🙆WAZIRI GWAJIMA AKIANGUA KILIO 😭😪💔😓

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • FULL VIDEO: • WAZIRI GWAJIMA ALIA BU...
    🙆WAZIRI GWAJIMA AKIANGUA KILIO 😭😪💔😓 #shortsvideo #viralvideo #youtube #globaltv #trending #live

КОМЕНТАРІ • 98

  • @ericinnocent-c9e
    @ericinnocent-c9e 4 місяці тому +12

    Amefikisha ujumbe kwa tanzania kwa njia hii mm hii nimeipenda sna namkumbuka mh aggrey mwanry !! Wasomi wameelewa .hongera mama yangu na clip hii itaangakiwa na wengi na ujumbe utawafikia wengi

    • @neemajames5137
      @neemajames5137 4 місяці тому

      Mungu tusaidie kizazi chetu kinaangamia

    • @OmanOma-xi3hm
      @OmanOma-xi3hm 4 місяці тому

      Sema mama raisamia yukowapi jmn hojamuhim san

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 4 місяці тому

    Ila Nakupenda Kwa Hilo mana mm binapsi naumiya wtt wadogo wanavyo bakwa na mfatilie na mtoe hukumu Kwa wale wanao wabaka wtt wadogo inauma nimeshuhudia wtt km watatu tn ukipeleka kesi police hawachukui hatua unashangaa yule alo mbaka mtt anaachiwa huru ndomana ushoga unazidi wtt wanabakwa cn na mtt akisha fanyiwa hvyo ndo kashaharibiwa ht atibiwe ni mtihani mm naomba wanao baka pia wtt wafungwe kifungo Cha maisha hao mana ni wauwaji ikitokea hukumu hiyo wataogopa kidogo

  • @BenedictaMagantg
    @BenedictaMagantg 4 місяці тому +6

    Mimi ni shahidi kwa huyu mama
    Nimekuwa namtumia matukio ya kikatili ana act immediately tens basda ya kunijibu. Na nimeona clip nyingi akifuatilia mwenyewe matukio mengi san.

  • @Ramlakimaro
    @Ramlakimaro 4 місяці тому +10

    Mama tulikutuma bungen ukawe comedia 😅😅 niitien mchungaji amchukue shemeji yake

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 місяці тому

      😂😂😂😂 acha kumsumbua baba yangu bi shop Gwajima 😂😂😂

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 4 місяці тому

      😆😆😆

    • @CatherineAmos-zw8dx
      @CatherineAmos-zw8dx 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂

    • @Nyanda506
      @Nyanda506 4 місяці тому

      Mzaha mzaha tu na comedy

    • @rerisamba
      @rerisamba 4 місяці тому

      🤣🤣🤣🤣wachane na babayeti

  • @HabibuHoseni-sv8hd
    @HabibuHoseni-sv8hd 4 місяці тому +9

    Tunatak sheria ipitee na hatua zichukuliwe sio kuzungumza tyuu

  • @CleraJuliusMunishi
    @CleraJuliusMunishi 3 місяці тому

    Naibu waziri wa afya alizungumzie hili swala kwa uzito jamani😢😢😢

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 4 місяці тому

    Tanzagiza ya Bibi tozo hiyo inapepea kama panyuwahi 😅😅😅Bunge komedi show 🎭 😅 wajameni Daktari Gwajima ni mbunifu sana

  • @machakuroger7068
    @machakuroger7068 4 місяці тому

    Inahitajika Nguvu ya pamoja, kuchukua hatua, sio project tutor majumbani

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 28 днів тому

    Ulifanya kwa binti alierawitiwa na waliotumwa polisi?!!

  • @moreenonesmo-jz2ws
    @moreenonesmo-jz2ws 4 місяці тому

    Mama Gwajima nakupenda nitakuwa shahidi UNAPAMBANA sana na hilo swala SIMAMA haijalishi wanakusema wanakataa USHINDI tuu

  • @IreneEdward-xo6rb
    @IreneEdward-xo6rb 4 місяці тому +2

    Amefikisha ujumbe mama

  • @danielngogo8285
    @danielngogo8285 4 місяці тому +1

    Acha usanii, sema sitaki ushoga unalia Nini wakati mashule ndo yanaongoza kufanya ujinga huu

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 4 місяці тому

    Mnafiki huyu mama hata peponi hafiki

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba 4 місяці тому +1

    Dhalau boss wangu

  • @ZenaidaDaniel-r9d
    @ZenaidaDaniel-r9d 4 місяці тому

    Kigagura anafanya makusudi ili kumkwaza mrembo wetu🤣🤣🤣

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 4 місяці тому

    Ht na mm nakupongeza inauma tunaogopa ht wtt wetu wa kiume

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 28 днів тому

    Ulifanya nn kwa binti

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 4 місяці тому +1

    Mi nimechoka na hii🇹🇿 mtu analia sasa kilio kinasaidia nini kwanza naona vituko tu

    • @philibertmpinzile.6090
      @philibertmpinzile.6090 4 місяці тому

      Ni kweli, taja mikakati kuondosha na Wala usiwe kuwauwa bali mkakati uwaondowe huko wahanga walikozama

  • @fridagustaphmwenda6658
    @fridagustaphmwenda6658 4 місяці тому

    Inaumiza sana kwa kweliii

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 4 місяці тому +1

    Badilisheni sheria huo ukomedia hausaidii

  • @mohamedmsuya707
    @mohamedmsuya707 4 місяці тому +1

    Anafanya Mzaha kwenye mambo serious! Hizi wizara inataka mtu seriaz kidogo!

    • @EmmyMo
      @EmmyMo 4 місяці тому

      kama senge

    • @BenedictaMagantg
      @BenedictaMagantg 4 місяці тому

      Hafanyi mzaha. Huyu Waziri anapambana sana masuala ya ukatili wa kijinsia.

    • @BenedictaMagantg
      @BenedictaMagantg 4 місяці тому

      ​@EmmyMo are you serious. Huyu mama ni very hardworking, halafu unaleta mzaha.

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 4 місяці тому

      Wametuweka sisi wananchi ni midori au maroboti wanatuseti wanavyotaka hovyoooooo

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 4 місяці тому

    Gwajima ❤

  • @fabiankyopuwatv3819
    @fabiankyopuwatv3819 4 місяці тому

    Huyu mama ni Muigizaji... kumbukeni kipindi ya korona akiwa na waziri wa afya

  • @AminaMomy
    @AminaMomy 4 місяці тому +3

    😂😂 hi inchi uhuru umezid😂😂😂😂

  • @monicaalute3143
    @monicaalute3143 4 місяці тому +4

    Nchi nzito hii kila mtu comedian😢

  • @aliathmani7165
    @aliathmani7165 4 місяці тому

    Waziri wakuigwa mfano, anaomba pesa za uma kwa adabu, kwetu waziri ni mkubwa, anapo pata mamlaka ndipo adabu zatupwa kupitia dirisha, na anacho kisema ni amri.

  • @neema-ee6qm
    @neema-ee6qm 4 місяці тому +1

    Amelia wapi hii 🇹🇿 noma san

  • @EsterShirima-vr7cv
    @EsterShirima-vr7cv 4 місяці тому

    Nakufahamu mother ulikuwa DMO wangu wasipoelewa watakubali show najua wewe nijembe ukianza kufuatilia

  • @JanethCharlesCharles
    @JanethCharlesCharles 4 місяці тому

    😭😭😭

  • @Johnny-b4i
    @Johnny-b4i 4 місяці тому +1

    Hawa wanamjua anaetamka na kuhalalisha lakini kila mtu hataki kumtaja wanakaa kuhisiana tu sisi wanainch tutamuamini nani kizazi kijacho kitaagamia tunaona hivi.

  • @HalimaJuma-w9k
    @HalimaJuma-w9k 4 місяці тому

    naomba nyota yangu ikang'ae nipendwe na kila mtu

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 4 місяці тому

    Mi nimemwwlewa inamaana alihitaji wabunge waongee ndio apate nguvu😢 maana hili swala hata raisi ni kama hajalichukulia ki hivyo lbd alikua anaogopa

  • @BethiGody
    @BethiGody 4 місяці тому

    Mnaongeaga kwa maneno tu ila amtaki kuweka sheria kbc mnaogopa mtakoswa misaad

  • @Ramlakimaro
    @Ramlakimaro 4 місяці тому +1

    Hii nchi uhuru umezidi kupitiliza😅😅

    • @pascalmgassa8441
      @pascalmgassa8441 4 місяці тому

      Ama kweli mama Commedian sana huyu

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 4 місяці тому

      Bunge komedi show 🎭 director ni Bibi tozo

  • @fridagustaphmwenda6658
    @fridagustaphmwenda6658 4 місяці тому

    Sheria kali zikiwekwe hizi kesi ushoga ulawiti ubakaji vitakwisha

  • @braggadachu1723
    @braggadachu1723 4 місяці тому

    😂Amechapa na kuandika

  • @AminaJuma-r4y
    @AminaJuma-r4y 4 місяці тому +1

    😅😅😅😅inchi siwezi kuama

  • @EllyMpamande
    @EllyMpamande 4 місяці тому

    Lakin kwanini wasingefanya kama Uganda kana kwamba tu ipitishwe Sheria au wanaogopa wazungu

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 4 місяці тому

    huu ujinga mno maigizoooo

  • @MonoMono-q7s
    @MonoMono-q7s 4 місяці тому

    Sikilizn jaman hawa watu kampen zinakaribia kwaiyo hapa kila mtu atajitia kulia ili aonekane ana uchungu na watazani wakisha maliza ucjaguz na wao bas watakuja na sera za kipuuzi wanatafuta kura kwa namna hiii mie nisjashtuka zaman cha msingi haya majanga tumlikie mola wetu mlez tuu bas 😂😂😂😂

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 4 місяці тому

    Tunawasubiri 2025

  • @RosemaryGulenga
    @RosemaryGulenga 4 місяці тому

    😅😂

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn 4 місяці тому +3

    Jamani. Futui. Ipo. Bungeni😂

    • @SophyMurre
      @SophyMurre 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 4 місяці тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hatari sana wamechoka na kazi hao wamebaki kukalia viti tu na kupokea mishahara na posho dhulma

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 4 місяці тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hatari sana wamechoka na na kazi hao wamebaki tu kukalia viti na kupokea mishahara na posho za dhulma

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 4 місяці тому

    Mimi narudi bongo very soon nimeshakuwa nabii nakuja nabii kabwela nakuja kubariki ugali maharage utakaoponya magonjwa tanzagiza yote hata ugonjwa wa upumbavu !

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 4 місяці тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 halafu wewe nini lakini unanivunja mbavu mimi

  • @JustinMkinga
    @JustinMkinga 4 місяці тому

    Angekuwa Magu kashatumbuliwa mtu apa😂

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 4 місяці тому

      😂😂😂😂 niache

    • @BenedictaMagantg
      @BenedictaMagantg 4 місяці тому

      She is a very hardworking woman. Asingeweza kumtumbua.

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 4 місяці тому

      @@BenedictaMagantg Tatizo ni huo usanii anaofanya hapo wa kuigiza kulia

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 4 місяці тому

    Na mshahara analipwa tutafikaje

  • @tinomzungu8070
    @tinomzungu8070 4 місяці тому

    Huyu mama huwa simwelewagi

    • @BenedictaMagantg
      @BenedictaMagantg 4 місяці тому

      She is very hardworking. Mi huwa nampigia simu matukio ya ukatili wa jinsia anafuatilia immediately

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 4 місяці тому

    Hahahahahhahahaa

  • @samniza1763
    @samniza1763 4 місяці тому

    Over my dead body!

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 4 місяці тому

    Futui imegonga mjengoni nchi yangu hii sheria zipo toeni rais nae aseme

  • @gladyssembojas5308
    @gladyssembojas5308 4 місяці тому

    Fitui 😅😅

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 4 місяці тому

      Si useme fistula 😢🙄🙄 bunge komedi show Bibi tozo anatafuta waigizaji 🙄🙄 🎭

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 4 місяці тому

    Sema wazi. Kwa nini tutafute clip ya Shinyanga.

  • @jamaa2760
    @jamaa2760 4 місяці тому

    😂😂😂

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 4 місяці тому

    Duh sasa nn hiki??🙄🙄🙄

  • @pangolinsnews6216
    @pangolinsnews6216 4 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @3malis
    @3malis 4 місяці тому

    😂😂😂😂

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 4 місяці тому

    Bongo yani tuna usani kweli yani tunaongoQ

  • @MaedaMm
    @MaedaMm 4 місяці тому +2

    Bongo ni nnchi yenye vituko😂😂

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 4 місяці тому

    Hii ninchi ya maigizo

  • @ahmadmohd3771
    @ahmadmohd3771 4 місяці тому

    Muongo huyu anaiigiza tu

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np 4 місяці тому +7

      Hapan mama wa watu anajitahid kiukwwr angarau kidg

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 4 місяці тому +5

      igiza na wew tuone mxciuu tunaona juhud zake sisi

    • @iantussa9064
      @iantussa9064 4 місяці тому +5

      Huyu mama anapiga kazi kwakwel kutukana watu wanaoonesha juhudi ni kuwavunja moyo 😢

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 4 місяці тому

      Mh kilio cha kusaka pesa hicho ila waliokua akili za skuli ya mchana wataona halali kweli 😂😂

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 4 місяці тому

    😂😂😂😂😂