Hawa watu Mwenyezi Mungu awaongoze kweli wapo gizani , wamepotoshwa na wachungaji wao kanisani, Hawasomi bibilia Yao, laiti kila mchungaji kanisani anahubiri na kufundisha kulingana na bibilia basi wakiristo wote wangekuwa waislamu, wangenyenyekea kwa Mwenyezi Mungu.
MASHALLAH MA IKHWAA ..Alafu uyo jamaa anasema una uswahili kwani anachokizungumza kichinaa ??? ~ashindwe katika jina la Tawhiid Islamic preachers .. جزاك اللهُ
MASHA ALLAH,, ALLAH AWALIPE KILA KHERI ,,USIPOTUKANWA KATIKA DA-WAA JUA BASI DA-WAA UNAYO FANYA HAINA MAFANIKIO .LAKINI UKITUSIWA UKIDHIHAKIWA KATIKA DA-WAA,,SEMA ALHAMDULILLAH MAANA NI DALILI NZURI
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ ءَامَنُوا كُتِبَ عَلَيْكُمُ الصِّيَامُ كَمَا كُتِبَ عَلَى الَّذِينَ مِنْ قَبْلِكُمْ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ O you who believe! Fasting is prescribed for you, as it was prescribed for those before you, so that you may become righteous. Holy Quran:(2:183)
Huyo amekazana na kutahiriwa yaonekana hajatahiri au vipi?coz ameelezewa na haelewi bado hao sio wa kupewa mic kwa mda mrefu coz mafunzo ni muhimu na sio ushindani usio na miguu wala mikono
Nimefika Mashallah Yani Uislam Raha Allahu Akbar
Hawa watu Mwenyezi Mungu awaongoze kweli wapo gizani , wamepotoshwa na wachungaji wao kanisani, Hawasomi bibilia Yao, laiti kila mchungaji kanisani anahubiri na kufundisha kulingana na bibilia basi wakiristo wote wangekuwa waislamu, wangenyenyekea kwa Mwenyezi Mungu.
Ma shaa Allah
Allah awape subra na kazi ya Daawah, inshaalah thawabu yenu ni جنة الخلد
Amin sote
Wakristo watafunguka macho in shaa Allah.
Inshaa-Allah
Shukran sheikh wetu Allah akuhifadh Inshaallah
Amin sote
MASHALLAH MA IKHWAA ..Alafu uyo jamaa anasema una uswahili kwani anachokizungumza kichinaa ??? ~ashindwe katika jina la Tawhiid Islamic preachers .. جزاك اللهُ
Ramadan Kareem iwe ya baraka na kukubaliwa mema yetu.Allah awalipe khery walimu wakiislamu kwa baraka za ramadan
Amin sote
Ameen
Keep going bro 🤲🤲🤲
Taakbir Allah Akbar ...❤❤❤🎉
MashaAllah nlikuwa na subiri mwenyezi mungu awa jalia afya njema mzidi kufikisha ujumbe
Amin sote
MASHA ALLAH,, ALLAH AWALIPE KILA KHERI ,,USIPOTUKANWA KATIKA DA-WAA JUA BASI DA-WAA UNAYO FANYA HAINA MAFANIKIO .LAKINI UKITUSIWA UKIDHIHAKIWA KATIKA DA-WAA,,SEMA ALHAMDULILLAH MAANA NI DALILI NZURI
Amin sote
Mashallah Mashallah Mashekhe wetu wa dhahabu Allah awaweke.
Amin sote
Masha Allah
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ ءَامَنُوا كُتِبَ عَلَيْكُمُ الصِّيَامُ كَمَا كُتِبَ عَلَى الَّذِينَ مِنْ قَبْلِكُمْ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ
O you who believe! Fasting is prescribed for you, as it was prescribed for those before you, so that you may become righteous. Holy Quran:(2:183)
Mashallah Allah 💕
unampa huyo mgeni MDA mrefu stry ndefu
Huyo amekazana na kutahiriwa yaonekana hajatahiri au vipi?coz ameelezewa na haelewi bado hao sio wa kupewa mic kwa mda mrefu coz mafunzo ni muhimu na sio ushindani usio na miguu wala mikono
S
As'salaam aleikhum,.Ustadh Yusuph, andiko hilo la Yeremia linalosema km hujatahiriwa hupati mke, naomba hilo andiko.
Ma Sha Allah hii part ni kma haija isha ama? Next part plz
party 8 plz
Jamani nakichekea tuu
Sauti
Allah awape subra na kazi ya Daawah, inshaalah thawabu yenu ni جنة الخلد
Amin sote