MZEE SAID | TIMU INAKWENDA KIUYUGU UYUGU KWELI? | NILIKUWA NAONA YANGA WANACHEZA NA NGUO NYEKUNDU 🤣

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 кві 2024

КОМЕНТАРІ • 207

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 2 місяці тому +3

    Mzee masatu,mzee saidi na miraji nyieee Mungu awape maisha marefu na wew chagamba na familia yotee ya finest online ❤❤❤❤🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🦁🦁🦁🦁

  • @user-yp4ru6bu1r
    @user-yp4ru6bu1r 2 місяці тому +22

    Finest online mnatisha sana mzee said na miraji wako moto

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 2 місяці тому +8

    Daaaah kutoka South Africa 🇿🇦 na enjoy San na mzee Saidy 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mweeeeeeeee

  • @user-uk5jr1lr1h
    @user-uk5jr1lr1h 2 місяці тому +3

    Kila jagamba unatakiwa uende kwa Mzee said shabiki zako tunaenjoy sana sitori zake saidi

  • @patrickmukundichalamila3038
    @patrickmukundichalamila3038 2 місяці тому +7

    Kianzia leo isipite wiki bila kumuhoji mzee Said 😂😂

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 2 місяці тому +10

    😂😅😂😅😅Mzee Saidi Utaniua Mbavu Zangu Nimecheka Sana Maneno Yako Balaa"

  • @sulledabo7267
    @sulledabo7267 2 місяці тому +5

    Hahahhahahaha nilikua namsubir mzeee said kwaa ham Sana hahahhaa dah. Hapa sikudai chagamba

  • @SadickMasoud
    @SadickMasoud 2 місяці тому +11

    Leo bwana chagamba kula MB zangu Mzee namuelewa sana

  • @ngasamashauri4937
    @ngasamashauri4937 2 місяці тому +15

    Mzee saidi nakukubali xana unasemaga ukweli

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 2 місяці тому +5

    Tunakupenda mzee Saidy

  • @zainaburamadhani1444
    @zainaburamadhani1444 2 місяці тому +6

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅yani chagamba na mzee said mnanipaga raha

  • @MpembaMayunga-im7zv
    @MpembaMayunga-im7zv 2 місяці тому +12

    Leo mzee said kapatikan😂😂😂 nimemsak sana chagamba xhukuran kwako🎉🎉🎉🎉 msalimie sana

  • @blackwarrior-animations593
    @blackwarrior-animations593 2 місяці тому +5

    Mzee Saidi Akizomewa Anagugumia kwa ndani tu!!😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-mq4yq6rw1w
    @user-mq4yq6rw1w 2 місяці тому +5

    Mzee said nimecheka mno,Gamondi amesemaje?😂😂😂😂😂😂

  • @jerryjaphet864
    @jerryjaphet864 2 місяці тому +5

    Mzee Said unanipa rahaaa wee😂😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏

  • @zainaburamadhani1444
    @zainaburamadhani1444 2 місяці тому +5

    😅😅😅😅😅😅nimekuwa naisubir iyi ya mzee saiid😊

  • @ALLYBULULA
    @ALLYBULULA 2 місяці тому +7

    Ktk bango la 7_2 ilibidi iwe na picha ya mzee said😂😂😂😂

    • @sakinasakina1286
      @sakinasakina1286 2 місяці тому +1

      weka picha yako huna sura mpaka ya mzee said

  • @andrewpanya7537
    @andrewpanya7537 2 місяці тому +1

    Ukiwa na stress msikilize Mzee Saidi strees zote zitaondoka 😂😂😂😂😂😂😂Mzee Saidi nakukubali sana

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 2 місяці тому +5

    Nakupata vizuri mzee said nikiwa Dubai unaongea ukweli viongozi hawafai

  • @Fred-Ma
    @Fred-Ma 2 місяці тому +3

    S.L.B ni Sanduku la Barua...
    Nafikiri anamaanisha magari yale ya zamani ya kudeliver barua.
    Gari inatoka Posta na barua,then inarudi tupu.
    Nafikiri nimemwelewa hivyo.

  • @HawaAlznezbar
    @HawaAlznezbar 2 місяці тому +5

    😂😂😂😂yani huyu mzee said kipind chake huwa nakisubili san ili nifrahi kwakweli😂😂😂😂😂😂

    • @kipupwefedede7130
      @kipupwefedede7130 2 місяці тому

      Hata Mimi nimemaliza sana bando nikimtafuta nimeamua kukopa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MohamedFundikila
    @MohamedFundikila 2 місяці тому +5

    Nakukubali mzee said

  • @georgettesaidi6809
    @georgettesaidi6809 2 місяці тому +6

    Uwa na furahi sana nikimuona Mzee saidi 😅😅

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid8 2 місяці тому +5

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mzee Sideeeeeeeeeeee, wajinaaaaaaaa

  • @TRAVELER288
    @TRAVELER288 2 місяці тому +5

    Kaka usimuache huyo mzee 😂😂

  • @msongeomary6195
    @msongeomary6195 2 місяці тому +1

    Mzee wangu pendwa na mwanangu changamba big up nawafatilia nikia USA 🇺🇸

  • @josephine6413
    @josephine6413 2 місяці тому +5

    We Mzee Said weeeee🤣🔥Nakupenda sana mtani😂❤️

  • @user-hk6ms7vo1h
    @user-hk6ms7vo1h 2 місяці тому +6

    Finally Mzee Saidi ameongea😂😂😂 nikiwa Kenya nakupata Mzee wng 😂😂

  • @machajuma6565
    @machajuma6565 2 місяці тому +10

    Mm shabiki wa yanga ila mzee said namkubali sana🎉🎉

  • @linahmkinga8041
    @linahmkinga8041 2 місяці тому +8

    Leo wa kwanza kwa chagamba naombe like

  • @mohammedbariki5400
    @mohammedbariki5400 2 місяці тому +5

    Hautaenda kwenye frijii babuu safi sanaaa Allah atakulindaa Simba nguvu moja

  • @trice_yanga
    @trice_yanga 2 місяці тому +2

    mzee said nimekupenda bure umeichukua hiyo 7/2😂😂😂

  • @jabalimikechi7750
    @jabalimikechi7750 2 місяці тому +5

    Mzee unanipa raha🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂

  • @TheopistaMuheta-qp1bc
    @TheopistaMuheta-qp1bc 2 місяці тому +6

    Nilijua mzee said lazima abatize jina😂😂😂😂

  • @ChakuMasudi
    @ChakuMasudi 2 місяці тому +5

    ninapendaga sana mahojiano na huyo mzee

  • @user-ox3ij7ki3t
    @user-ox3ij7ki3t 2 місяці тому +8

    Ila mzee hapa kwa yanga kugoma kuingia vyumbani umenifanya nicheke nimeparudia mara 5 kusikiliza et sisi tukaingia tulipitoka haya twendeni tukamalizane ooh chali jamanii😂😂😂😂😂😂

  • @leonardmasanja4047
    @leonardmasanja4047 2 місяці тому +5

    Badoo hajasema, mpaka msemee

  • @user-hx9ml8tu5s
    @user-hx9ml8tu5s 2 місяці тому +2

    Mamagwee mamagwee always for me , mzee saidi 😂😂😂😂

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 2 місяці тому +8

    😂😂😂😂tumepata jina lingine la mtani uyugu uyugu fc by Mzee said kubabake wekawekawekaweka umtuu umtuuu

    • @ratybkheir8674
      @ratybkheir8674 2 місяці тому +1

      😂😂😂Uyugu fc

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 2 місяці тому +1

      @ratybkheir8674😂😂😂😂😂😂 watakufa na majina mwaka huu jaman

  • @AliJuma-go4rc
    @AliJuma-go4rc 2 місяці тому +5

    Pamoja sana mzee Wangu
    Tuzid kupambana wana Simba

  • @user-eh6wn9qf4b
    @user-eh6wn9qf4b 2 місяці тому +5

    Naomba mnisaidie namba ya uyo mzee jaman❤❤❤❤❤

  • @nderendere.
    @nderendere. 2 місяці тому +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂 nagugumia mimi ila mzee said anafrahisha San 😂😂😂😂😂

  • @benardmatano142
    @benardmatano142 2 місяці тому +5

    Nlikua na hamu Sana nione interview

  • @Shadia544
    @Shadia544 2 місяці тому +3

    😂😂😂😂Mzee saidi jamaniii 😂😂

  • @FaustineKilaba
    @FaustineKilaba 2 місяці тому +1

    Mzeee said chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉yako baba nakukubalii mzee

  • @MohamedMustafa-id5gr
    @MohamedMustafa-id5gr 2 місяці тому +2

    😂😂 mzee said kweli kabisa tunaumia ila hakuna namna tusubir mwakani

  • @jumasango9793
    @jumasango9793 2 місяці тому +3

    Unanitoshaka stress mnzee😂😂😂😂😂 😂😂😂😂 😂😂😂

  • @othmanali7408
    @othmanali7408 2 місяці тому +5

    Nakupata vizuri nikiwa Kigali Rwanda

  • @user-le3og1tf5q
    @user-le3og1tf5q 2 місяці тому +5

    Hahahahaha mama gweee mamagwee fc

  • @user-ox3ij7ki3t
    @user-ox3ij7ki3t 2 місяці тому +20

    Ila mzee said mlishapigwaga nje ndani misim 5 na nusu kiufup mlishafungwaga mechi 11 mfululizo na yanga mwaka 1968 mpka 1974 ila msim huu magoli yamekuwa mengi mno

    • @jwisetv4833
      @jwisetv4833 2 місяці тому +2

      Acha uongo na ushabiki weka apa source of information

    • @ramuboy9005
      @ramuboy9005 2 місяці тому +1

      We mpira umeanz kufwatilia lin mzee

    • @user-ox3ij7ki3t
      @user-ox3ij7ki3t 2 місяці тому

      @@jwisetv4833 maana unadhani nilichokiandika nimekurupuka?? Nenda ukafatilie vizuri hiyo miaka ya 1968 mpaka 1974 kwenye round ya kwanza alf hesabu katika msimu 5 simba na yanga zilikutana mara ngapi na uangalie ni tim gani ilikuwa inashinda na ujumlishe na mech 1 ya msim wa 6 round ya kwanza alf utapata majibu nadhani umenielewa au kwakua mim syo simba huwezi kuniamini basi mtafte mwenyekit wako mstaaf kaduguda atakujulisha vizur zaid

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 2 місяці тому +2

      ​@@jwisetv4833😂😂😂 nenda msimbazi pale Kuna chumba Cha kumbukumbu

    • @user-ox3ij7ki3t
      @user-ox3ij7ki3t 2 місяці тому

      @@jwisetv4833 mfate mwenyekit wako mstaaf kaduguda ukaamuulze labda akikwambia yeye utaamini ila tambua namba hazidanganyi

  • @edinamwanasenga1584
    @edinamwanasenga1584 2 місяці тому +3

    Changamba mzee said anatia uruma😂😂😂😂😂

  • @user-eh6wn9qf4b
    @user-eh6wn9qf4b 2 місяці тому +2

    Nakubali sanaaa uyo mzee 😂😂😂😂💪💪💪💪

  • @user-bd6nt4yq3m
    @user-bd6nt4yq3m 2 місяці тому +2

    Napenda sana kumskia mzee saidi

  • @BarackJonas-mi7us
    @BarackJonas-mi7us 2 місяці тому

    Hahahahaha Mzee said ban😅😅😅😅,Bado Mzee masatu

  • @msongeomary6195
    @msongeomary6195 2 місяці тому +1

    Changamba thank you bwana unanifurahisha ukimhoji huo mzee kabisa

  • @ngasamashauri4937
    @ngasamashauri4937 2 місяці тому +5

    Kuanzia leo uyuguuyugu fc

  • @LeilaMussa-sn8uz
    @LeilaMussa-sn8uz 2 місяці тому

    Nampenda sana mzee ananifurahisha 😂😂

  • @abdulyiddy358
    @abdulyiddy358 2 місяці тому

    Mzee said tunampenda sana😂😂😂😂

  • @maikomatayo2794
    @maikomatayo2794 2 місяці тому

    mzee saidi popote ulipo shikamoo nakukubali sana wambie hao wasio jierewa wapuusi kabisa 😂😂😂😂

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 2 місяці тому +5

    Simlienda zenji kuroga nyie😅😅

    • @sakinasakina1286
      @sakinasakina1286 2 місяці тому

      nawe kafie mbali ulisikia zanzibar ndyo kwenye waganga mbuzi kweli

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 місяці тому

      @@sakinasakina1286 mbuzi wewe na mangungu na wale mbuzi 4 mlochinja hamkujua pale hotelini mlipofikia na wale wahudumu waliokuwa wakiwa huduma ni mashabiki wa nani mmeula wchuya wale wahudumu waliokuwa awakisafisha vyumba nakuwa pokea na kuku saidie i kuleta ubani wote walikuwa ni mashabiki wa yanga kwahiyo wlaichokuw awakikifanya kila HATUA wao wanafikisha habari mahalı saşa hii na wao walitulia hawa kutaka kuwa stua kwahiyo nendeni mkaroge tena. ....... Zanzibar niya makamu wa raisi wa ya.nga na sio ya SİMBA 😂😂mlijua wale waliokuwa pale mkawa mnashirikiana ni SİMBA wenzenu apiii

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 місяці тому

      @@sakinasakina1286 zanzibar niya arafati. Sio ya SİMBA

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 2 місяці тому +1

    Benchka ana benchika kwenye benchi😂😂😂🤣🤣

  • @user-eh6wn9qf4b
    @user-eh6wn9qf4b 2 місяці тому +1

    Nataman uyo mzee awe anaongea Kila siku namkubali sanaaaa mungu ampe maisha marefu naomba mnisaidie namba yake 🌹 🌹🌹🌹🌹🌹

    • @zackhyomdh6067
      @zackhyomdh6067 2 місяці тому

      Ukiipata no na me nitumie mwananchi 🙏🏼

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 2 місяці тому +5

    Mlituonea Sana Sasa Mnalia Mtateseka Mno.🤣🤣🤣🤣🤣😊

  • @rebekaadorphine8296
    @rebekaadorphine8296 2 місяці тому +2

    Nimefurai tena kukuhona mara tena ❤❤❤

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 2 місяці тому

    Jamani nimecheka eti lefa nasema pyeeeeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @DikelediAnnaLetsitsa
    @DikelediAnnaLetsitsa 2 місяці тому +1

    Mimi yanga ninaishi sauth Africa ,ila ninampenda sana SAIDANAONGEA UKWELI na ukomedi kidogo chagamba mda wote mtafute huyo na masatu wazuri sana kwenye program zako.

  • @bibiliaukwelimtupu
    @bibiliaukwelimtupu 2 місяці тому

    Well said mzee wangu

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂😂waooooooooo mzeeeee

  • @magulupaul-us8uv
    @magulupaul-us8uv 2 місяці тому +2

    Etii bluuu straiker😂😂😂😂

  • @mariaerenest5632
    @mariaerenest5632 2 місяці тому

    Namkubari Sana mzee said ananichekesha sana

  • @SheilaHussein
    @SheilaHussein 2 місяці тому

    😂😂😂timu inaenda vipande vipande😂😂

  • @elizabethywinnie1090
    @elizabethywinnie1090 2 місяці тому

    Chagamba hapo anaenjoy kinoma😅😅😅 cheka baba huyo mzee n 🔥

  • @georgenachenga6394
    @georgenachenga6394 2 місяці тому

    HUYO MZEE anafurahisha sanaaa😂😂😂😂

  • @ElishaFabiani-qs7qb
    @ElishaFabiani-qs7qb 2 місяці тому

    Mzee balaa sana huyu 😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-kg7jc8tb1f
    @user-kg7jc8tb1f 2 місяці тому +1

    Kkkkkkkk mzee Saïd

  • @user-kk2fz6en9p
    @user-kk2fz6en9p 2 місяці тому

    ila huyu mzee😂😂😂😂😂

  • @JOHNJOHN-pu7wb
    @JOHNJOHN-pu7wb 2 місяці тому +2

    Simba yetu imerojeka sana. Viongoz wengi masela

  • @samsonkingdom-xc8cg
    @samsonkingdom-xc8cg 2 місяці тому +2

    Chagamba tunakuombea maisha marefu unatupa burudani

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 2 місяці тому +1

    UYUGU UYUGU JINA ZURI SANA ..TIMU YA MANGUNGU KISHA UYUGU UYUGU JINA HILO LIMEOWANA NA MANGUNGU ..UKIBISHA TRY AGAIN ..

  • @Fred-Ma
    @Fred-Ma 2 місяці тому

    Huyu mzee nampenda sana kwenye uchambuzi😂😂😂

  • @leonardmasanja4047
    @leonardmasanja4047 2 місяці тому +1

    ...nadoooo hajasema😂

  • @mhammedhamx8970
    @mhammedhamx8970 2 місяці тому +1

    Yan huyu faster😂😂❤

  • @olivermgode2432
    @olivermgode2432 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂huyu mzee

  • @user-ox3ij7ki3t
    @user-ox3ij7ki3t 2 місяці тому +3

    Mzee said simba watachukua kombe la muungano alf usilalamike sana bhana kwani azam alipoifunga yanga si mlifurahi wenyew kuporomoka kwenda nafasi ya tatu haya sasa 3 imewang'ang'ania kwakuwa mlihifrahia hamtok hapo endeleeni kuishangilia azam kama mlivyowashangilia kuifunga yanga sawa

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂 ETY SIJUI LINI

  • @dreezytvonline5150
    @dreezytvonline5150 2 місяці тому

    Mzee saidi 😂😂😂😂😂

  • @zainaburamadhani1444
    @zainaburamadhani1444 2 місяці тому +1

    benchika anakaa anabenchika kwenye benchii😂😂😂😂

  • @user-uh5vv6or4s
    @user-uh5vv6or4s 2 місяці тому +5

    Nimepiga cm Sana hupokei cha gamba😂😂

  • @EmmanuelBago-th7ok
    @EmmanuelBago-th7ok 2 місяці тому +1

    Friji 😂😂😂 daaah

  • @engisack9610
    @engisack9610 2 місяці тому +1

    The bad management is very disappointing to us Simba fans internationally while abroad "please please all the leaders should be held accountable and the team should be re-engineered

  • @user-yu1of3hg1z
    @user-yu1of3hg1z 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂et refa anashangilia penati

  • @TheopistaMuheta-qp1bc
    @TheopistaMuheta-qp1bc 2 місяці тому +2

    Woyoooooooo😂😂😂😂😂

  • @HadjiLibaba
    @HadjiLibaba 2 місяці тому +1

    😅😅 Mzee Side

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 2 місяці тому +2

    UYUGU UYUGU FC

  • @AsafuErick
    @AsafuErick 2 місяці тому

    Ila huyo mzee jaman😂😂😂😂😂😂

  • @martingeorgenzali5614
    @martingeorgenzali5614 2 місяці тому

    Pah Omary Jobe

  • @nyambwirobakari9436
    @nyambwirobakari9436 2 місяці тому +1

    Chagamba nitafutahi Sana kukuo the crown media. Kwa uwezo wako pale ndio kwenyewe

  • @jasminekatembo7899
    @jasminekatembo7899 2 місяці тому

    Mzee said utaniua kwa kucheka 😂😂😂

  • @BujikuSamwel
    @BujikuSamwel 2 місяці тому +1

    Chasaambi Iko IV iyo chanenll tunaomba wahoji ni mirraj Mzee said na yule masatu ndo tunaowajitaj ao wengne uwe unamalizana nao huko sana tunamtaka s@id mzeee 😂😂😂😂

  • @user-bl2ss4wv8g
    @user-bl2ss4wv8g 2 місяці тому

    😅😅😅😅Mudathiruu😂😂😂😂