USINIACHE BY ZABRON SINGERS (SMS SKIZA 5961248 TO 811)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 893

  • @marthanwankenja6267
    @marthanwankenja6267 2 роки тому +9

    Hongeren kwa kazi nzur naamini Mungu yupo nanyi katika kila hatua awapiganie awatunze

  • @zeckydekush5843
    @zeckydekush5843 3 роки тому +389

    Am leaving this comment here so that after months or years when someone likes it am reminded about the song❤.MUNGU usiniache🙏.

    • @vidalisatinda8924
      @vidalisatinda8924 2 роки тому +6

      Amazing 👌 wow this is the song I have been looking for

    • @maryotieno3104
      @maryotieno3104 2 роки тому +2

      Mungu wangu usiniache,you know my situation please

    • @guarawanjoki1423
      @guarawanjoki1423 2 роки тому +1

      The song makes me continue waiting for this sweet God I love these guys🥰🤭🤭🥰

    • @Cate1520
      @Cate1520 2 роки тому +2

      Anytime i feel like im sinking into the world this song reminds me how great God has been

    • @carolinekuria6878
      @carolinekuria6878 2 роки тому

      Q

  • @marynjani1370
    @marynjani1370 2 роки тому +3

    Sijui n mm pekee yangu ndo naona hivi akianza huyu dada.afatie huyo mkaka wimbo lazima unoge af huyo mdada na japhet n unakuwa mzuri zaidi……nyimbo zenu n baraka

  • @irenealfan6587
    @irenealfan6587 3 роки тому +6

    Nashukuru mnazidi kunibariki !! Pelekeni digital zingine

  • @blackkid7377
    @blackkid7377 Рік тому +4

    huyo mama anaefunguaga kwenye hzi nyimbo huwa ananikosha

  • @wanjoki1
    @wanjoki1 3 роки тому +11

    Asilimia 80% ya fans wanatokea Kenya sisi sio wa hivi hivi jamani nyimbo kalii🙏🙏

  • @neynicenkembo9513
    @neynicenkembo9513 3 роки тому +4

    Korasi tamu aisee😋😋mbarikiwe kwa kaz nzuri 🙏🙏

  • @kaipymaluma7404
    @kaipymaluma7404 2 роки тому +8

    I am blessed to live in same generation with zabron. From zambia.please keep liking this comment mungu usiniachi

  • @Gold_of_hope_Tv
    @Gold_of_hope_Tv 3 роки тому +4

    Wow. Mbarikiwa mwaka mpya sitaki kuwa wa hivihivi mimi

  • @rockechoesministersofficia4996
    @rockechoesministersofficia4996 Рік тому +35

    Wanaopenda Zabron singers,,,angusha like yako tukisonga❤❤❤

  • @thegreatfamilyproductiont.862
    @thegreatfamilyproductiont.862 3 роки тому +14

    Nawapenda wasafiri wenza,Toka Kenya nafurahia jumbe zenu kupitia nyimbo...NAMI baba ukinibariki nikumbushe nikushukuru wakati wote... zabron singers to the world

  • @ndegendege6349
    @ndegendege6349 3 роки тому +5

    Nabarikiwa sana na Jumbe nzuri mnazotupatia watumishi wa Mungu hakika tumefunga na kufungua mwaka kwa baraka tele

  • @gwantwajoseph5564
    @gwantwajoseph5564 3 роки тому +5

    Hongereni sana kea huduma nzuri

  • @pascalnkwiwa3650
    @pascalnkwiwa3650 3 роки тому +8

    Nawapenda sana Zabron

  • @JumaSatarajr
    @JumaSatarajr 11 місяців тому +3

    Sitakikikuwa wahivivi mimi nikaipenda duniya nikaikosa mbingu niyayangu mimi unimirili baba yangu nawapenda sana tena zaidi yasana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @NabutuwaBeat
    @NabutuwaBeat Рік тому +1

    What abeautfull choir, 💯👌👌👌👏👏🇺🇬

  • @thegreatfamilyproductiont.862
    @thegreatfamilyproductiont.862 3 роки тому +6

    Swali ambalo hunizingua ni vile nyie sauti zenu mnavyofananisha...all the same mubarikewe hasa tuvukapo mwaka tenzi zenu zikubalike...

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 5 місяців тому +13

    Huu wimbo huwa nauzikiliza kila mara..RIP Marco

  • @NyokabiWaweru
    @NyokabiWaweru 3 роки тому +4

    Unimiliki baba yangu Leo kesho hadi milele wimbo mzuri sana

  • @praiseandworship6293
    @praiseandworship6293 3 роки тому +42

    If you are reading this, may God remove your pain, worries and problems, and replace them with good health, happiness and peace. In Jesus name. Amen
    Happy new year!

  • @nelithamimwani4516
    @nelithamimwani4516 3 роки тому +1

    MUNGU wa mbinguni awabariki sana nyimbo zenu zinabariki watu sana ❤️ tunawapenda🙏🙏🙏

  • @juliuslangat9148
    @juliuslangat9148 3 роки тому +4

    Watching from Kenya 🇰🇪

  • @ditchy_mitchy
    @ditchy_mitchy 3 роки тому +1

    Probably the next big thing in Africa mob love frm Kenya.

  • @oscarkabura9808
    @oscarkabura9808 3 роки тому +2

    Hakika mume tu happy! naujumbe mzuri wakutuanzishia mwaka👍🇦🇺

  • @loyalforumtv
    @loyalforumtv 3 роки тому +3

    One day nilikuja hapa nkasema one day tutaenda trending ,,,, huuuwimbo ulinibaliki Sana ,,, mbalikiwee Sana #faith

  • @evanschege
    @evanschege 3 роки тому +43

    Welcoming 2022 in style from our favourite zabron singers, this is sweet one. God bless you. Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ayubusanga2325
    @ayubusanga2325 3 роки тому +2

    Mungu awabariki zabron hakika nafunguka moyowangu 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @bimenyimanaelyse370
    @bimenyimanaelyse370 3 роки тому +7

    "Don't Leave me My God" Be blessed my Choir. Munanifurahisha kabisa. Tunabapenda hapa Burundi

  • @ValentinaNyanzura
    @ValentinaNyanzura 11 місяців тому +1

    Mungu bariki kila moja waooo nyimbo nzuri sana na wapenda🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ericmulera6822
    @ericmulera6822 3 роки тому +1

    oooh, these brothers and sisters are just a blessing to this generation. Nawapenda nkiwa apa India

  • @katembosalathiel7376
    @katembosalathiel7376 2 роки тому

    Munatisha sana munaimba vizuri sana napenda sana Nyimbo zenu zote na sauti zenu From Congo

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 3 роки тому +5

    Ameni asanteni kwa ujumbe mzuri wa kufunga mwaka 2021🕊🍃🇹🇿🇹🇿

  • @mrtallentsgp2623
    @mrtallentsgp2623 3 роки тому +2

    Waimbaji wanajua Sana mungu bariki talanta zao

  • @marcolutema
    @marcolutema 3 роки тому +2

    Mulungu amsungolile lobhnago. Keep preaching the word of God through gospel Songs. I always love listening to your songs, Asanteni Sana ndugu zangu

  • @nancynasimiyu-wd9lx
    @nancynasimiyu-wd9lx Рік тому +1

    The love I have for zabron singer may God bless you more

  • @idah7027
    @idah7027 3 роки тому +63

    Nawapenda Sana zabron singers.. My favorite choir... The song is really encouraging... Entering new year with a new style... Am really blessed 🙏🏼🙏🏼... Congratulations 👏👏

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 роки тому +3

      Tena mnapendeza sana! Dior, Gucci, Coco Channel, Yves Saint Laurent,... Sijui stylist wenu, ila mnapendeza sana sana sana ! Hakika Mungu anawapandisha utukufu hadi utukufu!

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 роки тому +1

      ... but, the song LACKs ORIGINALITY... I think I heard this melody in your album before... And besides, we miss JAPHETH's VOICE! None can replace him! Even though we love his brother, but none can replace Japheth! Love you Japheth, bless 🙏🏽🙏🏽

    • @happyaloyce8797
      @happyaloyce8797 3 роки тому

  • @Linnah-wh5lx
    @Linnah-wh5lx 2 місяці тому +1

    Huu wimbo nimeupenda sana mbarikiwe mungu aendelee kuwa nanyi❤❤❤

  • @NabutuwaBeat
    @NabutuwaBeat Рік тому +1

    Baba!!!baba!!!baba!!!,waoooh is so good,and fantastic ,oh God is this Zebrons singers or,the Eagles from Heaven hallelujah.🙏👏👏🇺🇬

  • @edgarthekatalang3921
    @edgarthekatalang3921 2 роки тому +3

    I have repeatedly watched this ❤️❤️🥂😩 ain't getting tired ❤️

  • @edwinkipkirui4076
    @edwinkipkirui4076 3 роки тому +66

    Song has inspired me to rethink heaven and my desire to be there. An amazing song to keep in the heart in 2022 & beyond. Be blessed Zabron Singers.

    • @restutaemmanuel7858
      @restutaemmanuel7858 3 роки тому

      Wow... we are blessed bro dont forget this
      ua-cam.com/video/gJAbK-46PJ4/v-deo.html

    • @marionaa2752
      @marionaa2752 2 роки тому

      True zablon team yu added my days with the song thanks

  • @sylviaondieki9102
    @sylviaondieki9102 2 роки тому

    So amazing. I can't stop listening to your songs ever. I keep rewinding and rewinding. Keep on praising God ever. Be blessed zablon singers

  • @hawi_gweth
    @hawi_gweth 3 роки тому +9

    They never disappoint. Glad this time it's not TikTok that brought me here 😌😌🤣🤣

  • @vicentamandus6149
    @vicentamandus6149 3 роки тому +3

    Congrats mpo vzur aseeh🙏
    Usiniache💥

  • @shazykemboi3793
    @shazykemboi3793 3 роки тому +10

    I don't understand why Bukulu's verse always makes me feel the song in a very different way.such a beautiful voice with great message...May God bless you zabron singers

  • @wanjoki1
    @wanjoki1 3 роки тому +3

    Huyu japhet anajua sana jamani😊

  • @faithmutie9790
    @faithmutie9790 3 роки тому +3

    Inabariki Sana wapendwa zabron Mungu azidi kuwainua🙏🙏🙏

  • @perpetuadalei2405
    @perpetuadalei2405 3 роки тому +5

    Don't ever leave me my God🙏🙏 your so blessed Zabron singers

  • @Footballcityspy
    @Footballcityspy 3 роки тому +28

    This should be no.1 trending , , all the way from kenya

    • @eng.josephkwitiga5673
      @eng.josephkwitiga5673 3 роки тому

      🇰🇪🇰🇪 Great to welcome a new year with such good fantastic song🙏🏿🙏🏿

  • @wakembetajaphary3648
    @wakembetajaphary3648 3 роки тому +2

    Ahsanten sana wapendwa tunabarikiwa mno

  • @reginamallya4363
    @reginamallya4363 3 роки тому

    Love u zabron singers jamani sijui niseme nini wapendwa wangu, nawakubali sana nyimbo zenu hazinipiti...

  • @roserotich5215
    @roserotich5215 3 роки тому +12

    I can listen to zabron singers day and night non-stop,you inspire me everyday

  • @savidvaldelud3967
    @savidvaldelud3967 Рік тому +3

    Hablo aquí desde Brasil, cómo no amar a mis hermanos africanos, todo lo que cantan, lo cantan con el corazón.

  • @vanekerubokerubo4686
    @vanekerubokerubo4686 2 роки тому +4

    I'm gone through hard life since my childhood up now I'm almost to despire but when I hard this song it motivate me so much, I know God will not going to leave me but He is on the process of blessings.

  • @officialmarcoemma
    @officialmarcoemma 3 роки тому +3

    Nmebarikiwa na wimbo wenu

  • @s.y.b..0039
    @s.y.b..0039 3 роки тому +2

    Sante kwa wimbo mzur na ujumbe ulio jaa faraja mbarikiwe sana😘😘

  • @munishiamedeus
    @munishiamedeus 3 роки тому +5

    Wimbo wa kufungia mwaka huu,big up sanaa 🔥🔥

  • @joshuamasunga_7rg
    @joshuamasunga_7rg 3 роки тому +1

    Hakika ni ombi tosha kabisa, Itatufaidia nini, kupata vyote hapa duniani, au kuinuliwa sana, kuonwa tuko vizuri na wanadamu, Lakini tukakosa kwenda mbinguni na kutupwa Jehanum siku ya mwisho!?……¿… Mungu atusaidie tufike mbinguni na kuishi maisha Yale ya milele. Nawaombea Zabron Singers ili basi siku moja tuimbe wote mbinguni katika makao ya milele, pasipo na kifo, maumivu wala kilio ndani yake milele na milele.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @janethedward9175
    @janethedward9175 3 роки тому +2

    My best song ya kumalizia mwaka nawapenda sana 🥰

  • @nancie717
    @nancie717 3 роки тому +1

    Hii ndio Sala yangu Kila siku. Zabron singers👏👏👏

  • @emmanuelmwangwa825
    @emmanuelmwangwa825 2 роки тому

    those watching it in 3022 should appriciate that this is one of the hit praise song. MUNGU wetu mwema ameumba sauti zetu nzuri tuzitumie kumsifu na kumtukuza yeye pekee.

  • @lucyjuliana7345
    @lucyjuliana7345 2 роки тому +6

    i really love this family sound very dope I'll visit them in Tanzania God willing next year sooooo beautiful ppl, humble and kind big heart for you the Zabloh❤️

  • @josephgitau5041
    @josephgitau5041 5 місяців тому +2

    Term Kenya I love 💕 u songs alot❤❤❤❤

  • @agesag.m2476
    @agesag.m2476 2 роки тому +7

    Only God knows how I love Zabron Singers songs, very educative and inspirational.

  • @elizabethjackson4842
    @elizabethjackson4842 2 роки тому +1

    MUNGU AWABARIKI,AWAINUE ZAIDI..!🙏

  • @josephwanjala7794
    @josephwanjala7794 2 роки тому

    Nimeamini kweli nyinyi watumzi wa kipekee,,,nyimbo tulivuuuuu

  • @nelsonclevery696
    @nelsonclevery696 3 роки тому +2

    Superb, God bless you exceeding for a wonderful song. Greetings from 🇹🇿

  • @GloryJohn-ll3no
    @GloryJohn-ll3no Рік тому +1

    Nawapenda Sana watoto wa baba ?nyimbo zinavutia na nzuri kwakeli songeni mbele naupenda Sana huu wimbo?!baba ,baba baba? Kweli huu wimbo uwafikie ndugu zangu wote?

  • @aime6870
    @aime6870 3 роки тому +4

    Love from 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @daphinnasike4244
    @daphinnasike4244 3 роки тому +2

    The way I have listened to this song waaah,,, such a blessing song,, from Kenya 🇰🇪

    • @kibensimedia5677
      @kibensimedia5677 3 роки тому +2

      hit zenyu huwa zinanipendeza zaidi hunijenga kupitia ujumbe mnaopasha.mbarikiwe

  • @aye2544
    @aye2544 3 роки тому +2

    What a song zabron singers may God continue blessing you🙏🙏

  • @nicholasmwadime1101
    @nicholasmwadime1101 2 роки тому +19

    This song has been on my repeat mode today ,,,, may God bless you Guys 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @wambui3862
      @wambui3862 2 роки тому

      I know such a beautiful one.

  • @ratemomishael169
    @ratemomishael169 3 роки тому +2

    let Your will God be done. Amen. { mapenzi ya Mungu ifanyike}

  • @saidbarawa9096
    @saidbarawa9096 5 місяців тому

    Iam amuslim but don't tire listening to zabron singers, their song uplift my spirit to be near God, spiritually uplifting

  • @duncankokonya2751
    @duncankokonya2751 3 роки тому +25

    The only way I can appreciate you is by not skipping the adverts so that you can earn something great from UA-cam. Great music as always ❤️❤️

  • @justusmogusu3061
    @justusmogusu3061 3 роки тому +2

    Whaaat a song am so blessed with the song,, be blessed zabron...

  • @christinehstemy734
    @christinehstemy734 3 роки тому +2

    Praise the Lord waaaaaaw team msg tumepata mbariwe Sana 🙏🙏🙏🙌🙌

  • @mteulehumblej6820
    @mteulehumblej6820 3 роки тому +2

    My all time singers. Lovely 🌹🌹🌹🌹.

  • @catherinecatherine7805
    @catherinecatherine7805 3 роки тому +2

    Nice song keep up 👌 nawapenda sana

  • @elmasroj9712
    @elmasroj9712 3 роки тому +1

    Cheki nyimbo imekuwa fupi na nimeipenda korasi hizo babaa nzuri kweliiii

  • @jarednyamora8614
    @jarednyamora8614 3 роки тому +30

    Preach the gospel of Jesus through songs to all inhabitant earth as a witness to all nations, tribes tongues and people before His second coming

  • @awesomeprogrammers6569
    @awesomeprogrammers6569 3 роки тому +3

    From Kenya 🇰🇪, am blessed. 🙏

  • @jedidawaswa2500
    @jedidawaswa2500 5 місяців тому

    Ni furaha na baraka tele kusikiza nyimbo hizi much love from Kenya

  • @djttaigaofficial7043
    @djttaigaofficial7043 3 роки тому +4

    Indeed mmebarikiwa na Sauti nzuri pia nyimbo tamu!!
    Zidi kutubariki!!

  • @dolphinenyanchama6014
    @dolphinenyanchama6014 3 роки тому +2

    Wow nice song be blessed zabron singers

  • @jeniphermahuma2423
    @jeniphermahuma2423 3 роки тому +4

    The fourth soloist is my favourite 😍....Love you zabron singers 😘....Be blessed abundantly

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 3 роки тому +1

    Haleluya jina la bwana libarikiwe Mungu awabariki waimbaji 🙏🏻❤

  • @evelynmufoyongo2370
    @evelynmufoyongo2370 3 роки тому +28

    I can't stop playing this song over and over .. This song is the next level .. iam in love with the chorus... Japhet... You nailed it!!!

    • @LORDJERQUAVIUS
      @LORDJERQUAVIUS 2 роки тому +1

      I m telling you ,this song is like Haney to me ,all the time is it playing in my phone .thank you zabrons

    • @Mark-tp8hp
      @Mark-tp8hp 2 роки тому

      You St

    • @neemamrisho3574
      @neemamrisho3574 2 роки тому

      Nawapenda bure Mungu awaimalishie huduma yenu mnapokutanaa na mugumu Mungu wa mbinguni awafanyie wepesi katika kuitend kazi yenu

  • @kevinodari8207
    @kevinodari8207 3 роки тому +1

    Am just in love with the second lady to sing

  • @zipporahmaina3135
    @zipporahmaina3135 3 роки тому +2

    Nawapenda bure..wimbo mzuri sana was kumalizia mwaka
    You never disappoint

  • @chemoiywoedwin3291
    @chemoiywoedwin3291 Рік тому

    I love this song man! Soo soothing. Makes me want to go hold a party for my kinsmen

  • @sylviakisa7411
    @sylviakisa7411 2 роки тому

    Zabron singers your songs are so amazing it blesses me always ..especially imenigharimu na usiniache ..God bless you so much

  • @claudgeorge9344
    @claudgeorge9344 3 роки тому +2

    Baba usiniache, barikiwa sana 🙏🙏🙏

  • @kwepothefilmmaker2225
    @kwepothefilmmaker2225 3 роки тому +7

    The best choir group in east and central Africa

  • @festonyakaya4646
    @festonyakaya4646 2 роки тому +1

    Ninafurahi kuona vile unaninijali
    Nikiwa mdogo mkubwa Mungu uko na mimi

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 3 роки тому

    Kumbe Tanzania kungaliko wa imbaji wa injili wa chamungu wa kweli huyu dada angali ndani ya yesu haja chukuliwa na nahila za adui mungu akulinde hâta milele

  • @wheveney3721
    @wheveney3721 3 роки тому +6

    I love thas song, it's has not been easy 2021 but GOD has us trough everything

  • @danielotieno4951
    @danielotieno4951 2 роки тому +4

    Thank you God continue blessing everyone who is watching this.
    Stay blessed Zabron

  • @innocentswai9329
    @innocentswai9329 3 роки тому +23

    Amazing, am stunned, am short of words. I praise God Almighty for this amazing gospel choir, keep on glorifying the name of the Living God of Israel.

  • @sharonjepchirchir
    @sharonjepchirchir 2 роки тому +4

    Zabron singers are always blessings the world 🌎 continue spreading the gospel to all citizens of heaven. God bless you and guide you always.

  • @izo2548
    @izo2548 3 роки тому +3

    This song has really blessed me ❤️❤️.mbarikiwe sana zabron singers