🔴KWA MARA YA KWANZA MJOMBA WA HARMONIZE AFUNGUKA,SITAKUZIKA HARMONIZE UMEMKOSEA MUNGU KISA MWANAMKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • #topleveltz

КОМЕНТАРІ • 56

  • @mohamedbashir4344
    @mohamedbashir4344 4 місяці тому +2

    Subhanaallah eti tumefurahia Yani Mpaka Bibi na babu wamefurahia 🥺🥺🥺

  • @AbdallahNgonji
    @AbdallahNgonji 4 місяці тому +2

    umekosea sana harmonize

  • @user-ue4fu9oo7s
    @user-ue4fu9oo7s 4 місяці тому +1

    Ishaalla

  • @ahmedcornel270
    @ahmedcornel270 4 місяці тому +6

    Mbona km mcheza show wa miso misondo

  • @user-vf5zq5rr4d
    @user-vf5zq5rr4d 4 місяці тому +5

    Huku vipi hakunaga mimi wa kwanza!!?? Wa kukaya

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 4 місяці тому +4

    Hamo amekanyaga moto.

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 4 місяці тому +6

    Innalillahi wainna ilayhi raajioun 😭😭😭 huyu HARMOKAFIRI atoe shahada upya. Maneno aliyoyasema hata FIRAUNI hakuyasema .
    😭😭😭😭😭😭😭😭
    Allah amejitakasa katika Quran kua hakuzaa wala hakuzaliwa, wewe unapingana nae Mungu na unasema ni Mwanamke. WEWE NI NANI UNAEPINGANA NA MANENO YA MUNGU AU HUKIAMINI KITABU CHA QURAN? Kwa Hakika haya maneno yananitoa Machozi mno.
    😭😭😭😭😭😭😭😭
    Amewakosea Waislamu wote Duniani, ametukosea mno , ametuumiza sana sana tena sana . Wallahi ametupa huzuni sana. Huyu ni KAFIRI kabisa kabisa ametoka katika Uislamu.
    😭😭😭😭😭😭😭😭
    Bado nafasi anayo arudi kwa Allah, Allah ni msamehevu na mwingi wa kusamehe . Bado muda anao arudi kwa Allah. Haraka haraka .

    • @omarswaleh6082
      @omarswaleh6082 4 місяці тому +1

      Atoe shahada ya nini hilo ni kafiri jitu hata kuswali hali swali tena unaliambia litowe shahada unge mshauri awache uzinifu na kuza watoto wa haramu kuka na vimada na awache kuva macheni na hayo mattoo yalio jaa mwili mzima usikimbilie kumpigisha shahada mungu hako na radhi nae

  • @ramadhaninyangasa7275
    @ramadhaninyangasa7275 4 місяці тому +3

    Kumbe mjomba lajabuuu😂😂😂😂😂😂

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 4 місяці тому +3

    Hasaidi wajomba zake duuu alafu jomba Choka ile mbaya halafu natania mungu mbuzi uyu

    • @kamilhussein24
      @kamilhussein24 4 місяці тому

      😂😂😂

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 4 місяці тому +1

      Kupata pesa sio kusaidia kila mmoja kwa nafasi utoweza kufanya hvyo kwa kila ndugu muache atoepale anapoona anaweza toa ata ww sizani km unasaidia wote kwenye familia na hyo ndo nidhamu ya pesa

    • @user-rt1wf6se5f
      @user-rt1wf6se5f 4 місяці тому +2

      Alafu huyo me namjua amemconect kweny kampuni za ujenj Hana njaa na hayupo chitohor yupo hapo dar

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 місяці тому

      ​@@sharifamahamudu182ni kweli hawezi kuwasaidia wote lakini familia yake ya karibu kama wajomba zake anaweza kuwasaidia kwasababu uwezo anao.

  • @PaschalTonny
    @PaschalTonny 4 місяці тому +2

    Aiseeeee huyo dogo anajielewa kweli zimetimia😆😆😆😆😆😆

  • @rajabutangale1402
    @rajabutangale1402 4 місяці тому +1

    Lukokodaaa

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 4 місяці тому +1

    Nishauza sana samaki michenjele

  • @user-ou6re9ys6d
    @user-ou6re9ys6d 4 місяці тому +2

    Apambanee Leo ndo kamuona mjombaa

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 4 місяці тому +1

    Huyo muacheni hana dini mu islam gani mwenye kuva macheni na vipuli na mwili mzima mattoo huyo sio mumin yacha angoje kichapo cha mungu

  • @sadamuall8249
    @sadamuall8249 4 місяці тому +3

    Dogo hajui kujilezee kabsa mshamba😂

  • @taichi5370
    @taichi5370 4 місяці тому +1

    Hicho kibaraghashia cha njomba sasa😂😂😂😂😂

  • @AbdallahNgonji
    @AbdallahNgonji 4 місяці тому +2

    4:02

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 4 місяці тому +2

    Mbona wamechoka alafu hamo

  • @HalfatiMaziku-hb3yn
    @HalfatiMaziku-hb3yn 4 місяці тому +2

    We mlima nyanya huna undugu na harmonize acha uongo we kinyozi

  • @KinduliNdambwe
    @KinduliNdambwe 4 місяці тому +1

    hyu ngedere anaturudisha kule MMAKONDE SI....,

  • @Jordan-bj1gy
    @Jordan-bj1gy 4 місяці тому +1

    Akuna cha ujomba kwaiy nd mmeamua adi mchane icho ki baragashia.et mjomba we si fundi viatu2 tunakjua kbisa

  • @JosephuSwai
    @JosephuSwai 4 місяці тому +1

    Mbona mnamchimba konde muacheni alevyake

  • @lawskuli9876
    @lawskuli9876 4 місяці тому +3

    Mjomba wa mchongo

  • @user-hw1fp6mb4s
    @user-hw1fp6mb4s 4 місяці тому +2

    Kakosea sana uyo bwanamdogo

  • @thulanimashaba8491
    @thulanimashaba8491 4 місяці тому +1

    Dogo ni mkweli sana..alafu one day mtaskia dogo nae yuko mbali kama mjomba ake.

  • @YajuFilms
    @YajuFilms 4 місяці тому +1

    Napafamu Chitoholi huyu si wachitoholi,
    Eti halmashauri ya Michenjele Daaaah. Hamjui kitu ndezi nyiee. Mngefika huku chitoholi muache uongo

  • @user-fh6jw6oe8e
    @user-fh6jw6oe8e 4 місяці тому +1

    Mjomba wa mchongoo😂
    Mnahukumu nyie akinananiiii??

  • @makamejecha8022
    @makamejecha8022 4 місяці тому +2

    Njomba Lajabu, makonde huyo, nchomba

  • @benjaandea32
    @benjaandea32 4 місяці тому +1

    Dogo mbona mshamba mshamba mjomba rajabu?

  • @zulekhasaud483
    @zulekhasaud483 4 місяці тому +4

    Konde njoo kwa YESU

    • @ramadhaninyangasa7275
      @ramadhaninyangasa7275 4 місяці тому +2

      Akija huko sawa kwasababu fikra zake nikama zenu,

    • @user-lq7kv7sx3t
      @user-lq7kv7sx3t 4 місяці тому +2

      Huna shida hata ya kumuita huyo kasha kuwa huko mulipo manaswara

    • @user-kd7kh1io9k
      @user-kd7kh1io9k 4 місяці тому +4

      Usjali uyo kwasass nikafiri mwezenu

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry 4 місяці тому +2

      Aje huko mara ngapi na keshafika mwenzenu 100%

    • @mohdhaji550
      @mohdhaji550 4 місяці тому +1

      Tayari kashakua kafiri mwenzenu usimwete alishafika huyo

  • @user-iu2cm5um6e
    @user-iu2cm5um6e 4 місяці тому +1

    Hata mukitupa kama umbwa ila kumbukeni kwamba mwenye mamulaka ya hukumu ya mwisho ni mungu peke, kama munamamulaka ya kutowa hukumu kwa mwanadamu kiivyo,mukumbuke na nyinyi mutahukumiwa vibaya kuliko yy,.. mujuwe kwamba munamupunguzia adhabu yake asanteni sana kwa hukumu yapa duniani,,

    • @user-nx7jd3cf1m
      @user-nx7jd3cf1m 4 місяці тому

      KAMA WEWE SIO MUSLIM, JARIBU KUULIZA wenye elimu ya Kiislamu akufahamishe vipi kuhusu hali hii WANAUDHUBILLAHI MIN DHAALIK.
      Na kama wewe ni Muislam basi tafakari maneno yako.

    • @SihabaAbdallah-li6dx
      @SihabaAbdallah-li6dx 4 місяці тому +1

      Kwan unsema niniwe hem Kaa kimy

  • @HawaRashid-di9jy
    @HawaRashid-di9jy 4 місяці тому +1

    Hempumbavu kumbe huyu nae

  • @user-gc3ec9wx6z
    @user-gc3ec9wx6z 4 місяці тому

    Mjomba rajab

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 4 місяці тому +3

    Maisha ya mjomba wake mabaya,yeye anachezea hela na wanawake.Poleni sana.

    • @bojomohamed9999
      @bojomohamed9999 4 місяці тому

      sometimes mwana habari hukaa kama hajielewi anauliza maswali kama ugonganishaji akisahau hio ni familia moja

    • @benjaandea32
      @benjaandea32 4 місяці тому

      Ww nae kwaiyo yy ataweza kusaidia ukoo mzima, Ww kuweza pesa zake kazitafta mwenyewe huwez mpangia matumiz

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 місяці тому

      ​​@@benjaandea32 lakini anaweza kuwasaidia famili yake. Kama anaweza kuwahonga magari wanawake na kuachana nao kwanini asiweze kuwasaidia famili yake?

    • @benjaandea32
      @benjaandea32 3 місяці тому

      @@mohdkhatib223 Sawa baba mama atasaidia na wadogo zake, kaka zake, Lakn si kila mwana ukoo lakn kuna mambo yakuwasaidia ya kujitokeza kama magonjwa kesi n.k