Shena ameongea vizuri sana. Hizo tabia za wabongo zakurukaruka na watu tofauti zinachukuliwa kawaida lakini siyo kawaida kabisa. Watu wamepoteza hofu ya Mungu.
Kaka nakupa mayao yako mengi tu🌹🌹🌹🌺 yaani umegongelea msumari haswaa wadada wa Bongo wanasikitisha ya Mtu kukupenda ndio Shangazi wadogo zako Mama hawalee mpenzi na sio Mume bado thats Scary mnafanya wakaka wanaogopa!!!!
Wanawake wa kibongo sijui ni umasikini au culture yetu namba siku moja shangazi kafa mama kamezwa na bata wanawake wa kibongo stress kwenye mahusiano umasikini mwingi
Afadhali waambie ukweli. Maana hawaelewi kuwa kumsaidia mkeo ni kawaida....wao wanaleta umwinyi Ughaibuni. Mie nililiacha limwinyi la KIBONGO BAADA YA KULILETA UGHAIBUNI, LIKAWA KAMA LITOTO NA LIMALAYA WA KUTUPA, LINAENDA BONGO NA KUFUJA PESA NA WAMALAYA WA KIBONGO....😂😂😂SIKU NILIPO LIACHA HALIKUAMINI MACHO YAKE....😂😂😂
Please subscribe kwa UA-cam yake
ua-cam.com/video/FoWS6UtmieY/v-deo.htmlsi=aDDSjkS--ESitTTE
Instagram : jackie8_
Hello shena mzima hapo na Familia yako ,please naomba unisaidie namba yako tuchati wasapu kuna kitu nahitaj unisaidie but niko canada
Hongera sana Spiderman ndo.mana ukapotea
Shena ameongea vizuri sana. Hizo tabia za wabongo zakurukaruka na watu tofauti zinachukuliwa kawaida lakini siyo kawaida kabisa. Watu wamepoteza hofu ya Mungu.
Mnoooo
@@OfficialDatingAssistanceshena kwnye story kama hizi unachangamka kweli ...meno yote yanaonekana
@@DINASSOURstory za maloviedavie 😁
Hongera kaka yetu 😅Spider Man wetu 👏👏👏
Nakumbuka Wema Sepetu alikuponda sana 😂😂 ona yeye yupo sweken chumba cha kukodi na kibenten😢
Huyu Wema ameji waste sana na Hana kitu ss hv ni kujishikiza na vijana wadogo tu
HONGERA SANA SPIDER 🕸 MAN 🥳🥳
Kaka nakupa mayao yako mengi tu🌹🌹🌹🌺 yaani umegongelea msumari haswaa wadada wa Bongo wanasikitisha ya Mtu kukupenda ndio Shangazi wadogo zako Mama hawalee mpenzi na sio Mume bado thats Scary mnafanya wakaka wanaogopa!!!!
Walimjuaje kama mtu wako kama hujawqtambulisha?tujifunze kuwa wasiri jamaani kila siku tunaambiwa humu,tujifunzee❤❤
Mungu azidi kukulipa kheri kipenzi kwa madini yako unayozidi kutupatia kila siku.❤❤❤❤❤
Shukran kwenu pia kwa kushare na kufunza jamii ❤
Yani wabongo ni shidaa,wivu umejaa sana,hawapendi maendeleo ya wenzao,hongera kijana umepata penzi la kweli.
Atimae kaka yetu yuko hapaa ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️ na katoa nondo
@@OfficialDatingAssistance ndio maana wangu namficha kama bangi Niliyo yaona yanatosha kwakweli Aibu kwa Wafrica
Khaaa😂😂😂 mefrahi kukuona
Hahaha leo puwa wetu yupo hapa 😂😂♥️🥰
Hmmm
Connection muhimu
😁
S@@OfficialDatingAssistanceda shena naomba connection plz ya usa
tupo pamoja shena❤❤❤
Vizuri sana❤
Wanawake wa kibongo sijui ni umasikini au culture yetu namba siku moja shangazi kafa mama kamezwa na bata wanawake wa kibongo stress kwenye mahusiano umasikini mwingi
Kamezwa na bata 😂😂😂
@OfficialDatingAssistance hatari dada tutafika tukiwa hoi
Mmmmmm natamani KUELEWA UWO umasikini wa wanawake WA kibongo
I’m uum you know 😂😂😂khaaa
Good ❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
Kila jambo au kila kitu lazima kuwe na sababu kwa hiyo yeye kupata Mzungu sio miujiza!!!
Wote wawili wamekutana Washamba na malikumbukeni
Nani ameona mkaka ana vidole vizuri?😅😅😅
Wewe 😁
😂😂😂😂😂
Dada jack namtafuta sana hata sms zangu hajibu
Anatumia jina gani
Nmefurah tu baaada ya kumuona superder
Spider
Kweli 😂😂superder 😅
Uyu kaka nime mu chat fb aka nionyesha madharau hakujibu ila ame soma akujibu mbaka leo
Sio madharau, inategemea Umeuliza nini kaka
Acha tabia hiyo ya kukataa mauno tafadhali,aipendezi kweli kwa kijana kama wewe
Afadhali waambie ukweli. Maana hawaelewi kuwa kumsaidia mkeo ni kawaida....wao wanaleta umwinyi Ughaibuni. Mie nililiacha limwinyi la KIBONGO BAADA YA KULILETA UGHAIBUNI, LIKAWA KAMA LITOTO NA LIMALAYA WA KUTUPA, LINAENDA BONGO NA KUFUJA PESA NA WAMALAYA WA KIBONGO....😂😂😂SIKU NILIPO LIACHA HALIKUAMINI MACHO YAKE....😂😂😂
😂😂😂😂 umelikomesha,wamezoea mfumo dume wa kiafrika,😂😂
Hongera kwa kuchukua maamuzi magumu mana watu hawajielewi ukipata fursa lazima kuchacharika
Karibu sana kwa kipindi upate kutufunza jamani
Tuwasiliane
WhatsApp +4367764790884
😂😂😂 mbona limwinyi
Ha haaa umeandika Kwa hisia jamn sio Kwa kuliacha huko ,,,, hongera kwa kujitambua
Shena samahani naomba kumpata Hawa ulimhojj wiki iliyopita nafikri ilikua alhamisi
UA-cam channel yake nimeipin kwa comment ya ile video
Nambie dear mimi Hawa
@@RustamaibazovWatumia jina gan utubu hawa tuwe tunakusapoti
@@RustamaibazovWatumia jina gan utubu hawa tuwe tunakusapoti
Hawa watumia jina gan utubu
Acha uzungu mwingi wewe
😂😂
Kizungu kimeanza mmh you know
😅😅😅
Ni lugha tu kuna ubaya gani acheni hizo wabongo