Tangia nianze kushngilia mpira wa bongo sijawai kuona team inafungwa alafu wanashamgilia wao duuh eti tmefungwa moja kuna wenzetu walikula kono lanyani
Crown media mnasahau kitu kimoja tu viwanja vya mikoani ni vigumu! Hata msimu uliopita tuambieni ni uwanja upi wa mkoani yanga alishinda hizo goli nyingi?
@@othmantv2654 mpira sio usenge! Ushawasikia wakiogelea udhaifu wa marefa,ubovu wa viwanja,ubovu wa tff,ubovu wa usajili wa wazawa,kuna mambo kibao ya msingi ya michezo ya kudiscuss! Sio kila kukicha simba na Yanga! Tanzania tunajiandaje kuhost Afcon 2027! Michezo ni football tu? Ushawahi kumuona mtu wa michezo toka ngazi za juu akihojiwa hapo!? Wote wanafiki watupu! Yanga ikishinda ,wote wanayanga, Yanga ikifunga 1,topic siku nzima! Simba vivyo hivyo! They are rubbish! WORST sports channel around!
Yanga ni timu pekee duniani ambaya hata mpinzani akifungwa nayeye anapiga tarumbeta kufurahia eti afadhali Moja bila siyo tano😊😊😊
Tangia nianze kushngilia mpira wa bongo sijawai kuona team inafungwa alafu wanashamgilia wao duuh eti tmefungwa moja kuna wenzetu walikula kono lanyani
Hans Rafael aka Chambuzi la Yanga. Hongera kaka Huna baya na Yanga.
Punguza mihemko ndugu
Magunga kazi nzuri blood
Umechambua vizuri onger
Kweli kakaaaa nakukubali we fundi
Yanga bingwa
YANGA BINGWA
Yanga bora ninyamaze
Wachambuzi wasiosimamia wanachokisema vigeu geu
Kwani ninyi wachambuzi wa nchi hii mnataka nini kutoka kwa wananchiiiiiiiii 💚💛💚💛💚💛😮😮😮😮😮😮😮
yaaan khaaa😂😂😂…yaan yanga ikicheza tuu na timu yeyote wanaanza kuielekeza hyo team ifanyaje..yaan mbwa tuu hawa wachambuzi
Crown media mnasahau kitu kimoja tu viwanja vya mikoani ni vigumu! Hata msimu uliopita tuambieni ni uwanja upi wa mkoani yanga alishinda hizo goli nyingi?
Sasa iv timu zote Tanzania zimeungana kukamia Yanga kuidhibiti ili isiwafungi goli nyingi ndo maana unaona wanajisifia
Wanatusaidia kwa maana wanatupa game za kujiimarisha kiakili
A😊❤❤
Jichanganyeni
Hivi hamna cha kudiscuss! ?
Ulitaka waongelee nn wakati hiki ni kipindi cha michezo