Assallam aleikum Tafadhali sio madaa kutumia anuwani kama hii mtu akitaka kuzini na mke wamtu toba yake kama hivi, wasioelewa watatumia fursa kwa uzinzi Shukran
LETE DALILI KUTOKA KWA رسول الله صلى الله عليه. IMAAMU GHAZAL KAYATOA WAPI HAYO? ALLAH AMESEMAJE KTK QUR"AN? MNAACHA ALIYESEMA رسول الله صلى الله عليه وسلم MNALETA YA IMAAMU GHAZAL
Toa wewe hizo dalili mana nyinyi vijana wa siku hizi kila kitu mnajua wakati ukute mtu hata alif haijui. Sasa km unaona kakosea au kasema urongo pinga kwa dalili
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة
Visa vizuri Masha Allah... shukran ustadh
Assallam aleikum Tafadhali sio madaa kutumia anuwani kama hii mtu akitaka kuzini na mke wamtu toba yake kama hivi, wasioelewa watatumia fursa kwa uzinzi Shukran
MashaALLAH
Huyu mzee anajibu bila elimu wallahi
Subhanallah maswahaba waliita kungwi kuthibitisha na ilikua ishabainika?
Hukmu ni ile ile ya kuuliwa
Makubwa hayo,
Swali langu je apo walipo shikana japo hawajazini kwa kupenyeza uume, ila zinaa itakuwa imekaribia..Swali langu inafaa kuowana walie karibiana zinaa?
Ndio wanaweza kuoana bora watimize masharti ya ndoa
1.walii wa mke
2.mashahidi 2
3.muozeshaji
4.anaeolewa
5.anaeoa
@@al-furqan3639 Asante Sana Kwa jibu Allah akubarik
Na mahari ????
LETE DALILI KUTOKA KWA رسول الله صلى الله عليه. IMAAMU GHAZAL KAYATOA WAPI HAYO?
ALLAH AMESEMAJE KTK QUR"AN?
MNAACHA ALIYESEMA رسول الله صلى الله عليه وسلم MNALETA YA IMAAMU GHAZAL
Soma ndugu yangu acha kuonga wanazuon yan maneno ya imamu ghazal pia huamin ww umepswa c bure
Toa wewe hizo dalili mana nyinyi vijana wa siku hizi kila kitu mnajua wakati ukute mtu hata alif haijui.
Sasa km unaona kakosea au kasema urongo pinga kwa dalili
Basi ngoja tumskilize Albani