Angel Benard - Asante ( Official Music Video )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 973

  • @AngelBenardWorship
    @AngelBenardWorship  4 роки тому +538

    Siwezi kuelezea kiasi gani ninawashukuru kwa kuwa baraka siku zote. Nanyenyekea mbele za Mungu, na namshukuru kwa ajili ya kila mmoja anaetazama, anaeshare, na kutamka mema. Mungu wa mbinguni akumbuke sadaka ya mema haya.
    Nawapenda.

    • @wokovu5823
      @wokovu5823 4 роки тому

      Amen

    • @ndugalisamson4793
      @ndugalisamson4793 4 роки тому +1

      Mega love dear Sissy.... ❤ 🙇🙇🙇

    • @nitikekubetta9152
      @nitikekubetta9152 4 роки тому

      Tunakupenda pia umefanyika baraka maishani mwetu

    • @rosemarykimuli2148
      @rosemarykimuli2148 4 роки тому +3

      Amen mtumishi aisee hata sijui nisemeje but nimebarikiwa sana sana sana.. Huyu MUNGU unaemtumikia ni maombi yangu asikuache hata dakika moja .. Akuinue sana akustawilishe mng'ao wa uso wake uwe juu yako da angel atakae kutazama amuone MUNGU halisi. .. Dada nanyenyekea.

    • @nurumshani1991
      @nurumshani1991 4 роки тому

      God bless you Pastor Angel, huwa unanirudisha kwenye mstari nakutiwa nguvu kila nikusikiapo, libarikiwe na tambo lililokubeba miezi tisa

  • @Ambmercymasika
    @Ambmercymasika 4 роки тому +418

    Halleluya ... sauti ya kupendwa na shukrani, thank you sister for always being a voice of service and ministry... love everything about this SONG , na mungu uliyotenda hayoooo ndio utatenda .... uuuuuiiii

    • @allanaloyce5317
      @allanaloyce5317 4 роки тому +1

      GOD BLESS YOU dada Mercy for the support

    • @raphaelntambi6404
      @raphaelntambi6404 4 роки тому +4

      Bless u mercy it seems ni pacha wako huyu coz there is a internal connection nai sense between you guys

    • @sheyllahchosen9697
      @sheyllahchosen9697 4 роки тому +1

      You are also blessed dear I bless the Lord for your ministry too

    • @sheyllahchosen9697
      @sheyllahchosen9697 4 роки тому

      @@raphaelntambi6404 nikweli kabisa wanakaanga mapacha

    • @marypatrick7791
      @marypatrick7791 4 роки тому +1

      Mercy Masika is another lover of me mna vipaji hakika

  • @emmanuelstephano8335
    @emmanuelstephano8335 4 роки тому +171

    Kama Mungu ameondoa COVID19 Tanzania gonga likes twende sawa

  • @Phiphi31
    @Phiphi31 4 роки тому +105

    If you know u have listened to this song more than 10times pass those likes and stay blessed 🙌

    • @charitykinuthia4424
      @charitykinuthia4424 4 роки тому +1

      Me here,and still listening..this woman is soooo blessed

    • @maryannemwangi168
      @maryannemwangi168 4 роки тому

      13times she is a blessing oo if she only knew the number times I listen to her songs and some I cry wow 💯 I am blessed 💕

    • @suemusonda5192
      @suemusonda5192 4 роки тому +1

      Kikiki...I keep playing it.

  • @alreadyblessed3474
    @alreadyblessed3474 4 роки тому +44

    Wimbo una mafuta matakatifu.Ee Mungu naomba uendelee kututunzia Angel wetu mpaka ukamilifu wa nyakati ili aendelee kulitumikia kusudi aliloitiwa hapa duniani. Kumtumikia Mungu si kitu sana ila KUDUMU ktk utumishi hadi umalize mwendo na watu waige IMANI yako hapo ndio mtihani.Lakini tunayaweza mambo yote ktk Yeye (Kristo) atutiaye Nguvu.Mungu akutunze Dada Angel.

    • @AngelBenardWorship
      @AngelBenardWorship  4 роки тому +2

      Ameeen ndugu yangu. Umesema kweli kabisa. Mungu utusaidie

  • @elgraziano
    @elgraziano 4 роки тому +16

    'Hawa wanataja magari, wale wanazisifu mali, sisi twakutaja Wewe, Mungu usiyeshindwa' Gonga Like hapa kama ulikipenda hicho kipande😊

  • @emmanuelstephano8335
    @emmanuelstephano8335 4 роки тому +6

    Watanzania msiniangushe bana. Gonga likes kwa hiii neema aliyoiachia juu ya huyu Dada angel. I felt the anointing nilipousikiliza huu wimbo

  • @ezekieldisoile7650
    @ezekieldisoile7650 4 роки тому +68

    So creative sister Angel,,,God bless you more
    "hao wanataja magari,wengine Mali...sisi tunakutaja wewe Mungu usiyeshindwa"..
    If you like this verse plzz ..where are you??!

  • @Roselyne-o5y
    @Roselyne-o5y 4 роки тому +94

    Wangapi usikiza mafundisho yake...she has a powerful teaching as well as singing...Such an amazing song👏

  • @annointamani3285
    @annointamani3285 4 роки тому +11

    MUNGU AMEWEKA KITU KIKUBWA SANA KWAKO.
    NABARIKIWA KUKUONA TENA HEWAN KWA WIMBO WENYE UJUMBE ULIO MBEBA YESU MZIMA KUWA TIA MOYO WATU .

  • @faithjoseph6641
    @faithjoseph6641 4 роки тому +26

    Huu wimbo ni kama doze kwangu nausikiliz asubuh, mchana,jioni na usiku kabla ya kulala💜❤️✨Wooow woooow May God protect U for Us yaan huu wimbo umekuja kwetu kwenye wakat na majira sahihi eeeh Mungu hatuna cha kukupa wewe zaidi ya kusema Asantee🙏🙏 Wewe dada ubarikiwe jamani sijui kama unaelewa ni kwanamna gani wimbo huu umegusa maisha yangu na ya wengine😰😰😰Ninapousikiliza huu wimbo nabubujikwa na machozi ....Ubarikiwe dada Angel🙌🙌

  • @aliceinnocent9976
    @aliceinnocent9976 4 роки тому +26

    Dear angle I'm so proud of you mumy nice song,please pray for me I'm a worshiper I need go far,I'm Alice Kabogo from Tanzania.

  • @madammanka2731
    @madammanka2731 4 роки тому +3

    Enyi wote mliodislike wimbo huu damu ya Yesu iwaponye. Huo wivu na roho zenu mbaya zikutane na huyu Mungu asiyeshindwa!

  • @jenistermhagama1925
    @jenistermhagama1925 3 роки тому +1

    Asante nmebarikiwa na wimbo aeante 2020/2021 nilieitwa mgumba Tasa kwa miaka 15 hatimaye Mungu amenipa kicheko ,Mungu nitunzie muujiza wangu ,Asante Mungu , listening from instanbul turkey

  • @jafarymsweka2766
    @jafarymsweka2766 4 роки тому +12

    MUNGU AKUBARIKI KWA KUITENDEA HAKI NAFASI YAKO NABARIKIWA SAANA NA HUDUMA ZAKO.

    • @jafarymsweka2766
      @jafarymsweka2766 4 роки тому +1

      Dada Angel Naomba nisaidie Namba ya kutuma Sadaka kwa ile huduma ya Maombi

  • @raphaelntambi6404
    @raphaelntambi6404 4 роки тому +1

    First to watch from Tanzania 🇹🇿 likes za angel benard plz

  • @zakwetuupdate3387
    @zakwetuupdate3387 4 роки тому +3

    #Popote niskiapo sauti yako nabaki kukuombea kipawa chako kieneelee kuongezeka maradufu coz kipawa ulicholewa na mungu huwa kinaponya wengi Kama unakubali ANGEL BERNAD gonga like na comment

    • @DEUSDEDITHPETER
      @DEUSDEDITHPETER 4 роки тому

      MUNGU AKUBARIKI
      Deusdedith ft Walter chilambo
      🔥🔥🔥👇👇👇
      ua-cam.com/video/v6LNPXwi9DQ/v-deo.html

  • @peacedonatus4540
    @peacedonatus4540 4 роки тому +2

    Ngome imara
    wenye haki hukukimbilia
    Nakuipata salama
    Ndiwe Mungu mwenye nguvu ya kutoa
    Na nguvu ya kutwaa
    Wewe pekee ndiwe Mungu
    Hekima yako imezidi hekima ya dunia
    Na ujuzi wa wanadamu
    Hoofu iliinuka ikakutana na weewe
    Ikafunga kinywa tumeinuka
    Tabu za dunia zinapokutana na weewe
    Tunashiinda yote tunainuuka ooh
    Chorus
    Asante wewe ni Mungu usiye shindwa
    Asante wewe ni Mungu usiye shindwa
    Macho yangu yameona, mkono wa Bwana
    Unaotenda mema
    Dunia yanyamaza
    Hekima zimekoma
    Utaalamu umenyaza
    Ujuzi umeshindwa damu inanena meeema
    Na Mungu uliye tenda hayo
    Ndiwe utatenda yale
    Tuko salama nawe eeh
    Tabu za dunia zikikutana na mfalme
    Zinafishwa nguvu tunainuka
    Hiyo hofu ya maisha ikikutana na Bwana
    Inafungwa kinywa tunainuka
    Chorus
    Asante wewe ni Mungu usiye shindwa
    Asante wewe ni Mungu usiye shindwa
    Hao wanataja magari
    Wale wanazisifu Mali
    Sisi twakutaja wewe
    Mungu usiye shindwa
    Chorus
    Asante wewe ni Mungu usiye shindwa
    Asante Wewe ni Mungu usiye shindwa
    Asante wewe ni Mungu usiye shindwa
    Asante wewe nu Mungu usiye shindwa

    • @ephrace948
      @ephrace948 4 роки тому

      peace wow!!_God bless you a lot!

    • @abednegopaul2623
      @abednegopaul2623 4 роки тому

      Waaaooohhhh love this

    • @DEUSDEDITHPETER
      @DEUSDEDITHPETER 4 роки тому

      .MUNGU AKUBARIKI
      Deusdedith ft Walter chilambo
      🔥🔥🔥👇👇👇
      ua-cam.com/video/v6LNPXwi9DQ/v-deo.html

  • @florahmusicministry1871
    @florahmusicministry1871 4 роки тому +17

    Oh my God,. Angela Benard Nakupenda jamaniii....
    Wimbo mzuri sana
    Owerful messsage
    Sauti tamu
    Beat sasa uwii... God bless you dada.

  • @sarahayuma
    @sarahayuma 2 роки тому +1

    Hekima Yako inashinda hekima ya Dunia na ujuzi wa wanadamu! Asante, wewe ni Mungu usiyeshindwa

  • @nelumwakasege5155
    @nelumwakasege5155 4 роки тому +22

    Powerfully song
    Hofu iliinuka ikakutana na Wewe tukainuka tena🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @annamwagilo1489
    @annamwagilo1489 3 роки тому +1

    Damu ya YESU inanena mema mbele za Mungu kwa ajili yetu

  • @carolewachira1922
    @carolewachira1922 3 роки тому +4

    Hizo taabu za dunia zikikutana na bwana zinafunga kinywa tunainuka.....magonjwa yakikutana nawe yanafunga kinywa tunapona tunainuka SUCH A POWERFUL SONG God bless you Angel....such a beautiful voice

  • @fanuelmduma9296
    @fanuelmduma9296 2 роки тому +1

    Yaani wewe dada Nakupenda Sana......!! Sijui niseme ninkiasi gani nabarikiwa na Huduma yako. Yani Nakupenda mpk Basi. Miaka ile nakumbuka Albam yako nilinunua CD yako nikawa mda wote naitazama siku moja mchumba wangu wa enzi izo akawa anahoji kwanini kila MDA Ni uyu dada? Nukamuambia nampenda Sana.... NDANI ukaibuka mzozo.😂😂😂 Lkn Mungu Ni MWEMA still nafurahia baraka zake kila iitwapo leo. Mungu akupe kila la kheri uachie Album nyingine. Sisi tunaisubiri.

  • @amaningobayi7114
    @amaningobayi7114 4 роки тому +4

    Hao wanaoweka dislike hawana kipaji chochote tangu wamezaliwa wao niwashika pembe....
    Ccta umefanya Fanya vizuri

  • @vailethmwaisumo
    @vailethmwaisumo 4 роки тому

    Hakika MUNGU hashindwi.

  • @achiengbucher4385
    @achiengbucher4385 4 роки тому +16

    Praise to the most high King. Deep song Angel Bernard. "Hofu iliinuka ikakutana na wewe ikafungwa kinywa, TUMEINUKA! ..." More Blessings.

  • @AlineVyukaOfficial
    @AlineVyukaOfficial 4 роки тому

    Hatuwezi kutaja yale Mungu ametenda, asante Baba mkono wako mimi nimeuona ukitenda

  • @salvashaban9194
    @salvashaban9194 4 роки тому +4

    Wow ❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿 nakupenda angel Bernard 🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤💖💖🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😘😘😘😘😘😘😘

  • @emmyneggar6036
    @emmyneggar6036 4 роки тому +1

    Amen sister Mungu akubariki sana kupitia kipaji chako umekuwa ukinibariki na kugusa Sana maisha yangu na kunitoa ktk vipind vigumu na kusimama ubarikiwe Sana Sana God bless you dear🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @evelynemusic
    @evelynemusic 4 роки тому +25

    Powerful message.. your songs are full of annointing , and you are a blessing to many. God bless you more and more mtumishi 🙌🙌

  • @mammyaswani6455
    @mammyaswani6455 4 роки тому +1

    If it was not for God some of us would have given up.Gone through hatred and rejection at our place of work.Alot of manufactured stories about my family .We thank God for the peace in our hearts

  • @kevinjoel1569
    @kevinjoel1569 3 роки тому +5

    God bless you my sister for allowing God to use you to sing this song. I just found it yesterday from a Kenyan TV station-QTV at night. I've been re-playing this song since yesterday night till now. It is true that we need to thank God for everything always. I thank God for you. You are a chosen vessel in the body of Christ. God bless you and you family. Shalom.

  • @nicholasmwasia465
    @nicholasmwasia465 2 роки тому +1

    Who is like Angel Benard?She is a talented,beautiful and blessed woman.May God stay with her.🥰🥰🥰❤️💚💛👍👍

  • @reginafrank9311
    @reginafrank9311 4 роки тому +3

    Hao wanataja Magar ,Wale wanazisifu mali Sisi twakutaja ww Mungu Usieshindwa YESU ❤❤....Such a blessing

  • @BarnetLaston
    @BarnetLaston 8 місяців тому +1

    Angela umejaaliwa na Mungu sijawahi choka kusikiliza nyimbo zako,beautiful voice, beautiful smile,Ilove you sanaaa.

  • @angelakoyo4025
    @angelakoyo4025 4 роки тому +14

    Hahaha I have had to repay why I wasn't online for the passed days.
    I have watched this beautiful song 4 times lol

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 Місяць тому

    Napenda vile Malaika wetu anaimba nyimbo za shukrani 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @raphaelntambi6404
    @raphaelntambi6404 4 роки тому +34

    Hao wanataja magari wale wanazisifu Mali sisi tunakutaja wewe MFALME usiyeshindwa

  • @rynonicox583
    @rynonicox583 4 роки тому

    Nasikia kubarikiwaaa......basii nyenyeken chin ya mkon uliohodar nae bwana atakujaz kwa wakat wakeee hallelujah MUNG aendlee kukuinua kwa viwango vya kipekee na mafut ya roho yafurike kwakoo amen

  • @melodyanne8384
    @melodyanne8384 4 роки тому +10

    Indeed he is a God who never fails...

    • @DEUSDEDITHPETER
      @DEUSDEDITHPETER 4 роки тому

      Deusdedith ft Walter chilambo
      🔥🔥🔥👇👇👇
      ua-cam.com/video/v6LNPXwi9DQ/v-deo.html

  • @sophiekagwiria
    @sophiekagwiria Місяць тому

    Psalm 20:7-8: "Some trust in chariots and some in horses; but we will remember the name of the Lord our God. They have bowed down and fallen; but we have risen and stand upright

  • @oluwagbemifehintola1071
    @oluwagbemifehintola1071 4 роки тому +7

    Love from Nigeria. God bless your ministry. I love this song so much.

  • @veronicamkenda52
    @veronicamkenda52 4 роки тому +1

    Mungu akutunze Mtumishi wimbo mzuri ujumbe umetuliaa

  • @hewletp150
    @hewletp150 3 роки тому +3

    This is kind of music we want to watch on TV. There are many gospel artists who aren't being given airplay.

  • @eddyjuniortz2234
    @eddyjuniortz2234 4 роки тому +2

    Wow Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu

  • @Gsimon923
    @Gsimon923 4 роки тому +5

    "Mungu uliyeyatenda hayo, ndio utatenda yale-Tupo salama nawe♪♫
    Asanteeee🙏 Am Blessed

  • @dorikafarah3412
    @dorikafarah3412 3 роки тому +1

    God bless you sister I play this song more time sisikie kuishoka Mungu akuinue zaidi na zaidi love from Congo democratique ❤️

  • @momanyimichael5546
    @momanyimichael5546 4 роки тому +13

    This is elevation of Glory! Angel you're a blessing, uplifting and divined worshiper of this century

  • @stellasalehe3755
    @stellasalehe3755 3 роки тому

    Mungu mwenyewe aliyeiweka talanta hiyo ndani yako akujalie afya njema ya roho na mwili uzidi kumtukuza, kumsifu na kumuabudu siku zote na kuwasaidia wengine kumjua mungu kupitia utume wako wa uimbaji. nabarikwa sana na nyimbo zako kama
    Nikumbushe,.
    Siteketei
    Salama
    Bwana Yesu azidi kukutunza

  • @verynicechodota2791
    @verynicechodota2791 4 роки тому +8

    Verse 2 kills everything....
    God bless u ccty

  • @mariamjoseph6712
    @mariamjoseph6712 4 роки тому

    Hofu ya maisha ikikutana na Bwana inafungwa kinywa tunanyanyuka. Asante, wewe ni Mungu usieshindwa.

  • @andrianmusimbi9564
    @andrianmusimbi9564 4 роки тому +11

    This song is a powerful and great prayer. Grateful for your ministry, baraka tele

    • @DEUSDEDITHPETER
      @DEUSDEDITHPETER 4 роки тому

      Deusdedith ft Walter chilambo
      🔥🔥🔥👇👇👇
      ua-cam.com/video/v6LNPXwi9DQ/v-deo.html

  • @hopetunie5812
    @hopetunie5812 3 роки тому

    Ngome imara, mwenye haki
    Hukukimbilia na kuipata salama
    Ndiwe Mungu, mwenye nguvu ya kutoa
    Na nguvu ya kutwaa
    Wewe pekee ndiwe Mungu
    Hekima yako inazidi hekima ya dunia
    Na ujuzi wa wanadamu
    Hofu iliinuka ikakutana na wewe
    Ikafungwa kinywa tumeinuka
    Taabu za dunia zinapokutana na wewe
    Tunashinda yote tunainuka
    Asante, wewe ni Mungu usiyeshindwa
    Asante, wewe ni Mungu usiyeshindwa
    Macho yangu yameona
    Mkono wa Bwana unaotenda mema
    Dunia yanyamaza, hekima zimekoma
    Utaalamu umenyamaza, ujuzi umeshindwa
    Damu inanena mema
    Na Mungu uliyeyatenda hayo
    Ndiwe utatenda yale
    Tuko salama nawe
    Jamaa taabu za dunia
    Zikikutana na mfalme
    Zinafichwa nguvu tunainuka
    Hio hofu ya maisha
    Ikikutana na Bwana
    Inafungwa kinywa tunainuka
    Asante, wewe ni Mungu usiyeshindwa
    Asante, wewe ni Mungu usiyeshindwa
    Hao wanataja magari
    Wale wanazisifu mali
    Sisi twakutaja wewe
    Mungu usiyeshindwa
    Hao wanataja magari
    Wale wanazisifu mali
    Sisi twakutaja wewe
    Mungu usiyeshindwa
    Hao wanataja magari
    Wale wanazisifu mali
    Sisi twakutaja wewe
    Mungu usiyeshindwa
    Hao wanataja magari
    Wale wanazisifu mali
    Sisi twakutaja wewe
    Mungu usiyeshindwa
    Asante, wewe ni Mungu usiyeshindwa
    Asante, wewe ni Mungu usiyeshindwa
    Asante, wewe ni Mungu usiyeshindwa
    Asante, wewe ni Mungu usiyeshindwa

  • @sarahnjoroge1634
    @sarahnjoroge1634 4 роки тому +6

    All glory belongs to God, he never fails we give thanks to him. Thank you for this song we bless the Lord.

  • @francisoduor2041
    @francisoduor2041 4 роки тому

    huu wimbo kwakweli ni ufunuo wakipekee inaothihirisha ya kwamba mungu bado anayo nafasi kubwa maishani mwetu kuliko mali sauti nzuri baraka

  • @beatricethiongo3985
    @beatricethiongo3985 4 роки тому +3

    Ni Mungu asiyeshindwa💪🏽
    Angel Bernard has always been a blessing ❣❣

  • @yustasimwita8443
    @yustasimwita8443 3 роки тому

    Hakika wewe ni Mungu usiyeshindwa ni mkuu mnooo una nguvu kuliko waganga na wachawi💪💪🙏🙏🙏

  • @irenejoseph3418
    @irenejoseph3418 4 роки тому +4

    I remember telling my friend that I love Angel alot and sh told me it has been long since she released her last song..and just when we were talking u released this and I was like here she has done it again.. bless you Angel..much lov

  • @neemamzava3741
    @neemamzava3741 4 роки тому +1

    Hofu ya maisha ikikutana na bwana inafika mwisho...Asante Mungu wetu usiyeshindwa! God keep bless you

  • @paulmhando2661
    @paulmhando2661 4 роки тому +3

    May God continue to use you, You are anointed for such time as this!! Wengine wanataja Magari na Mali, Sisi tunalitaja JINA LA BWANA WETU LIPITALO MAJINA YOTE!!

  • @ThereciaMattaso
    @ThereciaMattaso 8 місяців тому

    Namkumbuka sana mama yangu nmeshidwa kumsahau namuombea daima apumzike kwa amani

  • @hellenmwafongo98
    @hellenmwafongo98 4 роки тому +3

    Ubarikiwe.
    Damu inanena meeeeeeema🙌
    Hofu ikikutana na Yesu🤗

  • @janepallangyo8111
    @janepallangyo8111 3 роки тому +1

    Nilipita kwenye status ya rafiki yangu nikaona kipande kidogo cha huu wimbo , imenibidi nije kuskiliza message nzur kutoka kwa Angle.. God bless you

  • @mercynjeri6139
    @mercynjeri6139 3 роки тому +3

    Such a great song,,,the song rings in my mind when am distressed

  • @kelvinvenance3627
    @kelvinvenance3627 4 роки тому +1

    Mama mchungaji wangu HAUJAWAHI KUKOSEA Hakika MUNGU ANAJUA KUKUTUMIA

  • @winniemwendwa2879
    @winniemwendwa2879 4 роки тому +6

    Glory....such an angelic voice!
    God bless you for this encouraging song.

  • @sylviakisanga7507
    @sylviakisanga7507 4 роки тому +1

    Asante Mungu Usiyeshindwa .."Kama Kwako Mungu ni Mshindi gonga like hapa

  • @cynA222
    @cynA222 4 роки тому +3

    We can't find this awesome song on Boomplay yet,please ask your team waiweke kule. Love from Kenya! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @DEUSDEDITHPETER
      @DEUSDEDITHPETER 4 роки тому

      MUNGU AKUBARIKI
      Deusdedith ft Walter chilambo
      🔥🔥🔥👇👇👇
      ua-cam.com/video/v6LNPXwi9DQ/v-deo.html

  • @stephanierona6592
    @stephanierona6592 4 роки тому

    Kama mungu alituponya na changa ili la corona mungu ni mwema kwetu na bado anazi kutupingania na vita zidi ya falme zagiza sifa na shukrani zikurudilie wewe ulie juu zaidi 1🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sellinaayoma108
    @sellinaayoma108 3 роки тому +3

    💥♥️🔥 I'm trying to say this song is powerful 😭

  • @farajaalphonce988
    @farajaalphonce988 4 роки тому

    Najikuta narudiarudia kutazama Hawa wanataja magari wale wanazisifu Mali sisi tunakutaja wewe MUNGU usieshindwa AMEN

  • @zumasamson6603
    @zumasamson6603 4 роки тому +3

    Hongera Angel ...this is one of your best song to me, a lot of singing, nice dress code, fantastic video, powerful message, a song you can dance without sweating....be blessed abundantly

  • @egnardamaicy3456
    @egnardamaicy3456 4 роки тому +2

    Wa tatu💏💏💏
    Damu inanena mema...asante Yesu wewe ulieyatenda Yale ndio utatenda hayo
    Hofu ya maisha ikikutana na bwana inafungwa kinywa tunainuka asanteeee wewe ni Mungu usieshindwa
    Hao wanataja magari wale wanazisifu Mali sisi twakutaja wewe Mungu usieshindwa🙈🙏🙏🙏🙏

  • @FAITHLEWA
    @FAITHLEWA 4 роки тому +6

    Nice song Mamie,,be blessed

  • @bd_nls
    @bd_nls Рік тому +1

    Nice song...huwa sichoki kuskiza sababu napenda sana kumshukuru Mungu all of the day.

  • @melowmel1442
    @melowmel1442 4 роки тому +3

    Despite all is going in the world at the moment God is still loving and saving His children through worship songs as such. God bless you sis.

    • @josephatmathayo2355
      @josephatmathayo2355 4 роки тому

      Kwa Kwel unaubariki moyo wangu Kwa utunzi wako. Mungu akutumie zaidi

  • @theupperroomtz3686
    @theupperroomtz3686 4 роки тому +2

    ANOTHER ONE FROM MY SISTER..ANGEL....UMEBARIKIWA KUTUBARIKI KWA NJIA YA UIMBAJI...WE ALWAYS MISS YOU KUTUHUDUMIA...LET GOD PROTECT YOU ALWAYS UTUMIKE KATIKA KUSUDI LAKO KWA NYAKATI HIZI..UR SO USEFULL ANGEL...TUNAKUPENDA SANA

  • @NzulaLuciah
    @NzulaLuciah 4 роки тому +6

    Powerful song, I just love how you bring out your messages.. Getting goosebumps while listening to this.. Indeed ni Mungu asiyeshindwa... Hekima zimekoma, utaalamu umenyamaza, Damu inanena mema👌🙏

    • @deboramhango9154
      @deboramhango9154 4 роки тому

      Mungu uliyetenda hayooo utatenda na yaleee💞💞💞🙏🙏barikiwa mnoooo mara dufu

    • @DEUSDEDITHPETER
      @DEUSDEDITHPETER 4 роки тому

      Deusdedith ft Walter chilambo
      🔥🔥🔥👇👇👇
      ua-cam.com/video/v6LNPXwi9DQ/v-deo.html

  • @omarybakari5357
    @omarybakari5357 3 роки тому +1

    Asente dada ubaliwe

  • @abelmarisham1496
    @abelmarisham1496 4 роки тому +6

    Thank you so much angel for this release!! Reminding us all that we should be thankful to the most high who never fails!!

    • @DEUSDEDITHPETER
      @DEUSDEDITHPETER 4 роки тому

      Deusdedith ft Walter chilambo
      🔥🔥🔥👇👇👇
      ua-cam.com/video/v6LNPXwi9DQ/v-deo.html

  • @patricknjue79
    @patricknjue79 Рік тому

    Nasikia huu wimbo wakati wangu wa kwanza na kabisa Dada umebarikiwa na sauti kweli kweli. Ni kufanya mazoezi na mafunzo ama ni kuzaliwa nayo. Pongezi na neema ikujaze kabisa.

  • @marypatrick7791
    @marypatrick7791 4 роки тому +5

    👼 Bernard may God raise you up, I can't explain how much I love you 😍 I appreciate your work

    • @DEUSDEDITHPETER
      @DEUSDEDITHPETER 4 роки тому

      Deusdedith ft Walter chilambo
      🔥🔥🔥👇👇👇
      ua-cam.com/video/v6LNPXwi9DQ/v-deo.html

  • @leutnatmisana5164
    @leutnatmisana5164 4 роки тому

    Hakika umenena vyema sana mtumishi wa MUNGU, Hongera ila ninaomba upate pia ufunuo wa kuimba angalau wimbo wa kuabudu) hata mmoja 1, huwa napata msukumo huu kukwambia. All the best, May JESUS CHRIST CONTINUE TO BE YOUR SUPER AND RELIABLE GUARDING AND GUIDING STAR

  • @iam_ejoh
    @iam_ejoh 3 роки тому +1

    Hallelujah
    Asante sana kwa nyimbo
    Jehovah akazidi kukubariki na ukazidi kumtumikia na kutangaza Utukufu wake kupitia sauti yako

  • @edinaenock593
    @edinaenock593 3 роки тому

    Wimbo mzur naupenda huwag nausikiliza muda wowote wakat wa huzuni unatia moyo ubarikiwe Angel nakupenda san

  • @Mitchy_Michelle
    @Mitchy_Michelle 2 роки тому +1

    Indeed ni Mungu Usiyeshindwa🙌🙌🙌🙌🙌🏾

  • @nelsonmichael556
    @nelsonmichael556 4 роки тому +2

    Barikiwa na zidi kuinuliwa utukufu hadi utukufu dada Angel. Wimbo umenibariki sana na kunihuisha tena.

  • @peninaancon1256
    @peninaancon1256 4 роки тому +1

    Huu mwimbo unamtukuza Mungu hakika.
    Mashairi yake mazuri na tone ya Ndugu ktk wimbo huu nimeipenda sana.

  • @RithaKomba
    @RithaKomba 4 роки тому +1

    Waooh ubarikiwe sana wimbo mzuri sana hakika nimebarikiwa .

  • @fistonkyuing9888
    @fistonkyuing9888 4 роки тому

    Ubarikiwe sana dada yangu mupendwa kwa ujumbe muzuri unapatiya🙏🙏🤲🙏🙏🙏

  • @barakamsungu5260
    @barakamsungu5260 4 роки тому

    Endelea kuwa chombo chema cha sifa kwa Mungu wetu shemeji yangu.

  • @harsonisack3326
    @harsonisack3326 4 роки тому

    Hofu ya dunia ikikutana na Yesu inashindwa amena sas dada angu angel

  • @sophiamvula1153
    @sophiamvula1153 4 роки тому

    Macho yangu yameona mkono wa Bwana ....Ubarikiwe Dada Angel wimbo mzuri saut nzuri Mungu akubariki uzidi kutuhudumia.

  • @faithoper9639
    @faithoper9639 4 роки тому

    Mungu aendelee kukutunza na kukuinua mtumishi WA Yehova,,

  • @pendomangi8400
    @pendomangi8400 11 місяців тому

    She has a powerful voice. God has called her for this ministry, may you continue to grow in his wisdom.

  • @alfredcadet8326
    @alfredcadet8326 4 роки тому +1

    Asante sana balikiwa sana tena sana Angel

  • @johnbosconamaru909
    @johnbosconamaru909 4 роки тому

    asante dada nyimbo zako hunibariki tu sana, mungu akuinue zaidi na zaidi katika uduma hii ya uimbaji. nakuombea kwamba hakuna mishale iliyotumwa kinyume na maisha yako itakayo faulu kwa jina la yesu

  • @auntysamweli9572
    @auntysamweli9572 4 роки тому

    Mungu Akutunze Angle tunabarikiwa kupitia nyimbo zako

  • @mathiaskasigwa3876
    @mathiaskasigwa3876 4 роки тому

    Mungu wa Mbinguni azidi kukupa Nguvuu za kuzidi kumtangazah..God bless uh Momah.