Hahaha wapi Young lunya wa kujiita Mbuzi na kutamba kwa kufanya cover za nyimbo. tulioelewa ni wachache Mtu mbaya manengo amemla mbuzi kwa mbuzi kagoma kwenda 🔥🔥🔥
Daah mi nimependa hapo tu mnakula nyama na marimao😋🤹 Sema Manengo mzee haujawahi kukosesa hata siku moja. Stair ya midondoko tu mtu akisikia anajua This is ManengoMbuzi again
Ifikie makapuku wa kenya
Msodoki kabisa
Wajua ww
Uyu jamaa nae ni nouma
Nakubali MWAMBA
Namuaminia sana uyu muuni
Unategemea ofisi ya Kata na haikati
#Maajabu Leo Wanaomba Jero Kwa Panya Buku
Mbona wasanii siku hizi mnachana2 kuna nn jaman
Uhakika sana hii
Noma
Kaliii sana mpenzi
Safii Sana blood
Mwanza kwenye hipapu haina wapinzan inatoaga vichaa wakurapu sio vilaza
Hatar Sana ding
Dah Manengooooo umetishaaa kakaaaaa
Mdogo angu,eshima
Punch line za motoo
Kwaiyo mbuzi ajui kuchana bali analiwa au me nimeelewa vby
Mamaeeeeeee
Za kukayaaaaaaa otisha sana nyandaaaa manengo
Dude la moto sana
Nacha ndo docta
Rapa Bora diniani
Au sio
manengo
🔥🔥🔥 yaani leo ndo nimejua kuwa huyo docta ni Nacha
Kweli
Kawaida xn bado xan mzee
Unajitaidi bro
Say hot guy 😂😂😂 manengo ni noma
Uko sawa
Ngoma kali
distrack kwa lunyambuziii🔥🔥🔥
Nice
Hongera sana mzee manengo
We mjomba mbona unauwa vibaya
Home boy kazi kazi
Mbeleko na hamtembei,mtakuja kupata tabu siku kanga zikipanda bei,line kali sanaaaaa
Ebhana hii ngoma inatibu corona uku mwanza
Hatari xn
Kumamake mwanangu safi
Nycccccc songss
Fupi kali💥💥....sema muziki wa aina hii tunaukubal wachache ndo tatizo hapa
duuuhh noma sana
Mamaeeeeee wafundishe Manengo hyo ndo Rock Cty
Ebhan hatr
Sawa sawa
namuona nacha
Hahaha wapi Young lunya wa kujiita Mbuzi na kutamba kwa kufanya cover za nyimbo. tulioelewa ni wachache Mtu mbaya manengo amemla mbuzi kwa mbuzi kagoma kwenda 🔥🔥🔥
Noma Sana
Umetisha sana mzee
Nomaaaa
Dunia inama mboo, ukinywa bia za kingwenduu baaa mbooo hahahahaha
Watakuja kupata tabu siku khanga zikipanda bei😂💣
Amewadisi wasanii 3 kwa dka3🤣🤣🤣🤣LUNYA
MAARIFA
COUNTR BOY
Noooma
Niceee sang
"Manengo niko A kwahyo zima Izzo B"
Mwanangu unajua sana
Manengooo
❤
Nakubal san location kali mistar mikali ubunifu wa hali ya juu
Noma sanaa
kazi nzuri sana mkali
Tumeuaaaaaaaaa
oyooooo
Endeleeni kukoroga sukar bahari ya Hindi..
*Wachache sana tuna muelewa manengo*
Kwanza Mwanza umebaki wewe
Dogo noma
manengo hii ni text lever nimepnda vyote ulivyoimba
I see Nacha 🔨🔨🔨
Good home boy
Manengoooo🤝🤝🤝🤝
Kwa mbindeeeee 💥💥💥🎶🎶🎶
Safi dogo we are together
Umenichanganya sana umu narudia rudia tu 🔥🔥😁
Love from Bantu Bwoy+257, 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Fireeee 💪🏿💪🏿💪🏿
Serikal kuu😂😂
We Msenge Umeshindikanika💪
#Manengo
Daah mi nimependa hapo tu mnakula nyama na marimao😋🤹 Sema Manengo mzee haujawahi kukosesa hata siku moja. Stair ya midondoko tu mtu akisikia anajua This is ManengoMbuzi again
🐐
Ngoma Kal kinoma diss zte nmezpenda✊🏼✊🏼✊🏼 .... Ila mwsho tuu penye kuzma izzo B ... Nkamaind ...☹️☹️☹️
uko vizuri bro,,from Mozambique mueda
😂😂😂😂 umempata mchumba mtoto wa baba af mama khadija kopa😂😂😂.... Dah kama namuona maarifa😂😂😂😂
ngoma iko pouwa saaana mwanetu
baba always upo fit
Mbna kaka aidonlowdki
Sisimizi mwenye kilo za Tembo #SangaraRost.
Manengo,sasa pesa iningia 😂😂
💥💥💥
lunya humpti wwe kasome
#MILELE 🙏🏾🔨🔔
😅😅😅😅 disstrack poa sana hii... wahusika mnajijua
The only problem to this song! #it end! 🔥🔥🔥 too hot Man alaf too short 🔥🔥🔥
💥💥💥💥🙌
manengo yupo A so tuzime izo B
Kazi nzuri. Utundu mwingi kiuandishi mzee. Nakubali 👊
Kali xn
Good work home boy,,,,,,,,,,,,one love
mnyama manengo 💪💪
🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽