@Adil tv Ahsante sana kwa Mawaidha mazuri unayotupatia ya Sheikh Wetu Habib Mselem Bin Ali,, Ila tahadhari na Picha unazoambatanisha (Cover Display) Zinaleta Fitna kwa Wasioelewa kwamaana Anayoyasema Sheikh na hizo picha za Masheikh wengine havihusiani na wala havina ukweli... Ni hilo tu
ADIL TV futeni haraka heading yenu isemayo" msiewalazimishe watu kusilmu". Huo si uandishi utokanao na taaluma ya habari. Hapo hakuna truth,transparency wala actuality. Acheni ku -exigerate habari na kufanya sadition katika jamii. Tv badala ya kuaminika na kuheshimika itapoteza amana na heshima yake katika jamii
Ajitahidi kuwa mbunifu mzuri wa vichwa vya Habari Tunajua unahitaji views wengi lakini jua haya ni mawaidha katika dini tuliepuke hili. "Vichwa vya Habari vingi huweka ukakasi wa maneno kwenye Chanel hii"
@Adil tv Ahsante sana kwa Mawaidha mazuri unayotupatia ya Sheikh Wetu Habib Mselem Bin Ali,, Ila tahadhari na Picha unazoambatanisha (Cover Display) Zinaleta Fitna kwa Wasioelewa kwamaana Anayoyasema Sheikh na hizo picha za Masheikh wengine havihusiani na wala havina ukweli... Ni hilo tu
Shukran sheikh darsa MaAshallah Nimepata faida
Wewe ni sheikh wetu Mungu akulinde yaezekana ikhlas yako ni yajuuu
Allah hu Akbar
Mbona huwajibu wanao kuuliza hao wakina mazinge kwani wana lazimisha watu kisingia latika uoslam
Ndio maulaama waliobakia hawa
Mwandishi wacha upumbavu juu ya kiambatanisho cha kichwa cha habari
Hawa wanao uwa watu na kutesa watu na kuwadhulumu watu hawayasikii haya maneno wana baka watu hamuopi hasa mnapopata madaraka na matajiri hamopi
ADIL TV futeni haraka heading yenu isemayo" msiewalazimishe watu kusilmu". Huo si uandishi utokanao na taaluma ya habari. Hapo hakuna truth,transparency wala actuality.
Acheni ku -exigerate habari na kufanya sadition katika jamii. Tv badala ya kuaminika na kuheshimika itapoteza amana na heshima yake katika jamii
Siku itawakuta na mngu atawaonesha hapahapa duniani wache wafanyee
Sasa lini umeona wakina shekh mazinge wanalazimisha watu waingie kwenye dini, shekh wangu apo umebugi
Hiyo tv ilioeka hizo picha sio yeye
Nilijua tu picha inaleta firna
Faysali alioweka picha ndo mwenye makosa shekhe akumtaja mtu apo wala yeye akuweka izo picha
Ajitahidi kuwa mbunifu mzuri wa vichwa vya Habari
Tunajua unahitaji views wengi lakini jua haya ni mawaidha katika dini tuliepuke hili.
"Vichwa vya Habari vingi huweka ukakasi wa maneno kwenye Chanel hii"
Toeni picha ya ustadh mazinge apo juu