MAFUNZO - Utengenezaji Mafuta ya Avocado

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 76

  • @ElipendoZakayo
    @ElipendoZakayo 28 днів тому

    Asante sana tajaribu kutengeneza

  • @wemamuss
    @wemamuss 5 років тому +4

    Shukran
    Nimejifunza vi2 vipya Leo.

  • @jayzeem14
    @jayzeem14 3 роки тому

    Hongera sana kwa kuanzisha Association hii. Ningependa sana kujiunga na kujifunza. Mimi n mdau wa bidhaa asilia.

  • @anethmtui7006
    @anethmtui7006 5 років тому +1

    I appreciate wat u do Madam ...vipodozi vimekua ni changizo kubwa la upotevu wa hela, saratani na ukifikiria product nyingi zinatoka nnje zinabadilisha hata asili ya mtu ....
    Very nice and am going to do it
    Thank you

  • @bintshariffmuhammad620
    @bintshariffmuhammad620 4 роки тому

    Shukran sana kwa mafunzo InshaAllah hivi leo nataka nijaribu

  • @salha9186
    @salha9186 Рік тому

    Asante mama acha nitengeneza na mimi yakupaka nywele

  • @Kibugita
    @Kibugita 2 місяці тому +1

    Nipe watsap ili kunipa maelekezo zaidi?

  • @hassanharuna1519
    @hassanharuna1519 3 роки тому

    Masha Allah nafurahia sana barakallah kher shukran dada yangu🙏🏿

  • @msekwamwinyi3516
    @msekwamwinyi3516 4 роки тому

    Ahsante sana kwa mafiunzo mazuri

  • @sakinamursal3572
    @sakinamursal3572 4 роки тому

    Asalam aleykum. Tks for this information. Mungu awabariki. Ameen

  • @MohamediLomo
    @MohamediLomo 3 місяці тому

    Naomba namb

  • @mbithejustus246
    @mbithejustus246 4 роки тому

    Shukrani sana mwalimu nitaksribu

  • @masomekitwala3758
    @masomekitwala3758 Рік тому

    twende kazi

  • @catherinechristopher7918
    @catherinechristopher7918 2 роки тому

    Asante Sana.dad

  • @saladaniel9274
    @saladaniel9274 4 роки тому

    Nimekupenda bure my

  • @daudimkwela
    @daudimkwela 5 років тому +2

    Asanteni sana.

  • @lisaernest2844
    @lisaernest2844 3 роки тому

    Shukrani!

  • @AaronKwizera-hb8ku
    @AaronKwizera-hb8ku 8 місяців тому

    Dada asate sana

  • @adijarashidi1426
    @adijarashidi1426 4 роки тому

    Asant San dada yangu nami ntajaribu in sha Allah

  • @rahelmapande5518
    @rahelmapande5518 4 роки тому

    Asante sana dada kwa mafunzo yako mazuri na yakueleweka naomba contacts zako nahitaji kufanya biashara hii

  • @masomekitwala3758
    @masomekitwala3758 Рік тому

    najifunza

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 Рік тому

    Kongole sana.nimejaribu kutengeneza,mimi nime blend nilipo kamua imetoka nzito yani imetoka na uchafu kido.nitayachuja na nini.

  • @sylviachrispine97
    @sylviachrispine97 5 років тому +1

    nimejifunza kitu kingine kipya asante

  • @khaulatmohammed3765
    @khaulatmohammed3765 4 роки тому

    Ma sha allah da da

  • @MohamediLomo
    @MohamediLomo 3 місяці тому

    Asante Dada tunaomba namba

  • @aminajuma1435
    @aminajuma1435 5 років тому

    Maashaallah, nimejifunza shukran…. Ila je hiyo scrab inatakiwa ichanganywe namaji kidogo au unajisuguanayovipi.. Maana naona ipokavu kidogo. Naombakujuzwa hilo

    • @shareefasarhan4108
      @shareefasarhan4108 4 роки тому

      Mashallah nimejifunza sana Asante na Lushoto sinaujua maparachichi mengi

  • @lavieestbelle3263
    @lavieestbelle3263 4 роки тому

    Naweza kupata mafunzo yakuyengeneza vipodozi naomba namba zenu

  • @aishamsangi1235
    @aishamsangi1235 4 роки тому +2

    Shukran sana, jazzakallahu khayrah! Naomba namba ya whatsapp ili nijifunze zaidi habibty..

  • @fatumaomar933
    @fatumaomar933 4 роки тому +1

    Asante sana

    • @naomibadru5112
      @naomibadru5112 4 роки тому

      Nimefulahi sana ndoto zangu ni kutengeneza mafuta ya palachichi naomba niunge kwenye group naomba 0717077186

    • @hassankagoma9175
      @hassankagoma9175 3 роки тому

      Rehma za allah ziwe nawewe

  • @anethmtui7006
    @anethmtui7006 5 років тому +1

    And umetengeze kiasili ...very affordable

  • @desolz3809
    @desolz3809 Рік тому

    Saudi yako tu mama daah....

  • @SMARTCADO1870.
    @SMARTCADO1870. 2 роки тому

    SHUKRANI Sana naomba namba yako Mheshimiwa

  • @ME-kb8rk
    @ME-kb8rk 3 роки тому

    Napenda kujiunga na WhatsApp group na Telegram tafadhali

  • @fatumaselemani3690
    @fatumaselemani3690 4 роки тому

    Naomba muniadd kwenye group

  • @mwanaidikika3417
    @mwanaidikika3417 3 роки тому

    Biza zako nitazipataje

  • @PatianKashubi
    @PatianKashubi 10 місяців тому

    Naomba musaada machine zakusindika biza za parachichi zinapatikana wapi naomba majibu

  • @florianmwaibabile5308
    @florianmwaibabile5308 3 роки тому

    Naomba niunge watsap group

  • @ummunowtharaddoussiyaljabj740
    @ummunowtharaddoussiyaljabj740 3 роки тому

    Naomb uniunge kwenye Hilo group ya wattsap

  • @nsanzimfuraalexandre3700
    @nsanzimfuraalexandre3700 4 роки тому +1

    Dada Asante Sana, ningeuliza unatumiya dawa gani ili uweke mafuta muda murefu bila kuharibika? Asante

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 4 роки тому

    Salaam za pongezi Dada kwa Elimu na maarifa,ila jitahidi kutumia lugha ya kiswahili pekee maana ndiyo hadhira uliykusudia kuiletea elimu na Kama ni kingereza vivyohvyo si kiswanglish.

  • @sarahzuberi7530
    @sarahzuberi7530 4 роки тому

    Naomba kujiunga na group pls

  • @vktelevition2094
    @vktelevition2094 4 роки тому

    Nikihitaji machine ndogo ni shingapi

  • @euniceeunicemarugu476
    @euniceeunicemarugu476 4 роки тому

    Umenifundisha dada nimepata kit2

  • @mariajackson4813
    @mariajackson4813 4 роки тому

    Ahsant dada ubarikiwe sana, samahn naomba kuuliza, je natumia nni ili mafta yasiharibike kwa muda mda mrefu?

  • @LwizaNgonyani-lp6tb
    @LwizaNgonyani-lp6tb Рік тому

    Nitayapataje mafuta ya ovacado?

  • @haseanatnsanya2079
    @haseanatnsanya2079 3 роки тому

    Naomba namba yako

  • @hafsaabrahaman3110
    @hafsaabrahaman3110 3 роки тому

    As Salam alaykum naomba kuunga kwenye hilo group la WhatsApp

  • @munahashim2235
    @munahashim2235 4 роки тому

    Nimetengeneza mafuta ya parachichi lkn nimepata madogo

  • @magrethjohn8576
    @magrethjohn8576 4 роки тому

    Unakamua kwa kutumia kutambaa cha material ipi?

  • @fatumaomar933
    @fatumaomar933 4 роки тому

    Naomba kuungwa kwenye group LA WhatsApp my

  • @sunaabdallah2670
    @sunaabdallah2670 4 роки тому

    Niunge what's up tafadhli mnataka kuwa mwanafunzi wako na mjasili amali

  • @munahashim2235
    @munahashim2235 4 роки тому

    Habar Dada nimetengeneza pilipili lakini soko lipo chininifanye nn

  • @walterkiwelu2927
    @walterkiwelu2927 4 роки тому

    Asante sana mamy Mungu akubariki. Naomba kuungwa kwenye group la WhatsApp,Asante.

  • @masomekitwala3758
    @masomekitwala3758 Рік тому

    nikiyapak kwenye chupa yanachukua mda gani kuhalibika

  • @mzalendotz6097
    @mzalendotz6097 3 роки тому

    Mama tafadhali nimependa elim yako juu ya utengenezaji mafuta naomba namba yako mama

  • @florianmwaibabile5308
    @florianmwaibabile5308 3 роки тому

    Madam naomba contact yako

  • @CatherineMassawe-pb2jd
    @CatherineMassawe-pb2jd Рік тому

    Duh

  • @cessianthony2644
    @cessianthony2644 4 роки тому

    😍

  • @mihayojuma2884
    @mihayojuma2884 4 роки тому

    subscribers tupo wachache

  • @aishasudi2691
    @aishasudi2691 4 роки тому

    Naomba kuugwa kwenye grup la wasap 0718297107

  • @nsanzimfuraalexandre3700
    @nsanzimfuraalexandre3700 4 роки тому

    Naomba Muni add kwa group watsap. Thanks

  • @rosematiku3083
    @rosematiku3083 4 роки тому

    Habari,nimependa mafunzo yako naomba uniunge kwa group ya watsap no 0623296721

  • @melissanjarabi3
    @melissanjarabi3 4 роки тому

    0716635225 naomba kuungwa

  • @haseanatnsanya2079
    @haseanatnsanya2079 3 роки тому

    Asante sana

  • @mihayojuma2884
    @mihayojuma2884 4 роки тому +2

    subscribers tupo wachache

  • @masomekitwala3758
    @masomekitwala3758 Рік тому

    naomba namba yako