HIVI NDIVYO WASHIRIKI KUMI WA MASHINDANO YA ADHANA WALIVYOSHINDANA KATIKA MSIKITI WA IDIRISA DAR.
Вставка
- Опубліковано 2 жов 2024
- Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090
Maashaaallah Mungu awazidishie
Mashallah mashallah allah azidi kutupa nguvu uwezo na afya tuzidi kuipenda dini yetu amin yarabbi
Mashallah wote ni washindi kwa mola mlezi.
Inaonekana mshiriki no 4 sauti imetole kwa kukusudia.
Huyu namba nne ameadhini vizuri sana MashaAllah,tena sauti kama ya Al marhum Sudeis
3,na 1 mashallah
Wote mashallah ila ingependeza kwa watoto
mashaAllah(neema hizi ni kutoka kwa Allah (SW). ALLAH (SW) atujaalie tuzid kuipenda dini yetu na atujaalie tuingie katika pepo ya firdauss amiiin
ومن أحسن قولا ممن دعا إلى الله وقال إنني من المسلمين
MashAllah, mshiriki namba 3 amefanya vizuri, kisha wote wako vizuri
Masha Allah mungu awape wepes nyot mko vizur
❤❤❤❤❤❤❤maaashaaalaa
Mashallah
❤❤❤❤❤❤Mashaa Allah
Wasomaji wote wazuri ila ningependekeza kuwa hizo mic wanazotumia bado hazipo sawa, wenzetu mitambo yao inawasaidia kutoa sauti nzuri zaidi
No. 4 no sound how can you judge? Or what?
Mashallah tabarakallah
Mohamed mazola katisha pongezi kwake
ahahaha ni muharrami Mazola uliemsema ni kaka yake
Nimeona utofauti wa sauti zilizo mzuri lakini kifik-hi baadhi wamesoma kikaraha zaidi😢.
Wakosawa mashaallah
Namba 3 mashaallah
Number 4 SAUTI yake haitoki, kwani imeminywa? Ao vipi ?
No 1 ndio mshindi
Uyo wa kwanza atakuja kufa 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂 We jamaa mchokozi Sana
Mashaallah
Usiseme hivyo
Adhana Inataka Sauti Nzuri Sana Matamshi Ndo Muhimu Ila Kama Mshindi Anapatikana Kwa Kukosea Kosea Sawa
Mshirik namb 4 yamjamtendea haki kumkatia sauti kwa makusudi mngu anawaona
Ma"Shaa"Allah
Uyo ilokuw haitoi saut ndio mshind mm nmeon inayotoa saut ni noma sn
Tena alionyesha nguvu ama with kwa bidii ya kuadhini.
Masha Allah Allah ajalie kheri
Dua baada ya adhana ni SUNNA muhimu pia baada ya adhana.
WOTE hawana Sauti ya kuonyesha wito HUO ni MUHIMU sana
Hapo umenena.
No tatu nae mashaallah
Allhahu akbaru
Wa kwanza mashaallah akifumua mishipa kwa saut
Mashallah 4👏👏
Mashalla mumeadhini vizuri
Wote wamefanya vzy naomba namba za waazini wote walio azini
اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ
ALHAMDULILAH WAPO VIZURI ALLAH AWAZIDISHIE
Mashallah 💖
waisilam wenzangu na mm nahitaji niingie kwenye hayo mashindano ya adhana
Asalam alaykum tunawashukuru viongozi wetu kwakubuni jambo Zuri kama hili allah awazidishie kheri nyingi mzidi kusimamia dini yetu nakuleta kivutiyo kizuri ila ninaomba kuuliza washindi wanapatikana kutokea darusalam pekeyake au huwa mnachaguwa baadhi ya mikowa maana sisi huku mwanza hatujawahi kuona wanatafutwa washiriki ili kuiniwa vipaji zaidi kama haiko hivo tunaomba mje nahuku mikowani ninaeuliza naitwa abdulrahman nipo mwanza.
Ustaadh Othman mashaallah,haujashinda lakini kwangu ni mshindi
Bado sijampata muadhin mzur...nendeni Makkah mukaangalie waadhin..hamna pumzi..sauti na shibe..kuleni mushibe sio muhogo na masheli
Unajielewa ww??
Kwani Bilali alikua akiadhini au Adhana za watu wa zaman unadhani walikua wakiadhini wanavuta saaaana herufi ee??
Wote wamejitahidi ila hawana sauti au niseme pumzi ya kutosha. Rithim inapanda na kushuka. Ila namba 3 akipata brush anaweza fanya vizuri
Tàfuta hiii video kwa Chanel nyengine alafu usikize namba nne utapata majibu kamili,,InshaAllah
Mashallah
MashaAllah MashaAllah Wote wapo Vizuri 😍💖💖💖
Mashallah tabaraka llah
MANSHALLAH ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Woow sheikh muharram
Mashallah Muharam Mazola is the best 4 me❤️
Mashallah
Wote washindi, walisheni tende na Vya tamu na microphone ziwe kama za wenzetu. Utawashangaaa. Sehemu kama hiyo kuwa judge ni mtihani. Hisia lazima
Ĺ😊1
Kwan wa 4 kwa sababu hajavaa kanzu au mbona saut ilikatwa
Shekh mharam umeadhini vizuri wewe ni mshindi
Wa 4 mmenyima haki yake kwa kumtoa saut
No 4 kajitahidi ndo mshindi
Wewe Mwarabu soma kwanza Siyo ushabiki adhana bora ya Swahaba Bilal bin Habesh, Sauti ya kutisha wito wa LAZIMA Tukaswali tukamilishe DINI ya ALLAH Leo mnaremba wito wa kupeana taarifa sasa muda wa swalla.mtihani mkubwa.
Kua na busara,,unamwambie mwenzako asome ma we umesoma,,,bilal bin habesh ndo nani😂
Kua na busara,,unamwambie mwenzako asome ma we umesoma,,,bilal bin habesh ndo nani😂
Acha fitina ina maana wewe ndio umesoma sana au swahaba kama kakosea si tumia lugha nzuri
Hayo mashindano yanafaa kwa watoto
Fadhila hazina watoto mana watoto wakati mwingine hawasomi kwa ufasaha kwa hapo ni sawa Inshaalah tutapata mshindi sahihi
Nazani unamkumbuka Bilal wakati anaazini ndugu yangu kiimani utamu wake sasa sisi tunapenda kama vile inatakiwa wote wafanye sio tuu watoto hata hao wakubwa cha muhimu lengo litimie na yale matamshi yasikike kiufasaha
Mmmhhh 😂😂 kwani watu wazima haifai kusoma adhana..Allahu Akbar jamani sio lazima tucomment
Pia watoto wengine watashindwa na pumzi
Namba 1
Mashaallah tabaraka llah
Mashaallah
Namba 3 sawa
Itafteni iyo
Mbn me hamjanialika
Allhamdlilahh
Wako vizuri ila wa darusalam mmejipendelea
Mshiriki wa tatu lakini kaharibu herufi ya (ه)ha
Namba nne vip tena
Mashallah allah awatie nguvu inshallah ❤❤❤
Dunia ya. Sasa iimeisha. Had adhan n mashdno dalili za kiam hzo
Nyie ndio watu munaeadhini km mnaongea
Mshiriki wa 3 anastahiki kua 1 mshindi
No 4 ndo mshind
كيف حالك
Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah
Mashaallah
Mshirik namba 3 Muhammad mazola ndiy mshind namba moja
No
Hapana anasauti nzuri ila umaliziaji wake ndo umemuangusha
Yahya bihak
Mshiriki namba 3 kaua
Rajab ulifungua dimba wewe ndio mshindi
Yahya bihaky❤️❤️
MashallAlllah
Kwa hajika mashindano ni moto haswa inshaalah kwa mshindi
Mshiriki na 3 kazi kazi
Mmemchagua mtu kuwakilisha nchi wala hajui kuadhin
No 4 haina sauti
Sautii za kusomea maulid tu hizo sio ya adhana
Manga bingwa
Mpaka adhana ina mashindano yake
SUBHANNALLAH WALHAMDULLILLAH WALAHU AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mwaimba au mwaadhini
Naona mwalim hauna mapenz na hiz saut
Yanne haitoi sauti mbona
Uyo ndo ilikua awe mshindi lakini kwasababu hakuvaa kanzu ndio kakosa ushindi na ndo maana wakatoa saut
😂😂habib wala haikua sabab ya kanzu..
Koukweli Tuendako Mungu2 Atusamee Adhana Inaitaji Mashindano Jamani Kweli Mbona Mambo Yanaenda Tofauti Kabisa Na Imani Ndani Ya Msikiti Hata Mtu Akiwa Na Sauti Mbaya Kikubwa Itamke Kweli Kwenye Adhana Watu Wakusanyike Na Kutii Wito Mashindano Ya Kazi Gani Sasa
😅mshiriki namba 3. Ameamza vizuri.alikua anamaliza vibaya. Walakin. Nimempa no.1
Nyinyiote feki
Namba 5 Anacho Kitu Kikubwa Aaache Maji Ya Baridi Na Pilipili
Dah huyu mfunguwaji adhana ata sjamuwelewa bado kabisa
Oooh allah kwa uwezo na utukufu wako wape kheri yarabi uislamu under mbele
Mashaalah alhamdulilah Allah akbar kabiira alhamdulillah rabilghalamiin ❤takbiir ALLAH AKBAR.
Kwa upande wangu namchagua alosoma mwanzo ndio kiboko yao
Mnafuatisha muafhini au mnasikiliza mashindano, mtajeni mtume muhammad ndani yake kwani ndio wasiilah