TNC - Tunaondoka nae (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 298

  • @omarymbalala6224
    @omarymbalala6224 6 місяців тому +2

    njaa ni mbaya sana

  • @ReekJay
    @ReekJay 6 місяців тому +48

    Ngoma kali sema mlicho imba humo ni usenge

    • @Deezingotz
      @Deezingotz 6 місяців тому

      Usiempenda kaja mama aamua #mamasamia

    • @kiatu
      @kiatu 6 місяців тому +4

      Mimi sijawahi kusikia kitu kama “baba Biden, oh Trump Trump, na Obama jamani”. Hivi sisi hatuna content za burudani 😃😂🤣

    • @samidquiz6316
      @samidquiz6316 6 місяців тому +1

      Idea zimeisha....hakuna ukali wwte wa ngoma ni mbaya mbaya sana

    • @blacksingapore
      @blacksingapore 6 місяців тому

      😂😂😂

    • @lodikitole238
      @lodikitole238 6 місяців тому +1

      hapo umesema kweli broo

  • @richshayo4924
    @richshayo4924 6 місяців тому +6

    Njaa ikihamia kichwani shidaa

  • @BeeFredy
    @BeeFredy 6 місяців тому +5

    Nawakubari Sana ila kumbe na nyinyi NI ma'mkun........ Mnaleta ujumbe WA ki'kum..... Fara Sana

  • @FatumaAli-uc1dh
    @FatumaAli-uc1dh 21 день тому

    Chege Ana bamba sana❤❤

  • @richardc270
    @richardc270 6 місяців тому +1

    NGOMA KALI ILA MUMEIMBA USHENZI

  • @godfreynoah6450
    @godfreynoah6450 6 місяців тому +2

    Wanazingatia maokoto😂😂😂😂

  • @Almostaphiq
    @Almostaphiq 6 місяців тому +5

    Kuimba mmeimba lakini hakuna cha maana mlichoimba coz serikali iko busy uchwara walah

  • @elisifaedsoni
    @elisifaedsoni 6 місяців тому +2

    wanaume hapa mmeniangusha yakweli hayo mliongea kwa ngoma hii au mnataka kwa kampen mpate michongo🤣kuwen waukweli kwa watanzania wote msijitengenezee mazingira kwenu2 hata ikinyesha mvua bado anaupiga mwing🤣😂 mitaaa kiukweli haikubaliani namkisemacho au ndio kwa mgongo wa chupa

  • @ambrosemahimbo5490
    @ambrosemahimbo5490 6 місяців тому +1

    Inchi ya wapumbavu hii na hawa wasanii njaa 😅😅😅😅😅😅

  • @MeshackNkwama
    @MeshackNkwama 6 місяців тому +1

    Usenge uwo

  • @RamaOmary-rq4tz
    @RamaOmary-rq4tz 6 місяців тому +1

    Kumbe nanyie machawa 😮,

  • @ReubenMdashi-vs5mh
    @ReubenMdashi-vs5mh 6 місяців тому +2

    Ningejua mmeimba usenge huu nisingetumia MB zangu, shenzi kabisa

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 6 місяців тому +3

    Hapa wazee ninaowakubar mmezingua kinoma tena sana.. mmeimba nyimbo ya kichawa.. daaaah sikuwategemea aiseee.. km hamna macho!????

  • @alfanndaiga4133
    @alfanndaiga4133 6 місяців тому +1

    Ushiziiiiiiii😂😂😂😂mtupuuuu😮😮😮

  • @whiteteacher9440
    @whiteteacher9440 4 місяці тому +1

    🎉🎉🦁🦁🦁🔥

  • @MeshackGabriel-gx4ve
    @MeshackGabriel-gx4ve 6 місяців тому +1

    Muwe mnasema ukweli achen uchwa ninyi nilikuwa nawakubali asa we cheg kumbe 0 polen amna mana token

  • @hamismagida2259
    @hamismagida2259 6 місяців тому +1

    Mavi mtupu,mnasifia hata visivyosifika ovyo!

  • @LukasMabena
    @LukasMabena 6 місяців тому

    Wamezngua wameimba vitu ambavyo hatuvijui

  • @LukasMabena
    @LukasMabena 6 місяців тому +1

    Wahun wamezngua

  • @AbdalahKhalifa-nx4cm
    @AbdalahKhalifa-nx4cm 5 місяців тому

    Umetisha

  • @SudiMusa-ey6xm
    @SudiMusa-ey6xm 6 місяців тому

    Mshafika vijijini mkakuta maji au manimba kupamba ujinga

  • @nichoojr.6747
    @nichoojr.6747 6 місяців тому +2

    Hata uyo Mama mwenyewe akisikia huo wimbo atawaona mmechanganyikiwa Maana hayo Mlioimba mlipaswa mumshauli ndo Afanye kipindi Akipata Nafasi Ya Kushinda Uraisi
    Ila nyie Majamaa Kweli Mlianza Kurudi Vizuri Tatizo Miadara... Ndo imewapelekea Kutoa Kazi mbovu ... Uzuri wa Huyu Mama anajua Machawa na ambao ....😅😅😂😂

  • @BeeFredy
    @BeeFredy 6 місяців тому +2

    Sound Kali ujumbe NI upumbavu mtupu Bora mgeimba hata matusi Kwa sound hiyooo

  • @Ayoubsambo
    @Ayoubsambo 6 місяців тому +2

    Ngoma nikal ,ila ujumbe wenu hauendan na uhalisia uliopo,kwamfano mama ameongeza deni nasio kulpa den

  • @robinsonshoo6754
    @robinsonshoo6754 6 місяців тому +18

    Usenge sana huu wazee nawakubali sana skutegemea hili kutoka kwenu shenzi type wazeee

    • @durukibaura3456
      @durukibaura3456 6 місяців тому +1

      Lazima wafanye hivi ili warudi mjini

    • @robinsonshoo6754
      @robinsonshoo6754 6 місяців тому +1

      @@durukibaura3456 wao ni malegend Wana mashabiki wao muda wao ulishapita wakati haupo tena na wao awawezi kurudi mjini ila wanaweza kupata hela na kuishi vzur ila sio kwa njia kma hii

    • @calvinelia6441
      @calvinelia6441 6 місяців тому

      ​@@robinsonshoo6754🤝

    • @robert4g189
      @robert4g189 6 місяців тому

      Kwani lazima kuwapenda mzee pita kule kama hujakubali.

    • @robinsonshoo6754
      @robinsonshoo6754 6 місяців тому

      @@robert4g189 wapuuzi kama nyie ndo mnasababisha nchi maendeleo hatupati

  • @MichaelNyika-rj6sg
    @MichaelNyika-rj6sg 6 місяців тому

    nawakubali cna toka zaman lkn kwa hii.mmeimba umbuzi tu

  • @salimbuda4347
    @salimbuda4347 6 місяців тому +1

    ira kweli kwsha kupo
    ivi hawa wanaimba nin sasaivi mbona kazi zakufanya ninyingi kwani razma wote tyuimbe jamani 🤣🤣🤣

  • @AhmadaDunia-n2u
    @AhmadaDunia-n2u 6 місяців тому

    Ngoma kali

  • @irene4really
    @irene4really 6 місяців тому +4

    Vijiji gan mnaongelea hvyo vyenye maji na umeme au kijiji nilichopo mimi hakimo ndani ya tanzania

  • @georgemuthokasyala8026
    @georgemuthokasyala8026 6 місяців тому

    Machawa wa Raisi mnaupiga mwingi

  • @JoismanDady
    @JoismanDady 6 місяців тому

    Ngoma mbovu mnoo melod za kitaaaambo mno

  • @mbalaga259
    @mbalaga259 6 місяців тому

    huo niuchawa 😂😂 kaka zangu mitaan Kuna watu Wana teseka sana

  • @joanesotieno6936
    @joanesotieno6936 6 місяців тому +1

    Nimefurahi kuwaona tena pamoja

  • @ShafiiShauri-zn8ej
    @ShafiiShauri-zn8ej 6 місяців тому

    Wape tunzo mama samia hao ndo wenye mziki sio watoboa pua mipasho tu

  • @dismasjerome1658
    @dismasjerome1658 2 місяці тому

    Hii ni kwaajili ya uchaguzi

  • @joycekaishozi1177
    @joycekaishozi1177 6 місяців тому

    nyimbo nzuri😅

  • @RashidiLukoka-rp6wr
    @RashidiLukoka-rp6wr 6 місяців тому

    Ngoma kali ila ilo jina ma samia tusingelisikia kabisa,

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 6 місяців тому

    Hzi njaa ndo zinafnya hayo yote😢😢

  • @mwakalingaabas981
    @mwakalingaabas981 6 місяців тому

    Kujipendekeza tu kwa mama ni ujinga

  • @bobramaphyno2987
    @bobramaphyno2987 6 місяців тому

    Nyinbo za kujipendekeza😀😀

  • @Bizzy176
    @Bizzy176 6 місяців тому

    Wasanii wa bongo bana kwani lazima wote muwe machawa wa serikali mbona hamuimbi kero za wananchi 😳😳😳😳😳😳

  • @fantacyfour8040
    @fantacyfour8040 6 місяців тому

    Dah ndio nn hii

  • @movieseries11
    @movieseries11 6 місяців тому +2

    Yaan mmezingua sana ,kama hamna vya kuimba ni muache tu

  • @richardkwayson7202
    @richardkwayson7202 6 місяців тому +3

    Beat na melody Kali ila ujumbe wachumia tumbo... Kwa 2025

  • @edwardedo9116
    @edwardedo9116 6 місяців тому

    Sasa ndio nn hiki 😳😳

  • @rizikiones5687
    @rizikiones5687 6 місяців тому

    Mmeimba ujinga

  • @shabanfitnesstv3977
    @shabanfitnesstv3977 6 місяців тому

    Ney wa mitego,

  • @bonnytv9263
    @bonnytv9263 6 місяців тому +1

    Wasenge imbeni mziki acheni mambo ya siasa

  • @valentinesyekeye6846
    @valentinesyekeye6846 6 місяців тому +1

    😢😢😢😢

  • @mastaplan83
    @mastaplan83 6 місяців тому +1

    Maswali ya serikali tuachie Roma msema kweli nyie mnasifia serikali isiyofanya kazi kabisa!!

  • @DavidBulali-vx9ln
    @DavidBulali-vx9ln 6 місяців тому +1

    Wakongwe hamna baya kazi nzuri

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 6 місяців тому

    Mnajua deni la taifa limefikia kiasi gani hilo mnasema limelipwa ni lipi

  • @KhalphaniMussa-xz2wv
    @KhalphaniMussa-xz2wv 6 місяців тому +1

    Sikutegemea kama nanyie niwanafki kiasi hiki shenz kabsa

  • @NourdnNourdn-v9q
    @NourdnNourdn-v9q 6 місяців тому +1

    Nawaeshim sana ila mlicho imba niusenge mkubwa kudadeki

  • @babajohnii4610
    @babajohnii4610 6 місяців тому +1

    Wazee pumzikeni muda wenu ulishaisha, naona mnaanza kuwa machawa sasa

  • @umraumi3
    @umraumi3 6 місяців тому

    Karibuni Natena,tulikuwa tuna kosa sauti Hizi bros Bigups Munoooo...

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 6 місяців тому

    Nyimbo za machawa

  • @remytory8001
    @remytory8001 6 місяців тому

    Hii melody na beat ungetumia kuimba vitu vingine ingekaa poa zaid

  • @JumaNantema-wu7ri
    @JumaNantema-wu7ri 6 місяців тому +2

    Nyimbo Kali sana sema uyo mlo msifia c kwel kabisa ukawa gonga like hapa

  • @Fortune-x5q
    @Fortune-x5q 6 місяців тому +2

    Wakongwe ❤❤❤❤❤❤

  • @masoodharuna8975
    @masoodharuna8975 6 місяців тому

    TEAMWORK PAMOJA SANA

  • @hezronsanga5197
    @hezronsanga5197 6 місяців тому +2

    Had Chege ,Nature nao ni kinamwijaku duuh

  • @Duma700
    @Duma700 6 місяців тому

    Upuuzi mtupi

  • @MasuruliGeorge-wi1nd
    @MasuruliGeorge-wi1nd 6 місяців тому

    Mnazingua acheni uchawa babulai mmeimba usenge wazeee kwani hamjui kitaa ni kugumu nyie mabrother wakuda

  • @freakboy1804
    @freakboy1804 6 місяців тому

    Mshachukua chenu mapema na sisi chetu kikwap

  • @KanalIdrissah-dh5hj
    @KanalIdrissah-dh5hj 6 місяців тому +1

    Hapo mmefeli kuimba hayo mapambio wazee, tunawakubali ila hapo dah😂😂😂😂

  • @JumaNassoro-q2p
    @JumaNassoro-q2p 5 місяців тому

    Hapo wakubwa mngeirudia tu Ile nyimbo ya anafaaa ya TMK INGEKUA NI NOMA SANA

  • @muhambwetvonline
    @muhambwetvonline 6 місяців тому

    Muda wa kutafuta maokoto kwa mama uchawa dili sana siku hizi

  • @alexmuli1681
    @alexmuli1681 6 місяців тому

    Chege apo ndo kaimba

  • @dvjvandeez5064
    @dvjvandeez5064 6 місяців тому +2

    Wagwan🤙

  • @Ally-qi7xo
    @Ally-qi7xo 6 місяців тому

    🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @JayMohamed-td5lk
    @JayMohamed-td5lk 6 місяців тому

    Kumbe mmeungana kuja kupiga ela za mama😂😂😂😂

  • @SundayMshallah
    @SundayMshallah 6 місяців тому +1

    Kweli ni uxenge walichoimba

  • @AllyramadhaniRamadhani
    @AllyramadhaniRamadhani 6 місяців тому

    Ngoma kari ila sijakielewa mlichoimba

  • @bensonkariuki5843
    @bensonkariuki5843 Місяць тому

    Iko wapi hiphope tbts

  • @manasesbarasa6698
    @manasesbarasa6698 6 місяців тому +1

    Hapa nayo mmechemsha vibaya.

  • @MasterJay-vr6dc
    @MasterJay-vr6dc 6 місяців тому

    Wasanii wamekua machawa wa Rais😅

  • @yohanalukindo3737
    @yohanalukindo3737 6 місяців тому

    Mh acha tu nikae kimya mana kila mbuzi anakula alipofagia

  • @musaogira8375
    @musaogira8375 6 місяців тому

    mme Anza Tena ushamba wenu

  • @ezraernsti1925
    @ezraernsti1925 6 місяців тому

    Wanamuimbia ili wapte shoow za kampeni 25

  • @kamandashupavu206
    @kamandashupavu206 6 місяців тому +1

    Nimemiss sauti zao tu ila mashahiri kama mavi ya bata

  • @beniardajuna2580
    @beniardajuna2580 6 місяців тому

    Piga nyimbo nyingi ila tupe ngoma zetu

  • @MfaumeHaruna-rc6hb
    @MfaumeHaruna-rc6hb 6 місяців тому

    Mmmm!! Saw

  • @Mkinga_og
    @Mkinga_og 6 місяців тому +2

    Mmeamua kuwa machawa sasa

  • @marrowog8975
    @marrowog8975 6 місяців тому

    Safi

  • @boxdad
    @boxdad 6 місяців тому +1

    Ngoma kali ila kwenye madeni uyo mnae muita mamaenu kaongeza deni

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML 6 місяців тому

    Kumbe awa jamaa ni wasenge hivi!!!kumamaye na sijui ht wamepewa shilingi ngapi wamepewa had kumsifia mtu pasipo zur lolote alilolifanya huyu mama zaid ya kutupandishia bei kila kitu katika nchii hii!! DAAH HII NCHI YA HOVYO SANA!!😴😴

  • @magga_v
    @magga_v 6 місяців тому

    Mme iba nyimbo ya ukawa

  • @DaudiMwampashi-ux8so
    @DaudiMwampashi-ux8so 6 місяців тому

    Munaimba ccm ili iweje sasa

  • @cosbytz2370
    @cosbytz2370 6 місяців тому

    Acheni Upuuzi

  • @bobnasser862
    @bobnasser862 6 місяців тому +1

    Usenge sana

  • @Jofuboy
    @Jofuboy 6 місяців тому +12

    Wanao mkubali chege gonga .like twend sawa❤🎉

  • @YUSUPHOMARY-r7l
    @YUSUPHOMARY-r7l 6 місяців тому

    Chigunda hkisei

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 6 місяців тому

    Nature hua hapotei kbsa...kafinika kimpango wake😅

  • @HamisiHamisi-xo2uo
    @HamisiHamisi-xo2uo 6 місяців тому

    Kila mtu anajua jinsi ya kupata tonge

  • @mwinyikombe1786
    @mwinyikombe1786 6 місяців тому

    Ngoma kali Sana ✌.
    Respect kwa Pfunk kuumiza kichwa.

  • @Ally-rt2fw
    @Ally-rt2fw 6 місяців тому +1

    Nyimbo nzuri ila mekua machawa

  • @Jowzeywithhealth
    @Jowzeywithhealth 6 місяців тому

    Ngoma mbovuuuuu sana 0%😢

  • @SuleimanKhamis-u9h
    @SuleimanKhamis-u9h 6 місяців тому

    Dah bado mnamsifia uyu
    Kweli uchawa kazi
    Beat hamjaifanyia haki hata kidogo