Angel Benard - Kiu Yangu (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 956

  • @AngelBenardWorship
    @AngelBenardWorship  8 років тому +733

    Namtukuza Mungu sana. Asanteni kwa kuendelea kuniandikia na kunitamkia mema. Mungu Baba awabariki zaidi na zaidi. Asanteni sana.

    • @normasouaid3538
      @normasouaid3538 8 років тому +1

      Amen

    • @priscadanny3367
      @priscadanny3367 8 років тому +2

      mungu akuinue zaidi penda ww sana dada

    • @gracemgeni5214
      @gracemgeni5214 8 років тому +1

      dada angela mi nina shida na albam yako ya yote yalikwisha

    • @lwiticomwalukumba4148
      @lwiticomwalukumba4148 8 років тому +4

      itakuwa vyema sana kama utaiachia album ya hizi nyimbo mpya hata kama zitakuwa tano zitatosha na barikiwa sana na nyimbo zako ...endelea kubarikiwa

    • @safari34410
      @safari34410 8 років тому

      Yesus siyo mng

  • @judimusaa6217
    @judimusaa6217 4 місяці тому +6

    2024 and still feel the presence of GOD through this song

  • @MrDJmister
    @MrDJmister 5 років тому +111

    LYRICS: Dhamira yangu Kujua (My desire is to know)
    Nina wewe Yesu (That I have You Jesus)
    Dhamira yangu Kujua (My desire is to know)
    Nina wewe Yesu (That I have You Jesus)
    Asubuhi, mchana wote (Morning, all afternoon)
    Jioni hata usiku (Evening and even night)
    Kwenye hali zote (In all situations)
    Nitembee na wewe (To walk with You)
    Oh Baba, Oh Yesu (Oh Father, oh Jesus)
    REFRAIN:
    Wewe ni kiu yangu (You are my thirst)
    Njaa ya moyo wangu (The one my soul hungers for)
    Wewe ni Mungu wangu (You are my God)
    Mfalme wa moyo wangu (The King of my heart) (Repeat)
    Nitakase, nifundishe (Cleanse me, teach me)
    Niongoze, nifinyange (Lead me, mould me) (Repeat)
    Kama ayala ayatamanivyo maji
    (Like the deer pants for water)
    Ndivyo moyo wangu una zaidi wa kutamani
    (My heart has the same yearning for You)
    Oh Baba yangu, ninashuka mbele zako
    (Oh Father I humble myself before You)
    Mapenzi yako yatimizwe maishani mwangu Yesu
    (May Your will be done in my life Jesus)
    Usipolinda wewe mji walindao wanafanya kazi bure
    (If You do not watch over a city, the watchmen watch in vain)
    Usipojenga wewe mji wajengao wafanya kazi bure
    (If You do not build a city, the builders build in vain)
    Nakutamani Yesu zaidi maishani mwangu
    (I desire You Jesus in my life)
    REFRAIN

  • @babrahmaryam5942
    @babrahmaryam5942 4 роки тому +46

    mm ni muislamu ila haipiti siku bila kuangalia huu wimbo hapa

  • @michaeltwaha9011
    @michaeltwaha9011 7 років тому +162

    be blessed miss.kama unamuelewa gonga like hapa

  • @mosesmhina9980
    @mosesmhina9980 3 роки тому +4

    Hii ngoma inakuvuta mpaka unajihisi uko planet nyingine ukiwa na Jesus

  • @estherndambuki8007
    @estherndambuki8007 8 років тому +66

    This is pure Gospel some artist should learn how to praise and glorify God not some drama and twerking..
    God's favour is upon you..
    I feel so blessed..

  • @cecykadema4360
    @cecykadema4360 Рік тому +2

    My favorite song nina raha kuwa na Yesu

  • @samkouko4523
    @samkouko4523 3 роки тому +18

    This song has blessed me Tonight and I have decided to be with Lord Jehovah Jesus Christ of Nazareth

  • @sinzasoundbandtanzania6200
    @sinzasoundbandtanzania6200 8 років тому +23

    Angel Benard a gospel singer from Dar es Salaam, Tanzania with her song My soul thirsts for God / KIU YANGU

    • @joycesaid6051
      @joycesaid6051 7 років тому +3

      mung akubarik wish to be like u

  • @rehemabryton9257
    @rehemabryton9257 8 років тому +54

    Nakupenda mno dada Angel Mungu akuinue kwa viwango vingine

  • @officialkinghezekiah2094
    @officialkinghezekiah2094 8 років тому +1

    Kujua nina Yesu ni furaha yangu

  • @moniquekissui8778
    @moniquekissui8778 2 роки тому +3

    Here I am in 2022, and its still a blessing it was 5 years ago...God bless you minister angel benard.

  • @NyakiSara
    @NyakiSara 3 роки тому +1

    Who's still listening to this song in 2021?
    It's still by far the best song from Angel Benard. Uzidi kubarikiwa usikilizapo huu wimbo kama ninavyobarikiwa 🙏

  • @duvosteve
    @duvosteve 8 років тому +7

    nabarikiwa sanaa na nyimbo zako dada zinanipa hatua nyingine mbele kiroho ubarikiwe sanaaaaaa na BWANA.......................amen

  • @mch.deosinkala3120
    @mch.deosinkala3120 Місяць тому

    Dadangu hizi ndo nyimbo za wito wako.
    I'm praying for you to stay in your calling in Jesus's name

  • @irenembalwa1268
    @irenembalwa1268 8 років тому +16

    Mungu akubariki sana nabarikiwa sana na Huduma ambayo Mungu amekupa kazidi kukuinua viwago vingine nami naona viwango vingine ni avyosikiliza nyimbo hizi zudi barikiwa

  • @rosemshana3530
    @rosemshana3530 4 роки тому +1

    Mi raha yangu kujua nina wewe Yesu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @annkavata7076
    @annkavata7076 5 років тому +19

    I'm watching this song in 2019 even though am late listening to it but all in all thanks to God am being blessed as well. AMEN

    • @elizabethcarol8517
      @elizabethcarol8517 5 років тому

      Nakupenda san dada Angel mungu akuinue nilitamani kuwa na namba zako

    • @daynesssimon7949
      @daynesssimon7949 4 роки тому

      Ipo siku nitakua kama ww my sister love u

  • @yassarsuphian5599
    @yassarsuphian5599 8 років тому +1

    Napenda Sanaa kazi zako na nakupenda Sanaa mpendwa, Mungu azidi kukuinua.

  • @emmanuelnaiman4228
    @emmanuelnaiman4228 5 років тому +18

    JAMAN GUYS MKIWA MNACHEK UKU KUKMBUKENI KU-SUSCRIBE NA KU-COMMENT
    kazi ya dada ni nzuri sanaaaaaa
    i like it haki

  • @annamsumeno1791
    @annamsumeno1791 4 роки тому +2

    natiwa nguvu sana wakati wa mapito yangu nikisikiliza KIU YANGU uzidi kukua kiroho dada umebarikiwa nakutamani sio kidogo

  • @prophetraphasonkelvin9181
    @prophetraphasonkelvin9181 7 років тому +21

    i love strings like these,something you can dance like your in heaven....your blessed angel

    • @justinelyimo1241
      @justinelyimo1241 5 років тому

      Dada hongera Sana kwa kipaji nabarikiwa Sana na huduma yako mungu Skype Misha marefu

  • @MissG_the_artist
    @MissG_the_artist 8 років тому +1

    Namtukuza MUNGU kwa kipawa alichoweka ndani yako..Mungu aendelee kukuhuwisha na kukutunza dada.Barikiwa

  • @zumbaabiyah3184
    @zumbaabiyah3184 8 років тому +24

    dada benard angel,napenda sn vle unaimba,kwa ufupi unanibariki sn!keep it up!!!

  • @catherinechawe6944
    @catherinechawe6944 4 роки тому +1

    Mungu asante san kwa ypendo usipojenga ww mji wajengao wafanya kaz bure na usipojenga mji wajengao wafanya kz bure nakupenda Bwan Yesu

  • @janethtupa41
    @janethtupa41 8 років тому +17

    Be blessed,napenda nyimbo zako,hongera kwa nyimbo nzuri.YESU akutunze

  • @florahgoffrey1009
    @florahgoffrey1009 6 років тому +1

    Ubarikie mungu awe pamoja nawe AMEN!!!!!!!

  • @bupesabuni7624
    @bupesabuni7624 8 років тому +11

    Unanibariki Sana Na Nyimbo Zako
    Mungu Azidi Kukutumia Katika Huduma Ya Uimbaji @Angel Bernard

  • @rosengote6639
    @rosengote6639 8 років тому +33

    This is what I call Music,it's deep, full of content,annoitted u listen to it u feel God's presence!!! God bless you and increase you!!!

  • @nisanamusomba8014
    @nisanamusomba8014 8 років тому +16

    Ninabarikiwa sana na Huduma yako Dada yenye upako, Mungu azidi kukutumia

  • @nasjael5815
    @nasjael5815 5 років тому +1

    Wewe ni mungu wangu. God you are enough.

  • @journeywithjesus
    @journeywithjesus 8 років тому +15

    Beautiful song and voice. Kweli na kiu na Yesu!!

  • @godwinbenedict4146
    @godwinbenedict4146 4 роки тому +2

    Its 2020 nabarikiwa na Dada Angel kupitia nyimbo hii

  • @gideonimathew6491
    @gideonimathew6491 8 років тому +31

    Niraha yangu Yesu kujua niko na wewe.
    Nnakupenda Mfalme wa Moyo wangu

  • @MonicaThom-dg1yv
    @MonicaThom-dg1yv 18 днів тому

    Nitakase,nifundishe ,niongoze nifinyange🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @perfectreels254
    @perfectreels254 4 роки тому +81

    Who's here in 2020? This is such an amazing song

  • @vicknessngenzi6146
    @vicknessngenzi6146 Рік тому +1

    Siamini kwa kweli eti naijua leo hii nyimbo. Such a great song be blessed Angel

  • @MsKyekue
    @MsKyekue 8 років тому +28

    Yaani I bought the album on iTunes and this is by far my favorite song, I play this song over and over again! Your voice is Devine indeed! Barikiwa

  • @Privia-s8s
    @Privia-s8s 6 місяців тому +1

    Nimeamka najiaikia vby nkaona Bora nisikilize kdg . Aise unanitia nguvu nikiwa nimekata tamaa🙏🙏🙏

  • @samgitonga6797
    @samgitonga6797 8 років тому +43

    Powerful song. Your songs are always a blessing and prompt worship. Your voice reminds me of Rebecca Malope, esp in this song. Blessings, keep doing what you're doing.

    • @samgitonga6797
      @samgitonga6797 8 років тому

      On repeat...

    • @MsKyekue
      @MsKyekue 8 років тому +3

      Sam Gitonga true this songs reminds me
      Of Rebecca Malope hata hiyo base kidogo 👌🏾👌🏾

    • @samgitonga6797
      @samgitonga6797 8 років тому +1

      MsKyekue haha either she looks up to her or it's a huge coincidence. Lovely all the same

    • @abedmuteti958
      @abedmuteti958 6 років тому

      I concur

    • @johnruyagwa8789
      @johnruyagwa8789 4 роки тому

      Ameen

  • @emanuelmoses9951
    @emanuelmoses9951 2 місяці тому

    Huu wimbo hata nilikua sijui jina lake, lakini nimeandika lyrics zake zilizokuwa zinaimba moyoni mwangu, nifundishe, nitakase, niongoze ndipo nimeupata!
    Ujumbe mzuri sana!

  • @marystephen1183
    @marystephen1183 8 років тому +3

    hujawahi fanya vibaya nakupenda sana Mungu azidi kukutumia usiache tu kunyenyekea

  • @ayoubkipenya5751
    @ayoubkipenya5751 8 років тому

    balikiwa sana mtu wa Mungu na Dada yangu Angle Bernard Mungu azidi kukuinua zaid ni ombi langu uendelee kunyenyekea kwa Mungu.

  • @amazianyambo7009
    @amazianyambo7009 8 років тому +6

    uwepo wako na uimbaji wako unatubariki.mungu tuzidi kutia bidii kwa bwana.

  • @jacobjofrey9017
    @jacobjofrey9017 3 роки тому

    dada shalom,,hongera unaimba vizur MUNGU NI ROHO wacha tumwabudu ktk roho na kwel
    MJUE SANA MUNGU ILI UWE NA AMAN

  • @Gloriablessy
    @Gloriablessy 8 років тому +11

    Beautiful song Angel Benard......... The keyboard loops is reminding me of the looks of south africa gospel legends... Rebacca Malope, Deborah Fraser.....

  • @hendrikashirima2119
    @hendrikashirima2119 7 років тому

    Mungu azid kuwa nawe katika kutupa ujumbe kupitia neno lake..barikiwa

  • @vailethsilukala9978
    @vailethsilukala9978 8 років тому +3

    Barikiwa sana, nyombo zako zinaugusa moyo wa Mungu.

  • @hellenrichard187
    @hellenrichard187 2 місяці тому

    Nitakase Nifundishe nifinyange niongoze Yesu

  • @maryannemwangi168
    @maryannemwangi168 5 років тому +3

    Wow be blessed Ur songs are powerful from Nikumbushe siteketei need to reign wow where are her likes

  • @victorrugombana2276
    @victorrugombana2276 6 років тому +1

    Hakika wimbo ni mzuri sana. Mungu azidi kukupatia nguvu.

  • @st.camillusspecializedclin8775
    @st.camillusspecializedclin8775 6 років тому +3

    sijawahi choka kusikiliza huu wimbo.. Mungu ndiye mfinyanzi thabiti.. Barikiwa Angel

  • @mwasiazangambanda3233
    @mwasiazangambanda3233 3 роки тому

    Jina la bwana na libarikiwe nasema amen kwa sahuti kubwa 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Judywangui92
    @Judywangui92 5 місяців тому +6

    Who is still here in 2024?
    Still very powerful

  • @moureenkionga3745
    @moureenkionga3745 3 роки тому

    Nimehudumiwa kwa jinsi ya ajabu, umeimba kilicho ujaza moyo wangu Angel.. Namtukuza Mungu kwa ajili yako

  • @reginahraphael6081
    @reginahraphael6081 7 років тому

    MUNGU aibariki kazi ya mikono yako nabarikiwa sana na nyimbo zako

  • @annitahlesley2114
    @annitahlesley2114 8 років тому +16

    woow👌👌just discovered you today through the song you did with Mercy Masika. Your voice is owesome gal,keep praising. You rock.

  • @bahatiwilliam9870
    @bahatiwilliam9870 6 років тому

    hakika kuwa ndani ya Yesu ni raha tele,....ni raha yangu kujua nina wewwe Yesu maana hutaniacha kamwe

  • @zaqfxtradingfloor9020
    @zaqfxtradingfloor9020 8 років тому +6

    Powerful song sister Angel am blessed by your worship songs may you live to witness the goodness of the Lord in the land of the living.

  • @AdamuBig21
    @AdamuBig21 2 роки тому +1

    "Kwenye hali zote nitembee na Mungu" Feeling Blessed. My favourite gospel singer. Nikisikiliza nyimbo zako huwa napata amani moyoni. ❤

  • @sumunisaravo9218
    @sumunisaravo9218 6 років тому +3

    .nabarikiwa sana Mungu azidi kukuinua usonge mbele

  • @thereciabonaventure2635
    @thereciabonaventure2635 3 роки тому

    Nani anasikiliza 2021..Be blessed my dear

  • @miriummussa7602
    @miriummussa7602 8 років тому +3

    ubarikiwe dada angel napenda Sana kazi zako hakika mungu Ni kiu yangu pia Ni njaa ya moyo wangu.

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 7 років тому +3

    Angel Bernard mungu akubariki sana kwa kazi nzuri ya uimbaji....wimbo mzuri sana unabariki sana....

  • @lovenessmichael9593
    @lovenessmichael9593 8 років тому

    Dada Angel nakupenda sana yan kila nyimbo yako ina upako wa ajabu Mungu anakutumia ipasavyo maana umejiachilia kumtumikia barikiwa sana dada

  • @rachelmusafiri1671
    @rachelmusafiri1671 8 років тому +12

    God really gifted you with a voice, your songs are very meaningful.

  • @theotimvalerian455
    @theotimvalerian455 8 років тому

    Kweli wewe ni kiu yangu Yesu shemeji yangu yangu huwa naamini hukoseagi na ukiwaga madhabahuni unakuwaga kama umepatwa na ile siku ya pentekoste

  • @davidandrew3178
    @davidandrew3178 7 років тому +6

    Angel Bernard, Kiu yangu mfalme wa moyo wangu. It's so inspirational. Your songs its so understandable, zimepitia SHULE of the Holy Spirit. Your a blessing s. Thanks God for you and your life is Gift from above.

  • @lydiakhasandi3661
    @lydiakhasandi3661 6 років тому

    Mungu akulinde na akupe maisha marefu ili huduma yake iendele kuwa kubwa zaidi na zaidi

  • @florajacob3517
    @florajacob3517 8 років тому +3

    nabarikiwa sana my angel.Mungu akutie nguvu katika roho ya ushujaa Amen

  • @mercytsuma3551
    @mercytsuma3551 5 років тому +2

    ''Ni raha yangu kujua nina wewe Yesu asubuhi,mchana,usiku,nyakati zote''what a wonderfull song.Mungu abariki uimbaji wako dada.

  • @sinzasoundbandtanzania6200
    @sinzasoundbandtanzania6200 8 років тому +8

    Ángel Benard un cantante de gospel Dar es Salaam, Tanzania con su canción Mi alma tiene sed de Dios / KIU YANGU

  • @dianambeyu2101
    @dianambeyu2101 2 роки тому +1

    Still one my favourite worship songs..2022 bado niko namsifu Yesu.. 🙌

  • @sinzasoundbandtanzania6200
    @sinzasoundbandtanzania6200 8 років тому +4

    Angel Benard un chanteur gospel de Dar es Salaam, Tanzanie avec sa chanson sur Mon âme soif de Dieu / KIU YANGU

  • @New_Apostolic_Church_KAGERA_TZ
    @New_Apostolic_Church_KAGERA_TZ 7 років тому

    aisee nabarikiwaga na nyimbo zako dada yangu, zidi kukaza buti katika mziki wa injiri

  • @ednaelia8918
    @ednaelia8918 8 років тому +4

    daaaa da angel yaan mungu akutangulie xaana my uko vizur xaana

  • @maureenmario4460
    @maureenmario4460 6 років тому

    I think Angela Bernard is underrated..... Full of anointing

  • @wencheslausbonphace8287
    @wencheslausbonphace8287 6 років тому +3

    Wimbo huu unanibariki sana Dada Angel

  • @leutnatmisana5164
    @leutnatmisana5164 5 років тому

    Mungu akubariki Dadaa, nilikuwa cjausikia huu wimbo, ni mzuri sana, unatia moyo na kufariji sana ktk maisha haya ya wokovu.

  • @edwinaaloyce9040
    @edwinaaloyce9040 8 років тому +3

    namtykuza Yesu kwa huyu Dada yangu am just listening you're tracks but am learning a lot from you God bless yoi

    • @margarethelias8286
      @margarethelias8286 5 років тому

      Angel Mungu azidi kukuinua Mpendwa.Binafsi nisipopata wimbo wako silali unanifariji sana.Barikiwa

  • @winnermariah
    @winnermariah 4 роки тому

    Wewe ndo Mfalme Wa Moyo Wangu YESU.....NITAKASE YESU,NIFUNDISHE, NIONGOZE, NIFINYANGE 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @amossonelo5405
    @amossonelo5405 7 років тому +4

    May Almighty God bless you and help you keep moving up higher in JESUS NAME @Angel Benard

  • @neemamakali8680
    @neemamakali8680 5 років тому

    Naomba mungu azd kuinua vijana ili tumtumikie .

  • @larritosoul594
    @larritosoul594 8 років тому +7

    that night at UDOM God through you changed me when u sang it was like u were singing to to awaken me thank you ubarikiwe

  • @emmanuelamon8328
    @emmanuelamon8328 5 років тому +1

    ubarikiwe Angel Hakika nyimbo zako hufariji Sana Nazipenda Sana

  • @alphonceprosper1931
    @alphonceprosper1931 4 роки тому +7

    2020 still 🔥,Be blessed.

  • @devothazephrine4773
    @devothazephrine4773 2 роки тому

    Wimbo unaofuta kiu,unaleta matumaini kila wakati asantee sana Angel ubarikiwe sana kila iitawayo leo siwezi kuisikia njaa kamwe amina

  • @lilianotachi2897
    @lilianotachi2897 6 років тому +3

    Blessings upon you Angel. You are a blessing to many.

  • @nuhumhagama7853
    @nuhumhagama7853 5 років тому

    kwa viwango vingine nataka umwabudu Bwana na chini ya mbawa zake ukilaze kichwa chako Angel benard

  • @hekimaharry5217
    @hekimaharry5217 8 років тому +3

    Thank you for sharing this great song..I hv been blessed with your ministry.....keep on moving

  • @ruganoantony
    @ruganoantony 3 місяці тому

    Mungu Akutunze sana mtu wa Mungu hakika nabarikiwa sana kwa jumbe za Nyimbo zako

  • @perismwihakiofficialpage3930
    @perismwihakiofficialpage3930 8 років тому +6

    Amen and Amen.God bless you dear

  • @neemadotto2924
    @neemadotto2924 5 років тому

    Duh Aisee Wimbo huu Nashindwa hata nisemeje Bali tu mapenzi yako yatimizwe duniani kote wewe ni kiu yangu jamen

  • @gervasregnard2688
    @gervasregnard2688 7 років тому +3

    Nice song blessing words with de best melody

  • @robertbwimbo9885
    @robertbwimbo9885 6 років тому

    Shalomu..Ubarikiwe kwa Huduma, Ni Hakika nyimbo zako zabariki wengi..Jitahidi sana kutunza MAONO uliyonayo ya kumtumikia MUNGU, sababu gharama ya kutunza MAONO ni kubwa sana..

  • @gelarseger
    @gelarseger 5 років тому +3

    Kiu yangu💓💓

  • @barackzainabu2517
    @barackzainabu2517 5 років тому

    Asante sana dadangu nmeguswa na wimbo huu Mungu akuzidie talanta na nyota yako izidi kungaa

  • @sayunimrita7504
    @sayunimrita7504 8 років тому +8

    Great work Angel. God bless and enlarge your tent

  • @Fatima-ls3uw
    @Fatima-ls3uw 7 років тому

    Mungu akubariki uzidi ku imba nyimbo za kutujaza