@@hadijajumangangua9075 acha uongo wewe clip zake zimo humu mtanadaoni....huyu babu si ndo yule MUONGO ANAEDANGANYA ETI SAMAI DAWA YA UKIMWI...????NAMSINGIZIA??????NYIE WAPIGA MADUFU NGOMA HALAFU MWACHEZA KAMA MAKRISTO HALAFU MUNASEMA HUU NI MAZAZI YA MTUME?????ETI ENYI WAZUSHI
Alhamdulillah ALLAH kunijaalia kupata talaqqiy kutoka Kwa shekhe Muhammad Al beidh radhiallahu anhu
MashaaAllah ilmu safi hii
Mashallaah Shukran sanaa Raha sana
رضي الله عن عالمنا هذا
amiiiina
Ni bahati walio soma kwa ustadh Albeidh
Nasisi tumepata uhodari wa kulinda na kuhifadhi maulidi,fatia,khitma,barzanji,kunyoa ndevu,kurefusha kanzu na kama hayo .
Shk alitetea sana maulidi,fatia,khitma,barzanji na bidaa zote kwake bidaa zingine zilikuwa sawa
Na maulidi na kuabudu makaburi ulisoma kwa nan ewe babu
Sanad yake Ameitaja tutajiye wewe sanad yako kama wafaa
Hakuna anayeabudu makaburi chunga mdomo wako
Amesoma Kwa Babu yako
@@ustadhayub8733 huyu babu si ndo yule anaepiga nyambu na fiks eti SAMAI NI DAWA HADI YA UKIMWI....????