SHK/MSELEM /WEWE NANI MBELEYA ALLAH HUKUJANA CHAKULA HAPA DUNIAN/HAWA NDIO WENYESIFA BORA KWA ALLAH

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @hassanmwemba3158
    @hassanmwemba3158 2 роки тому

    Napata maarifa mengi sana kutoka kwako na Imenisaidia maishani ... Ya Rabb! mjaalie umri mrefu Usta'dh wangu :!

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 3 роки тому +2

    JAZZAKALLAH kheir sheikh & Adil tv Allah awalipe kila la kheir DUNIA na AKHERA

  • @1carbon676
    @1carbon676 3 роки тому +1

    MashaAllah Allah akuifadhi

  • @othumaniabdalla2157
    @othumaniabdalla2157 3 роки тому +2

    Mungu akujaaliye ww mwenye kutuwaadhi na sisi pepo ya firdausi

  • @athumankarata8817
    @athumankarata8817 3 роки тому

    Allah Awaze kheli Adil Abdallah kwa kutuletea darsa za kutuelimisha na pia Shekh Mselem Allah Amuhifadhi.

  • @ramadhankisila452
    @ramadhankisila452 3 роки тому +2

    Allah akuhifadhi sheikh Mselemu

  • @mhinahalfan2694
    @mhinahalfan2694 3 роки тому +3

    Allah akulipe kheri duniani na akhera

  • @husseinfunga3272
    @husseinfunga3272 3 роки тому +3

    Allah akuhifadhi na akupe umri mrefu wenye manufaa kwa akhera yako na dunia pia allah akufanye uwe wa manufaa kwa sisi waislamu na daawa yako ifae wasio waislamu pia,yaa allah tupe nusra sisi waislamu

  • @amanijuma4322
    @amanijuma4322 3 роки тому +1

    Jazzakah Allah khair

  • @yabisichamwera6923
    @yabisichamwera6923 3 роки тому

    Shukran sheikh mselem

  • @mohamadmaulidngava1510
    @mohamadmaulidngava1510 3 роки тому

    Shukrani Shekh.

  • @sempaysensey6486
    @sempaysensey6486 2 роки тому

    Najifunza makubwa Sana kweshekhe huyu haijalishi nimitihani mingapi kapitia ila bado anatuelimisha nakutufundisha vingi ya Allah kwoko mtengenezee furaha nafaraja kubwa nakuomba namakazi mazuri kwako Amin

  • @doctordula7853
    @doctordula7853 3 роки тому +1

    Shukran

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 2 роки тому

    Allahu Akbar

  • @jumaabdurahmani2733
    @jumaabdurahmani2733 3 роки тому +2

    Nakufuatilia vizuri

  • @alimohamed4712
    @alimohamed4712 3 роки тому

    Assallam alykum ...hivi kitabu gani hicho ambacho anatumia maalim na mm niifuatilie huku tukimsikiliza shekh wetu

  • @rashidkhamis2801
    @rashidkhamis2801 3 роки тому

    Unaeleweka sh mselem

  • @aliomar8598
    @aliomar8598 3 роки тому

    Yty6

    • @yunusamour1019
      @yunusamour1019 2 роки тому

      Darsa nzuri MashaAllah, imejaa nasaha na elimu