Waooooo natamani kuja mlipo ❤❤❤. Nawapenda sana mnaimba vizuri na huu wimbo umenigusa sana maana hii sala ilinitoa mbali hasa mtunzi jamani anitafute nimpe pongenzi yake❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
Tumwimbie Bwana..! Wanakwaya wa mt. Fransisko wa Asizi: Pokeeni pongezi zangu kutoka katika kilindi cha moyo wangu kwa jinsi mlivyouimba wimbo huo kwa ustadi wa hali ya juu. Sauti zenye uwiano mzuri, mkaimba kwa utulivu na hisia. Sauti ya waimbaji na ala (kinanda) vipo kwenye uwiano mzuri. Mungu akubarikini nyote na wale wote waliowezesha kukamilika kwa wimbo. Asante sana.
Kila nikiangalia na kisikiliza huu wimbo nacomment na subscribe ❤🎉
Waooooo natamani kuja mlipo ❤❤❤. Nawapenda sana mnaimba vizuri na huu wimbo umenigusa sana maana hii sala ilinitoa mbali hasa mtunzi jamani anitafute nimpe pongenzi yake❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
Shukrani sana❤...
Mtunzi anaitwa Manyama...0767690567
Amina sana mwl wangu ❤❤
Safi sana kwaya bniliyowahi kuhudumu miaka kumi iliyopita
Many amazing OYEEEEE.......HAUJANIANGUSHA! MUNGU AWABARIKI! NAOMBA NIJIUNGE NA KWAYA YENU.
Karibu mwalimu
"Nigawe mapendo" Mt. Francisco wa Asizi. Kazi nzuri sana ❤
👏👏🙏
Hongeren sana 🙏🙏🙏 5:10
Tumwimbie Bwana..!
Wanakwaya wa mt. Fransisko wa Asizi: Pokeeni pongezi zangu kutoka katika kilindi cha moyo wangu kwa jinsi mlivyouimba wimbo huo kwa ustadi wa hali ya juu. Sauti zenye uwiano mzuri, mkaimba kwa utulivu na hisia. Sauti ya waimbaji na ala (kinanda) vipo kwenye uwiano mzuri. Mungu akubarikini nyote na wale wote waliowezesha kukamilika kwa wimbo. Asante sana.
Shukrani sana..❤
Hongereni sana. Kazi nzuri. Mwenyezi Mungu awabariki
Hongera sana Mwlm Alex
🎉🎉 hongeren kwa kazi nzul Mungu awalinde daima
❤❤
Tafakari iliyotukuka.hongera Alex, wanakwaya
aisee wimbo mzuri sana hongeren mnoo,,,hongera sn mwalim mjwahuzi hakika Mungu aendeleeb kukujalia afya telee,, umeupiga mwingi mwalim
Kazi nzuri mno
Hongereni sana wanakwaya wa Mtakatifu Fransisco wa Asis 👏👏👏, mambo ni🔥🔥🔥
Mtunzi alitulia sanaaaa na waimbaji mkautendea haki. Mbarikiwe munooo
🎉Wow. Very nicely done. Amina.
💥💥
Tumwimbie bwana ! Wanakwaya ya mt fransisko wa asizi mmenikosha sana mmeimba vizur
hongereni sana kwa utume
Amina
Hii sala nzuri sana
Hongereni sana❤❤❤
Hongereni sana Kwa Kuokoa nyoyo zetu kupitia Sala hii ya Mt. Fransisco👏👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongeren sana 🙏🙏🙏
❤
Namsalimia mtu mmoja niliyemtambua kati ya wote (Florian Mujwahuzi). Ubarikiwe kwa kupiga kinanda vizuri kwa unyenyekevu.
Amezipokea salamu...
Na josephina jomn wanacheza kistarabu kweli hii kwaya naipenda hatari
💕💕
🔥 🔥
❤
🎉🎉 hongeren kwa kazi nzul Mungu awalinde daima
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤
❤❤