Huyu mzee ni hatari sana katika suna za mtume swalallahu aleihi wasallam haogopi hata kusema uongo ana ghuluu eti sikumbuki kumuasi Allah huko kusema tu hivyo nikumuasi Allah kuna maaswia makubwa kushinda hayo
Unaweza ukawa occupied na amali za kheri naam usikumbuke kama umeasi pamoja na kwamba kila Binadam ana makosa pengine kakusudia makosa makubwa makubwa jee hee hebu wacha tabia za firaun mtu keshakufa mpeni udhuru
@@Khalid-mf3iu alizikejeli wapi wako watu wema hata ibilisi alisema kumwambia Allah atapoteza watu ispokua waja wake wema kwahio wako ambao hamuasi Allah
Akizungumzia watu wengine fahamu yao nzito na wapenda kulala, lakini jamaa zake maa shaa Allah werevu!!! Breki pia alikuwa kitwa kizito... ndio aongoze mombasa! Hhhhhhhhhhhhhhhh jamaa pangeni uongo tartibuni jamaa.... watu sio wajinga...😂😂😂😂😂
Wajicheka ama wajichekea kama kwenu hamuku jaaliwa watu kama hawa wala hakuna tamaa basi usipinge wala usikanushe ukiona wenzio wamejaaliwa maana ni kazi Allah ndie alie amua iwe hivyo
Wewe unaonekana unaijua vizuri ibada ya makaburi tufundishe na sisi tupate kuijua kisha utupatie ushahidi kua shekhe ni muabudu makaburi ikiwa huwezi basi wacha kuropokwa
@@al-furqan3639 ua-cam.com/video/opyhudRq76o/v-deo.html ushahidi uyo kama utabisha powa ila video yake hiyo na anapana maji kama niya maiti kama niya upako hahahahaha shida
@@Team-t6k wewe wasikia maneno ya mashekhe kinyume hiyo link umetuma nimeisikiza mpaka mwisho hajataja ibada wala kuabudu amesema athari za hao walio fariki ndio wanazozitaka wala sio kuwaabudu na masuala ya athari za wema walio fariki zimetajwa mpaka katika Qur'an sijui huelewi au wafanya kusudi..
@@ramadhaniomary9241 eti damu ya mtume mtume swalallahu aleihi wasallam anadamu chafu kama hiyo ya kumchafua na kumuharibia mafunzo yake someni msifanywe watumwa wa fikra achilia damu hata mate ya mtume swalallahu aleihi wasallam hafiki huyo mzee mzushi
Mola amrahamu shk letu mlezi wetu kiongozi aliyeongoza umma huu kwa njia ya taqwa
Mashaa allah tunajipatiya faida kubwa kwa shekhe ietu allah amrahaamu. Na hizi ndizo elimu safi.
Maashaallaah tunasikia raha kuwajua mabwana wakubwa wenye uchamungu
Mashaàla
Mashallah
Masha Allah
Ilikuwa hasinzi kabisa maajabu hayo
Huyu ni mshenzi Hana adabu Jahan am
Mawahabi munachuki na wanazuoni tushawazoweya
Huyu mzeee alikuwa muongo
Allah amsamehe makosa yake
Hakosei ye mtume
Usamehe wewe unaemdai mtu ni muongo kwa jambo ambalo huna uhakika nalo pia Ogopa mtu mwenye nasabu ya mtume swalla allahu alaih wa aalih wa sallam.
Huyu mzee ni hatari sana katika suna za mtume swalallahu aleihi wasallam haogopi hata kusema uongo ana ghuluu eti sikumbuki kumuasi Allah huko kusema tu hivyo nikumuasi Allah kuna maaswia makubwa kushinda hayo
Tahadhar na maneno yako kwa watu usowajuwa ukweli wao hebu wacheni maradhi ya chuki
Unaweza ukawa occupied na amali za kheri naam usikumbuke kama umeasi pamoja na kwamba kila Binadam ana makosa pengine kakusudia makosa makubwa makubwa jee hee hebu wacha tabia za firaun mtu keshakufa mpeni udhuru
Hufanya dhihaka hta na kuzikejeli sunna za mtume
@@Khalid-mf3iu alizikejeli wapi wako watu wema hata ibilisi alisema kumwambia Allah atapoteza watu ispokua waja wake wema kwahio wako ambao hamuasi Allah
wewe huna akili kabisaaa Yani unajifananisha nahuyo mwanazuoni? wewe huna akili wahabi mkubwa
Kama halali ni malaika huyo basii😂
Kuna mzee kushoto mpka kainamisha kichwaa😂,maana daah ni uongo ulopitiliza😂😂,zee lilikua ongo hilii😂
huna adabu kabbisa
@@aninanichasi422 kuna adabu bora kama kutokua muongo
Tuliosoma vyuo vya kitwarika tunajielewa sio hawa wengine
Eti miaka 18 hajalala
Siku tatu tu mahututi
Acha uongo Kwan yye ni Maa'sumeen
Hapo hujaelewa wapinga Nini Nani kakuambia nimasuum
Tatizo la mawahabi ni uelewa miaka yote hajasema hafanyi dhambi amesema hakumbuki
Mrongo loo
Kwani alikuwa ni maasumi hamuaswi Allah, hiyo ni ghulu hafai kumsifu mtu hivo, kwani ni mtume yeye hajawahi kumuswai Allah hata siku moja!
Hajasema ni maasumi wala hajasema hamuaswi Allah bali amesema hakumbuki kumuaswi Allah sikiliza maneno vizuri usikurupuke..
Sikiliza vizuri Akhii.. Usikosoe Wanazuoni kwa kurupuka
Hapo huelewi kitu anayoongea Al Allaamah beidhi yako juu ya Akili yako na kiwango Cha maarifa yako. Yaache ya wakubwa
Hio ni historia watu wamemuona mtu mkubwa huyu akifanya mambo mema sasa na wewe tupe historia ya babuzako ..walikua wakifanya nini? Kula marungi ama??
@@al-furqan3639 labda hifdh yake ilikuwa ndogo alilolifanya jana Leo halikumbuki
Yeyote mwenye kumkanusha huyu Ustadh alraahil almarhum Alhabib Mohammed Al-Beedh ni hao katika kundi 'khawarij alsalafiyatul wahabbiyya'.
Akizungumzia watu wengine fahamu yao nzito na wapenda kulala, lakini jamaa zake maa shaa Allah werevu!!! Breki pia alikuwa kitwa kizito... ndio aongoze mombasa! Hhhhhhhhhhhhhhhh jamaa pangeni uongo tartibuni jamaa.... watu sio wajinga...😂😂😂😂😂
Kama alichosema ni urongo Allah atamhukumu, na kama alichosema ni kweli basi na wewe Allah atakuhukumu Kwa kumuita muongo.
Hhhhhhhhhhhhhhhh hhhhhhhhhhhhh hhhhhhhhhhhhhhhh jamaa kidoogo punguzeni majaka... hhhhhhhhhhhhh 😅😂😂😂😂😂 ukitunga pima kidogo kuna wajanja wajanja wataelewa!!!
Wajicheka ama wajichekea kama kwenu hamuku jaaliwa watu kama hawa wala hakuna tamaa basi usipinge wala usikanushe ukiona wenzio wamejaaliwa maana ni kazi Allah ndie alie amua iwe hivyo
Hivi kama haya aliyoyasema ni uongo yeye anapata faida gani? Kila mtu atahukumiwa Kwa nafsi yake, jitazame wewe Kwa nafsi yako
Muabudu makaburi uyu mzee
Allah amuongoze
Wewe unaonekana unaijua vizuri ibada ya makaburi tufundishe na sisi tupate kuijua kisha utupatie ushahidi kua shekhe ni muabudu makaburi ikiwa huwezi basi wacha kuropokwa
@@al-furqan3639 ua-cam.com/video/opyhudRq76o/v-deo.html ushahidi uyo kama utabisha powa ila video yake hiyo na anapana maji kama niya maiti kama niya upako hahahahaha shida
@@Team-t6k wewe wasikia maneno ya mashekhe kinyume hiyo link umetuma nimeisikiza mpaka mwisho hajataja ibada wala kuabudu amesema athari za hao walio fariki ndio wanazozitaka wala sio kuwaabudu na masuala ya athari za wema walio fariki zimetajwa mpaka katika Qur'an sijui huelewi au wafanya kusudi..
Niuzuri kuongea kitu Kwa ilimu sio kudhanja kuna masuliya mbele ya Allah
Eti ilikua halali na watu wametulia hapo wanakaribishwa uongo
Ww ndio mrongo anao wataja twawajua na kweli watu walikua hawalali wakilala masaa matatu sio kilala kama ww
@@fikafikan8484Achana na watu wajinga hao.
Huu ni upuzi mtupu, daawa Salafiyya ndio dawa ya haqq pekee. Hizi khurafat zote hakuna
Huyu kumsikiliza haifai labda kwa wasomitu wamsikilize ili wawatahadharishe watu kutokana na upotovu wake
Mmefika mahala Safi sana mpaka mnatukana Damu ya mtume Inna lillahi waina lillahi Raj,uun
@@ramadhaniomary9241 eti damu ya mtume mtume swalallahu aleihi wasallam anadamu chafu kama hiyo ya kumchafua na kumuharibia mafunzo yake someni msifanywe watumwa wa fikra achilia damu hata mate ya mtume swalallahu aleihi wasallam hafiki huyo mzee mzushi
huyu mwanafunzi wa mwanafunzi wake mmoja aweza kukusomesha wewe na familia yako yote na kama wataka challenge nakupa njoo usomeshwe mpotofu wewe.