- 47
- 7 015
KWELI ITUWEKAYO HURU
Приєднався 5 гру 2011
Mafundisho ya Neno la MUNGU na Mwl. Nsaghurwe ALPHA, akiongozwa na MUNGU ROHO MTAKATIFU
NJIA ZA KUTUSAIDIA KUSHINDA KATIKA HALI YA DHIKI: Sehemu ya 08 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Nakusalimu katika Jina la BWANA na Mwokozi wetu YESU KRISTO.
Karibu sana katika mwendelezo huu wa kujifunza NENO LA MUNGU, Imempendeza MUNGU ROHO MTAKATIFU kutufundisha kwa undani juu ya NJIA ZA KUTUSAIDIA KUSHINDA KATIKATI YA HALI YA DHIKI, ili kutusaidia kuwa washindi hata kama tutapita katika mambo ya kuumiza na kukatisha tamaa, badala ya mioyo yetu kuzaa uchungu, hasira, malalamiko, laana na n.k ibaki ikiwa na amani na kuzaa furaha, ili tuzidi kulitumikia kusudi la MUNGU katika maisha yetu.
Usiache kufuatilia hii sehemu ya 08, na kuwafundisha wengine, na MUNGU wa Mbinguni akubariki sana sana!
AMEN!

Переглядів: 79
Відео
NJIA ZA KUTUSAIDIA KUSHINDA KATIKA HALI YA DHIKI: Sehemu ya 07 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 11021 день тому
Nakusalimu katika Jina la BWANA na Mwokozi wetu YESU KRISTO. Karibu sana katika mwendelezo huu wa kujifunza NENO LA MUNGU, Imempendeza MUNGU ROHO MTAKATIFU kutufundisha kwa undani juu ya NJIA ZA KUTUSAIDIA KUSHINDA KATIKATI YA HALI YA DHIKI, ili kutusaidia kuwa washindi hata kama tutapita katika mambo ya kuumiza na kukatisha tamaa, badala ya mioyo yetu kuzaa uchungu, hasira, malalamiko, laana n...
NJIA ZA KUTUSAIDIA KUSHINDA KATIKA HALI YA DHIKI: Sehemu ya 06 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 126Місяць тому
Nakusalimu katika Jina la BWANA na Mwokozi wetu YESU KRISTO. Karibu sana katika mwendelezo huu wa kujifunza NENO LA MUNGU, Imempendeza MUNGU ROHO MTAKATIFU kutufundisha kwa undani juu ya NJIA ZA KUTUSAIDIA KUSHINDA KATIKATI YA HALI YA DHIKI, ili kutusaidia kuwa washindi hata kama tutapita katika mambo ya kuumiza na kukatisha tamaa, badala ya mioyo yetu kuzaa uchungu, hasira, malalamiko, laana n...
NJIA ZA KUTUSAIDIA KUSHINDA KATIKA HALI YA DHIKI: Sehemu ya 05 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 172Місяць тому
Nakusalimu katika Jina la BWANA na Mwokozi wetu YESU KRISTO. Karibu sana katika mwendelezo huu wa kujifunza NENO LA MUNGU, Imempendeza MUNGU ROHO MTAKATIFU kutufundisha kwa undani juu ya NJIA ZA KUTUSAIDIA KUSHINDA KATIKATI YA HALI YA DHIKI, ili kutusaidia kuwa washindi hata kama tutapita katika mambo ya kuumiza na kukatisha tamaa, badala ya mioyo yetu kuzaa uchungu, hasira, malalamiko, laana n...
NJIA ZA KUTUSAIDIA KUSHINDA KATIKA HALI YA DHIKI: Sehemu ya 04 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 2302 місяці тому
Nakusalimu katika Jina la BWANA na Mwokozi wetu YESU KRISTO. Karibu sana katika mwendelezo huu wa kujifunza NENO LA MUNGU, Imempendeza MUNGU ROHO MTAKATIFU kutufundisha kwa undani juu ya NJIA ZA KUTUSAIDIA KUSHINDA KATIKATI YA HALI YA DHIKI, ili kutusaidia kuwa washindi hata kama tutapita katika mambo ya kuumiza na kukatisha tamaa, badala ya mioyo yetu kuzaa uchungu, hasira, malalamiko, laana n...
NJIA ZA KUTUSAIDIA KUSHINDA KATIKA HALI YA DHIKI: Sehemu ya 03 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 1652 місяці тому
Nakusalimu katika Jina la BWANA na Mwokozi wetu YESU KRISTO. Karibu sana katika mwendelezo huu wa kujifunza NENO LA MUNGU, Imempendeza MUNGU ROHO MTAKATIFU kutufundisha kwa undani juu ya NJIA ZA KUTUSAIDIA KUSHINDA KATIKATI YA HALI YA DHIKI, ili kutusaidia kuwa washindi hata kama tutapita katika mambo ya kuumiza na kukatisha tamaa, badala ya mioyo yetu kuzaa uchungu, hasira, malalamiko, laana n...
NJIA ZA KUTUSAIDIA KUSHINDA KATIKA HALI YA DHIKI: Sehemu ya 02 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 2012 місяці тому
Nakusalimu katika Jina la BWANA na Mwokozi wetu YESU KRISTO. Karibu sana katika mwendelezo huu wa kujifunza NENO LA MUNGU, Imempendeza MUNGU ROHO MTAKATIFU kutufundisha kwa undani juu ya NJIA ZA KUTUSAIDIA KUSHINDA KATIKA HALI YA DHIKI, ili kutusaidia kuwa washindi hata kama tutapita katika mambo ya kuumiza na kukatisha tamaa, badala ya mioyo yetu kuzaa uchungu, hasira, malalamiko, laana na n.k...
NJIA ZA KUTUSAIDIA KUSHINDA KATIKA HALI YA DHIKI: Sehemu ya 01 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 3602 місяці тому
Nakusalimu katika Jina la BWANA na Mwokozi wetu YESU KRISTO. Karibu sana katika mwendelezo huu wa kujifunza NENO LA MUNGU, Imempendeza MUNGU ROHO MTAKATIFU kutufundisha kwa undani juu ya NJIA ZA KUTUSAIDIA KUSHINDA KATIKA HALI YA DHIKI, ili kutusaidia kuwa washindi hata kama tutapita katika mambo ya kuumiza na kukatisha tamaa, badala ya mioyo yetu kuzaa uchungu, hasira, malalamiko, laana na n.k...
MOYO UMPENDEZAO MUNGU: Sehemu ya 09 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 12111 місяців тому
Nakusalimu katika Jina la BWANA na Mwokozi wetu YESU KRISTO. Karibu sana katika mwendelezo huu wa kujifunza NENO LA MUNGU, Imempendeza MUNGU ROHO MTAKATIFU kutufundisha kwa undani juu ya MOYO UMPENDEZAO MUNGU, ili kutusaidia kukua katika maisha ya imani lakini zaidi ya yote tuweze kufanikiwa, maana Moyo Umpendezao MUNGU ni msingi wa mafanikio yetu KIROHO na KIMWILI. Usiache kufuatilia hii sehem...
MOYO UMPENDEZAO MUNGU: Sehemu ya 08 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 107Рік тому
Nakusalimu katika Jina la BWANA na Mwokozi wetu YESU KRISTO. Karibu sana katika mwendelezo huu wa kujifunza NENO LA MUNGU, Imempendeza MUNGU ROHO MTAKATIFU kutufundisha kwa undani juu ya MOYO UMPENDEZAO MUNGU, ili kutusaidia kukua katika maisha ya imani lakini zaidi ya yote tuweze kufanikiwa, maana Moyo Umpendezao MUNGU ni msingi wa mafanikio yetu KIROHO na KIMWILI. Usiache kufuatilia hii sehem...
MOYO UMPENDEZAO MUNGU: Sehemu ya 07 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 140Рік тому
Nakusalimu katika Jina la BWANA na Mwokozi wetu YESU KRISTO. Karibu sana katika mwendelezo huu wa kujifunza NENO LA MUNGU, Imempendeza MUNGU ROHO MTAKATIFU kutufundisha kwa undani juu ya MOYO UMPENDEZAO MUNGU, ili kutusaidia kukua katika maisha ya imani lakini zaidi ya yote tuweze kufanikiwa, maana Moyo Umpendezao MUNGU ni msingi wa mafanikio yetu KIROHO na KIMWILI. Usiache kufuatilia hii sehem...
MOYO UMPENDEZAO MUNGU: Sehemu ya 06 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 86Рік тому
Nakusalimu katika Jina la BWANA na Mwokozi wetu YESU KRISTO. Karibu sana katika mwendelezo huu wa kujifunza NENO LA MUNGU, Imempendeza MUNGU ROHO MTAKATIFU kutufundisha kwa undani juu ya MOYO UMPENDEZAO MUNGU, ili kutusaidia kukua katika maisha ya imani lakini zaidi ya yote tuweze kufanikiwa, maana Moyo Umpendezao MUNGU ni msingi wa mafanikio yetu KIROHO na KIMWILI. Usiache kufuatilia hii sehem...
MOYO UMPENDEZAO MUNGU: Sehemu ya 05 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 131Рік тому
Nakusalimu katika Jina la BWANA na Mwokozi wetu YESU KRISTO. Karibu sana katika mwendelezo huu wa kujifunza NENO LA MUNGU, Imempendeza MUNGU ROHO MTAKATIFU kutufundisha kwa undani juu ya MOYO UMPENDEZAO MUNGU, ili kutusaidia kukua katika maisha ya imani lakini zaidi ya yote tuweze kufanikiwa, maana Moyo Umpendezao MUNGU ni msingi wa mafanikio yetu KIROHO na KIMWILI. Usiache kufuatilia hii sehem...
MOYO UMPENDEZAO MUNGU: Sehemu ya 04 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 149Рік тому
Nakusalimu katika Jina la BWANA na Mwokozi wetu YESU KRISTO. Karibu sana katika mwendelezo huu wa kujifunza NENO LA MUNGU, Imempendeza MUNGU ROHO MTAKATIFU kutufundisha kwa undani juu ya MOYO UMPENDEZAO MUNGU, ili kutusaidia kukua katika maisha ya imani lakini zaidi ya yote tuweze kufanikiwa, maana Moyo Umpendezao MUNGU ni msingi wa mafanikio yetu KIROHO na KIMWILI. Usiache kufuatilia hii sehem...
MOYO UMPENDEZAO MUNGU: Sehemu ya 03 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 125Рік тому
Nakusalimu katika Jina la BWANA na Mwokozi wetu YESU KRISTO. Karibu sana katika mwendelezo huu wa kujifunza NENO LA MUNGU, Imempendeza MUNGU ROHO MTAKATIFU kutufundisha kwa undani juu ya MOYO UMPENDEZAO MUNGU, ili kutusaidia kukua katika maisha ya imani lakini zaidi ya yote tuweze kufanikiwa, maana Moyo Umpendezao MUNGU ni msingi wa mafanikio yetu KIROHO na KIMWILI. Usiache kufuatilia hii sehem...
MOYO UMPENDEZAO MUNGU: Sehemu ya 02 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 205Рік тому
MOYO UMPENDEZAO MUNGU: Sehemu ya 02 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
MOYO UMPENDEZAO MUNGU: Sehemu ya 01 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 234Рік тому
MOYO UMPENDEZAO MUNGU: Sehemu ya 01 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 16 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 113Рік тому
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 16 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 15 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 123Рік тому
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 15 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 14 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 112Рік тому
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 14 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 13 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 1132 роки тому
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 13 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 12 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 1232 роки тому
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 12 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 11 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 1352 роки тому
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 11 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 10 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 1042 роки тому
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 10 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 09 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 1612 роки тому
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 09 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 08 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 7912 роки тому
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 08 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 07 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 1072 роки тому
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 07 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 06 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 1052 роки тому
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 06 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 05 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Переглядів 1052 роки тому
TUMAINI KATIKA KRISTO: Sehemu ya 05 | Mwl. Nsaghurwe ALPHA
Oooooh.... Mungu Roho Mtakatifu atusaidie tusikimbie DARASANI.😢
@@neema37_christmyredeemer Amen amen... Yaani atusaidie sana. Maana kila kigumu tunachopitia tunadhani ni adui anatushambulia na mara kadhaa tunatamani kutoka... kumbe tunakatisha shule! MUNGU atufanikishe tumalize salama kwa ushindi!
Glory Glory Glory to God. Yeeesss number 6 is very crucial and for sure it wasn't known to me. Thanx to Holy Spirit for revealing this to you for us. As the church of Christ, we need to learn this. Hakika jambo hili ni msaada sana katika kututanabaishia matokeo ya dhiki katika huduma, karama na vipawa.🙏🙏🙏🙏 God bless you my brother.
@@neema37_christmyredeemer amen amen Mama Mtumishi! Utukufu kwa MUNGU wetu atufundishaye! Tuendelee kuwashirikisha na kuwafundisha wengine!🙏🏼
Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana, somo zuri sana. Mungu azidi kukutumia kwa jina la Yesu
@@rachelluoneko6225 amen amen Dada. Atubariki sote. Tuendelee kuwashirikisha na kuwafundisha wengine!
Glory to God. Thanx to Holy Spirit for this lesson. Ni vema kabisa kujua matokeo ya hasira kwetu maana mara nyingi hututoa nje ya mpango na wakati wa Bwana. May the grace of God be upon us to take, keep and act upon this word in our heart ili tusimtende Mungu dhambi kwa namna ya hasira. Stay blessed for the consistency and obedient to deliver God's will for us His children.
@@neema37_christmyredeemer amen amen Mtumishi wa BWANA. Utukufu kwa MUNGU wetu!
Amen Mwl barikiwa sana
@@jameskiduma2553 Amen amen Mhandisi. Tubarikiwe sote
Balikiwa kak
@@RojasMtali Amen Amen Rojas. Tubarikiwe sote
Barikiwa sana mtumishi wa Bwana, somo zuri sana naomba Mungu anisaidie nisije nikaweka nadhiri nikashindwa kuitimiza🙏
Amen amen Dada. Tubarikiwe sote. Mungu atusaidie sote. Washirikishe na wengine!🙏🏼
Barikiwa mtumishi wa Mungu tupo pamoja 🙏
Amen amen dada. Tubarikiwe sote
Hakika Roho mtakatifu atusaidie maana analo kusudi jema kupitia somo hili. Maneno katika Muhubiri 5 yamenigusa sana maana ni wiki ya pili sasa limekuwa ni neno ninalomsihi Roho mtakatifu anisaidie kuliishi hasa huo mstari wa 6. Mungu anatuwazia mema. Mungu akubariki mwalimu kwa utii kutufikishia somo hili kutoka kwake Mwalimu Mkuu, Holy Spirit.
Amen amen Mtumishi! Kwa kweli MUNGU atusaidie sana sote. Tuendelee kuomba!
Somo zuri sana 🙏🙏🙏🙏
Amen amen...
Hakika hili ni somo muhimu saaaana. Bwana aturehemu cause we have been doing these things tukiwa katika dhiki fulani fulani. Tumejuta mioyoni na kusema mengi. May the grace of God be upon us all to understand these and talk to ourself to remind our inner being to depend on God na kumshukuru Yeye katika hali zote. May the Holy Spirit help us. Blessings to you my brother for being a vessel. I know Holy spirit want to take us out of a certain pattern of life through this lesson for God's glory.
@@neema37_christmyredeemer atusaidie sana sana!🙏🏼
It is me From Ethiopia, I don't know Swahili but I love it. we all belongs to Jesus our saviour
@@miniyahilkebede407 Hello Miniyahil. Thank you for the comment. Very true we all belong to the creator and our savior Lord Jesus Christ!
Hakika hili ni Somo ambalo limekuja kwa wakati sahihi, wengi tuna songwa na malalamiko na manung'uniko na hivyo tunajifungia destiny zetu. Mungu akubariki sana Mwl uendelee kutufundisha
@@jameskiduma2553Asante Mwalimu... tuendelee kukaa darasani ili Mwalimu wa Walimu atufundishe
Hapa anayeshinda ni Mungu aishiye ndani yetu au sisi?
@@JohnHeart-xs6pu hello John, umeuliza swali zuri sana, Japokuwa ukiliacha na kuamini kwa namna hii inaweza ikakufanya usifanye bidii kusimama katika kusudi ambalo MUNGU amekuitia... Mfano ukisoma haya maneno ya BWANA YESU mwenyewe amesema... "Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu." amesema...Yohana Mtakatifu 16:33 Ukisoma mstari huu utaona BWANA YESU anawaambia wanafunzi wake kanuni ya kuwasaidia nao kushinda kama yeye alivyoshinda... Yaani wawe na amani katika yeye, na kujipa moyo kwa maneno mengine wasikate tamaa kwa ajili ya hali watakayoipia kwasababu ulimwengu kuna dhiki. Kwahiyo, MUNGU ametufundisha namna ya kufanya ili nasi tushinde kama yeye. Ubarikiwe
Namuomba Mungu anisaidie nisiwe mtu wa kulalamika
Somo zuri sana hakika nimejifunza kitu, barikiwa sana mtumishi wa Bwana 🙏🙏
@@rachelluoneko6225 Amen Dada. Tubarikiwe sote
Asante san mwal Barikiwa san somo ni zuri
Amen amen Dada! Tuendelee kuombeana
Asante Yesu kwa neema ya somo hili. Neno la Ayubu 21:25 limenigusa sana na kuona umuhimu mkubwa aliotukisudia Roho Mtakatifu kupitia somo hili.. Ee Bwana achilia neema ya wengi kuja kujifunza, katika Jina la Yesu. Mungu akubariki mwalimu na uwe hodari katika Kristo Yesu.
@@neema37_christmyredeemer Amen amen Mama Mtumishi. MUNGU atusaidie sana!
Asante sana Mwl. Somo hili ni zuri na muhimu sana. Tunahitaji kulinda sana mioyo yetu
@@jameskiduma2553 very true Mwalimu... Hali ya dhiki inaweza kusababisha mambo magumu sana. MUNGU atusaidie sana kujua namna ya kufanya ili kushinda
Asante sana Mwl. Mungu aendelee kukubariki ili uendelee kutufundisha. Neno limenibariki sana
Ahsante Mwl kwa neno nzuri, nimejifunza kitu. Shukrani sana, Bwana Yesu aendeelee kukujaza Neema yake.
@@ReineMdundo Amen Amen my dear Mama. Tubarikiwe sote
Hakika hakika...tunapoiruhusu mioyo yetu kubeba dhiki zinazotukabili basi tunaharibu ratiba za siku hata wiki hiyo na hasa zile zinazohusu mwenendo wa kiroho zaidi. Neno kutika Wafilipi 4:4-7 ni muhimu sana sana katika wakati kama huo. Linatusaidia kukumbuka kuwa, kubaki katika mfadhaiko wa moyo sio mapenzi ya Mungu ni mapenzi ya adui.
May the Lord help us na atupe neema ili tujifunze na zaidi tuyaishi anayokusudia kutusemesha kupitia somo hili. Ubarikiwe mwalimu kwa kuitikia wito wa Mwalimu Mkuu, Roho Mtakatifu.
@@neema37_christmyredeemer amen amen Mama Mtumishi. Ni maombi yetu pia BWANA YESU atusaidie tuwe washindi kama Yeye alivyoshinda
Barikiwa sana mtumishi wa Bwana, Mungu azidi kukutumia 🙏🙏
@@rachelluoneko6225 amen amen Dada. Tubarikiwe sote. Washirikishe na wengine zaidi🙏🏼
@@kweliituwekayohuru amen
All Glory to God 🎉🎉🎉❤❤❤
@@TeddyQirtu AMEN AMEN
Glory to God
Amen
Asante Roho Mtakatifu kwa sehemu hii ya 09. Ni sehemu ya matengenezo hakika kwa tulipotenda ama kutendewa. Indeed we need mercy and grace of God for us and for those hurted our hearts. Let us not leave our great faith toward Christ our redeemer due to the injustice act. Neno la msamaha na lijae kwa wingi ndani yetu na tukumbuke kuyatafakari mema kama tunavyousiwa na Mtume Paulo katika Philippians 4:8. Ubarikiwe mwalimu.
Amen amen Mama Mtumishi tubarikiwe sote.
Hakika ashukuriwe Mungu kwa neema aliyompa Hanna kukimbilia madhabahuni. Hili ni fundisho la muhimu sana kwetu pale mioyo yetu inapougua maana Hanna alijibiwa na jibu lilikuwa jema lililojaa utukufu na kusudi la Mungu (Samweli). Ni muhimu sana mioyo yetu ikiugua tujue na kukumbuka kuwa hakuna cha kututenga na upendo wa Mungu katika Kristo Yesu na hivyo tumwendee tukiwa katika kuugua kwetu. May the grace of God be upon us once those moments cought into our inner hearts. God bless you my brother.
Amen amen Mtumishi wa BWANA! MUNGU kwa neema yake atusaidie maana ni wengi wanarudi nyuma wanapougu moyo!
Nakukubali Mtumishi Barikiwa
Asante Kaka... Namshukuru sana MUNGU. Tuendelee kuombeana!
Mungu akubariki sana mwalimu... Ni dhahiri kuwa yawezekana wakristo wengi leo tumeficha na kujionesha kuwa ni wakamilifu sana kwa nje na kumbe sivyo maana yawezekana mioyoni mwetu tumeweka hukumu, wivu, chuki, lawama, tamaa mbaya, mawazo mabaya, uvivu, uchungu, hasira, fitina and so and so. Sehemu ya leo imenikumbusha kuwa Mungu ananiangalia moyoni kwanza na hivyo ninapaswa kuweka sana neno la Mungu moyoni ili kwanza liyachunguze na lipangue kila nia ovu ninayokusudia moyoni.
Very powerful. MUNGU akubariki sana sana Mtumishi wa BWANA!
Asante Roho Mtakatifu kwa sehemu hii ya somo. Mungu aturehemu maana kuna wakati tuwapo ibadani tumejiruhusu mioyo yetu kuwaza nje ya ibada husika. Nimepata somo kubwa hapa....ninapaswa kumtafuta Mungu kwa moyo wangu wote maana kwa kufanya hivyo Mungu anatupa neema ya kubaki katika maagizo yake. Mungu akubariki mwalimu na wote tunaojifunza somo hili na zaidi tuliishi somo hili.
Asante mwalimu kwa somo. Nimejifunza mambo muhimu leo.... 1. Ninapoisikia sauti ya Mungu napaswa kujua kuwa ina maagizo ambayo napaswa kuyaweka moyoni ili niyafanyie kazi ambazo ndizo zitamtukuza Mungu maana kazi hizo zitaendana na yale niliyosikia toka kwake. 2. Tunapofanya hivyo basi tuna ahadi ya baraka zetu kubarikiwa yaani baraka zetu zitasitawi zaidi na kuzaa baraka nyinginezo 3. Tusipofanya hivyo basi baraka zote zilizoandaliwa kwa ajili yetu zitalaaniwa na hivyo hazitokuwa na matunda yoyote zaidi ya kudumaa. 4. Ninachosikia na ninachoona katika ulimwengu wa roho na wa mwili ni muhimu sana kuvitathimini ili visinitoe ktk njia za Bwana. Mungu aturehemu pale tulipofanya kwa upumbavu ama ujinga kuhusu mioyo yetu na sasa kupitia somo hili tupate maarifa Roho wa Mungu ametukusudia kwa wakati huu. Stay blessed until next time.
Very powerful comments Mama Mtumishi, MUNGU akubariki sana sana. Endelea kuomba ili tuitimize kazi tuliyoitiwa!
Tupo pamoja 🙏
Mtumishi wa Mungu tupo pamoja najifunza mengi kutoka kwako, barikiwa sana my brother 🙏
Amina Amina my dearest. Hakika hakika mwalimu, upendo unajengeka kwa yale mema tuwazayo juu ya wenzetu maana tukiwaza mabaya huamsha hasira, chuki, kisasi, majivuno, mashindano na mengi mabaya. Tufanye bidii katika kuliishi neno la Mungu maana ndiko kunathibitisha kuwa tunaliweka Neno la Mungu mioyoni mwetu. Mungu atusaidie kwa neema zake.
Amen amen! Ubarikiwe
Mtumishi wa Mungu nahitaji mawasiliano yako tafadhali
Hello Fabian, tumia namba hii 0713457677
Mtumishi wa Mungu nahitaji mawasiliano yako, tafadhali naomba unisaidie ilo
Naye Finehasi mwana wa Eleazari, mwana wa Haruni kuhani, alipoona jambo hilo, akaondoka hapo katikati ya mkutano, akashika fumo mkononi mwake; akamwandama huyo mtu wa Israeli na kuingia ndani ya hema nyuma yake, naye akawachoma wote wawili kwa fumo lake, yule mume wa Israeli na huyo mwanamke kati ya tumbo lake. Basi pigo likazuiwa kwao wana wa Israeli. Finehasi, mwana wa Eleazari, mwana wa Haruni kuhani, amezigeuza hasira zangu zisiwe juu ya wana Wa Israeli, kwa kuwa alikuwa na wivu kati yao kwa wivu wangu mimi, hata nisiwaangamize wana wa Israeli katika wivu wangu. Hes 25:7-8, 11 SUV HUU MOYO WA FINEHASI UNAUELEZAJE KUPITIA SOMO LAKO HILO?
Mtumishi wa Mungu, nahitaji mawasiliano yako.
1. Moyo wa Finehasi ulihifadhi/ulitunza sheria za Bwana na ndio maana hakupendezwa na uovu wa wazi kabisa uliolenga kufungamana na kuabudu muingu Baal-peori iliyotumikiwa na wanawake wa Moabu. 2. Kisha ulitoa maamuzi ya kuuondolea mbali uovu huo kwa kuwaangamiza waliokengeuka maana tayari amri ya Bwana iliagiza waangamizwe. Hivyo kwakuwa moyo wake ulijawa na wivu(mapenzi mema) juu ya Bwana, hakuwa tayari kuona Bwana Mungu wake anadharauliwa. Na ndivyo tunapaswa kufanya hata leo hii kwa kuzingatia taratibu za Agano la Yesu Kristo kuwa tuwaonye kwa upendo na upole, tukemee inapobidi, tuwashauri na kuwaombea.
Umejibu vyema sana Mtumishi wa BWANA. Ubarikiwe
Hakika haya ni maarifa muhimu sana ambayo Roho Mtakatifu ametukusudia ili tusienende kama wajinga. Ni dhahiri kabisa kuna wakati tumeshindwa kuyaona majibu ya maombi yetu na tumebaki tukijiuliza mambo mengi kumbe hatujajua kuwa tuyawazayo ni ni kizuizi kikuu. Na hapa waamini wengi tumejidumbukiza katika mtego mbaya ambao hatujaufahamu undani wa madhara yake. Asante Roho Mtakatifu. Asante my brother kwa kuufungua moyo wako ili Mungu ayaweke hayo maarifa kwa ajili ya kanisa lake. Nimejifunza jambo la msingi sana katika sehemu hii na Mungu atusaidie kujikana na kuyakataa mawazo maovu. Tuyateke mawazo yetu yamtii Kristo peke yake na sio matakwa ya miili yetu.
Amen amen Mtumishi wa BWANA! Ni kweli kabisa MUNGU atusaidie. Asante kwa Neno na tuendelee kuwafundisha wengine!🙏🏼
Mwl somo limeisha
Ooohh bado sana... Endelea kutuombea. Tunatuma sehemu ya 03, Jumapili!MUNGU akubariki sana Precious kwa kutuombea, kututia moyo na kuwafundisha wengine.🙏🏼
Nimebarikiwa sana
Amen Tuzo. Tunamtukuza MUNGU kwa kutufundisha
Mungu akubariki sana my dearest Hakika tunapaswa kuteka fikra zetu zimtii Kristo ili moyoni mwetu kujae na yatoke mawazo yale yanayompendeza Baba yetu wa mbinguni. Neema ya Bwana wetu ikae nasi katika mfululizo wa somo hili ili tumpendeze Bwana, Mungu wetu.
Amen amen Mamam Mtumishi. Asante sana mpendwa wetu!
Mwl unachelewa kututumia mwee ubarikiwe sana 😢
Nilikuwajibu hivi: Amen amen... Tuwie radhi mtumishi wa BWANA. Tutajitahidi tutume mapema zaidi, endelea kutuombea! Tunatamani tutume hata mara 2 kwa week...🙏🏼
@@kweliituwekayohuru mwl mimi ni dada
Ooohh pole Precious, naona reply zimejichanganya hapo. Niwie radhi, maana reply yako imeenda kwa mtu mwingine na yake imekuja kwako, nilikuwa naandika nikiwa na haraka maana nilikuwa airport nawahi ndege,
Asante Mtumishi.
Mungu akubariki sana Mwalimu
Amen amen... Kaka.
Asante mwalimu. Neema ya Bwana iwe juu yetu sote tupate kujifunza kwa uaminifu. Stay blessed my dearest brother.
Amen amen Mama Mtumishi! Tubarikiwe sote. Asante kwa kuendelea kuomba!
Ubarikiwe sana
Amen Dada
Moyo = Kiini Moyo = kiungo cha mtu wa ndani. Barikiwa sana mwalimu 🙏🏾
Amen 🙏🏾
Ubarikiwe sana Mwalimu
Amen amen Mhandisi! Utukufu kwa MUNGU wetu! Asante kwa maombi
Ubarikiwe
Amen Amen... Tubarikiwe sote Precious