MAGOMENI SDA YOUTH CHOIR
MAGOMENI SDA YOUTH CHOIR
  • 123
  • 48 968
MAGOMENI YOUTH CHOIR | USIKU WA MANANE
Miongoni mwa nyakati zenye kumbukumbu lenye tumaini kubwa, ni usiku wa kuzaliwa kwa masihi na mkombozi wa ulimwengu, YESU KRISTO. shangwe ziliijaza mbingu, malaika wakiimba na wachungaji wakishangilia kupokea habari njema katika konde lenye baridi.
Переглядів: 154

Відео

ALBUM: NI KWA NEEMA | WIMBO: NILIPOKUWA NIKIOMBA | MAGOMENI YOUTH CHOIR
Переглядів 405День тому
Nilipokuwa nikiomba nilijifunza watakao vaa taji zenye nyota. Bwana niongoze, ok Kaka twendeni, twendeni tukaombe, oh Dada twendeni, twendeni tukaombe RohoMtakatifu. Oh Bwana sikiliza ombi letu, Oh Bwana tuma roho wako, oh Bwana sikia watoto wako tujaze upendo wa kweli Jambo linakuja dunia itashanga wakati roho atakapomwaga natutashuhudia mambo aliyotutendea watu Mungu watakapo omba Watoto twen...
ALBUM: NI KWA NEEMA | WIMBO: KRISTO PEKEE | MAGOMENI YOUTH CHOIR
Переглядів 23814 днів тому
Magomeni SDA Youth Choir inapatika Kanisa la Waadventista wa Sabato Magomeni
SPRINGS OF LIFE | ROUGH ROAD | SEASON 2
Переглядів 6514 днів тому
Springs of Life ni Kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili, tarehe 6/09/2024 watakuwa na concert itakayofanyika Mbezi Garden Hall (Makonde). ROUGH ROAD Njoo upate uzoefu wa maisha
MAGOMENI YOUTH CHOIR | NI KWA NEEMA TU
Переглядів 19121 день тому
Sina Kitu chochote kilicho cha Kwangu, dhambi ilinitenganisha kati yangu na Mwokozi, damu yake Kalvari ilinisafi taka, sasa nimesamehewa ni mtoto wake milele. Ni kwa Neema tu, kaniponya si matendo ni kwa msalaba, nimetubu nimeoshwa yeye badala yangu, sikustahili nimesamehewa. Wokovu ni wa Ajabu umefunika makosa, Zawadi yake milele imefunika dhambi. Asante ninakusifu umenipa amani, siku moja nit...
MAGOMENI YOUTH CHOIR | ALBUM: NI KWA NEEMA | WIMBO: MTOTO WA NURU
Переглядів 30328 днів тому
MTOTO WA NURU Nataka niwe mtoto wa Nuru nimfuate Yesu Mungu Alitupatia Nuru, Nuru Hiyo Ndiye Yesu Kwake Yesu Hakuna Giza, Usiku, Mchana ni Sawa Mwana Kondoo Yeye Ndiye Nuru, angaza moyo wangu Natamani Nimuone Mungu Nifanane na Yesu Jua la Haki Liniongoze Njia ya Kufika kwa Baba Kwake Yesu Hakuna giza, usiku mchana ni sawa Mwana kondoo yeye ndiye Nuru, angaza moyo wangu Nasubiri Kuja kwa Yesu Ni...
MAGOMENI YOUTH CHOIR | SIJAONA
Переглядів 30728 днів тому
kila mwenye haki amtafutaye Mungu kwa moyo wote, hataona haja na kitu chochote
WAZO HILL CAMP MEETING | ELMER OOLA | MCHUNGA MWEMA | DAY 6 | SEHEMU YA WIMBO
Переглядів 21828 днів тому
Miisho ya Kambi la Wazo Hill, Mungu amekuwa mchunga mwema sana kwa Kwaya ya Vijana Magomeni. Tumehudumu kwa siku zote kwa furaha na amani. Kweli Yesu ni Mchunga Mwema
WAZO HILL CAMP MEETING | MAGOMENI YOUTH CHOIR | NEEMA YA AJABU | DAY 4
Переглядів 840Місяць тому
WAZO HILL CAMP MEETING | MAGOMENI YOUTH CHOIR | NEEMA YA AJABU | DAY 4
WAZO HILL CAMP MEETING | MAGOMENI YOUTH CHOIR | JUU YA MWAMBA | DAY 3
Переглядів 327Місяць тому
WAZO HILL CAMP MEETING | MAGOMENI YOUTH CHOIR | JUU YA MWAMBA | DAY 3
MAGOMENI YOUTH CHOIR | MUNGU, MUNGU PEKEE
Переглядів 885Місяць тому
MAGOMENI YOUTH CHOIR | MUNGU, MUNGU PEKEE
EVELYN EZEKIEL MUKUNDI | CHAIN BREAKER
Переглядів 147Місяць тому
EVELYN EZEKIEL MUKUNDI | CHAIN BREAKER
MAGOMENI YOUTH CHOIR | KUJA KWAKE BWANA
Переглядів 867Місяць тому
MAGOMENI YOUTH CHOIR | KUJA KWAKE BWANA
MAGOMENI YOUTH CHOIR | MKONO'S FAMILY
Переглядів 152Місяць тому
MAGOMENI YOUTH CHOIR | MKONO'S FAMILY
MIKE MJINJA | MWENYEKITI MAGOMENI YOUTH CHOIR | NENO LA UFUNGUZI
Переглядів 66Місяць тому
MIKE MJINJA | MWENYEKITI MAGOMENI YOUTH CHOIR | NENO LA UFUNGUZI
MAGOMENI YOUTH CHOIR | MULENGA'S FAMILY
Переглядів 105Місяць тому
MAGOMENI YOUTH CHOIR | MULENGA'S FAMILY
MAGOMENI YOUTH CHOIR | NINAMJUA YESU
Переглядів 394Місяць тому
MAGOMENI YOUTH CHOIR | NINAMJUA YESU
MAGOMENI YOUTH CHOIR | NINAYAWEZA YOTE
Переглядів 952Місяць тому
MAGOMENI YOUTH CHOIR | NINAYAWEZA YOTE
FAREWELL WORDS FROM ELDER JELOUS CHILOVE | 20 JULY 2024
Переглядів 81Місяць тому
FAREWELL WORDS FROM ELDER JELOUS CHILOVE | 20 JULY 2024
MAGOMENI SDA YOUTH CHOIR | BEFORE AND AFTER | 2019 PANGA PANGUA YUAJA | 2021 USIKU WA MANANE (MARY)
Переглядів 202Місяць тому
MAGOMENI SDA YOUTH CHOIR | BEFORE AND AFTER | 2019 PANGA PANGUA YUAJA | 2021 USIKU WA MANANE (MARY)
CHRIST IS OUR HOPE | MAGOMENI CHURCH CHOIR & MAGOMENI YOUTH CHOIR | ASTAHILI KUPEWA SIFA
Переглядів 325Місяць тому
CHRIST IS OUR HOPE | MAGOMENI CHURCH CHOIR & MAGOMENI YOUTH CHOIR | ASTAHILI KUPEWA SIFA
CHRIST IS OUR HOPE | MAGOMENI YOUTH CHOIR | MLIMANI KALVARI
Переглядів 309Місяць тому
CHRIST IS OUR HOPE | MAGOMENI YOUTH CHOIR | MLIMANI KALVARI
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | MAGOMENI YOUTH CHOIR | NEEMA YA AJABU
Переглядів 264Місяць тому
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | MAGOMENI YOUTH CHOIR | NEEMA YA AJABU
HISTORIA FUPI YA UIMBAJI YA MWALIMU JOSIAH PAULO SAGATTI
Переглядів 210Місяць тому
HISTORIA FUPI YA UIMBAJI YA MWALIMU JOSIAH PAULO SAGATTI
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | MC MADEVU | COMEDY | JESUS MWAMBA SIYO MWAMBA - II
Переглядів 513Місяць тому
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | MC MADEVU | COMEDY | JESUS MWAMBA SIYO MWAMBA - II
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | MAGOMENI CHURCH CHOIR | MKINIPENDA
Переглядів 214Місяць тому
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | MAGOMENI CHURCH CHOIR | MKINIPENDA
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | KIRUMBA ADVENTIST CHOIR | WATAKA MIBARAKA
Переглядів 728Місяць тому
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | KIRUMBA ADVENTIST CHOIR | WATAKA MIBARAKA
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | KIJIWE CHETU: KIRUMBA ADVENTIST CHOIR | UTUKUFU NI WAKO
Переглядів 2702 місяці тому
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | KIJIWE CHETU: KIRUMBA ADVENTIST CHOIR | UTUKUFU NI WAKO
HOMECOMING EVANGELISTIC CAMPAIGN 2024 | CHRIST IS OUR HOPE | ABIDE IN CHRIST | PR. PASSMORE MULAMBO
Переглядів 492 місяці тому
HOMECOMING EVANGELISTIC CAMPAIGN 2024 | CHRIST IS OUR HOPE | ABIDE IN CHRIST | PR. PASSMORE MULAMBO
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | KIJIWE CHETU: MAGOMENI YOUTH CHOIR | KAZALIWA
Переглядів 4892 місяці тому
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | KIJIWE CHETU: MAGOMENI YOUTH CHOIR | KAZALIWA

КОМЕНТАРІ