Je sera za serikali hazichangii jamii kuharibika? Sera za utalii na kuachia influx kutoka nje ya Zanzibar kuja tu bila ya kizuizi chochote kuibadilisha Zanzibar katika kila sekta, tamaduni, khulka. Zanzibar imekua na watu kupitilia kiasi , zinaa zinauzwa kama njugu. It’s mess, serikali ina mkono mrefu kama ulivyosema bi Riziki.
Ma shaa Allah My lovely Dada ❤
Upo vizur Bi Riziki pembe ❤