Asante mwalimu kwa somo. Nimejifunza mambo muhimu leo.... 1. Ninapoisikia sauti ya Mungu napaswa kujua kuwa ina maagizo ambayo napaswa kuyaweka moyoni ili niyafanyie kazi ambazo ndizo zitamtukuza Mungu maana kazi hizo zitaendana na yale niliyosikia toka kwake. 2. Tunapofanya hivyo basi tuna ahadi ya baraka zetu kubarikiwa yaani baraka zetu zitasitawi zaidi na kuzaa baraka nyinginezo 3. Tusipofanya hivyo basi baraka zote zilizoandaliwa kwa ajili yetu zitalaaniwa na hivyo hazitokuwa na matunda yoyote zaidi ya kudumaa. 4. Ninachosikia na ninachoona katika ulimwengu wa roho na wa mwili ni muhimu sana kuvitathimini ili visinitoe ktk njia za Bwana. Mungu aturehemu pale tulipofanya kwa upumbavu ama ujinga kuhusu mioyo yetu na sasa kupitia somo hili tupate maarifa Roho wa Mungu ametukusudia kwa wakati huu. Stay blessed until next time.
Asante mwalimu kwa somo.
Nimejifunza mambo muhimu leo....
1. Ninapoisikia sauti ya Mungu napaswa kujua kuwa ina maagizo ambayo napaswa kuyaweka moyoni ili niyafanyie kazi ambazo ndizo zitamtukuza Mungu maana kazi hizo zitaendana na yale niliyosikia toka kwake.
2. Tunapofanya hivyo basi tuna ahadi ya baraka zetu kubarikiwa yaani baraka zetu zitasitawi zaidi na kuzaa baraka nyinginezo
3. Tusipofanya hivyo basi baraka zote zilizoandaliwa kwa ajili yetu zitalaaniwa na hivyo hazitokuwa na matunda yoyote zaidi ya kudumaa.
4. Ninachosikia na ninachoona katika ulimwengu wa roho na wa mwili ni muhimu sana kuvitathimini ili visinitoe ktk njia za Bwana.
Mungu aturehemu pale tulipofanya kwa upumbavu ama ujinga kuhusu mioyo yetu na sasa kupitia somo hili tupate maarifa Roho wa Mungu ametukusudia kwa wakati huu.
Stay blessed until next time.
Very powerful comments Mama Mtumishi, MUNGU akubariki sana sana. Endelea kuomba ili tuitimize kazi tuliyoitiwa!