumbabernard2165 2 роки тому

      Uwe makini sana na aya za Quran maana umekoseya sana na ukarusha mitandawoni ziskilize aya vzr

  • @abednego3876
    @abednego3876 2 роки тому

    Mwijak akitoka apo anaenda kucheza Xxx na menina. 😁

  • @lubuva708
    @lubuva708 2 роки тому

    Acheni mikwara nyie wasanii qur aan nendeni mkakunje magoti mfute ujinga

  • @salhasilima5267
    @salhasilima5267 2 роки тому

    Mashallah

  • @user-kf6wy8gs1s
    @user-kf6wy8gs1s 3 місяці тому

    Mnaleta usanii kwe dini nyie angaikeni tu