Harmonize asimulia yeye na Ibraah walivyokutana hadi kumsainisha Konde Music Worldwide

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 276

  • @successmoyosafi181
    @successmoyosafi181 4 роки тому +6

    Hamo kuwa na moyo huo huo 👍👍👍💯 piga keleleeee kwa konde akeee

  • @davidwanjohi1733
    @davidwanjohi1733 4 роки тому +6

    Huyu dogo ibrah namkubali sana hongera conde boy be Blessed

  • @faustinochris1473
    @faustinochris1473 4 роки тому +1

    kondeboy mungu akuzidichiye maicha niku saidiyana bro ibraah fanya kazi niwakati yako

  • @holinessamisi3340
    @holinessamisi3340 2 роки тому +1

    Duh nimependa njinsi Ibraah alivyoo kaa anamuanga lia KOnde Boy kwa hasira 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐

  • @khuwaylidsalum6697
    @khuwaylidsalum6697 4 роки тому +7

    Ndugu rudi kwa Allah usiendelee kumtumikia bilisa Laanatullah na anazidi kukupambia ili ujue hata kipato unachopata kina uhalali naww ss ndugu yangu kwa kheri ndogo nloifkiria kwako ni kukunasihi uache mziki hiyo ni dhambi kubwa mbele ya Allah na unazidi kufanya watu waache kumtaja Allah badala yake wakutaje ww kwa kuhifadhi nyimbo zako. Rudi kwa Allah ww ni kijana wa kiislam jua mbele yetu kuna mauti na kuna hesabu na kuna pepo na moto ss yote hayo yanahitaji maandalizi hapa duniani. Allah akuongoze utoke katika icho kiza na akulete katika nuru. Amin

  • @FelicianMaskati
    @FelicianMaskati Рік тому +2

    Bro hamonize naomba uzidi kuwashika mkono watu kama sisi maskini ambao tunavipaji hila hatuna wazamini asante sana

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats 4 роки тому +20

    Harmonize ni king wa interview kubaliana na mimi hapa

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 4 роки тому +3

    We Ibraah usikubal kurubuniwa na walimwengu usisikilize ya watu..mpaka ufike utakapotaka...🙏

  • @zou7470
    @zou7470 4 роки тому +22

    Alie sikia ni team toka tandaimba piga keleleee kwa kondeeee😍

  • @OfficialGraddo
    @OfficialGraddo 4 роки тому +1

    Napongeza kazi yake nikazi safi sana anamtindo kama wa marioo ,,,,namshauri atumie nafasi hio maana wengi twalilia nafasi hio#scarboymusic

  • @monicajacobobigup3650
    @monicajacobobigup3650 4 роки тому +3

    Mungu akawe upande wenu Harmonize na Ibra na Kondegang kwa ujumla

  • @annnyoks7008
    @annnyoks7008 4 роки тому +14

    Harmonize you realy did what you had to.congrats bro nazidi tu kukulike

  • @sulesuburasubira6503
    @sulesuburasubira6503 4 роки тому +1

    Kinde nampenda anasaut kal sanaa uyu mzee babaa tembo 😍

  • @allynsengiyumva8506
    @allynsengiyumva8506 4 роки тому +2

    Natamani waandishi wa habari wote tanzania wangekua kama waandishi wa EFM tena natoa hongera sana kwa Harmonize na Ibrahh

  • @imbatokamoyoni2209
    @imbatokamoyoni2209 4 роки тому

    Safi Sana wajina,Sasa kwa wale wenye changamoto za KUIMBA karibuni Sana tufanye,,,kushauriana#imbatokamoyoni

  • @dinahwachiya3637
    @dinahwachiya3637 4 роки тому +1

    Konde,kongole kwako kwa kumpa Ibraah support God bless

  • @joycemkwiche4467
    @joycemkwiche4467 4 роки тому +2

    Konde boy hongera sana ibraa will go far with u he is a goog boy

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 4 роки тому +15

    Mwenyezi MUNGU akuzidishie mafanikio makubwa zaidi harmonize

  • @allysabu8744
    @allysabu8744 4 роки тому +1

    Safi sana braza unaweza cna naona uko tembo mtoto au nyatiiiiii unaweza dg

  • @lekkerthebarber4808
    @lekkerthebarber4808 4 роки тому +2

    Pongeza kwako for supporting ibraah.

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 4 роки тому +3

    Yaan ..Ibraah cpati picha jinsi anavomuombea harmonize,Harmo ubarikiwe 💃💃

    • @hastent2897
      @hastent2897 4 роки тому

      ua-cam.com/video/dEuwVTUKjWo/v-deo.html

  • @Amobizzy_OG
    @Amobizzy_OG 4 роки тому +32

    Nasisi tumempokea kwa mikono miwili aje alete changamoto kwny mzk maana uyo dogo cio poa kwamaana hao WCB walituzalau xana but now is time for
    #NIMEKUBALI
    #Ibrah
    KONDE GANG FOR
    EVERY BODY

  • @agathahussen1932
    @agathahussen1932 4 роки тому

    Good ibra fite Sanaa maana ukizembea ikifk zamu yetu tutakimbiana fos ibra unajua

  • @mwannerajabu8688
    @mwannerajabu8688 4 роки тому +22

    Ibraah anaonekana mpole Sana masikin 😍

    • @sponsor7882
      @sponsor7882 4 роки тому +3

      HUWA WANAKUWA WAPOLE MWANZONI ALAFU WAKIWA WAKUBWA WANABADILIKA

    • @exaverybatromew7820
      @exaverybatromew7820 4 роки тому +2

      Nahuo ndo ukweli kabisa

    • @wilsonthomas7174
      @wilsonthomas7174 4 роки тому +1

      Hukumbuki harmonize alivokuwa na daimond clouds Kama sio yeye sv Yan daa

    • @jssaa4733
      @jssaa4733 4 роки тому +1

      Hakuna upole hapo ni mwanzo tu

    • @mugishalahay6050
      @mugishalahay6050 4 роки тому

      Hujakosea

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 4 роки тому +6

    Mmakonde ambae mwenye kujifanya mnyenyekevu kumbe roho ya ubinafsi imemjaa

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 роки тому +4

    IBRAAAH mpole sana jaman dah safi sana 😊😊

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 роки тому +1

    Konde uko na glow skin MashaAllah tabarakaAllah

    • @mwasimbega8712
      @mwasimbega8712 4 роки тому

      Live is verry handsome tofauti na mapicha

  • @kisasarob751
    @kisasarob751 4 роки тому +6

    Dah kwel mondy SIMBAAAAA ni balaa, kamkuza hadi kijana kaiva anajua hadi kumuelekez mtu aimbe nn iwe hitsong nn...umeiva konde boi endelea mwanangu

  • @queenterauma5137
    @queenterauma5137 4 роки тому +3

    big up harmonize

  • @abdallahhemed8952
    @abdallahhemed8952 4 роки тому +12

    Your sound
    Your swagger
    Your image
    You were the the next platnumz man for sure Yan cjui y ulitoka WCB konde

    • @luvlynessy
      @luvlynessy 4 роки тому +4

      Abdallah Hemed mtoto inafika muda inabidi atoke kwa wazazi aende kujitegemea, I still support both of them. Acha sasa WCB wasaidie wengine pia. Sio lazima kuwe na kugombana

    • @hastent2897
      @hastent2897 4 роки тому

      ua-cam.com/video/dEuwVTUKjWo/v-deo.html

  • @ramaalprice3051
    @ramaalprice3051 4 роки тому

    Ndo mana unapendwa Haruna ivo ndo allah anapenda kusaidiana😘😘😘😘😘

  • @pacifiquemuzo7446
    @pacifiquemuzo7446 Рік тому

    Harmonize MUNGU akuzidishie heri.

  • @bwanwasalon7444
    @bwanwasalon7444 4 роки тому

    Tunakubali konde boy saidia kama wee mwenyewe unajuwa maana yausaidizi

  • @bhudedepambakali661
    @bhudedepambakali661 4 роки тому +1

    Kweli maisha safari Fanya nae kazi

  • @dauchboy7591
    @dauchboy7591 4 роки тому +16

    Grow up Konde boy 🙏🙏🙏

  • @clarafavor5974
    @clarafavor5974 4 роки тому +9

    conde umependeza sana leo

  • @wycliffenyandieka4580
    @wycliffenyandieka4580 4 роки тому +1

    Mpole ibraah safi dha

  • @hassanmkungile6021
    @hassanmkungile6021 4 роки тому +2

    Pongez kwako mjeshiii 💪💪🙏👈

  • @lutifiaussi3728
    @lutifiaussi3728 4 роки тому +17

    I love them

  • @dannytangled8710
    @dannytangled8710 4 роки тому +10

    Konde boy for everybody cheer up

  • @fainajaffary4070
    @fainajaffary4070 4 роки тому

    Jaman konde boy una roho nzur

  • @romadanromadan4398
    @romadanromadan4398 4 роки тому +5

    Brother Ana weza aka kuakilisha

  • @Mturuma
    @Mturuma 4 роки тому +3

    Ili harmonize lina bonge la ubongo,,safi sana inua wamakonde wenzako

  • @thomaskatakufatuparoho9333
    @thomaskatakufatuparoho9333 4 роки тому +6

    C'est un bon gaçon à bien encadre, ll sera un model à suivre.

    • @binsururu
      @binsururu 4 роки тому +1

      C'est Garçon pas gacon

  • @sheilamjune1233
    @sheilamjune1233 4 роки тому +4

    Thanks bro God blesse u more 🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏❤❤❤

  • @sikudhanjuma3987
    @sikudhanjuma3987 4 роки тому

    Mko juu km.bendera

  • @camptonjames8470
    @camptonjames8470 4 роки тому +2

    Good job bro bless up

  • @MegaMax09
    @MegaMax09 4 роки тому +3

    Tembo in the house 🔥🔥🔥🏡

  • @e-sirbablo8320
    @e-sirbablo8320 4 роки тому +9

    Umetisha nnyangu

  • @erickpauline7830
    @erickpauline7830 4 роки тому +1

    Bro daaah much appreciate

  • @kiponzabotion616
    @kiponzabotion616 4 роки тому

    Nakubali kaka bila kuchoka

  • @ramakiluwa2859
    @ramakiluwa2859 4 роки тому +9

    Uyo mbona kama meja junta😂😂😂

  • @hamzalaus9599
    @hamzalaus9599 4 роки тому +10

    Respect harmonize

  • @pascalwiliam1782
    @pascalwiliam1782 4 роки тому

    Mungu akuzidishie blo kond gang

  • @mashacharo7578
    @mashacharo7578 4 роки тому

    Ibraah kumbe ulitoka mbali lkn mungu yupo.

  • @ptheboytz3300
    @ptheboytz3300 4 роки тому

    Roho yako nyeupe mungu akufungulie milango ufike malengo

  • @ravozz3301
    @ravozz3301 4 роки тому +1

    Nimependa Sana

  • @URNiderTV
    @URNiderTV 4 роки тому

    Kondegang mmh m baba unatisha

  • @mwazongawashe5721
    @mwazongawashe5721 4 роки тому +1

    Bro songa mbele wachana usiwasikize

  • @shawalithabiti
    @shawalithabiti Рік тому

    Konde nakuombea sana

  • @allanjoseph7759
    @allanjoseph7759 4 роки тому +4

    Fireeeeeeee fireeeee 👍👍👍👍👍

  • @kelvinherman8211
    @kelvinherman8211 4 роки тому +2

    But hongera kwa step hii bro

  • @selemanmahai6924
    @selemanmahai6924 4 роки тому +1

    Salute Konde boy

  • @isiksantiihboy3834
    @isiksantiihboy3834 4 роки тому

    Ndovu mwenyew uyu harmonize

  • @Shoaibkhan-vn6zt
    @Shoaibkhan-vn6zt 4 роки тому +2

    Harmonize, Ibraah make Mtwara proud! Mtwara Kuchele 🦁🇹🇿❤️🌍🔥💯🤴

  • @fatmaally7078
    @fatmaally7078 4 роки тому

    Fany colab na kiba bwn

  • @hamisikalulumbe6857
    @hamisikalulumbe6857 4 роки тому

    Kazi nzuri konde

  • @hajistann5535
    @hajistann5535 4 роки тому +12

    Harmoniz umeongea fact

  • @sulesuburasubira6503
    @sulesuburasubira6503 4 роки тому

    Kimimi napenda Ibraah atunge boga y wimbo kutoka kijijin kwao kama mkumbusho wake wabadae nmmi kutoka knya

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 4 роки тому +1

    Ila huyu ibraah jmn kaninogea mie kkupenda sichoki 😍😍😘

  • @asharahim275
    @asharahim275 4 роки тому +2

    Konde boy unatupa waswas na hii kondegenk hii ni ya kikabila

  • @harmonizetvharmonizetv1713
    @harmonizetvharmonizetv1713 4 роки тому +1

    VIP😂😂😂🏆🏆🏆🏆🏆🏆👉🏼👉🏼👉🏼🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @charlessway8821
    @charlessway8821 4 роки тому +2

    Jeshiiii waonyesheeee

  • @baranmohamedmbashir5299
    @baranmohamedmbashir5299 4 роки тому +3

    Ibraah nakukubali sana sana

  • @mussarashidi8031
    @mussarashidi8031 4 роки тому +4

    Asante sana @konde Boy @ibraah

  • @successmoyosafi181
    @successmoyosafi181 4 роки тому

    Ibra welcome R chuga

  • @gendakumanapaulin2310
    @gendakumanapaulin2310 Рік тому

    Cooll

  • @bansbans3802
    @bansbans3802 4 роки тому +1

    Katurivu jamani nime ka love

  • @fredrickfzgodfrey2435
    @fredrickfzgodfrey2435 4 роки тому +1

    Fireee😂😁

  • @annnyoks7008
    @annnyoks7008 4 роки тому +3

    Ibraah uko juu

  • @meddyally6748
    @meddyally6748 4 роки тому +1

    Well done Konde boy

  • @mikelampkin7418
    @mikelampkin7418 4 роки тому

    ilikua pw sna kaka

  • @SennyFleva_1
    @SennyFleva_1 4 роки тому

    Napokea wasanii

  • @joycemmary5372
    @joycemmary5372 4 роки тому

    Nani kaona love bite kama mm

  • @halisientertainment6489
    @halisientertainment6489 4 роки тому +1

    KAMA UNAMKUBALI KONDEBOY BOFYA LINK HII HAPA UJIONEE BEDROOM LIMIX

    • @hastent2897
      @hastent2897 4 роки тому

      ua-cam.com/video/dEuwVTUKjWo/v-deo.html

  • @Oyez_tv
    @Oyez_tv 4 роки тому +1

    Bless

  • @jackngonyani4815
    @jackngonyani4815 4 роки тому

    Fresh

  • @mikelampkin7418
    @mikelampkin7418 4 роки тому

    kumbe pw kaka

  • @choboyechsuswekcomedy7786
    @choboyechsuswekcomedy7786 4 роки тому +4

    Lit 🔥🔥🔥

  • @LugoraMganga
    @LugoraMganga Місяць тому

  • @swaggerizedninjagoseprocom8523
    @swaggerizedninjagoseprocom8523 4 роки тому

    Hatariiii sanaaa

  • @daudimbiaji7185
    @daudimbiaji7185 4 роки тому

    Saw baba

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 роки тому +1

    Harmonize uko smart lakini hayo matatoo yanaharibu

    • @hastent2897
      @hastent2897 4 роки тому

      ua-cam.com/video/dEuwVTUKjWo/v-deo.html

  • @joycemkwiche4467
    @joycemkwiche4467 4 роки тому

    Good boy

  • @johnntabagi8861
    @johnntabagi8861 4 роки тому

    Aaaahaaaahaaaa jaman wamakondeee naowanajimbambafua kazeni ila sio mpambane na WCB mtafeli

  • @chekeshacomedy9385
    @chekeshacomedy9385 4 роки тому +3

    Underground sio on ground

    • @mussaagrey5679
      @mussaagrey5679 4 роки тому

      Mbongo halisi

    • @chibzeric679
      @chibzeric679 4 роки тому

      On ground, underground kulingana na sentensi ametumia haifahi hapo ndugu.......amesema on ground Luna mwenye alikua anashulika

    • @gloryassey3962
      @gloryassey3962 4 роки тому

      Background neno sahihi

  • @kassimmaghembe6110
    @kassimmaghembe6110 4 роки тому +1

    Konde boy

  • @saadnahoda707
    @saadnahoda707 4 роки тому

    Konde gang for life

  • @kelvinherman8211
    @kelvinherman8211 4 роки тому +8

    da mwanangu ww kwel mtt wa mondi kila kitu mbak kuongea

  • @mugishalahay6050
    @mugishalahay6050 4 роки тому

    Tembooo nakubali😍