Mashallah! Allah akuongozi na akuhifadhi. Ni vyema basi kukosoa na kufundisha kwa vitendo. Kwahali kama hii fundisha wakwako na tuwekee hapo sisi tutajifumza na msomaji pia atajifunza kwa vitendo.
Kwanini allaah ameeleza ktk kuraan kumwamby mtume muhammad swala na amani zimuendee... Awaamby wake zake na mabinti zak na wanawake wa kiisilaamu washushe majalabibu yao mpaka mwisho wa aya... Lkn si hapo tuuu....
Sauti hii ni shubhaa kwa wanaume lkn pia sitira au hijabu siyo ya kisheria dada yetu allaah akuongoze acha hayo mambo km ikiwa wamuogopa allaah na kufuata maneno yake
@nasrarichadi2278 kutukana siyo njia sahihi, jitafakari. Uliskia wapi bi Aisha akipaza sauti yake? Unalinganisha vipi na hii ya kujirekodi na kusambaza video?
Naam shida ni hiyo stara, na hii ni Kwa dada zetu wengi mno ktk dini muhimu mno stara. Pamesemwa mwanamke anaye jistiri siku muhimu mno ya hesabu Allah atamsitiri Kwa kule kujisitiri kwake tu. Atampa malipo Bora mno ktk malipo Bora tuwasaidie mabinti zetu ktk hili.
Mwalimu wake pia alitakiwa amfundishe stara ya mwanamke ili anacho kisoma akifanyie kazi kwa vitendo. Napenda Quran lakin sijapenda muonekano wa muwasilishaji. Allah atuongoze
Inawezekana wewe unatuhumu husikilizi anachotamka bali wewe unania ya kumchafua, kama panamapungufu mrekebishe, mkumbushe kwa hikma, na anastasia kukumbushwa ni mwalimu" huyu ni mwanafunzi bado yupo darasani si mwalimu. Tutumie maneno amblyopia yatakuwa nafaida maana unaweza ukawa na lengo zr lakumrekebisha lakini kutokana na ufikishaji usokuwa na hekma akashindwa kuwaidhika kwa kuwa unakuwa umefikishaji wenyewe ni wamakosa. Tumfundishe tusimvunje nguvu siyo kumkashifu.
wacheni hiyo roho mbaya mwislam mwenzio haipasw kumvunja moyo hiv atyu hujuw ata kama hajuw bs usimwambie hajuw bhana mbon tunakuw hiv waisam ss twazidiwa na wakiristo
❤mashaallah. Mwenyenzi MUNGU akuruzuki zaidi inshaallah
Maashaallah umesoma Qur an vizuri na wew pia nimzuri❤
Hongera dada
Mtu akifanya vzr tunampongeza maashaallah hongera ustadhat b,khadija
@@AbdillahAlly-fl4vh amiiina
@sabikhatv shukran jitaidi uifahamu Qua n zaid ya hapo maana huo ndio muongozo wetu nawapenda sana watu wa Quran
Ma Sha allah zid allahi. Ukht Fatma
Allah akuzidishie
Mashallah! Allah akuongozi na akuhifadhi. Ni vyema basi kukosoa na kufundisha kwa vitendo. Kwahali kama hii fundisha wakwako na tuwekee hapo sisi tutajifumza na msomaji pia atajifunza kwa vitendo.
MaSha Allah❤
ما شاء الله تبارك الله حفظك الله ❤❤❤
Mashaallah mdogoangu Allah akuhifadhi nimekuskiliza hadi nywele zasisimka❤❤
Allah akhibalu , akuongezee zaidi yapo umejitahidi mtoto wakhisilam
Mwanzo vigumu mashallah arichokosa mumupe yy arituonyesh vyake
Mashallah tabarakalah
Allah akbar mashallah Allah yubarik fiki..
@@BenoBeno-c4l amiin
MashaAllah dadaa Allah akuzidie zaidi ya hapo ulipo inshaAllah.
Nilitamani kua na Mke wa Namna hii ila ni Mipango yake Allah kikubwa pia Alicho niruzuqu napaswa kusema Alhamdulillah 🤲🏿
Mashaallah🎉
Mashaallah dad ang
❤❤ congraturationssss❤❤
Mashaallah
Hongera sana bi khadija Allah akujalie kila lakheri duniani na akhera upo vizuri najua wakosoaji hawakosi
@@allykheri3517 amiin
Yalla yalla Masha Allah
MashaAllah ❤❤❤
Allah ashukuriwe na akuhifadhi akupe zidishie faham na kupe pupa yakutaka kusoma insha Allah.
MaashaaAllah
Mashaallah mashaallah Allah akutunze 🙏🙏🙏 binti yetu
🎉🎉🎉🎉🎉❤ mashaallh natamani na mwanangu awe km ww
@@محمدالكعبي-ت9ت7ز inshaallah mpeleke madrasa
❤❤❤❤❤maashallah
Mungu
akuzidishiy
@@OmanOman-vf3li amiina
Manshallha
Mashaallah 💞
Maashaalah mungu azidi kkfanyia wepes
@@sofiaKasim-o4j amiin
Allah Allah.💪
Allah Akbar.
Ma shaallah
Masha AIIAH
Waaaaooo hongera sana
❤❤❤❤❤❤❤ Mashaallah ♥️
❤❤ mashaallah
Mashaallah ❤❤
@@KhairatAli-hx6xi inshaallah
Mwanamke kupaza sauti hii siyo sawa kbx na tunafahamu ila ni kibri....
Tuacheni kibri ktk haki pindi tunapoonywa na kuelekezwa tuelekee..
@@Abuuhurayrahsaalim inshaallah ujumbe umefika
Mungu awazindue wana wake na baadhi ya masheikh
@@Abuuhurayrahsaalim sawa lakini,hata mashindano ya QUR'AN. Basi yatakuwa hayafai
Kwanini allaah ameeleza ktk kuraan kumwamby mtume muhammad swala na amani zimuendee...
Awaamby wake zake na mabinti zak na wanawake wa kiisilaamu washushe majalabibu yao mpaka mwisho wa aya...
Lkn si hapo tuuu....
@@Abuuhurayrahsaalim sawa mwalimu
mashaallah fatmaa mungu akuaalie
Mashallah ukhty wangu Allah akupe kher , na atufishee kwa qur an ❤
Mngu akuifadhi inshaallah❤❤❤❤❤❤❤❤
@@NaswiratHussein mashaallah
Maa shaallah Allah atujalie sote kupitia wewe mwanetu
Aamin yarabbal'alamin
Mashallah , anajitahidi sana wenye elimu mfuateni in box co hapa,
@@rajabswaleh911 HAKIKA Allah amjaalie kheri
Mashallah ila stara bado haijakaa pow dada hebu fata uanchokisoma ili uendane nacho
Mashallah
@@RashidHemed-o4z amiin
Maa shaa Allah.
Allah akupe mume mwema eti dada Angu
@@MUHSINSALUM-cc4tg amiina
Dada jitaahidi hijabu yamkono waspika.
Hongera kwa taj'wiid.
@@madrasatunnajmizzaahiral-i2478 inshaallah
Mungu akulinde na maadui na akuepushie fitna za waja
@@AliAli-zu7dj amiina
Mashaalhaa
Nicheki nina zwd yako
@@HafidhKhamis-y9i Asante Allah akubariki
ALLAH AMHIFADHI BINT HUYU.
🎉 ماشالله
Umejalibu 🎉
Allah atuongoze ila Kila ktu kina utaratibu wake na mipaka yake ya kiibad
Uko vzr baby
@@BadraIbrahim-r5i mashaallah
Sauti hii ni shubhaa kwa wanaume lkn pia sitira au hijabu siyo ya kisheria dada yetu allaah akuongoze acha hayo mambo km ikiwa wamuogopa allaah na kufuata maneno yake
Mashaallah napenda san jamn mie 😢😢hvy sijapata muongozo tu ila naweze 😂😂
@@AminaYazidu mashaallah Allah akujaalie,ila darasa lipo,Bado hujachelewa
@sabikhatv Inshaallah shukran
❤❤❤❤❤❤❤❤
I love you
@@RanadhanHamad I love u too
Hongera mdogo wangu ila ficha sura ma mikono . Sitara n muhimu otherwise nataman ningekuwa n
@@ShamimMsofe ungekuwa na nini
@sabikhatv ningekuwa naweza isoma kama yeye .
Sauti ya mwanamke ni staarah. Tuchukueni haqqi na tuachane na uovu.
Acheni usenge basi kwani maswahaba walipata vipi hadithi kwa bi Aisha
@nasrarichadi2278 kutukana siyo njia sahihi, jitafakari. Uliskia wapi bi Aisha akipaza sauti yake? Unalinganisha vipi na hii ya kujirekodi na kusambaza video?
Mimi sijamuelewa kama anachanganya aya
Yaani namshangaa sana
Ikiwa atapata mwalimu mzuri anaweza kufanya vizuri ndani ya mwaka mmoja tu.
Hata hivyo nampongeza amesubutu.
Swadakta
Naam shida ni hiyo stara, na hii ni Kwa dada zetu wengi mno ktk dini muhimu mno stara. Pamesemwa mwanamke anaye jistiri siku muhimu mno ya hesabu Allah atamsitiri Kwa kule kujisitiri kwake tu. Atampa malipo Bora mno ktk malipo Bora tuwasaidie mabinti zetu ktk hili.
@@HusseinMustafa-xy6fn amiina Allah atujaalie kheri KATIKA hili
Wew mwanamke kasome uwani huko na wanawake wenzako
Swadakta
Nahadharini mnao sambaza habari tafuteni vichwa vya habari zinazoendana na habari yenyewe uko wapi uwo uvukaji mipaka hapa
Mwanamke anakazwa kunyanyua sauti yake
Kichwa cha habari sikielwi
@@hawakiza6067 kweli kama sio kichwa Cha habari,kilivyo, usinge fikiria kutazama,
Maaajabu Gani sasa soma kwa hukmu guran haisomwi hivo kama with mbo
@@UmmuHudhayfah-zb2je Bado anahitaji kufundishwa, KARIBU kama unaweza umfundishe
Ummu hudhaifa ni hukmu gani ameikosea au ww ndo huzijui hukmu
Weeeee huyuw kama unapata Lana baada ya swawabu
Wengevaa nikabu ingekua vizur
Mwalimu wake pia alitakiwa amfundishe stara ya mwanamke ili anacho kisoma akifanyie kazi kwa vitendo.
Napenda Quran lakin sijapenda muonekano wa muwasilishaji.
Allah atuongoze
@@allymbarouk5362 inshaallah atalifanyia kazi
Subhanallhaa
Ameen
Sasa hapo kwenye kuvuka mipaka ni wapi mbona hatujaelewa ama hiyo miko kuonekana na kufumba macho ndio makosa zaidi ?
Inawezekana wewe unatuhumu husikilizi anachotamka bali wewe unania ya kumchafua, kama panamapungufu mrekebishe, mkumbushe kwa hikma, na anastasia kukumbushwa ni mwalimu" huyu ni mwanafunzi bado yupo darasani si mwalimu. Tutumie maneno amblyopia yatakuwa nafaida maana unaweza ukawa na lengo zr lakumrekebisha lakini kutokana na ufikishaji usokuwa na hekma akashindwa kuwaidhika kwa kuwa unakuwa umefikishaji wenyewe ni wamakosa. Tumfundishe tusimvunje nguvu siyo kumkashifu.
Hapana hapana kwa mwanamkei haifai hii acha aacha
Wewe hujui tajuidi hiyoo
@@AshraqNasoro inshallah ataweza kwa uwezo wa mungu
wacheni hiyo roho mbaya mwislam mwenzio haipasw kumvunja moyo hiv atyu hujuw ata kama hajuw bs usimwambie hajuw bhana mbon tunakuw hiv waisam ss twazidiwa na wakiristo
Hapo ni nyumbani ndo unajifunza kusoma quran ama
Swadkta
Hakuna maandiko yalosema uso wamwanamke niuchi hapo niafunike mikono abakishe viganja
Labda mi niwe tofauti na commentators woteee,,, niulize kwanza Kaolewa???
Huyu bado ustadh Tena nadhan atakuwa bado na usichana wake fanya fanya umchukue sheikh
Karibu kondoa irang. Hayo ni baadhi ya madini yaliyopo
Hajui kusoma makosa yapo mengi sisi hatuangalii sauti tunatizama makharij alikhuruuf,,,,
@@ImranMrisho-f9u inshallah atakuja kujifunza kwako tuambie uko wapi aje ajifunze
Kawaida ya nzi hatakama mtu amependeza nzi hajali atatafuta tu sehemu yenye kidonda ndio atue humo.
Nimefurahishwa na muandishi wa habari wa hii tv namna alivyowajibu watu waliotoa maon kwa upole na unyenyekevu
كيف هذ...!؟ ولله هذا ليس من الدين الاسلامي
Nyie mtakija kusema hata kusoma pia fitna
@@muhammadmwesuamwesua4363 kweli binadamu tuna mengi Hilo lipo,Asante
Kama hana mume namtaka nimuowe atanifundisha vyema quraani
@@suleimankombo1743 inshaallah ujumbe umefika
ACHA TAMAA YA KUTAMANI TAMANI KAKA HUYO BADO NI MTOTO, UTAFUNGWA SHAURI YAKO!! 😂😂😂
Kwani nimetukana au? nenda kanishtaki Sasa.
Mashalaa sasa huenda hana mume lakini asikupende
Mnaokosoa hajajctr namba hizo mtumien hijab halafu somen fiqh vzur
Kwa fiqh Gani Sasa ambayo wew utatuletea hapo walau tukuelewe kwamba amevaa stara
Anasoma nini sasa anajukqmua tu
Kweli wewe unahasadi ana soma NN kwani we we huoni auhusikii au hujui kur ani
Hasad hasad hasad hasad
@@AbdulmujibAhmed ujumbe haujaeleweka Asante kwa kushiriki
Nyie mnoandika Negative humu ni Dini gani?Na kafanya kosa gani huyu mtoto ..hata hata Mumkosoe?
Ficha sura na mikono. Fitna nzito. Na hukupaswa kutumia kipaza sauti pia sauti ni mtihani unatutamanisha.
Yan wew unamaradhi unahusda qibri alaf nimjinga wakukaririshwa jinga sna wew mpumbavu wakurithi wew shenz kbsa,,ukome kuvunja watoto wawatu moyo kazae nakwako alaf umwambie hyo maneno,,
Nakusikitikia sana
Kasome kwanza fiqih vyema kuhusu sauti,,Ila kuhusu niqab upo sahihi@@SelemaniIssah-p2g
@@KhalfaniFarisy-c3w inshaallah
Sasa mwataka aimbe mziki
Mashaallah ❤️
Mashallah
Mashaallah
@@AshaNampalangula ameena
Mashallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah