HARMONIZE na ANJELLA walivyoingia STUDIO KUREKODI WIMBO wao kwa mara ya kwanza
Вставка
- Опубліковано 2 січ 2021
- ...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#HARMONIZE #ANJELLA - Розваги
Jama akona roho ya utu wapi likes za konde boy
May all the might bless kondeboy 🙏🙏 aki leo mnipe like harmonize
Kila mtu nyuso zina bashasha bila shaka ngoma ni kali
anjella yuko vizuri mnoooo,beba huyo konde gang,
🤣🤣🤣🤣
Allah aendelee kukupa moyo huo konde boy..watching you from saudi
Ngeliwe mwakalinga
Wapi like za binti Anjela.?
Anjela anaweza sana namkubali
@@kasimsuleiman5888 ako sawa,
Mungu tuu Kaka
@@caspermukalo6323 🙏🙏🙏🙏🙏Amen
Konde boy big up ,we love your works and the love you have for everybody, continuel to be humble and God will bless you more,Lusaka Zambia tukopamoja nawewe 100% konde gang
Harmo mmnaimba naombamsa da
Aisee namuona simi kabisa kwa sauti hii ya angel
Anjella blessings upon u sister love ur voice from Kenya let's ur blessing flow al the way
Nimependa mdada vile yupo natural na simple yaaan never give up my best
Thanks alot konde for choosing this gal. God will lift you higher for lifting others. Disability is not inability with time she can do better. May God bless you and may you never lack in Jesus name.
Jeshi Happy New Year brother 2021, Mwenyezi MUNGU akujaalie Kaka Stay humble and Down to the Earth
🐘🐘🐘🐘🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏
Jeshi akisema kasema 👏👏
Sijawahi kumkubali konde toka last time baada ya dm chick lakini kwa hili konde nakupa heko limenigusa
Kaka ata mm kuazia leo nmemkubali wallah daah
Karibu sana
Namuona kichaa hapo bingwa Wa michano country boy akinesa na biti ya producer, penda sana konde gang
Aki Harmonize ni mtu mzuli kweli Mungu amubaliki pia azidhi kusaidia uyo mwanamke ma fans tuko nyuma yake
Sio mzuli Ni mzuri
The girl is so humble n dwn to earth kimuonekano nimempenda
Me naona ata uyo zuchu pumba tu anjela never give up my sister really love you my sister
Mungu akuzidishie bro na usikate tamaa kupitia huyo dada pia ww mungu atakupa nguvu na ujasiri na mafanikio zaidi
Insh'allah 🙏🙏
Amiiin
Thanks konde you have a good heart
Love u konde nawatakia kazinzuri usimuache angelina yuko sawa kabisaaaa
Binti anaweza nimekubari😘😘😘😘😘😘😘😘
Nakubal xana hamoniz you is 1 tz
Makofi kwa Harmonize👏👏👏👏👏
👏👏👏👏
👋👋
👏👏👏
👏👏👏👏
Duuh jamaa ana team hataree💥💥
Kond gang. Big up Sana. Mimi nimwanamuziki wabongo freva. Naitaji sapot kutoka kwenu ninaimba mniwezeshe juu yamuziki wangu nampaka Sasa nimesha record Ngoma ,, naomba mniwezeshe 🧎🧎🧎🧎🧎
Harmonize namkubali love from Kenya 🇰🇪
Love u for free kazi nzuri kabisa
Mi namuamini Anjela,hapo hao watu ni wachache sana kwake,huyo popote huwa analianzisha,keshazoea kuimba hadharani live,vyombo vinapigwa anaimba watu wanasogea,hao hawamzingui,Mungu wa Anjella amekuwa mwema sana kwake,Anjela kazaaaa
Kwani uliambiwa anawaogopa watu hahahahahahaha
@@mariamubakari599 haujasoma comments za watu wengine ambao walikuwa wanasema kuwa atakosa ujasili wa kuimba kwakuwa studio kuna watu wengi? Ndiyomaana nikasema hivyo dada mariam
Yoyo Big UP sana konde 💪 love u 🇧🇮
Wapi like za harmonize from+254
Mungu ni mwema xan 🙏 kaka mung anakuon na akup maixh malafu xan one lov
Mungu hakuzidishie konde uzidi kufanikiwa
Jaman mpk raha mungu akusaidie
Keep it kaka jeshi
Anajua Sana ,kuliko Zuchu
Kurekod ngoma kumbe kitongaiv
Wasiyo kuelewa watakuelewa tu jesh nakubal harakat zako big up dogo
👊👊👊
Ngoma iwe Kali broo
Wewe umesha to a yako mfyuuuuuuuuuuu
hiyo shazi studio anjela atakosa confidence bora abaki Konde,anjela &producer
WEWEEE UKIKUMBUKA MAALI UMETOKA NA MAALI WAENDA HUWEZI LIKOSA CONFIDENCE LAZIMA IWE
Hapo pado hajazoea mazingira lkn ni🔥🔥🔥🔥 sijui akizoea itakuaj🏅🥇
God bless this guy
Konde big up
The first lady's voice in the gang big up
Hardwork pay
Konde gang first lady 🔥🔥🔥
Nakubali xana
Kwa jinsi watu walivyojaa hapo studio..yataka moyo
Kama umesikia SIRI how long gonga like plz
Kamjibu babaake tena ngoma ya wahaaaa😁
Hongera hamo
Hii ndio maana halisi ya konde boy for every body
Hyo nymbo shda naisubli najua anavyo recod huyo bnt ikija tengeneza na produza n noma nshaingia s2dio najua mmb yanavyokuwaga magum lkn naamin Yuko na staa lazma itoke chicha Jeshiiiiiiiiiiiiii
Dhaa hivi brother umenipaga nni hadi nikupende kiivi aise big up sana yani kila ukifanyacho natiki 2 dha ntapagawa kbsa niskuonaga macho kwa macho
Mungu akujarie jeshii akupe moyo wakushika mikono watuu
Blessing
JESHIII,TEMBO
Love you harmonize nakupendasaaa Na nikutokacongo 🇨🇩
ila B Boy mbaaya
Kwanza nmependa sana jinsi baba anavyotoa ushirikiano kwa binti yake pili uyu Dada mungu ambariki anakipaji afike mbali
Merci vraiment Armonize de quite chez Diamond on ai forcé pas la nature papa Dieu vous a crée comme lui, ijapokuwa unanapanga nyimbo kama malaika nitafute kibinafsi ninauwezo wa kukuwa na kutoleya dollars 300$ kila mwezi mradi uchape kazi koonde boy homme fort 💪💪💪💪
Uyu dem ana sauti fresh
Happy new year brother konde boy I'm from Congo thank you so much for take our sister, I don't know what to say but only God can give you what you want
Kwa hyo sound ya dada na ze way anavyoshuka itx goin to be nomaa
konde 1,,,you'll take big position i see you in,,,top
Tunapita
Hongera
Mungu ibarki konde gang
God bls u bro am from +254
Konde boy mungu akubarik sana
Yani hao watu wa hamo wamekaa kiumbeumbea haswa huyo mwenye virasta vya brich anajishauwa
😃😃😃🙄
I like it kinda boy
uyo dada ana uwezo mkubwa wa sauti konde msaini kabisa
Munakimbilia tu msaini kusaini mtu kunavigezo wanatizamaga kama hana uwezo wakuandika
@@Agnes-qq4np ndo hapo
@@Agnes-qq4np
kwn yey jamaa xi kaonqelea kama ushauli ww kinacho kufanya uteseke kityu qan😃
Nashangaa kwani yeye ndo konde au umeambiwa umjibie
@@mwanahamisimahekula1261 🤣🤣🤣🤣pole yako unaumwa wapi? Unajibu utasema ww ni angelina
Nice
Nyimbo mzure sana
Na ntakuwa wakwanza kuiskiliza ikitoka
Abar zenu ndugu zangu naomba nikukarbishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za maradhi mbali mbali kila Alhamisi saa2:30 usiku karbuun mjifunze
Saitu tamu 😋anjelah WA amo big up🇰🇪
*Mwendoooooooo Mungu yuko pamoja nanyie* 🙌🙌🙌🙌🙌 Mmakonde safi sana
Yess she is a good singdr
Allah akulipe kila la kheri
Kundeboy umefanya kitu ya maana sana good heart bro
Kama unaitazama vidio hii gonga like, from Drc 🇨🇩
Aisee konde music me naon fanyen kum sign uko bro atafanya kitu kikubwa
Kwa hili harmonise anachukua kiti bila nguvu
nice voice good job
+254 ngumi mbwexe harmonize
First lady from konde gang
Good luck
Ushauli wenu tumsajili au
Nice
Ila punguz watu m'studio pabaki wa husika
Awo wote wausika
Anaweza xanaaa uyo dada
Saf Sana 🤝
Nikweli mungu akutangulie katika kazi zako ila hata mimi ninajua kuimba sema sijui nianzie wapi ili kufikia ndoto zangu
Weeeeee buana weeeee hiyo kitu n khatareeeeeeeeeeeeeeeee.....!!!!!!
mungu akupe moyo huo huo kaka ishalla unaibua vipaji vingi sana kaka
Safi lakini nakunyima percentage kwa kutowapa akina anjella ata maji tu wala juice na labda alikua na njaa...consider that next time, much love from Kenya..
huyu ni zuchu mtupuu ila tu yeye black
Unyama👏👏
Aseee yesu ataludi kuchukua kanisa
Daah beat tam sanaa yan mistr inakuja yenyewe tuu
Good support 💪💪💪💪❤
One love jeshiii🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Safi sana Harmonize
Mungu nae atakuzidishia
God bless you Konde boy