KADA WA CCM MALISA AJILIPUA "RAIS AJIUZURU" AMVAA RAIS SAMIA NA KIKWETE / AKOSOA VIKALI...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • KADA WA CCM MALISA AJILIPUA "RAIS AJIUZURU" AMVAA RAIS SAMIA NA KIKWETE HADHARANI
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 692 318213)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

КОМЕНТАРІ • 424

  • @MihayoMageta-k4n
    @MihayoMageta-k4n День тому +91

    Big up Malisa kwa kupasua jipu, wajumbe wengi wanaumia kimyakimya wanaogopa.

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 23 години тому +5

      Boss anuniwi Sasa wanachama wengi ni fata upepo. Unakuta mtu anashangilia lakini Hajui anashangilia Nini ndiyo vinabaraka wengi wa CCM wako hivyo Bungeni mbunge kazi kupiga meza tu Hajui hata hoja inasema nini

    • @OlivreKimario
      @OlivreKimario 3 години тому +1

      Nashukuru umenisaidia kutoa dukuduku langu,barikiwa sana

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 2 години тому

      @OlivreKimario 😂😂😂😂😂😂😂

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 День тому +33

    Waliosikia saut imefanana na Waziri mkuu majaliwa Gonga Likee nyingi sana. ❤

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 20 годин тому +18

    Allah akulinde maana sijui, ccm haina rafiki wa kudumu wala adui wa wakudumu, kwa huu ukweli uliousema Allah akulinde

  • @AweMagdalena
    @AweMagdalena День тому +71

    Huyu mzee yuko vizuri sana ni mzalendo

  • @MosesMwakatage
    @MosesMwakatage День тому +53

    wazee kama hawa wakowapi Mzee mungu akutunze

    • @nancolower_8032
      @nancolower_8032 20 годин тому +1

      Wakat yuko huko na yy alikua lifisadi hili sasahiv kachoka zake anataka kututoa kwenye reli

  • @solomtz7049
    @solomtz7049 18 годин тому +10

    Mzee umeongea 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @CarlMagi
    @CarlMagi День тому +38

    Wasimteke tu huyo mzee, maana huwa hawataki kukosolewa na kuambiwa kweli

    • @WillyKyando-d3j
      @WillyKyando-d3j 4 години тому +1

      Kweli awataki kuambiwa ukweli baada ya kuambiwa ukweli lifutalo linasikitisha

    • @Yussuf-b3b
      @Yussuf-b3b 40 хвилин тому

      Mzee ajitafakari kwa kauli yake ya kusema ukweli,,,,,,kwasasa ccm haifuati katiba utasikia tunafuta utamaduni wa chama,

  • @FrolaMwanja-yk1ck
    @FrolaMwanja-yk1ck День тому +43

    Unategemea kikwete atasema nini kwa samia?,kikwete na samia lao mmoja ndy wafaidika wakuu wa mali za nchi hii, ulisikia mwenye kwamba wachawi walikufa ,wachaw ni nani kwa hararaka,?,kwa uelewa wangu ni magufuli na mkapa ndy walikuwa vizuizi

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn День тому +19

    Wale tunaopenda Hawa Kijani waendelee kutifuana tujuane😂

  • @hamiafasta
    @hamiafasta День тому +17

    Mungu Alinde Uhai wako Malisa

  • @Teddy-z4i
    @Teddy-z4i День тому +45

    Katika CCM kumbe kuna watu makin na wenye akili saf mheshimiwa

    • @CharlesMwakajinga-p2w
      @CharlesMwakajinga-p2w День тому +2

      Wapo wengi wanaogopoana wana ndimi mbili

    • @gervasgetro8099
      @gervasgetro8099 18 годин тому +1

      Akili ipi kala pesa za serikali katika kwenye mfumo anaqnza kulia njaa

  • @selemansalum-f4p
    @selemansalum-f4p День тому +17

    Wambie baba. Wakina. Wasira wanalilia madaraka. Wakat wameezeeka

  • @YubaliLameck-bu3ld
    @YubaliLameck-bu3ld День тому +24

    Tumbuwa majibu Mzee wetu.

  • @SaidiKiberenge
    @SaidiKiberenge 19 годин тому +9

    Msema ukweli mapenzi wa mungu,

  • @FestoMunishi-q4d
    @FestoMunishi-q4d День тому +32

    Kwa ufupi huyo mama atoke hata km ccm itatawala lakini awe mwanaume hatutaki rais mwansmke

    • @willygwaikana6783
      @willygwaikana6783 20 годин тому

      Rasi mwanamke ni matakwa ya wazungu, sio desturi zetu waafrika na hata wazungu kwa asili yao hawakuwa na wanawake vichwa ila wamekengeuka tu na ndipo wanaueneza ukengeufu wao kwa waafrika. Lakini zaidi sana Mungu mwenyewe aliyeumba wanaume na wanawake ameagiza kwamba mwanamume awe ndiye kichwa na mwanamke asitawale mwanamume. Kinyume cha hapo ni ukristo feki uliopo sasa duniani.

    • @TwahaYahyaShabani
      @TwahaYahyaShabani 19 годин тому +1

      💯

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 19 годин тому +4

      kwanza ata dini zimekataza utala wa wanawake,afu unasikia majitu yanajisifu eti dini ya haki ni lslam swali samia si muislamu?mbona ni raisi na bado yy ni mwanamke hatari sana!

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 17 годин тому

      Dini ipi hizi za wakoloni​@@JeanMuzaliwa-bs6qh

    • @NassorRashid-g9y
      @NassorRashid-g9y 13 годин тому +3

      Ndie tuliewaletea huyo wazanzibar acheni mtawaliwe. Si mliwahi kusema Tanganyika hatawali mzanzibar sasa katawala tena mwanamke sasa 😂.

  • @ValerianaKilumile
    @ValerianaKilumile 21 годину тому +12

    Mkome kuweka rais mwanamke ni rahisi kutongozwa

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 18 годин тому +9

    Kikwete ni adui mkubwa hamujui Tu ashamaliza muda wake lakini yupo kama yeye ndio raisi anakuka pesa kweli kweli..

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo День тому +14

    Ndani ya ccm watu aina hii ni afimu sana

  • @DanielAnointed
    @DanielAnointed 19 годин тому +8

    Mungu akusimamie mzee Malisa kwakuwa upande wa MUNGU

  • @MeshackKaboja
    @MeshackKaboja 20 годин тому +12

    Huyu mzee alindwe

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 22 години тому +5

    Vizuri sana 🎉🎉, Ila chunga wasiyojulikana

  • @hassanibakari9667
    @hassanibakari9667 20 годин тому +5

    Hongera kwa maneno yako mazuri. Hii nchi inawenyewe unalijua hilo

  • @Jackson-n2c
    @Jackson-n2c 19 годин тому +5

    Asante mzee

  • @EradiusB.kashabano
    @EradiusB.kashabano День тому +13

    Watanzania wengi tunaumia natuliona atujatendewa haki

  • @valentinemutasingwa1932
    @valentinemutasingwa1932 День тому +17

    Excellent

    • @EdwardMashauri-z4w
      @EdwardMashauri-z4w 12 годин тому

      Hapo hakuna excellent Wala exactly huyu mchaga ni mwehu.

  • @tumainikibona5252
    @tumainikibona5252 21 годину тому +5

    Hongera sana mzee kwa kujitenga na uongo

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 22 години тому +6

    Umesema kweri Mzee

  • @WilfredMbowe
    @WilfredMbowe День тому +7

    Upo sahihi kabisa

  • @hamisiomary8681
    @hamisiomary8681 День тому +11

    SOMA MAJINA YA WANAOKOMENTI UTAGUNDUA KITU 😅😅😅😅😅

  • @jumannematimbwa559
    @jumannematimbwa559 22 години тому +4

    ATUTAKI RAIS MWANAMKE NI MUOGA ATOKE

  • @storytownTv
    @storytownTv День тому +35

    Afu unakuta mambwa yanabweka kila kona mamaa mitano nyokoo kisa vijisenti me waga nasikia hasira jamn hii nchk..😢

    • @Bilifilmz
      @Bilifilmz День тому +4

      Kinoma bro inaumiza sana, hii Nchi ya mazwazwa sana

    • @BorchertWilliam
      @BorchertWilliam 23 години тому +4

      Pole sana hili linakera sana wasanii mbwa walijazana pale kusifia upumbavu.

    • @robertmhikwa8174
      @robertmhikwa8174 23 години тому +3

      aisee yani

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 23 години тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂 pole sana usije ukawa muasi 😂😂😂

    • @athumaniamani9905
      @athumaniamani9905 18 годин тому +2

      Hzo asila ulizokuwa nazo ww ni kidgo sana mm nko na asila km faru daaah

  • @willygwaikana6783
    @willygwaikana6783 20 годин тому +5

    Kujiuzuru kwa waafrika wakiwa madarakani, ni sawa na kumwambia ajiue. Ni tendo gumu sana kwa viongozi waafrika. Hata wapinzani wakiingia madarakani bado watakuwa waafrika wale wale, japokuwa kuna waafrika wachache sana ambao pengine wameweza kufanya hivyo na wanaweza kufanya hivyo ila katika mia utawapata 2 kama si mmoja.

  • @Lubango-gj3ud
    @Lubango-gj3ud День тому +15

    Hii nchi bado sana raia wengi hawajuwi nguvu ya KATIBA ktk taifa au chama husika, wanabeza mzee huyu anayesema powerful point.(mama Tz utateseka sana nchi yangu)

  • @willykamwela2535
    @willykamwela2535 День тому +2

    Be blessed sir

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 19 годин тому +4

    Ccm hawafuati katiba siku zote ,wanafuata akili na mtamanio yao tu

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 20 годин тому +3

    Mgeiga mfano wa Nchimbi alionyesha jisia zake alipotangwazwa Magufuli kugombea urais.Mnamuonea mama Samia.

  • @fallentree2250
    @fallentree2250 19 годин тому +3

    Baba hongera

  • @felixmluge3211
    @felixmluge3211 День тому +14

    Kongole mzee wngu.
    Nikikutazama ivi sioni kama una nia ovu ktk kukemea kilichotekelezwa na CCM.

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 17 годин тому +1

    Safi sana na Mungu akulinde na kukubariki
    Na Mungu atakutetea na huu ndiyo mwisho wa ccm kwani ccm walizoea mabavu na sasa ni wakati wa samia kuachia ngazi kwani samia ni mla rushwa mkubwa kabisa

  • @Georgemselle
    @Georgemselle 21 годину тому +3

    Baba umesema ukweli ila huyu rais aliwaihi kusema katiba nikijitabu kwa kauli yake kwaiyo yeye anajua yuko juu ya katiba.

  • @ElikanaLohay
    @ElikanaLohay 19 годин тому +4

    Big up sana tunawakaribisha CHADEMA

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako 20 годин тому +3

    Ccm wanaogopa sana ukweli watakufungulia kesi ya uongo 😂😂 mungu akutangulie

  • @obadiajuma436
    @obadiajuma436 День тому +5

    Mzee ukosawa

  • @Veronica-y2j8o
    @Veronica-y2j8o День тому +3

    Umenifurahisha tu kuwawajibisha viongozi wanaojiona wake juu ya sheria

  • @khaliduhadi2336
    @khaliduhadi2336 19 годин тому +5

    Hilo mzee Kila mwana CCM kaona hi kitu ila wanaumia tumboni hawawwzi sema tu

  • @rasgwandumikaisi7489
    @rasgwandumikaisi7489 День тому +13

    Ikiwa Katiba ya Nchi ni “kitabu tu”, Je! Ya Chama si daftari tu?

  • @rabwarab574
    @rabwarab574 20 годин тому +1

    Mzee wa maans kabisa❤

  • @bahatishitindi
    @bahatishitindi 56 хвилин тому

    Mungu akulinde mzee kwakusema kweli wana ccm wengi wana umia ndani kwandani

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 9 годин тому +2

    Chama kinaelekea kwenye uchaguzi , ni nani huyu ??😂😂😂😂

  • @sportsnewjs4330
    @sportsnewjs4330 2 години тому

    Nikweli kabisa Samia anaivuruga sana nchi yetu Tanzania, na anavuja katiba ya nchi 😠😠😠

  • @mariamumechara3398
    @mariamumechara3398 22 години тому +1

    Uko sawa mzee

  • @yusti-maln3316
    @yusti-maln3316 17 годин тому +1

    Ila kuongozwa na Rais mwanamke mimi naanza kujisikia kichefu chefu,
    Kwa kuwa lazim CCM washinde.. mimi macho yangu yanatazama 2030 pengine watatuletea mwingine mwenye Uzalendo kama wa mzee huyu.... Ningetaman awe kama maguful.. lakin awe anasikiliza na hoja za wapinzani.. sio kupigana risas

  • @YasserSuleiman-s5y
    @YasserSuleiman-s5y 17 годин тому

    Si comment 😁😁

  • @MsumalAloyce
    @MsumalAloyce 8 годин тому +1

    Huyu mzee ni kiongoz bora ,badae utaskia ametekwa.

  • @JacksonKivuyo-b1v
    @JacksonKivuyo-b1v 8 годин тому +1

    Hawa wanaosema mama mitano ndyo hao mafisadi.

  • @LupakisyoKandonga
    @LupakisyoKandonga 19 годин тому +2

    Saaaaana mzee ukweri ndouo

  • @HassanKibwana-h3w
    @HassanKibwana-h3w День тому +4

    Mzee hongera sana wewe unajitambua sana

  • @JacksonKivuyo-b1v
    @JacksonKivuyo-b1v 8 годин тому +1

    Tunaongozwa kama mazuzu wananchi wanateseka na raslimali kibao

  • @lusajomwaikambo6058
    @lusajomwaikambo6058 3 години тому

    God bless you! Malisa.

  • @sianagodson3690
    @sianagodson3690 6 годин тому

    Asante Mungu akutunze daima

  • @geraldgogadi7054
    @geraldgogadi7054 22 години тому +1

    Nchi hii watu wenye akili ndani ya ccm bado wapo shida ni uoga(Kudos mzee)

  • @hamisidale2704
    @hamisidale2704 День тому +2

    Membe alidokolewa uhai wake,Nape na Makamba,walipoenguliwa kinana akatangaza kujiuzulu,hii iko hivi,mchakato wa kumpata mgombea ungeachwa ufate utaratibu mtifuano au mchuano ungekuwa mkali na Samia asingechaguliwa kulitambua hilo ikabidi ufanyike uharamia huo,Angalia walivyomkwepa majaliwa baada ya Mh mpango kuombwa awapishe,Majaliwa angerejesha Magufuli staili hivyo kawekwa kabatini na hivi karibuni atatangaza kujiuzulu na Biteko Doto kuchukua nafasi yake! Ni hivi as long nchi iko salama yatakwisha tuvumiliane,funika kombe Mwanaharam apite" Namuomba Mama samia Akemee Rushwa adharani na kuwaajibisha bila upendeleo wezi wa mali Uma"Ili Tanzania ya wajukuu na vilembwe wetu pakawe salama kuishi "

  • @TheKingBuddar-u9c
    @TheKingBuddar-u9c 3 години тому

    HYU RAIS WAAJABU SANA WATANZANIA ATUKUTAKII BADO UNAQ'AQ'ANIA MAMA SAMIA JIUZURU ATUKUTAKIII

  • @FredKipanya
    @FredKipanya Годину тому

    👍

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel 12 годин тому +1

    Huna lolote, siyo mara ya kwa kwanza CCM kufanya hivyo. Sasa leo ndiyo unasema hivyo?

  • @HassanKibwana-h3w
    @HassanKibwana-h3w День тому +3

    Safi sana Mzee unajimbua upo vizuli sana

  • @MartineShija
    @MartineShija 13 годин тому

    Asante mzee umeongea kwa hekima sana oni lako limekubalika kwa weng sana

  • @jafarykazoboy
    @jafarykazoboy 9 годин тому +1

    Atoke tu hana maana huyo Mama

  • @azizmwalongo5516
    @azizmwalongo5516 4 години тому

    Wewe siyo mwana ccm hebu jikague vzr wanaokwambia ni walewale

  • @leonardramiye8207
    @leonardramiye8207 23 години тому +2

    Watu wema hawana nafasi😢

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 9 годин тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MachoMidia
    @MachoMidia День тому +3

    Yani ss tunamtaka aje nani aseme kweli maana alisema sugu au lissu tunasema wanachochea wakitoka wa ccm bado manakataa sasa aje nani aseme

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 День тому

      Machomidia wagombea kwani hawapo humo ndani ya Ccm akiwepo na yeye mwenyewe

  • @yousuphnzira3209
    @yousuphnzira3209 6 годин тому

    Malizia umri wako vizuri Mzee acha kugusa mfumo utafumuliwa.

  • @greydonalds4286
    @greydonalds4286 18 годин тому +1

    Hapo Samia atakujibu kwa michambo na vijembe vya taarab😂😂

  • @LameckKayanda
    @LameckKayanda Годину тому

    ukweli usio pingika mzee upo vizuri.kwann anaogopa uchaguz usifanyike.anahofia nn .nawakat yeye ndio mwekit wa chama.

  • @naomianangisye8405
    @naomianangisye8405 День тому +2

    Huenda ni mpango wa Mungu

  • @agathonkalolela9278
    @agathonkalolela9278 3 години тому

    🎉

  • @JastinSima
    @JastinSima 18 годин тому

    ❤❤❤

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk День тому +1

    WANATAFUTA CONGO NYINGINE!!
    ACHA WAENDELEE KUJIFANYA MIUNGU WATU
    HAWAJUI KUNA VIJANA WANAOUMIZWA NA WALIYOFANYIWA WAZAZI WAO NA WANAKUA NA VISASI MIOYONI MWAO!!
    TENDENI HAKI
    "HAKI HUINUA TAIFA"

  • @husnakalumba2578
    @husnakalumba2578 6 годин тому

    Mzee unawalinzi binafci je unamwanashelia hayo uliyoongea ni ukweli lkn kuwa makini sana

  • @MateoSamohenda
    @MateoSamohenda 7 годин тому

    Ukweli ni lazima usemwe uko sawa mzee nchi imekaa vibaya

  • @ESTAMSANGI
    @ESTAMSANGI 7 годин тому

    Mama chapa kazi upo vizur mitano tena halaf suala la wizara ya elimu inadorora kwasababu walimu hawana wito kama wa zamani wapo walimi walioondolewa na vueti feki lakin ni wazuri sana ingewezekana wale walimu wazuri warudishwe kazini adante

  • @mttanzaniamalimilo6657
    @mttanzaniamalimilo6657 6 годин тому

    Acha kuwapoteza baadhi ya watanzania wasiojua huyu Raisi hakuwekwa wala kuchaguliwa bali kwa mujibu wa katiba ndio imemuweka,hivo kwa mujibu wa katiba hiyo hiyo tutamchagua uchaguzi wa mwaka huu Mungu akitupa uzima

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 Годину тому +1

    Chomoka ujeee

  • @simonjohn2784
    @simonjohn2784 20 годин тому +1

    Wazee kama wew ndio tunao waitaji Tanzania

  • @RashidMsuya-t2o
    @RashidMsuya-t2o День тому +4

    Sheria zimewekwa ili zivunjwe! Na hiyo ndo uhai wa Sheria! Sheria haiwi Sheria Hadi imvunjwa.

    • @BatazalNdifwa-nk2hl
      @BatazalNdifwa-nk2hl День тому

      @@RashidMsuya-t2o hah hah hah hah! Ok

    • @benjaminlawi1400
      @benjaminlawi1400 День тому +3

      Hayo ni mawazo ya kihuni, Sheria haijawekwa ili ivunjwe

    • @Tanzaniayangu-g8v
      @Tanzaniayangu-g8v День тому +2

      Eti eeh..ndo maana baada ya kifo cha rais wa awamu ya tano ilivunjwa akawekwa makamu wake siyo!! Vp kama angewekwa waziri mkuu hapo katiba ingekuwa imefanyweje!!🎉🎉 Ccm bwana kwenye kujipa vyeo wanajikutaga wanaiheshimu katiba!!..ila wakishavipata sasa..kila mtu na lake eti ni kwa matakwa ya rais siyo katiba tena.

    • @MahmoudAli-rs5mi
      @MahmoudAli-rs5mi День тому

      Ah sisi wazanzibr twakuombea kila la kheri mama wacha tuwanyooshe tena kwa mitano watatia akili kengeao washa tuburuza sana naikifika bado miaka miwili nchi yote iuze ujeupunzike kwa amani 🎉🎉🎉🎉🎉 Samia oyeeeeeeee🎉

    • @Tanzaniayangu-g8v
      @Tanzaniayangu-g8v День тому

      @MahmoudAli-rs5mi hahaaa hii ndo inaitwa yaliyomo yamo, au lisemwalo lipo.

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 День тому +3

    Huyu anatokea wapiii Mlevi.

  • @propKibali
    @propKibali 3 години тому

    Uko vzr, lkn mbona kama ni Kuzingatia katiba raslimali za nchi zinakabidhiwa kwa wageni na hukuwahi kusema, mbona ya chama chenu tu ndiyo unajitokeza kusema?

  • @eliamwankenja7087
    @eliamwankenja7087 22 години тому +1

    Hapo ndipo penye hakili zenye hekima

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 10 годин тому

    CCM KATIBA YENU WENYEWE MNAIKANYAGA JE KATIBA YA NCHI MTAHEMU?

  • @Bahatimwalubandu
    @Bahatimwalubandu 20 годин тому +2

    Hongera kwa ujasilia kibaya uwoga umetawala Mungu akutunze

  • @CosmasSengenge
    @CosmasSengenge 13 хвилин тому

    Hapa ngazi za juu wamejua kuwa wangefanya/kufuata utaratibu wengine wasingetoboa

  • @AdrianoStephen
    @AdrianoStephen 4 години тому

    Hiii imeeeendaaaaaaa aishieee pale tulipowachagua na magufuli aaaaache tamaaaaaa

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 21 годину тому +1

    Mtu akimwona mtu yupo ktk wadhifa fulani, basi tena atamwona hafai.
    Mwl Nyerere walijaribu sana Serikali kuiondoa madarakani, ndo watu kama hawa

    • @GiliadLuziro
      @GiliadLuziro 20 годин тому

      Ww ndo wale mitano tena kwahiyo tulia dawa ikuingie mwanaume haupaswi kuwa chawa utaolewa

  • @nassoribrahim5288
    @nassoribrahim5288 9 годин тому

    😊tayari pasi ya kisigino
    😂bao la nkono lajaa

  • @HellenNkwera
    @HellenNkwera 23 години тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @frankngajilo7137
    @frankngajilo7137 8 годин тому

    Aina hii ya wazee wanamchango mkubwa sana kwa chama na taifa

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz 8 годин тому

    Kada gani Huyu Wa CCM na fyatu, Wa chadema tu

  • @janiafaomaa5120
    @janiafaomaa5120 5 годин тому

    HUYO SIOKANDA WA CCM KATUMWA KWA AJILI YA NJAA KAMA NYIYI MWANAHALISI TV MNAVYO TUMWA NA CHADEMA YOTE YANAJULIKANA KWAMBA HATA YIYI MNATUMIKA NA CHADEMA KUJA KUITUKANA CCM

  • @alinanusweedward2952
    @alinanusweedward2952 32 хвилини тому

    Kama wanavunja Katiba yao je wataheshimu Katiba ya nchi ??