HASIRA ZA MZEE SAID CHAMA KWENDA YANGA| ALIKUWA NA MSAADA SIMBA | AWATOLEA MANENO MAZITO VIONGOZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 597

  • @Finestonline
    @Finestonline  6 днів тому +34

    Anaehitaji namba ya Mzee Said anitafute kupitia 0782100162 nimpatie namba yake

  • @GasperMwaisa-rb1lf
    @GasperMwaisa-rb1lf 7 днів тому +45

    Ila we chagamba unajuakuoji watu mungu akufikishe mbali🎉🎉🎉🎉🎉 mzee saidi wa atali

  • @Shadia544
    @Shadia544 7 днів тому +86

    Jamaniii jamaniii jamaniii nilikuwa namsubili mzee saidi jamaniii 😂😂 CHAGAMBA ANAINJOI NA MZEE SAIDI LIKE 10 😂😂😂

    • @SadatiRajabu
      @SadatiRajabu 7 днів тому +1

      Umeonaeeee yaani mie mwenyewe nilikuwa namngojea mzee said tu

    • @reinfridlipili5666
      @reinfridlipili5666 7 днів тому +1

      Nimemtafuta mnooo nimefurahi namsikia😂😂

    • @SadatiRajabu
      @SadatiRajabu 7 днів тому

      @@reinfridlipili5666 mie tangu asubuhi kila saa nachungulia lakini ola

    • @user-ps8uf3mr3n
      @user-ps8uf3mr3n 7 днів тому

      Veep

    • @Shadia544
      @Shadia544 7 днів тому +1

      @@SadatiRajabu 🤣🤣🤣tunainjoi na mzee saidi

  • @user-uh7to2kw2z
    @user-uh7to2kw2z 7 днів тому +191

    Tulokua tunamsubiri Mzee Saidi tujuane😂

  • @user-mo5em8qu6c
    @user-mo5em8qu6c 7 днів тому +55

    Mzee anajua sana, mshabiki Bora wa mwaka huyuu🎉

  • @malietamalieta9658
    @malietamalieta9658 7 днів тому +44

    we ndo unajua mpira sio wakina masatu kisugu ni kumtukana ety kawaujumu Asante Mzee said jmn acha tungoje Miraji kesho inshallah

  • @Mary-fs4mc
    @Mary-fs4mc 7 днів тому +21

    Mzee said weee umepigaje hapoooo😂😂😂❤

  • @ezekielsaid9536
    @ezekielsaid9536 7 днів тому +46

    Usiongee sana mzee Said utawaamusha viongozi wa Simba acha walale

  • @kimarobeatus
    @kimarobeatus 7 днів тому +42

    Chagamba nisipo msikilizaga mzee said huwa naona bundle langu sija litendea haki kutwa nzima leo nlikua natafuta clipu zake za leo mpaka sasa ndo namwona

  • @MeckRain
    @MeckRain 7 днів тому +13

    Jaman mzeee said nakukubali sana

  • @HassaniBakari-qj7ft
    @HassaniBakari-qj7ft 7 днів тому +7

    Ila huyu Mzee ana point sana mungu amuweke inshaallllah Mzee wetu Mzee saidi

  • @AshaKilagula
    @AshaKilagula 7 днів тому +20

    Yaani nimeweka bando kwa ajili ya mzee said

  • @nuhu-sanda
    @nuhu-sanda 7 днів тому +13

    Mzee Saidi Mimi Hua nakuelewa Sana uposawa Sana we Mzee wetu ni mshabiki WA ukweli

  • @user-bd6nt4yq3m
    @user-bd6nt4yq3m 7 днів тому +27

    Mzee saidi mim huwa nakuelewa sana mzee wangu

  • @jumamakame3978
    @jumamakame3978 7 днів тому +11

    😂😂😂😂😂 tunamuona mzee saidi kipenz chetu

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 7 днів тому +12

    Mpe heshima yake mzee Saidi kwa mujibu wa kiafrika

  • @user-qk2cx5ce3f
    @user-qk2cx5ce3f 7 днів тому +22

    Mavala tusaidie mzee Said akutane na mhe. Mavunde kwa uvumba na ubani. Naona kabisa jinsi watavyokuwa na furaha kukutana.

  • @AsminKhery
    @AsminKhery 7 днів тому +24

    Dah! We mzee anajua kuongea ukweli. Hongera Sana. Chama karibu Sana yanga.

  • @allynayomo485
    @allynayomo485 7 днів тому +17

    Mzee SAIDI lete raha weeer

  • @issaabdi9129
    @issaabdi9129 7 днів тому +7

    Watu wana rooho mbaya kwa kweli mzee Saidi ALLAH azidi kukupa afya.

  • @JacksonKamanga-xx6ul
    @JacksonKamanga-xx6ul 7 днів тому +7

    Apa umepigaje nilikuwa nimemumiss sana mzee said namupenda sana naitwa jackson

  • @ibrahmenard
    @ibrahmenard 7 днів тому +11

    huyu mzee nomaa😂

  • @Danielmayunga
    @Danielmayunga 7 днів тому +11

    Ila mzee said bhana pole Sana side timu lenu porojo Sana

  • @ashurasaid1315
    @ashurasaid1315 7 днів тому +7

    Nimesubiri sana hatimae😂😂😂 nakupenda sana we babu

  • @RichardAmosi-hz3nm
    @RichardAmosi-hz3nm 7 днів тому +7

    Hiri zee rinahatari kwenye kuongea big up mzee said

  • @HawaJuma-cv7ph
    @HawaJuma-cv7ph 7 днів тому +12

    mzee side ❤❤

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 7 днів тому +14

    Mzee Said kaumia sana
    Pole sana Mzee wangu

  • @Silvetar5gg
    @Silvetar5gg 7 днів тому +9

    Pole Sana mzee

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 7 днів тому +12

    Mzee Anajuw Xana Kweli Yan Chagamba Kila Bahad Ya Tukiyo Wahi Kwa Mzee Saidii❤🎉🔥🔥🔥

  • @wazirimwandete4429
    @wazirimwandete4429 7 днів тому +26

    Chagambaa tumemsubiri sana Mzee wetuu

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 7 днів тому +15

    Karibu sana Mzee Said Yanga,leo umenifurahisha na Nembo ya Yanga.Karibu sana kwenye tomu ya wananchi upate Raha na Burudani tu.

    • @AlexiaMilao
      @AlexiaMilao 7 днів тому

      Huyu mzee huwa ananifurahisha sana nikimaikia

  • @khalfantepani890
    @khalfantepani890 7 днів тому +12

    mzee uyu yupo Humble sana kiufupi ni mwana Soccer

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 7 днів тому +9

    Mavunde itabidi akutane na Mzee Side ampe milioni moja kumpoza
    😂😂😂😂😂 mzee Said bhana anakwambia Hersi kachinja kisogoni.
    hawaonei huruma anapiga pale pale
    Kahangaika na chama baada ya miaka saba

  • @bethuelnjau4877
    @bethuelnjau4877 7 днів тому +8

    Mzee anaongea kwa hisia sana daaaah hii mipira itakuja kuua watu na presha

  • @juliusmachaku
    @juliusmachaku 7 днів тому +12

    Pamoja sn

  • @elicktilia4430
    @elicktilia4430 6 днів тому +1

    Mpira rahaa sana kama unashabiki wapenda furahaa. Nice shabik wa mwaka

  • @kimarobeatus
    @kimarobeatus 7 днів тому +12

    uyuuu mzee I q mingi sana

  • @SulemaniNassor
    @SulemaniNassor 7 днів тому +12

    Mze said wewe noma sana mungu azidi kuuwek utupe raha

  • @mikidadymanga1346
    @mikidadymanga1346 6 днів тому +1

    Anajua sana mzee wangu Appreciate you ankor

  • @B.M-ix4rz
    @B.M-ix4rz 7 днів тому +12

    Toka asubuhi nachungulia huku mpaka saiv nimefanikiwa kukuona kipenz changu mzee said

  • @TatuMussa-ps2ui
    @TatuMussa-ps2ui 7 днів тому +38

    Chagamba naomba namba yamzee said nimtumie vocha

    • @moherai9120
      @moherai9120 7 днів тому

      Tulishaomba hiyo namba ya mzee mpaka tumechoka

    • @JosephineItambu
      @JosephineItambu 7 днів тому

      @@moherai9120Kwa sababu za kiusalama na faragha ya mtu hawezi tu kutoa namba kirahisi hivyo...kama unamtaka Mzee Said kuna namba ya chagamba kwenye video zilizopita upande wa kulia chini,ukimpata chagamba utaongea nae kuhusu shida yako na Mzee Said na atakusaidia

    • @wisdomcharis7227
      @wisdomcharis7227 6 днів тому

      Mpigieni chagamba atawapa no, no ya chagamba iko kwenye video za miraji upande wa kulia chini

    • @user-ht5tc5yv5t
      @user-ht5tc5yv5t 6 днів тому

      Mbona hata hapa juu comment Yake ya juu ameipin kaweka no Yake kasema mwenye shida na mzee amcheki yeye ili apewe namba​@@wisdomcharis7227

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 5 днів тому

      ​@@moherai9120katoa namba awatumie

  • @user-dd3nc9py2i
    @user-dd3nc9py2i 7 днів тому +11

    Dah yanga hawana huruma et

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 7 днів тому +8

    Mzee said 🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @user-ys9bp8ox1y
    @user-ys9bp8ox1y 5 днів тому +1

    Mzee said big up sana unapoint sana

  • @Bquality
    @Bquality 7 днів тому +19

    Sema mzee said anampenda aziz ki

  • @husnakawana2068
    @husnakawana2068 7 днів тому +3

    😂😂😂😂 chagamba wallah mwambie mzee said ninakupenda sana jamani 😂😂ninampa maua yake 🎉

  • @TwahiliSelemani-j7f
    @TwahiliSelemani-j7f 7 днів тому +6

    Uko sawa mzee

  • @msongeomary6195
    @msongeomary6195 7 днів тому +2

    Changamba big up Asante kwa mzee wetu said

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 7 днів тому +12

    Jamani habari ya mjini Chama tunaye na tunatamba naye🎉🎉🎉

  • @GiseracharlesGiseracharles
    @GiseracharlesGiseracharles 7 днів тому +6

    😂😂😂 shikamoo mzee said

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 7 днів тому +1

    Mzee saidi mungu akupe maisha marefu mzee wangu mi yanga ila nakuku bari sana mzee

  • @mathiasdaud7842
    @mathiasdaud7842 7 днів тому +3

    Mwanzo mwisho mzeee Ni mashine😊😊😊

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z 6 днів тому

    Mzee said Mungu akupe miaka 💯 tuendelee kupata burudan❤❤❤

  • @MusaSamweli-px8fh
    @MusaSamweli-px8fh 7 днів тому +3

    Mzee saidi ana sema kweli😂😂😂😂😂😂

  • @husnakawana2068
    @husnakawana2068 7 днів тому +1

    Wallah huyu mzee ninapenda saana mwenyez mungu aendelee kumpa afya iliyo njema ❤

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 7 днів тому +2

    Mzee wetu mzee said😂😂😂nimechekaaaaa😂😂😂😂.

  • @user-lb6my9qs5c
    @user-lb6my9qs5c 7 днів тому +8

    Toka bwana we

  • @ashorass4431
    @ashorass4431 7 днів тому +5

    Saruti kwa mzee wangu

  • @Khalidniya380
    @Khalidniya380 7 днів тому +6

    Hii ya Chama inaniuma ila basi tu😢

  • @sundaymotela3000
    @sundaymotela3000 7 днів тому +11

    Nilikuwa namsubili sana Mzee saidi😅😅

  • @gaspermathayo5204
    @gaspermathayo5204 5 днів тому

    😂😂😂😂😂😂😂 Mzee side upewe maisha marefu 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @MpembaMayunga
    @MpembaMayunga 3 дні тому

    Mzee anaongeag point sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @charlesmtamala4912
    @charlesmtamala4912 7 днів тому +1

    Saf sana tulikuw tunasubiria sana hii interview 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @rooneysanga7747
    @rooneysanga7747 6 днів тому +1

    Huyu mzeee nmemsubir sana😂😂😂

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 4 дні тому

    Hakika Mzee Said unatupatia burdan kweli kweli,cku za awali ilikuwa cjakuelewa lkn sasa kila nikiwa mchovu kwa tafakuri,nackiza pwaguzi zako,hongera sana mdau wa mpira miguu Tz.

  • @MeddyRaymond
    @MeddyRaymond 7 днів тому +2

    😂😂😂😂😂 Mzee said 🙌🙌. Unajua mpira

  • @GelardThomas
    @GelardThomas 6 днів тому

    Sema Huwa naenjoy sana,... Mzee said Mungu akujalie afya uzidi kuishi uone mengiiiii.....😅😅❤❤

  • @octaviusrutta4553
    @octaviusrutta4553 7 днів тому +7

    Kila mtu alikuwa anasubilia Mzee Said

  • @MariamMbega-n1p
    @MariamMbega-n1p 6 днів тому

    Mzee saidi side boy nakupenda san mungu akuzidishie umri

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 6 днів тому

    aendezake tu hana inshu ,SIMBA SIMBA NGUVU MOJA ❤❤🎉🎉🎉

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 7 днів тому +1

    Asante mzee Said, unatusahaulisha stress za maisha😂😂 mama gweee!!

  • @user-sz9om9ly4y
    @user-sz9om9ly4y 6 днів тому

    Mzee saidi huwa nakukubari sana unajua mpira pia unajua wachezaji wazuri.hongera Mzee saidi .

  • @Lastontano
    @Lastontano 6 днів тому +1

    Bro unaweza keep it up......

  • @BraysonShungu
    @BraysonShungu 4 дні тому

    Mzee pole mshabiki anayeongelea mpila kama msomi ijapo yeye elimu yake mamagwe mamagwe🎉

  • @nderendere.
    @nderendere. 7 днів тому +4

    😂😂😂😂😂 chagamba nacheka hata sijamusikiliza mzee said ila moto unawaka nimemusubiri San

  • @claragodfrey2985
    @claragodfrey2985 7 днів тому +1

    Mwandishi apo umepatia mzee saidi safi

  • @SymoniVedastus
    @SymoniVedastus 5 днів тому

    Uyu mzee mungu azidi kumtunza tuzidi kupata madini yake nampenda saaaaana ACHA ao wakina kisugu uyu mwamba nomaaaa

  • @shomarinamwandu7930
    @shomarinamwandu7930 7 днів тому +6

    Mzee said 😂😂😂

  • @JumaRachide-kn2vx
    @JumaRachide-kn2vx 7 днів тому +5

    🎉🎉🎉🎉🎉 Moçambique

  • @shabanihaji3896
    @shabanihaji3896 6 днів тому +1

    Chagambaa v mzee saidii watu wata dondoka uwanjan tiiii😂😂😂😂😂

  • @OliverKapinga
    @OliverKapinga 7 днів тому +3

    Sawa Mzee nakuelewa sana

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 7 днів тому +8

    Nlikua namsubiri mzee said😂😂😂

  • @user-sj9ob8vb3s
    @user-sj9ob8vb3s 7 днів тому +1

    tunakupenda mzee said mung akupe maisha marifu

  • @EzzyEddy-nv6ti
    @EzzyEddy-nv6ti 7 днів тому +2

    Huyu Mzee anamachungu na chama kama mm yaan chama ameniuma Sana jaman sema basi.Ubahili wa viongoz wa Simba mmmh umepitiliza ndo maana nilishaur wasiogope kupitisha bakuli Ili kuchangisha pesa za usajil huenda tungembakisha hata chama

  • @HijjaSalumu
    @HijjaSalumu 7 днів тому +6

    Weeee❤❤

  • @ThomasKapinga-v5x
    @ThomasKapinga-v5x 6 днів тому

    Mzee said 🎉🎉🎉🎉 hakika unaongea na point ❤❤❤

  • @mwanaishamasoud
    @mwanaishamasoud 7 днів тому +2

    mzee saidi umeongea kweli hakuna siku yngu ilikua mbaya kama leo nilijuta kuingia mtandaoni asubuhi najikaza kufuta jina la chama lkn ngumu sijui kwann

  • @user-mj2co4jn3v
    @user-mj2co4jn3v 5 днів тому

    Sawa tumemsikia mzee wetu kaleta laha sana

  • @hangoson24
    @hangoson24 7 днів тому +7

    💛💚💛💚💛

  • @SophiaManeno-hc8hl
    @SophiaManeno-hc8hl 7 днів тому +4

    Hatimae ugonjw umepon 😂😂 ila mzee said

  • @saumumaulidi8768
    @saumumaulidi8768 7 днів тому +6

    Chagamba umetuchelewesha😊😊

  • @ushiwamarandu7433
    @ushiwamarandu7433 7 днів тому +5

    ILA MZEE SAID WEWE NDIYO SHABIKI WA KWEL WA SIMBA NAKUKUBALI SANAAAA....!

  • @user-pn7zh9ef9x
    @user-pn7zh9ef9x 7 днів тому +1

    Mim ni mshabiki wa simba ila yanga wapewe makombe yao mapema🎉🎉🎉

  • @malangobinlokendo1231
    @malangobinlokendo1231 6 днів тому +2

    Huyu ndo mtu wangu mimi #Mzee_Saidi From US #Monrovia_Indiana 🇺🇸

  • @aminakhamis2276
    @aminakhamis2276 7 днів тому +1

    Tena tunataka kumuomba semaji jina la hiyomeche iitwe chama day❤❤❤

  • @joshualukas2123
    @joshualukas2123 7 днів тому +9

    Mtu wa maana sana said

  • @user-yr5gi7cy7i
    @user-yr5gi7cy7i 7 днів тому +1

    Unamtukana mzee umri wa bb au babu yako,sio vizuri,uwe na subira,mungu hapendi,wazee kama hawa ni lulu kuwa nao ktk michezo inayopendwa na wengi duniani

    • @MpembaMayunga
      @MpembaMayunga 3 дні тому

      Umeongea point et utakuta comment Mtu amemtukna Mzee aisee watu wa ajbu sana

  • @abednegoLumala-po3zc
    @abednegoLumala-po3zc 6 днів тому

    Hyu mzee Said anaongea vzr sana Yani huchoki kumsikiliza🤝🙌🙌🙌

  • @KipatiWazoHuru
    @KipatiWazoHuru 7 днів тому +1

    Nakukubali xana Mzee saidi Huwa napenda unavoongea

  • @MabruckLingondo
    @MabruckLingondo 7 днів тому +6

    Wakwanz😂😂😂leo