Ukweli huu hapa kuhusu taarifa za kukamatwa VIJANA waliobaka pamoja na uvumi wa KIFO cha Binti huyo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 403

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 місяці тому +65

    Ajabu sana kwamba huyo aliyeeneza uongo kakamatwa,lakini waliotenda wazi wakijuonyesha taarifa zao hazijatolewa.
    Bado wapo kwenye uchunguzi

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 2 місяці тому +5

      mbona wewe umeshindwa kusaidia walipo
      acha ujuaji jeshi la polisi linafanya kazi nzuri

    • @Ambwene
      @Ambwene 2 місяці тому

      ​@@magigesabai8674wewe ndo uache upumbavu kazi gani nzuri wanafanya zaidi ya kula rushwa

    • @TatoTato-t7s
      @TatoTato-t7s 2 місяці тому

      ​@@magigesabai8674Kwan walivyomkamarta aliesema huongo siwenyewe mapolic ndo wamimkata unatetea ujinga

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 2 місяці тому

      khanith ​ mkubwa wewe watu wanazid kuangamiawe unatuletea uchawaa wakusifu wapumbavu acha raiya watowe hoja na kulaumu serkal na police yake uzembe na kukumbatia dhulma awam ya sita hamna police walipo fanya kazi vizuri hamna zaid ya porojo tu @@magigesabai8674

    • @mukhtar805
      @mukhtar805 2 місяці тому +5

      @@kekiplus1andonly Na ingekuwa hakuna video wangeitwa watu wasiojulikana 😅😅

  • @PriscaPatrick-qk1qv
    @PriscaPatrick-qk1qv 2 місяці тому +58

    Nchi ngumu sana hii kiongoz wa serikal akifanya tukio wanazima juu kwa juu ila msisahau kuna Mungu juu anaona

  • @hatibumohamedi3471
    @hatibumohamedi3471 2 місяці тому +31

    Sheria bola ni sheria za mungu tu🎉🎉

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 2 місяці тому +7

    Mungu ilaze Roho ya magufuri Mahara pema 😭🙏😭😭😭😭😭mpila kwanza uhai wamtu badae🙏🙏🙏🙏🙏sawa hakuna atakae ishi milele masikini nawanawe

  • @StanMobileMagic
    @StanMobileMagic 2 місяці тому +23

    Kwahiyo saivi Amos ndio amekua mtuhumiwa..hii nchi ngumu sana 😃🙌🙌🙌

    • @ZawadiKiluwasha
      @ZawadiKiluwasha 2 місяці тому

      😅😅😅

    • @trevordex1576
      @trevordex1576 2 місяці тому +1

      Ata mm nilijua amos n moja ya wale vibaka kumbe siye alafu kasha kamatwa duuuuh

    • @StanMobileMagic
      @StanMobileMagic 2 місяці тому +1

      @@trevordex1576 watu wa ajabu sana saiv nguvu yote wamehamishia wa amos

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 місяці тому +9

    Nampenda sana huyu police anatoa habari kwa kweli na mfanya kazi hodari nakupenda sana kaka from omani ❤️

  • @tagomshana4032
    @tagomshana4032 2 місяці тому

    Asante muliro kwa kazi nzuri ya kukomesha wabongo kuzusha maneno maana kunamda mpk unakosa amani ukifikiria Hali ya jiji nyingine na nyingi nizaiongo wamezowea sana

  • @AhmedMsomoka
    @AhmedMsomoka 2 місяці тому +33

    MI NAWAAMBIA HII KES INAZIMWA NA. ITAZIMWA TU TUPO HAPA, WALE WATU KUNA MMAMA MKUBWA YUPO NYUMA YAO NA HAWANA CHA KUMFANYA ILA SAWA MUNGU ATALIPIA TU INSHAALLAH

    • @YangaNews
      @YangaNews 2 місяці тому +1

      Labda mwabukusi are itazimwa

    • @williamkipondamali1936
      @williamkipondamali1936 2 місяці тому +2

      wasomewe albadiri wafe

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 2 місяці тому

      ​@@williamkipondamali1936Hiki ndiyo kitu pekee kinaweza kuwa adhibu

    • @JERRYTEMBO-ik4zk
      @JERRYTEMBO-ik4zk 2 місяці тому +1

      Hii Mungu atalipa Mungu atalipa kwani yeye hana kazi ingine ifike sehemu lililo kwenye uwezo wetu tuchukue hatua that's why napenda kenya hakuna ujinga kama huu

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 2 місяці тому +1

      ​@@JERRYTEMBO-ik4zk ndo uende barabaran au uhamie Nairobi

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 2 місяці тому +15

    TUNACHOTAKA NI WAKOWAPI WALIOKAMATWAA WALIOTENDA UOVU HADHARANI BILA KUOGOPA LOLOTE HII NI AIBU YA NCHI WALE JAMAA WAMEMTUKANA HATA KIONGOZI NAMBA MOJA YAAANI WALIMAAANISHA HANA LAKUTUFANY NI AIBUUU😢

    • @missarepafra3973
      @missarepafra3973 2 місяці тому

      Twasubiri msemaji wa jeshi aje na taarifa kamili baada ya hizi za awali. Kutoa taarifa halisi ni kulisafisha jeshi linalodaiwa ni mwajiri wa wahusika hao. Kutowa-favour watu wa jinsi hiyo ni kujipambanua kutenda haki na kuwajibika ipasavyo.

  • @MinaMasha-z4p
    @MinaMasha-z4p 2 місяці тому +27

    Tanzania 🇹🇿 nchi yang Naipenda.
    Walofanya ukatili hawajakamatwa,
    Alotoa taarifa ya uongo kakamatw😭😭😭😭😭😭

    • @kingrichboe
      @kingrichboe 2 місяці тому

      Dah

    • @NewNew-ep5dq
      @NewNew-ep5dq 2 місяці тому +1

      Yani weacha tu yani niupuuzi mtupo

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 2 місяці тому +1

      Kumbe tunaishi na mazwazwa kiasi hiki yaani hamjui kutoa taarifa za uongo ni kosa la jinai na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii husababisha taharuki kwa wananchi? Acheni polisi wafanye kazi yao msiwafundishe kazi Tanzania sio kijiji wala kanchi kadogo mkumbuke tunapika mingi katika nchi yetu na wahalifu hutumia nafasi hiyò sio wajinga kiasi hicho wafanye uhalifu leo wakamatwe leo.

    • @FatmasaidhamesaHamesa
      @FatmasaidhamesaHamesa 2 місяці тому

      Nimegoja mpaka n mechoka upuzi semeni ukweli jamani

    • @saidtembele3070
      @saidtembele3070 2 місяці тому

      ​@@nassercurtis9579brother wasaidie maana watu wana mihemko hatari sheria zenyewe kujua changamoto, watu wanadhani kuonekana kwa video pekee ndiyo mtu ahukumiwe hawajui kama kuna interrogations, collection ya evidences nk

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 2 місяці тому +1

    Mi nimekupenda baba,una hekima kweli kamanda wetu,safiii Mungu akuinue zaidi

  • @mukhtar805
    @mukhtar805 2 місяці тому +47

    Wamekuwa haraka kumkamata aliesambaza habari za uongo lakini wanachelewa kuwachukulia hatua waliofanya kitendo cha kikatili sasa ndo nini yani?

    • @MujuniKamugisha
      @MujuniKamugisha 2 місяці тому

      Unauhakika na ulichoandika

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 2 місяці тому

      ​@@MujuniKamugishauhakika gani unao utaka wewe kama uhakika huo unaongelewa na hao police mavi wenzako?

    • @thabitdaudi9815
      @thabitdaudi9815 2 місяці тому +3

      Hakuna askari tanzania kama hujalijua hilo hadi sasa. Basi umelala usingz wa pono

    • @johpixel4108
      @johpixel4108 2 місяці тому

      ​@@MujuniKamugishautakua una stress za maisha,kwani hujasikia hapo kwamanda wa jeshi la polisi wamemkamata

    • @stevenjackson4985
      @stevenjackson4985 2 місяці тому

      Unajuaje hawajakamatwa?

  • @erizabethlichima6218
    @erizabethlichima6218 2 місяці тому

    Hii nchi ngumu sana kwa kweli 🙌🙌 yaan ata hhofu ya mungu tu hamna kwa kweli 🙌

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 2 місяці тому

    Asante sana Kamanda tumekuelewa safi sana Kamanda ❤

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 2 місяці тому +17

    Hao. Jamaa ninoma ningekua raisi wallah wangekula vitanzi kama Pakistan sio kwa unyanyasaji kama huo mtoto kapelekewa mpka imewaka moto jaman

    • @francismussa5690
      @francismussa5690 2 місяці тому

      3:29 3:29 3:40 3:40 3:40 3:40 3:40 3:40 3:40 3:40 3:41 3:41 3:41 3:41 3:41 3:42 3:42 3:42 3:42 3:42 3:42

    • @francismussa5690
      @francismussa5690 2 місяці тому

      3:50 3:52 3:52 3:52 3:56 3:56 3:56 3:56 3:57 3:57 3:58 3:58 3:58 3:58 4:00 4:00 4:00 4:00 4:00 4:00 4:01 4:01 4:01 4:03 4:03 4:03 4:03 4:03 4:03 4:03 4:03 4:03 4:03 4:03 4:03 4:04 4:04 4:04 4:04 4:04 4:04 4:04 4:04 4:06 4:06 4:06 4:06 4:06 4:08 4:08 4:12 4:12 4:14 4:14 4:16 4:22 4:25 4:25 4:25 4:26 4:26 4:26 4:27 4:27 4:27 4:27 4:29 4:29 4:29 4:29 4:30 4:31 4:31 4:36 4:36 4:37 4:37 4:39 4:39 4:39 4:39 4:39 4:39 4:40 4:41 4:41 4:43 4:45 4:45 4:45 4:45 4:45 4:46 4:46 4:46 4:46 4:46 4:46 4:46 4:46 4:46 4:47 4:47 4:49 4:51 4:52 4:52 4:52 4:52 4:52 4:54 4:54 4:54 4:54 4:54 4:59 4:59 4:59 4:59 5:01 5:01 5:01 5:02 5:02 5:03 5:08 5:08 5:08 5:08 5:10 5:11 5:11 5:11 5:11 5:13 5:14 5:14 5:14 5:14 5:15 5:15 5:18 5:18 5:18 5:20 5:20 5:20 5:20 5:20 5:20 5:20 5:20 5:21 5:21 5:21 5:21 5:21 5:22 5:22 5:22 5:24 5:25 5:25 5:25 5:25 5:25 5:27 5:27 5:27 5:27 5:27 5:27 5:28 5:28 5:29 5:29 5:29 5:29 5:29 5:29 5:30 5:30 5:30 5:32 5:32 5:36 5:38 5:39 5:39 5:39 5:41 5:41 5:41 5:45 5:45 5:45 5:45 5:55 5:55 5:55 5:55 5:55 5:55 5:56 5:56 5:56 5:56 5:58 5:58 5:58 6:01 6:01 6:01 6:01 6:01 6:01 6:01 6:03 6:03 6:11 6:20 6:20 6:20 6:26 6:30 6:30 6:31 6:31 6:32 6:43 6:44 6:46 6:50 6:59 6:59 7:00 7:01 7:01 7:02 7:02 7:02 7:02 7:03 7:03 7:04 7:07 7:07 7:08 7:10 7:27 7:28 7:28 7:30 7:31 7:33 7:33 7:33 7:33 7:35 7:35 7:35 7:35 7:35 7:35 7:35 7:35 7:35 7:35 7:35 7:35 7:35 7:35 7:35 7:35 7:36 7:36 7:36 7:36 7:36 7:36 7:36 7:36 7:36 7:37 7:37 7:37 7:37 7:37 7:37 7:37 7:37 7:37 7:37 7:37 7:38 7:38 7:38 7:38 7:38 7:38 7:38 7:38 7:38 7:38 7:39 4:16 4:17

  • @dj_ha17-ux6st
    @dj_ha17-ux6st 2 місяці тому +15

    JUSTICE FOR VICTIM
    Tunaomba Mama Samia lichukuwe hili suala na kulifuatiliya kuna dalili ya mhanga kupoteza haki zake..DADA ALIYEBAKWA NA KULAWITIWA

    • @aloycef812
      @aloycef812 2 місяці тому +1

      Kila cku mnaomba mnaomba mbna hampewi mnachoomba

    • @IbrahimJuma-hu1es
      @IbrahimJuma-hu1es 2 місяці тому

      Sasa wew ulitakaje aloyce watu wanaomba wew unakuja nakusema Kila cku mnaomba je wafanyaje?

    • @AIFreePlanVideos
      @AIFreePlanVideos 2 місяці тому

      Hawajui Wanacho omba
      Ajira hakuna
      Maji Tabu
      Umeme ndo kabisa
      Makato na kodi za hapa na pale
      Tabu ndani ya Hospital kwa wagonjwa
      Mumekaa eti Mama Mama tunaomba 😂😂
      Utakufa ukiwa unaomba
      Unakaa unasem tena kwa nguvu eti Mama......
      Wakati watu wanao rawiti watot wadogo na kufundisha ushoga + kuleta vitu vya ajabu vinapita kwenye macho ya viongozi tuko kimya 😢😢😢
      Amka huwezi kupewa haki kwa amani kamwe😂
      ​@@aloycef812

    • @aloycef812
      @aloycef812 2 місяці тому

      @@IbrahimJuma-hu1es kufanya maamuzi magumu kwenye box 2025

    • @IbrahimJuma-hu1es
      @IbrahimJuma-hu1es 2 місяці тому

      Ndug yang hata ungefanya maamuz magum 2025 utajisumbua tu hyo ishapitishwa kitambo sana

  • @alvezog_3836
    @alvezog_3836 2 місяці тому +4

    Chagua CCM Chagua Mama Samia❤😂😂😂Rest in peace Magu😂😂😂

    • @mapundawilliam370
      @mapundawilliam370 2 місяці тому

      Nisahihi ndomaana nnajribu kupima wakati wa mama na wakati wa Magufuli

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 2 місяці тому +1

    Mwenyezi mungu atasema na kusimama nanyi naamin,,Amen

  • @rashidiamini
    @rashidiamini 2 місяці тому +10

    Ilo ndo jeshi la police xx nalolijua Mimi mtoa taarifa za uongo kakamatwa mapema na haraka zaid kuliko waliobaka na kulawiti😅😅😅acha nikae kmy ncje kukamatwa mie

  • @Ambwene
    @Ambwene 2 місяці тому +5

    😂😂😂😂😂 tunavJeshi la Ajabu sana tanzania 🇹🇿 Yaani aliyechoma Picha ya Rais alikamatwa haraka haraka na aliyeeneza Habari za uongo kakamatwa fasta ila waliofanya vitendo vya ubakaji bado wanachunguzwa 😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂

  • @TatuTqtu
    @TatuTqtu 2 місяці тому +3

    Kwa Taifa hili wanawake tutadhalillishwa kila siku maana hatuna mtu wa kutuonea huruma

  • @MwenyaHaisu
    @MwenyaHaisu 2 місяці тому +1

    Magufuri popote ulipo lala ulisema tutakukumbuka... Mm Leo nmepita pale ubungo kijazi interchange nmekukumbuka sana ...... RIP MAGUFURI

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 2 місяці тому +4

    Kamanda ukifa unaenda motoni moja Kwa moja huwez kukamata mtu aliyesambaza picha za uongo unashindwa kukamata aliyefanya ukatili na umedai huyo dada yupo sasa kinachoshindikana nini?

  • @BosibleOmy
    @BosibleOmy 2 місяці тому +2

    Wao watuambie tu waliofanya tukio je wamekamatwa au laa basi tujue moja

  • @AminaOmary-sm4wl
    @AminaOmary-sm4wl 2 місяці тому +8

    Tunasemaga nchi ya Tanzania ni nchi ya aman laki tunajidanganya ni nchi ya magaid vp akamwate msambaza taarifa za uongo na wasikamatwe wabakaji hii nchi bado sana tunachangamoto

    • @CAPTAIN_GALAXY13
      @CAPTAIN_GALAXY13 2 місяці тому

      Ushawahi onaa wapi mbakaji anatembea hadharani sister😹😹

  • @latifaIdassi
    @latifaIdassi 2 місяці тому +4

    Hii nchi itanyooka siku wananchi watakapokua na akili sawa kwa uwingi!

  • @AminaJuma-r4y
    @AminaJuma-r4y 2 місяці тому +2

    Mwao gea sanaa kuliko vitendo police wetu wa tz kila siku tutoe ushilikiano kazi hamfanyi

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 2 місяці тому +1

    Hii nchi, magu angekuwepo hawa wabakaji wangeisoma namba,hata wew usingeongea hayo,yaani aliewatuma wabakaji hamjamkamata,tusubirini taarifa rasmi

  • @AloyceSeleka
    @AloyceSeleka 2 місяці тому

    haki itendeke wanawake wapete haki zao❤❤❤❤❤1

  • @bujashidaniel5537
    @bujashidaniel5537 2 місяці тому +3

    Dar so salama bhana. Mashoga wamejaa mnawaangalia tu

    • @aloycef812
      @aloycef812 2 місяці тому

      Sio wanawaangalia wanawaingilia

  • @ltlmedia8480
    @ltlmedia8480 2 місяці тому +10

    NCHI NGUMU HII JAMAN KHAAA

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 2 місяці тому +1

    Huyo mzee mpuzi sana hawa niwa kustahafu kwa jeshi la police. Siku hizi wamekuwa wao ndio Wahuni Wafisadi na Majambazi. Pumbavu... jingazzzz

  • @mapundawilliam370
    @mapundawilliam370 2 місяці тому +2

    Tulisikia ni police walio mbaka, wewe unasematu vijana.Au tuendelee kusema kwamba hatuna waandishi.

  • @DaudLucas-qj3mp
    @DaudLucas-qj3mp 2 місяці тому

    Tusali mungu tulinde sisi wananchi kwakosa la umasikini.

  • @BonileoMassae-ep6hr
    @BonileoMassae-ep6hr 2 місяці тому +1

    Sasa jamani isingerushwa abari ya uyu bint mngejuaje..? Angaikeni na watuumiwa msifanye mambo yawe mengi

  • @Shadia544
    @Shadia544 2 місяці тому +1

    Wao wanyonge tuu pamoja na huyo bos wao afande 😢 ila jamaniii sio poa kumfanyia vile miee ata sijaangalia kabisa hiyo video 😢😢

  • @DianaMafuru
    @DianaMafuru 2 місяці тому

    Mungu tusaidie

  • @jumaj.bihoga-th7kd
    @jumaj.bihoga-th7kd 2 місяці тому

    Aiseh muda mwingine tuwe tunaheshimiana.... haya ni maisha ya watu msiweke siasi emu wew afande unae ongea angekuwa binti yako kafanyiwa hivyo na unawaona wausika na ushahidi wa kutosha upo je ungepisha uchunguzi wa poloce emu tuwa na utu hata dakika moja inauma sana....
    Haya ni maisha ya watu...mnayo dhamana ya kuhakikishq usalam juu yao ila nyinyi mpo kwa ajir ya kuwalinda wanye nguvu na kuwakadamiza wanyonge
    Mtakuja kuleta machafuko nchini...!!
    It soo painful kiongozi kama uyu wa jeshi anavyo ongea mungu yupo atawalipa kwa uongozi wenu na unawatoto mungu awakuze 😢😢😢😢

  • @Keyjop
    @Keyjop 2 місяці тому +1

    Daah... Hii nchi ina maajabu mengi saana 😂😂😂

  • @malundetechtanzania1311
    @malundetechtanzania1311 2 місяці тому

    mungu tunaomba roho ya magufuli ije kwa makonda na aje kua raisi

  • @BataNamichongo
    @BataNamichongo 2 місяці тому +4

    We miss u Magufuli

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 місяці тому +1

    Nchi ngumu sana, bora kuwa mtumwa wa mzungu kuliko kuwa mtumwa bongo

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 2 місяці тому +1

    Aisee

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 2 місяці тому

    Aya afande kazi nzuri na huyo mlie mkamata aminywe ataje wenzake

    • @johnjoshua-ts6hq
      @johnjoshua-ts6hq 2 місяці тому

      😂😂 wenzake wa wapi tena na hukuu yeye kaongea uongo au wenzake waliomshauri kutoa tarifa

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 2 місяці тому

    In shalah Mungu wa haki atawasha kibiriti kwa Kila aliyechagua uchafu kuusimamia

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 2 місяці тому +1

    Camanda Ongera unaongea kwa weledi wa Ari ya juu sana

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 2 місяці тому

    Iyoo c haki hapoo mnamkamataje uyooo km c uonezii toeni izo tarifa basi km izo alizo sema ni zauongo c mtupe za ukwli mnamkamta wa nini da! Nnji yangu inawatu wa ovyo kabisaaa

  • @beipoacosmetics8013
    @beipoacosmetics8013 2 місяці тому

    Mmmmmh yaan watu wanaonekana lkn bado kuna uchunguzi au mnachinguzana wenyewe

  • @ac...262
    @ac...262 2 місяці тому

    Mungu tutetee maana tunaowategemea ndio wauaji wakwanza afu pesa kwanza na hawana utu kàbisa,,

  • @alsam4881
    @alsam4881 2 місяці тому

    Hivi Kamanda Muroto wa Dodoma siku hizi yupo wapi? Yaani namis sana kusikia akisema kipigo cha mbwa koko.😂😂😂

  • @hashimuuhehwa4252
    @hashimuuhehwa4252 2 місяці тому +1

    Sipendi huyu dingi kaumiza sanaa Watanzania huyu mbwa

  • @ViolethMazengo-nd8cy
    @ViolethMazengo-nd8cy 2 місяці тому +3

    Sasa hii nchi jaman aliesambaza ndo kushikwa? Au wale wahalifu wote jmn

  • @saljam82
    @saljam82 2 місяці тому

    9:13 kwa statement hiii, she Is alive na wanajua alipo, wanaetafutwa ni wahusika. Pigeni kazi tunawapongeza na tunahamu ya majibu zaidi na na haki kutendeka kikamilifu

  • @mudriqahmed3666
    @mudriqahmed3666 2 місяці тому +3

    UTambiwa hawawezi kuoneshwa kwa sababu za kiuchunguzi lkn wao wenyewe walijionesha kwenye vdeo

  • @StamiliMajuni
    @StamiliMajuni 2 місяці тому

    Nimeshangaa sana uongo ndo umeonekana kosa kuliko wabakaji waliojionesha live duuuh MUNGU awalaani

  • @Jayasu_viatu
    @Jayasu_viatu 2 місяці тому

    Tuwe makini sana na viongozi wetu.

  • @MohamedShaaban-p8b
    @MohamedShaaban-p8b 2 місяці тому +2

    Jaman jamn jaman allah angalia swala ili kwan wewe una toa haki angalia na hii serikali tulio nayo eeeeee mola allah toa adhabu zidi ya awawatu selikali atuielewi

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 2 місяці тому

    Hakika Serikali haiwezi kutoa taarifa ambayo haina ukweli,hio ndio taaluma.Mungu akubariki baba kamanda wetu

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 2 місяці тому +3

    Mbona mnawakamata hawa walio fanya Hilo tukio mbona hamwakamati?

  • @rejobu9723
    @rejobu9723 2 місяці тому

    Ahsante kwa taarifa kamanda 🎉

  • @RechoMzava-gt7so
    @RechoMzava-gt7so 2 місяці тому

    Sio anayedaiwa niamefanyiwa ukatili kwaiyo anaidiwa ni kwamba hamna uhakika yaaani kuna watu mungu atawapa adhabu kali sanaaaa

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 2 місяці тому

    Wanafki nyinyi askari duh Dhulma hiyo bana hivi ingekua ni wenzenu limemkuta hilo Sasa hivi mwlifu angepatikna,, 😢

  • @AsiaJuma-mn7se
    @AsiaJuma-mn7se 2 місяці тому

    Uongo jmn muogopen mungu nyie daaah munazidi kutuumiza mioyo wananchi vidio imejionyesha kilakitu leo munasema uongo daaah mtihan kwa kwel

  • @lizzygabriel9601
    @lizzygabriel9601 2 місяці тому

    Ndio maana watu wanaamuaga kulipiza kisasi kwa njia zao maana hakuna maana kabisa kushirikisha vyombo vya sheria 😢

  • @DariusKasitu
    @DariusKasitu 2 місяці тому

    Kwann useme inasadikika kwaiyo hauna uhakika Kama ni kweli kabakwa hii nchi ovyo sana

  • @asudarathman5453
    @asudarathman5453 2 місяці тому +1

    Eti ni nchi ya amani bure kabisa

  • @mussammsaji1110
    @mussammsaji1110 2 місяці тому

    Mmmm amakweli ukishangaa ya Tanzania 😊😅😅utasitaajabu ya kenya😮😮😮😮

  • @herieththobias852
    @herieththobias852 2 місяці тому

    Ila tukumbuke mungu yupo na hiyo laana itatafuna vizazi vyao

  • @DanielMwasi-cq2rg
    @DanielMwasi-cq2rg 2 місяці тому

    Kiukweli polisi Huwa siwaamini hata kidogo

  • @homesaickofficial7407
    @homesaickofficial7407 2 місяці тому

    Daaah nchi ya mandonga hii aliepiga aonekane anaonekana aliepigwa kumamake 😂😂

  • @husseinbakar2358
    @husseinbakar2358 2 місяці тому

    Mh jaman hawa watu walio Fanya unyama wa kumzalilisha msichana mpaka Leo bado hawajapatikana kweli

  • @Theman-dn8vo
    @Theman-dn8vo 2 місяці тому +1

    Kuongea yenyewe shida😂

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 2 місяці тому

    duh afande Mimi sijambo

  • @abdillahchikota4303
    @abdillahchikota4303 2 місяці тому

    Yani wahalifu walio tenda ule ukatili hatujapata talifa zinazoeleweka ila mtu alie sambaza talifa za uwongo amekamatwa duh hii noma sana

  • @RobertMshiko
    @RobertMshiko 2 місяці тому

    Kamanda hiyo hoja Haina mashiko badala ya kutafuta waharifu mnawakamata watoa taarifa ya uongo na kwanini msikanushe tu. Watu wanapotea , wanatekwa, wanuwawa, mnawapiga vituoni mwenu na kiwanyanyasa mahabusu na wafungwa, hapana mungu anawaona mtarudi uraiani mtatukuta. Bwana wa majeshi apigane nanyi

  • @hassanmasuke5078
    @hassanmasuke5078 2 місяці тому

    MTUHUMIWA Bwana Amosi😢...

  • @SaidHamis-hy5ps
    @SaidHamis-hy5ps 2 місяці тому +2

    tunawataka walio fanya kitendo tuwaone huyo amekua
    na uhalaka wa wakumatwa kuliko waliofanya tukio kweli

  • @chalaally8293
    @chalaally8293 2 місяці тому

    Upuuz yan wanamkamat mtu ambae amekata kucha wamemuacha aliyekata mkono so sad😢 this is my Tanzania

  • @shamsamohamed5703
    @shamsamohamed5703 2 місяці тому

    Watanzania amkeni aisee😢hawa watu wanawachukulia mafala dah

  • @Selemanian
    @Selemanian 2 місяці тому +1

    Waandishi wa tanzania hawajui kuuliza maswali ama ni uoga.?

  • @nasramushi1436
    @nasramushi1436 2 місяці тому

    Duuuu jaman kwahy za uwongo kapatikana lkn waliofanya hilo Yukio hawajapatikana dah

  • @RachelElias-j3g
    @RachelElias-j3g 2 місяці тому

    Huu ni udhalilishaji kwa wanawake nchi nzima ..uchunguzi wa nini na wakati waliofanya ukatili walijirekodi kijeuri..aliyesema uongo kakamatwa.. waliobaki serikali inawafunika..

  • @shabanihamisi115
    @shabanihamisi115 2 місяці тому +2

    Hiví habari ya Simba na Yanga inastahili kupewa kipaumbele zaidi kuliko ya uhalifu wa ubakaji? Nchi ngumu sana hii.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 місяці тому

      Wanatuona manyani nchi ya hovyo hii

    • @IbrahimJuma-hu1es
      @IbrahimJuma-hu1es 2 місяці тому

      Nchi ngum sana hi ndug zangu kuomba mungu tu anusulu kwakwer

  • @ramadhanijawas3204
    @ramadhanijawas3204 2 місяці тому +1

    Bora kuishi Somalia kuliko Tz

  • @manenomfaume5453
    @manenomfaume5453 Місяць тому

    Hii nchi bwana,
    Yani anae vutabangi au kuiba kuku anakamatwa chap nakuhukumiwa miaka 3nakuendelea.lkn anae hujumu uchumi kwakuiba mamilion yahela anabaki mtaan .au
    Mtumishi wwte waserikali wanamlinda.!!!

  • @FloraMarinyo
    @FloraMarinyo 2 місяці тому

    Nyie endeleeni tu kupoteze ...yupo Mungu anae hukumu kwa Haki .

  • @mapundawilliam370
    @mapundawilliam370 2 місяці тому

    Hao vijana police tulisikia waliagizwa na boss wao,maanake ni police pia mwenye cheo nani mmama je nayeye mshamkamata? Uongozi bila Christo hamna kitu. Namlilia Mugufuli japo katu achia Paul makonda

  • @mizumo6935
    @mizumo6935 2 місяці тому

    Kuna muda tuwe wakweli jamani mtu kabakwa halafu unasema inadaiwa kabakwa Kama mñkosa uharaka wa haki kiasi watu waanze kusahau sio sawa Mkuu

  • @renathakalamage4931
    @renathakalamage4931 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂uyo amos ameshindwa kujificha jaman mbona walio baka wamekificha vzur tuuu had jeshi la polis haliwaoni mwacheni bwana akajaribu tena kujificha walah hamto mpata

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 2 місяці тому

      Ndio nashangaaa 😂😂 alikuwa amekaa tu kama kisimi au pumbu ndani ya chupi

  • @MryassinHussen
    @MryassinHussen 2 місяці тому

    Mpira kwanza uhai baadae😂😂

  • @ebenezerfreight3309
    @ebenezerfreight3309 2 місяці тому

    Aibu sana mzushi ni Hatari kuliko mlawiti na Mfiraji ???

  • @malundetechtanzania1311
    @malundetechtanzania1311 2 місяці тому

    afande amekua mtangazaji tena wa mpira atupe mrejesho bwana afande wetu😂

  • @GULIELMAS
    @GULIELMAS 2 місяці тому

    Ingekuwa bora zaidi kuwakamata hao walio Fanya huo ukatili. Na baada mkadili na huyo aliye samba uongo

  • @aziziamimu6011
    @aziziamimu6011 2 місяці тому

    Taarifa za binti aliye fanyiwa ukatili wa kijinsia sio za kusemekana...au kusadikika.
    Taarifa hizi zinahisia katika nafsi ya kila mwenye hofu na Mungu na mwenye Akili, na Mwenye kujua haki za binadamu.
    Hakika yeyote mwenye mamlaka ya kuhakikisha haki inatendeka na akanyamaza atakua mwenye kudhulumu maslahi ya ubinadamu.

  • @andersonjackson-s1c
    @andersonjackson-s1c 2 місяці тому

    Haki itendeke haraka walohusika na huo ukatili sheria ichukuwe mkondo wake, hata ikibaika kwamba watumishi wa uma wamehusika. Mamlaka msifunike maovu yao Mungu atawaadhibu nyinyi

  • @ac...262
    @ac...262 2 місяці тому

    Wahalifu mnawaficha,kwann watu wasiwe na mashaka its not fare amefichwa wapi sasa na hao watu wako wapi kama. Wa Arusha mnavyopiga kimya

  • @jacquelinedickson5520
    @jacquelinedickson5520 2 місяці тому

    Jamani police kama inawezekana hao watu wanyongwe tu jamani.

  • @glorianamcharo6817
    @glorianamcharo6817 2 місяці тому

    Kwahiyo mwenye kosa la jinai ni aliyesambaza uongo ila wabakaji sababu ni watumishi wa serikali Bado wanachunguzwa aiseeee ila Mungu hazinziii Wala halali

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid7694 2 місяці тому

    Tuanzie mawasiliano kati ya binti na mume wa afande tukimpata mume wa afande tunae afande aliewatuma na atawataja mmoja mmoja TCRA na jeshi la polisi , watu wa haki za binaadamu, maafisa ustawi, na wakuu wa jeshi la wananchi tusaidieni .

  • @Sophia-w5k4i
    @Sophia-w5k4i 2 місяці тому

    Hao wabakaji munaonaje kama Jeshi limeshindwa kuwapata tunadili nao juu kwa juu sura zao zi zinajulikana munakamata mtu aside na ahati kisa kasmbaza uongo