USIKU WA MANANE (MARY) - COVER
Вставка
- Опубліковано 2 лют 2025
- Hatimaye uzinduzi wa Audio CD ya Kwaya ya Vijana ilizinduliwa rasmi tarehe 4/12/2021 katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Magomeni. Unaweza ukaipata Album hii kwa kupiga namba +255 622 325 619 au unaweza ukafika katika Kanisa la Waadventista wa Wasabato Magomeni Mwembechai
Msichoke kufanya kazi ya Mungu, nimebarikiwa
Super blessed by your music.
Mbarikiwe sana sana sana
Naipenda Sana hi nyimbo
Thank you, Magomeni SDA Choir. This song ministers to and blesses me. I am so grateful to each of you for using your God-given talent to glorify our savior! May God bless each of you. I rejoice that I will finally be able to join you in heaven- from Pr. Kayus Mose
Mungu awabariki
The voices collide too much
Nope they harmonize well