UNAMKUMBUKA SOPHIA KANUMBA WA BIG DADY/SASA AMEKUA BINT/ATUA BONGO AKITOKEA ULAYA
Вставка
- Опубліковано 24 тра 2022
- Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
UNAMKUMBUKA SOPHIA KANUMBA WA BIG DADY/SASA AMEKUA BINT/ATUA BONGO AKITOKEA ULAYA
#Bonatv #Exclusive #SophiaKanumba - Розваги
Kama ww unamkubali Sofia gonga lik hapa❤
Tafadhalini kwa wale watao maliza kuona hii interview ataenda kuona big daddy tunyooshw kidole ☝️ tujuane.
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
☝🏻
❤❤❤
Upo vizuli kwakuhoji muandishi bora sana
Sofia jaman love you more...dah nimekumbumbuka sana movie ya big daddy.
mashaallah umekuwa sophia mtukutu aisee ulinifurahisha pale ulipokuwa umeendesha gari nilibaki nashangaa sana nikasema dah'💕💞
For real the late kanumba was a legend continue resting in peace ✌️🕊️
Alieenda kuingalia tena big daddy gonga dole gumba apa 👍
Nakupenda sana Sophia nakupenda sana umekua mrembo sana love you ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mmmh makubwa jamani, amekua binti kwelikweli
Mansha'Allah umekua kweli Allah akuhifadhi bint kanumba.from🇧🇮
Umekua Mdada Mashaallah 😘😘😘
Sophia anamtaka MAMA yake Jamira mpole , Kanumba kwani huri hapa😁😁😁😁😁😁👍👍👍alikuwa mdogo sana.Tunapenda aendelee na maagizo yaan.
Mashaa Allah Tabaraka Allah Allah akuzidishie umri akujalie masomo mema
amin 🤲
ua-cam.com/channels/8nOnvGTBC8a2jKgy63rEgA.html
Daaaaa Sophia kaupiga mwingi mno aise m/mungu azidi kumpa afya njema
Ameen
Hd msasa oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN ua-cam.com/video/Cdyxj5ymOR4/v-deo.html
MashaAllah umekuwa Sophie mungu akujaliye binti love from 🇧🇮🇧🇮
J
MashaAllah tabarakallah. Allah akuhifadhi
Nimependa Swahili yake iko vizuri kwa matamshi
bas angekuwa kenge mmoja ambae angekaa ulaya week tu saa hizi ng'o ,ng'a ,ng'e
@@duhrurhhddhheud8575 😆😆😆🙌
She’s so normal angekua mwingne angejifanya hakumbuki swahili language
😂😂😂@@duhrurhhddhheud8575
Mashallah,,umekuwa mschana mrembo
aaaah Sofia naku Miss san tunasubir move zipya zako,serengo yuko wp
Masha Allah Masha Allah Allah akuhifadhi chimami Sophia
safi sana, sauti ni ile ile, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.
Nimekumbuka mbali sana nilipomuona Sofia, umekua mkubwa sasa hongera kwa masomo,Sijui Selengo yuko wapi na kitanda chake sijui bado kinavurugika?!!
Kalikuwa mkolofi
Merci beaucoup Sofia ,paske tu te souviens encore de kanumba
R.l.P. kanumba mungu ailaze mahala inapo stahiki roho yako Amiin!!.
Mashallah sophia mstaarabu km mamaake.
Maashaallah wamekuwa
Mungu anijalie niwe mama bora kama huyu
So cute Sophia ❣️💞❤️💋💖💕
Da kweli watoto wakike awachelewi kukua
Kheeee🤔🤔😲😲😲jmn tumezeeka sasa🤣🤣🤣watt wamekuwa jmn khaa
Hatokuja kutokea mtu kama kanumba alikuwa anapenda watu
Mung akulind Sophia ludi ten kwenye sanaa
Masha allah wamekuwa mashaa allah
Amekua Masha Allah
Hogera sana... Ilipendwa sana na watoto hii mov
Waw congratulations on getting this beautiful girl 👧
Jmn nmeshaazeeka huyu mtoto kakua ivi Allah Mkubwa jmn
Diamond platnumz 💥🥰
Amekuwa manshallah
Ulikua mtundu aki dadangu I love u gays from Kenya
Hongera mama una watoto wazuri sana
Eere.. dada umefanya kazi mzuri sana Asante
Daaaaaah long lashing love 💕😘 sophia nakukubali saaan
Manshallah umekuwa kwel
He Sofia amekuwa 😍😍
Jmn jmn jamani Mashaallah nimekupenda bure mamy umri taweel wenye manufaa. 😘😘Why??
ua-cam.com/video/laB9Ha0ZU5M/v-deo.html
Umekuwa maashallah mtoto wakanumba
Wow beautiful
Gud people always have short life
R I P Kanumba
Nakupenda sofi
Rip Steven kanumba we love it movies
Kakua mama jamani ❤❤
he jmn amekuwa mdada hongera sana
Mama hongera❤
Mlee mtoto ktk njia impasayoo
Nc Sophia penda wewe🥰
Sofia amikuwa mkubwa mashallah
Ngoja nikaangalie hiyo move harakaharaka😯😯
Mama upo vizuri na watoto wako
Unekua sophia ma shaa Allah ❤❤
Nimependa majibu ya mama ana hekima sana
MashaAllah bado sauti yake haija charge😄😄😄😄
Masha Allah amekuwa sofiya
Nakupenda Bure tu Sofia
Cute😍 soph
Nakupenda Sophia
Sofi...umekuwa mamaa Ma Shaa llah tabbaraka llah
wow umekuwa.kweli
Mungu ailaze roho yake mahali pema Pepon kanumba
Kanumba angekuwa haï kumbe hapo kashapata demu Tayari😅
Nawapenda Sana Sophia na Jamila
Hongera sana binti wewe ni wa kuigwa kwa mazuri yote mungu azidi kukujaalia zaidi na zaidi 🙏🙏🙏🙏
You've grown up,
Loving you. RIP Steven Kanumba
Safia nikiangalia ukimwita serengoo njo nacheka mie. We serengoo ntakupiga kwenzi wewe sofia mtu wenyewe kikojozi jmnani hii movi ilichezwa vizuri. Sofia km akiongea anatafuta maneno hhh
Hd msasa oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN ua-cam.com/video/Cdyxj5ymOR4/v-deo.html
Good amekuwa alhamndulillah amependeza saana
wowww😮 Sofia?
Nampenda Mama Sophie anajibu kisomi saana
Namukubali
Kakuwa jamani Sofia kanumba ❤❤❤
Nice jamila
Miss yu gul
Malez mungu ndo anajua
Maisha kbs 🎉🎉🎉🎉amekuwa uyo 😮😮😮🎉🎉🎉❤❤❤
Sofia sauti ijabadilika🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jama uko vizur kwakuoji
Amekua ma sha Allah
Waschana wanakua haraka duh 🤔
Mtangazaji unahangaika km kiti kina mwiba vile
😂😂😂
😂
Yaaani
Amesha kua binti❤
Kakua so cute
Waoooooo you're look beauty
Jamaa ana jua kuuliza sana
Mashaallah
Jmn kakuwaaa hatar
Hongela
Mashaallh 😘 your so cute sofi 💕💕💕
Jaman amekuwa
Wow,
Interview imetulia haikeri
Kwa sabab wapo real
Nimekukubali sn mama Sophy
Hd msasa oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN ua-cam.com/video/Cdyxj5ymOR4/v-deo.html
Hio movie ya big daddy nilisumbua mamangu mbaka akanibuyia CD yake Ju ya "why why why"
Jamila barikiwa mamy. Tunakuitaji Sana🙏💓💓
I love my 🇹🇿