Mr Uky ww jifunze kwanza kutrack mtu nikosa usiliongee sikunyingine ilo pili mtu kakutafuta akiwa na hasira achana nae hata kama kakulipa mtakuja mlipe mamilioni ya pesa katika biashara za watu utakuja uichukie kazi
Ktk kitu siwezi kukifanya nikwenda kumfumania mwanamke mwenzangu eti anatembea na mume wangu mm namsubili uyo mualifu mwenzangu aludi yumbani ili tufanya ualifu vizur ssa ukisha enda kumfumania unapata faida gani wakati yye ametongozwa km ulivyo togozwa ww yani nikujizalilisha tu mm mtu akija kunifumania natoka na nyondo nakutia la kichwa ukome kihelehele 😂😂😂😂
Huyu dada anajifanya ndo anamuelekeza sana mr uky yan kaharibu sana hii challenge ndo maana imeboma😢😢 Mr uky huyu dada ndo ameleta gundu hadi mmekula kibondo😅😅😅
Huyu dada mtangazaji anaboa,anaongea sanaa,mpaka anaboa😅😂😂
Yaan na komwe lake😂uyu atakua dar by bus
Yaan huyu dada mwenzake n mr uk ana mapepee mengi
Wewe dada mwanahabari ni mcharuko,hii kazi huiwezi au jirekebishe
HUYO DADA ANAHARIBU UNTOE TUUU .. SIFA NA KIHERE HERE JUU ..
Uyo dada unaefanya nae kaz anakuharibia kaz sana ana kiherehere sana anaboa
Japo watu wanasema adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie ila nisamehe ...MR UK..huyo dada atakupotezea soko lako loteeeee..Baki kama mwanzooo
Huyo dada anaongea sna ana kifronti cha atar uk bak tu mwenyew kbsa
Kweli kumbe na nyie mnaboeka kama mimi
Anadakia mnoo
Achana nae kbs atakuharibia
Kwel man mteme uyo dada anaongea sana 😊😊
Mbona princess mbaya
Ana sema sana huyu Dada ndo mana kapasuliwa
Malaika mkuu Gabrieli ndiye aliyetumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti kwa Bikira Maria
😂😂😂
😂😂😂daah
😂😂😂😂
😂😂😂
Jmn uyo dada mnamsema sana but ndo kazi ake anatakiwa achangamkeee aongeee❤
Mr Uky hongera Sana naomba nifundishe kutrack simu
Mtangazaj wa kike ana maneno mengi anapitiliza ya kukera,.... Mkaka Yuko vizuri anajiamin sana haongei kishabik
Mr uky uyu dada anakufaa na kinajua kuchagiza nmekpenda kina jua vitu ,,sema tu nabii hakubalik nyumban
Mr uky..huyu dada Ana maneno sana khaa anaboa mno jamani 😆
Huyu msaidizi wako anaongea sana bhn mbea mbea😂😂
Mmmh mr uky uyoo mdad atokeeeeee ana mdomo san ana haribu kam chaumbeya ungeenda shilawadu
Mjihadhari sana na mapenzi ya watu m taambulia kupigwa na kuzalilika
Mr Uky ww jifunze kwanza kutrack mtu nikosa usiliongee sikunyingine ilo pili mtu kakutafuta akiwa na hasira achana nae hata kama kakulipa mtakuja mlipe mamilioni ya pesa katika biashara za watu utakuja uichukie kazi
Mr Uk Uyo Dada unae Fanya nae Kazi Hatumtaki
Ilawanamme mnaniniilakin😂😂😂 ilahuyo mchepuko kakomaaa😂😂 anamkemzuri maasha allah ilaaa khaaa😂
Huo ujinga mnaufanya ipo siku mtakuja jilaumu sana...
Dada unaongeaaa sanaa mpk unaboaaa aiseeeee khaaaa
Change huyo dem anakuaribia anaongea sana uyo bro Mpk anaboa
Kazi ngumu hii😂 polen sana
Ety oooh wadada wa tanga wanaibiwa na wadada wa dar .wadada wa dar mko vizur..wakat hajui mwenzie hapo ana hasira kaibiwa mumewe ka msenge🤨
Msenge sanaaa
Mamae angekula ngumu ya uso analeta masighara kwenye vitu vya serios
mtoe hyo dada bnaa anakera sana khaaaa hta sitamani kuangalia video kwa ajili ya makelele yake
Mr UK plziiiiii... Huyo dada anakuharibia kazi.. anakera Sana.
Huyu mdada mbona anasifa sana 😂😂 cheeeeefu mi linanikera bora mr uk angebaki mwenyewe aseeeee sijui lipoje lina haribu
Kwa mujib wa sheria ya mtandao kum track mtu ni kosa mtakuja kushtakiwa mlipe ma billion.
Njomana namunpeda kirediyo yeye handi party 2 analenta 💜🦋😏😏😏😏😌
Mr uky huyo Dada hajakubalika kabisa achana nae kabisa 😂😂
Mtoto kautakaa mtoto kautakaaa❤❤😊
Uyu dada mwambie hatujazoea makelele c apunguze ujuaji kwa kazi za watu🔥🔥
Yaani anaropokwa tu anakera
@@SaraJinalangu na anamjua kukera
Yani hajui hajui makelele tu
kabisa kanaboaa
@@Maryam11-e8o cjapenta challenge nyingine asimchukue
Hizi kazi zinafanywa na watu wambea
Mr uky nakupenda sana Kaká wangu 🇲🇿🇲🇿♥️♥️
Huyo Dem anacheka nn ssa....et mabint wa dar mko vzur😅
Kama kajinga 😂
We mdada mzr Ila huendanii hta n hyo kaz😮
Nimekupnd dd uchangamfu pambeeeeee🎉🎉🎉
Mr uky uyo dem mbona anakiherehere apunguze mdomo
Huyo dada kilaza sana anakuharibia kazi zako, tafuta mwenye akili achana na huyo la sivyo Kuna siku atakuletea majanga
Eti tu request, kumbe dar muna request Hadi Bajaji jmn! Hongereni
Dumezima kaziyako kuaribu ndoa zawatu
Lakn kiki ulisema nyie ni professional na mnafanya hayo mambo kwa akili😂😂😂😂
Ktk kitu siwezi kukifanya nikwenda kumfumania mwanamke mwenzangu eti anatembea na mume wangu mm namsubili uyo mualifu mwenzangu aludi yumbani ili tufanya ualifu vizur ssa ukisha enda kumfumania unapata faida gani wakati yye ametongozwa km ulivyo togozwa ww yani nikujizalilisha tu mm mtu akija kunifumania natoka na nyondo nakutia la kichwa ukome kihelehele 😂😂😂😂
😂😂
Kabisa
Huyo dada anaonekana kabisa toka mwanzo anafanya vuruguu
Apo umeongea point badala yakudili namwanmke wako unafata mmkemwenzako nonsense
Kweli kabisa
mr. Uk huyo dada anakuharibia anaongea sanaaa
Dada mpuuz sana anaujuajisana kwanza uyundoanatakiwa mtuaanzishe ugomvi alafu apigwe
Hii fumanizi imetishaa sana kwani alimfungia nepi yey mwenye kosa ni mme wake sio yeye si alitiwa voko akajaa😂😂😢😢😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂alikuwa avumilie amalize nje jmn kufany kelel saloon kwa wat jaman au mume nd anauma😂😂
Mr uk huyo dada anakiherehere sana hafai hiy kz
Mbona mke ni mzuri sana kuliko mchepuko ...men mnakwama wapi
Utam
Alafu nyie wakina Mr UK hamjitambui kabisa huyo Dada kaonekana kqbisa ni mkorofi palapale njee mgemkata kabisa
Dada wa Mr Uk umekosa kibali. Da!
Hata mm hiki kidada sikipenda sana kazid kujishauwa fyuuuu......
...
Kwan Huwa hasomi comments
Huyu Dada anaongea sana bichwa baya
Kweli mungu hakupi vyote mdada mzr lkn kaibiwa mume 😂 jmn ngoja niskitike kdg wanaume hawa wanatafuta nn jmn kwani
Chamsingi usalama wawatu na malizao mengine yote sawa
Huyu dada hapendez anaharib kipindiiii
Mm sijapenda utaharibu mpaka lin wanaume hawaridhik kabisa
Huyo mdada mlomwingiza hum mr uk.anaongea mno mpak anaboa.wewe tu na kamer man.wadada viherehere
Dada umeungana n mr Uky kwel😢, utatolewa miguu asee mwenzako kazoea uyo 😂😂😂
Nikweli kabisa saiv awa wanaume sio.wa kupigana na mwanamke mwnzio kisa mwanaume kiupande wangu siwezi
Muendelezo jaman.....mana mchepuko unajiamini hatar😂😂😂
Ila wanaume jaman hicho kidada chenyewe kibayaaa
Ila hii mbaya sana kuharibu mahusiano ya watu jamni😢
Hahaha wew mdad hujamkuta mtu weny hasira ungepigwa kipigo
Uyo dada awe mwandishi wa habaria maana ana mdomo sana
Tena anaongea kinafikiii nafikiiiii tyu afuuu anaongea sn anaharib
Huyo dada anaharibu kipindi hapan aiseee mtoeee
Kiherehere ndiyo maana ukapasuliwa komwe 😂😂😂😂😂
Not good atakuja jua tu mbeleni…
we utakuja kupigwa wew ....chokoza watanga tu
Wachonganishiiiii nyieeeee😊😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Na maangamizi yakafanyika
mtoe huyo dada ana mapepe sana hatujazoea makelele
Jitahid dada.. punguza maneno yasiyo ya ziadaa yakizidi yanaharibu next tym utazid kuimarika zaid na zaid
Huyo mtangazaji mpya ni radio inayo tembea
iyo mikofi mizito hvyo😂😂😂 nywele zote part 2 ameng'olewa
Nimesoma comments itoshe kusema mdada hajakubalika😂
Duuuuh kwel aise
Hatari kabisaa😂😂😂😂😂
Hata mi nimejikuta napata ukakasi wa kumalizia video sasa😂
To much tok tatizoo😂😂 hata ni mwandishi anatakiwa abalance kuongea
@@marcelline9393 na hapo ni mgeni wa kipindi sasa😂
Basi aongee ata point hana anaongea anapitiliza kila kitu anajua yeye 😮😂
Huyo kiki hapana jmn😂
Ila kiukwer .umakin unatakiw maan .wat wanawez uana aisee
Baadaye mume atarudi na mizawadi kumuomba msamaha baby side.😂😂😂😂 Wanaume
Kitakachowakuta na nizaidi yaa
Kanazarau kijanajik enyew kabaysaa😅
Huyo dada anaharibu kaz tushakuzoea mr uky ukiwa na kiredio tuu😂
Uyo dada anaboa anaongea sana
Hiki kidada na kidomo chake cha juu cheusi tii, kihere here,..mr uky toa mbwa hii
Ila uyu dada anaongea sana mpka mb zinaisha haraka😂😂😂 kanakera
MR UK content zako zinaharibiwa na huyu Manzi, mteme tu akaendele kuuza majeans 🙌🙌
huyu dem anaongea sana
Daaah huyo dada anaharibu kabisa jaman duuh mbea mpka anaboa
😀😀😀 iv nanyie wadada WA elf 2000 tunajikutaga nani mbona mwenzennu naogopa
Aseee anakera huyu dada sasa anajitekenya nn asee
Huyo anaesokwa mbna anauso mbaya hvo😂😂
Uyu mtangazaji mwanamke anakiherehere uyu
Kweli hili lidada linakera sio poah
Prices mwenyewe anavyojib sura yake yenyewe imekomaa cjui ni mpare uyo
Dada anajitahid kwa kiwango chake
Fanya kipindi mwenyewe huyu dada anaharibuu anaboaa ,,😢😢
Kiherehere kikizid kinaboa we dada punguza kiherehere 😂😂
Kaka uky kuwa unatembea mwenyewe
Huyu dada anajifanya ndo anamuelekeza sana mr uky yan kaharibu sana hii challenge ndo maana imeboma😢😢 Mr uky huyu dada ndo ameleta gundu hadi mmekula kibondo😅😅😅