HIZI HAPA SABABU ZA WAAMUZI KUJIPANGIA MECHI ZA KUCHEZESHA/ HATA VAR IKIJA WATAKOSEA
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz
Yani mpo sahihi sana inaumizasana nakuzichosha timu zingine kiukweli inaumiza sana nakuzichosha timu zingine
Simba inakutana na intensity kubwa sana
Mmeshapewa achen ushabiki
UNAWEZA KUCHEZESHA CHUKUA MECHI MOJAA TUU ..SIO KUROPOKAAAAAAAA STUDIO😂😂
Mechi ya Azam na yanga refa arajiga yanga kafungwa mechi ya tabora na yanga refa nassor mwinyichui yanga kafungwa
uyo mtoto yanga ata uchambuzi wake ovyo
Kule EPL kuna marefa wa kuikomoa Arsenal tu, Michael Olivar
Ni aibu kubwa kwa soka la tz kwa mtindo huu, ikiwa hizi timu zinawanunuwa wachezaji kwa hela nyingi inakuwaje tena na waamuzi watumike tena kupendelea timu fulani no sense kabisa bc hakuna maana ya kununuwa wachezaji kwa hela nyingi na bado usaidiwe na marefa hatuta fika huko tunakotaka kwenda never
Ni kweli waamuzi wananunuliwa hilo ni asilinia 100
IRA simba inaumiza sana marefa watende haki upanga mbona inacheza kuvuja damu na jasho jamani simba wanazunguka zunguka tuu uwajani kama wajawazito 😂😂kwa
Kiukweli nawapongeza kuyasemea haya mambo yashatuchosha sana wanawake wa Simba ndio wanaochezesha tu huko kwanini arajiga hachezeshi mechi za Simba?
Hata wachambuzi wapo wa Yanga na wapo wa Simba. Mfano Hans hadi unakuwa kama mwehu kwa mahaba ulio nayo kwa Yanga. Kwahiyo funga domo lako.
Mtoto kolo uchambuzi wake mzuri?.
Side aliwambia aka one akaonekana Mbaya
Nyinyi ni wapuuzi. Kama ni kijiwe cha Utopolo semeni tuelewe. Achana na utoto.
Wengi mtapinga ila ndio ukweli
Sio kweli makolo mna KERA kiukweli tynatafuta kila namna tufute makosa yenu lkn ni mengi
Tangu nizaliwe ni Tanzania bara pekee Refa anatoa kadi 2 kwa pamoja. Chani na Afcon zitachezwa Tanzania lakini Sioni refa wa kutoka Tanzania
Fuatilia mpira, kweli hujui na hujawahi ona, epl au england premier leage wapo waamuzi wametoa kadi na kunyoosha kadi mbili kwa pamoja. Fuatilia mpira.
Sioni ata hoja apa
Twenden tu na ukweli, Yanga mpira anauocheza utasemaje anabebwa. Mpira una mahesabu, na wanadeserve kushinda zaid ya magoli 7. Ila waamuzi bado sio proffessional ofcause, haswa kwa mechi za Simba.
Jamani mnyonge, mnyongeni haki yake mpeni YANDA wààcheza mpira bwana ukinambia SIMBA INABEBWA TENA SAAAANA
Shida ni Nyuki tu kukumbatiwa usiku mzima????🎉🎉🎉🎉🎉
Hata nyie wenyewe mbona mnaonyesha interest ya timu gani mnapenda ,je taaluma yenu inaruhusu??
Wachambuzi Vilaza
Yote hii ni Simba kumfunga tabora
RUSHWA IPO KAMATI YA WAAMUZI
Nanyie crown mnaichambua sana simba kwa mabaya kuliko yanga..na nyie mjitafakari
Simba haina cha kujivunia mpaka ifike fainali ya shirikisho na awebingwanyumbani hanasifa kwa kufikirika hiya nisifayamaoenzi achenihizo
Mie nadhani mnachofikiria nyie Wachambuzi, wapangaji wa waamuzi huwa halipo kichwani kwao kabisa. Malalamiko ya waamuzi yapo Dunia yote rejea mjadala wa maamuzi Michael wa uingereza dhidi ya mechi za Arsenal
Kama mlivyokuwa nyinyi wachambuzi. Kuchambua tu mna upendeleo itakuwa uchezeshaji. Mkipewa nyinyi kuchezesha ndio ingelikuwa balaa.
Huyo jofu msenge tuu anamahabaa na cmba si mchambuzi Kuma tuu
Ni Kuma kweli kweli
Hans leo hii ukikamatwa na chama cha waamuzi uthibitishe hilo utaweza ? Maana sio unaongea tyu
Hawawezi kumkamata maana atawashika pabaya
Mwenye makosa ni raisi wa TFF mm naona Bora angeachia tuu means hii inamuhusu moja kwa moja na yung ndio anaetowa maelekezo.
Acha usenge ww kwhyo yanga ndyo TFF??
Fact
Hans ulimsifia kocha et ameshajipata so unakua kinyonga
Simba ndo wanatuharibia ligi yetu waamuzi wanaochezesha mechi za simba ni marefa wachanga hawana uzoefu
Kumbuka Gori la baka la mkono
Hakuna refa mchanga,,,,,hapo marefa wenye uzoefu si ndiyo wanafanya makosa Kila siku,,,,
Usidhani wana discuss waamuzi waliochezesha match za Simba tuu ni bahati mbaya.
-
Niwaakikishie msimu huu ni Ubaya Ubwela.