asalamu aleykum brothers and sisters Jamani tu saidiye hii chanel ku angalia advertisment yote msi ondoe ili advertisment ilipe mandugu zetu naona wengi wana fuatilia na sisi sote tuki angalia advertisment yote bila ya ku skip advertisment itawasaidia mandugu zetu wa daawa walipwe kwa kazi yao nzuri ya hii vedeo, na allah pia atawalipa inshaalh kwa kazi yao nzuri. AMIIN
Asalama alaikum ustadh Yusuf kwanza pongezi kwa kazi nzuri alafu kuna andiko apo sijalifahamu vizuri lipo katika hisabu ila sijui ngapi ngapi linasema mungu si mtu ili aseme uwongo wala sijui vipi uko mbele ila namini utakuwa umekifahamu nilikuwa naomba unipe sura na mstari wake
Hivi vichwa vya wakristo waliowengi vimeoteshwa kutu iloyotokana chuma Cha reli kuichuna Pana kazi kweli kwa Nini hawafahamu maandiko ? Mtihani kweli Allah awazindue
Wakristo na ukambavu wao mwili na utatu. Kwani nafsi ya nena au roho ya nene peke? Ama lazima ziwe pamoja. Shida ni wakristo washazoea kufikiri mungu ni kama binadamu.
Hawa wa Kristo sijui ni ugonjwa gani wako nayo, hawa semagi ukweli, na hawaji kwa point direct! Na hata ukiwa uliza swali, wata zunguka soko mzima, halafu wata jibu Kuku, na hali uliuliza Avacado! Wachaneni na Bibilia, hicho ni vitabu za Wazungu, tena Wazungu wachafu, walioi tunga hivi vitabu hivi juzi tu, in 1611ad, na shoga King James!
Keep going bro 🤲🤲🤲
Mashaallah tabarakallah Allah ampe afya njema n elimu n hekima walim wetu
Amin sote
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Ni vichekesho 100/100 binadamu apo apo mungu
😂😂😂 alafu ni watu wazima na akili zao wallai
@@سعدياقوت-ت2خ pengine wana watoto kadhaa
Apo APO mtoto wa mungu halaf ni mtu mzimaa kwenye ankili timamu
Hapo kwa ustadh amir Yusuf wambugu mtatulia tu 😅😅😅
MashaAllah shaikh yusuf...Allah awajaalie IKHLASW na awalipe mema...amiin
Amin sote
MashaAllah shaikhe Yusuf Allah akubarik kila la kheir na baraka afya njema na umri mrefu inshaAllah amiin akutakieni Ramadan Mubarak
Amin sote
Ak mesheikh mnakazi macho wanayo ila hawaoni kweli Mungu ndie humuogoza mja in Sha Allah wapate hidaya
Umewathalilisha! Na kimeeleweka! MashaAllah!
Asalam alykum www sheikh Yusuf kuringaniya awowatu wajuwe ukweri mungu akupe kira raheri
Mungu si mwanadamu wala hana mfano wa mwanadamu ila yesu mwenyew amesema ana baba Mungu wangu nae n Mungu wenu
Kwani unafikiri hawaelewi usingizi tu una wasumbua
MASHALLAH ❣️
Masha'Allah , kazi safii Amir Yusuf.
Walai Allah awajalie mema Ustadh wambungu na wenzako kwa hii neema ya kufikisha ujumbe ya imani
Amin sote
Mansha Allah May Allah bless our ulamaa Amiin
Amin sote
Mashallah Allah
MashAllah
Mashallah kazi mufti kabisa the going is going.... Allah atuwafikishie malengo yetu sote in shaa Allah
Amin sote
SUBHANAH inasikitisha sana kusema yesu ni MUNGU haingii akilini ALLAH awahidi hawa watu waiyone haki
Amin
Mashallah
Huyu ni wa kupoteza wakati
MashaAllah raha kweli!
Ramazan Kareem.good job Ustaz.
Thanks
MashaAllah
Yesu ni mungu isaiah 43
Wewe wacha UONGO kwa mutadao
Ramadhan Mubarak ma Ustadh. Mola akubali ma ibada zetu huu mwezi mtukufu
Amin sote
Masha Allah sheikh wetu
Assalamualaikum warahmatullahi wabarakatuhu jazzakallahu kheiran wa ahsanallahu ileykum Barakallahu fikum
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu
Iko na part 9
asalamu aleykum brothers and sisters Jamani tu saidiye hii chanel ku angalia advertisment yote msi ondoe ili advertisment ilipe mandugu zetu naona wengi wana fuatilia na sisi sote tuki angalia advertisment yote bila ya ku skip advertisment itawasaidia mandugu zetu wa daawa walipwe kwa kazi yao nzuri ya hii vedeo, na allah pia atawalipa inshaalh kwa kazi yao nzuri. AMIIN
Amin sote
Asalama alaikum ustadh Yusuf kwanza pongezi kwa kazi nzuri alafu kuna andiko apo sijalifahamu vizuri lipo katika hisabu ila sijui ngapi ngapi linasema mungu si mtu ili aseme uwongo wala sijui vipi uko mbele ila namini utakuwa umekifahamu nilikuwa naomba unipe sura na mstari wake
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu, hesabu 23:19
Amir afuan kidogo ni hesabu 23:19 samahani lakini...!!!
Sawa mjukuu
Assalam aleykum warhmatullah wabarakatuh
We are waiting patiently for part 9 in shaa Allaah.
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu
Hivi vichwa vya wakristo waliowengi vimeoteshwa kutu iloyotokana chuma Cha reli kuichuna Pana kazi kweli kwa Nini hawafahamu maandiko ? Mtihani kweli Allah awazindue
Wakristo na ukambavu wao mwili na utatu. Kwani nafsi ya nena au roho ya nene peke? Ama lazima ziwe pamoja. Shida ni wakristo washazoea kufikiri mungu ni kama binadamu.
Jama hana hoja a maliza wakati
Asalam alaykm
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu
huyo mkristo kachanganikiwa 😇 asomewe Mathew 1:1
ukristo unafaa kuishia tu kwa Yesu kutumwa kwa waisrael tu,maana ata Mungu aliahidi waisrael tu,sasa hawa wanaojiingiza sjui wanatafta nini
Sasa Cha hajabu zaidi hata yesu hajawahi kuwa mkristu
aa hizi nizakitambo ama ni za Ramadhan hii
Hazijawahi kuwekwa UA-cam, ni mpya
Hawa wa Kristo sijui ni ugonjwa gani wako nayo, hawa semagi ukweli, na hawaji kwa point direct! Na hata ukiwa uliza swali, wata zunguka soko mzima, halafu wata jibu Kuku, na hali uliuliza Avacado!
Wachaneni na Bibilia, hicho ni vitabu za Wazungu, tena Wazungu wachafu, walioi tunga hivi vitabu hivi juzi tu, in 1611ad, na shoga King James!
Also Koran ni kitabu tu kama shamba la Wanyama pia biblia
Mashaalah