UBAINIFU JUU YA SUALA LA MWANDAMO NA USAHIHI WAKE // SHEIKH KHAMIS ABDULHAMID حفظه الله

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 75

  • @MohamediHussein-o9b
    @MohamediHussein-o9b 7 місяців тому +3

    Point zipo Alhamdulillah nimeelewa na nimeilimika sanaaa daaaah
    ALLAH aKupe umri mrefu mzee wetu utuelimishe zaidi
    IN SHA ALLAH.

  • @ibrahimabeid190
    @ibrahimabeid190 7 місяців тому +1

    Mashaa Allah shukran Kwa elimu Allah akulip ujira kamili sheikh

  • @abdiomar6832
    @abdiomar6832 7 місяців тому +1

    Maaa sha Allah
    Umeeleweka vzr Sheikh

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 7 місяців тому +1

    MASHALAH SHEKH UMEELEZA KWA UFASAHA KABISA KILICHO BAKIA NI UBISHI WA MAWAHABI TU

  • @issaasman9602
    @issaasman9602 7 місяців тому

    Maa shaa Allah. Sheikh unaeleza vizuri Sana. Allah akulipe janna

  • @IddyDaruweshi-jv1fu
    @IddyDaruweshi-jv1fu 7 місяців тому

    MASHA ALLAH KHEIR UJUMBE MZURI SANA KWA WENYE KUELEWA NA KUZINGATIA. ALLAH AMJALIE SHEIKH KHAMIS AFYA NJEMA NA UMRI MREFU.

    • @hashimually5846
      @hashimually5846 7 місяців тому

      Aliyauma akimaltu lakum dinakum Asante sana sheikh dini ilikamilika kabla ya sayansi na sayansi haiwez kuwa ndiyo ukamilifu wa dini.. mashaAllah ALLAH akuhifadhi sheikh .

  • @abdisalim7900
    @abdisalim7900 7 місяців тому +1

    Nimekuelewa sn Sk wng na mwl wng,nakukumbuka sn pale Nkr Teachers Training.Umahiri wako bado ni imara km ule mda.Allah akujalie umri mrefu wenye kheri na ww

    • @OmarAli-zi2jg
      @OmarAli-zi2jg 7 місяців тому

      Hata mimi nilikuepo mwaka ule 88, 89, 90. Allah amzidishie afya njema na umri mrefu aamiin. Ni mwalimu nasheikh ambae Allah kamjalia elmu duniya wal aakhirah

    • @abdisalim7900
      @abdisalim7900 7 місяців тому

      AFWAN!!

  • @adamkilembwe.
    @adamkilembwe. 7 місяців тому

    Mashaallah ukweli uko wazi,Allah akuhifadhi

  • @swalehabdulrahman4118
    @swalehabdulrahman4118 7 місяців тому +1

    Allah akuhifadhi tuzid nufaiks

  • @AliySleiman
    @AliySleiman 7 місяців тому

    Allah akulipe kheri

  • @ibra.mstudingfile8584
    @ibra.mstudingfile8584 7 місяців тому

    Mashallah ALLAH akuzidishie umr weny manufaa na ss tufaidike
    Shekh darsa zako unatoa chananel gani

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 7 місяців тому +1

    Mnashindaw kumpiga vita Hamza issa yupo anapotosha ummah mnaikalia maneno mitandaoni

  • @ibrangowo6185
    @ibrangowo6185 7 місяців тому

    Wewe nani unathubutu kumuita sheikh mkubwa hivi mpuuzi?? Tena eti umefunga. Subhanallah!!

  • @Khamisabdulhamid-pn9yg
    @Khamisabdulhamid-pn9yg 7 місяців тому

    MIMI NIMEANZA KUSOMA TOKEA 1962........ MPAKA LEO.......
    2024

  • @dahirgaraar360
    @dahirgaraar360 7 місяців тому +1

    Mafundisho yake mtume yanaafikiana na elimu ya Geografia na astronomia, ambapo mwandamo wa tarehe 29 huonekana kwa asilimia ndogo sana ya eneo la dunia, ni katika wigo huo watu wataambizana taarifa zake. Ama yule ambaye yuko katika wigo ambao mwezi haukuoneka kutoka na kutokuwa katika wigo wa kutoonekana mwezi basi mwandamo wa kwanza atauona siku ya pili yaani , siku ya 30 na mwezi utaonekana juu zaidi na utachelewa kuzama.
    Hiyo ndiyo sababu mtume alisema kwa kuashiriwa mwezi ni siku 29 na 30
    Na tazama mtume hakusema 29 au 30 hapana kasema 29 na 30.
    Ikimaanisha wapo watakaouna siku ya 29 na katika zone hiyo wasiouona wataambwa na waliouona siyo nje ya zone hiyo.
    Na wapo watafunga siku inayofuata yaani siku ya 30. Ndiyo maana ya Mtume kusema mwezi ni 29 na 30 na hakusema ni 29 au 30. Ichunguzeni hadithi .

    • @ramzsule7678
      @ramzsule7678 7 місяців тому

      Shukran sheikh lakini ukweli bado hujasema umesimama kwenye msimamo wako

    • @Khamisabdulhamid-pn9yg
      @Khamisabdulhamid-pn9yg 4 місяці тому

      ISIKILIE TOKEA MWANZO UTAONA NIMEZUNGUMZIA MADHEBU YOTE SIKUSIMAMA KATIKA MSIMAMO MMOJA
      ..... NAKUOMBA ISIKILIZE TOKEA MWANZO HALAFU LETE MALALAMIKO YAKO KUWA NIMESIMAMA KATIKA MSIMAMO WANGU .

  • @kaidiSaid-ot9nl
    @kaidiSaid-ot9nl 7 місяців тому

    Jazakallah khayra ,sikua nakufaham msimamo wako. Kumbe unasimamia unalolifaham ?

  • @Khamisabdulhamid-pn9yg
    @Khamisabdulhamid-pn9yg 7 місяців тому +1

    Maftah Musa UMESEMA KWA UHAKIKA WA KIELIMU ???

  • @Khamisabdulhamid-pn9yg
    @Khamisabdulhamid-pn9yg 7 місяців тому

    MIMI NIMEANZA KUSOMA TOKEA MWAKA 1962.......MPAKA LEO....2024
    SIJUI WEWE MWENZANGU UMEANZA KUSOMA LINI ....?

  • @Khamisabdulhamid-pn9yg
    @Khamisabdulhamid-pn9yg 7 місяців тому

    KATIKA COMMENT NIMETAKIWA NIKASOME NDIO NIKAMJIBU HIVYO

  • @KhamisAbdulwahabi
    @KhamisAbdulwahabi 7 місяців тому

    Nauliza sheria za kiislamu zinageuka kwa dunia ya zamani na ya sasa?

  • @coyancodavao4004
    @coyancodavao4004 7 місяців тому

    Zanzibar wanazuoni bado wapo???

  • @SaidOmar-d3m
    @SaidOmar-d3m 7 місяців тому

    salum takao uislamu adabu kama unakosa adabu jichunguze uislamu wako usifate mkumbo Allah ameyutaka tusome sio kufata walio soma inawezekana ukawafata ukashindwa kuwaelewa sifa ya muislamu wakweli ni kuchunga adabu kwa kila jambo hata kuvaa nguo zako kunaitaji adabu usiwe mshabiki kama upo ktk maswala ya kipuuvi kama siasa au mpira lakini masiala ya dini hata kama una elimu unatakiwa uwe na adabu hayo ni maneno ya mtume vip wewe kwani ukisikiliza kisha ukanyamaza sitakua heri kubwa nami nafikisha kwako hili nipate ujira mbele ya Allah kwa kukumbusha tumeambiwa tumechunge adabu tukumbuke aya tunayoyasema yana andikwa tutayakuta mbele ya Allah

  • @SideMjerumani-ct7oy
    @SideMjerumani-ct7oy 7 місяців тому

    Hakukutokea kwa sababu hamkuwepo mashehe km nyinyi mngekuwepo khitilafu ingetokea tu

  • @JUMAKhamis-g7v
    @JUMAKhamis-g7v 7 місяців тому

    Ukasome ww yy analipwa mshahara kutoka aladhar chuo kikuuu

  • @HijaMussa-v5r
    @HijaMussa-v5r 7 місяців тому

    Ni sahihi kabisa inaonekana nchi nyingi duniani hazikubali kufuata muandamo wa mwenzake, ispokua watu ndo wanajigawa kufuata kwengine, kauli ya imamu Shafi ndo inafanyiwa kazi zaidi. Ndo mana hata saudia hawaulizii habari za mwezi kutoka nchi nyengine.

  • @RahmaMfaume-x4x
    @RahmaMfaume-x4x 7 місяців тому

    Sis tuliwah kufunga tumefunga .nanyinyi ambao mmeanza Sikh lliyofuta .word tumefunga shida lko wapi?

  • @dahirgaraar360
    @dahirgaraar360 7 місяців тому

    Mambo ya kielmu yataka mwenye kuyajibu atumie naye elimu na si kuzomea wala kubeza tu.Kuzomea na kubeza siyo kutoa hoja.

  • @ramadhaniomary9241
    @ramadhaniomary9241 7 місяців тому

    Kwa kweli usipomuelewa huyu mzee wewe una matatizo au una ajenda ya siri

  • @Khamisabdulhamid-pn9yg
    @Khamisabdulhamid-pn9yg 7 місяців тому

    Salum Takao wewe umesoma kuanzia lini .?????

  • @stationerykinondoni7241
    @stationerykinondoni7241 7 місяців тому

    Sasa kama mtume alipokea taarifa na bila kuona mwezi na akafungua, ingekuwa wewe sheikh ubwabwa hapo ungebisha ukasema hujauona kwa hiyo mngeendeleza hitilafu.

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 2 місяці тому

    POPOTE UTAKAPO ONEKANA NAFUNGA NA NITAFUNGUA SIWEZI KUBUZWA TENA

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 7 місяців тому

    sunnah si lazima ukiamua kuiacha dunia ya mawasiliano tupa simu yako kule. hakuna mwezi wenye siku therathini toka dunia iumbwe

  • @koxworldwide
    @koxworldwide 7 місяців тому

    Muwaiya alikuwa khalifa kipindi hicho. Hakuwa gavana

  • @salumtakao9828
    @salumtakao9828 7 місяців тому

    We mzee usitafute kiki huku youtubu. Kaisome hiyo sunna uijue halfu uje kuongea huo upuuzi wako. Kama huupendi kuon watu wakizinduk siku had siku usikae kuongea upuuzi . Utadhalilishwa hadi ujitfute watu wa elimu zao na hojja zkutosha hawajakurupukwa km unvokurupukwa ww . Kasome mzee wangu then rudi hapa uje uongee tena

    • @KhamisiOmar-v3h
      @KhamisiOmar-v3h 7 місяців тому

      Mkosa adabu wakiwahabi unawatukana maulamaa hadi mwenzi wa ramadhan kwa lazi awe alie sema ni huteimia ama fauzan. wasomi na wanachuoni ni wengi kuweni na adabu kwa mashehe wewe ndio inatakiwa ukasome.

    • @salumtakao9828
      @salumtakao9828 7 місяців тому

      @@KhamisiOmar-v3h na ww ukasome, mwambien uyo mzee wenu akasome Sunna kwanza ndo aje huku so aone Raha kupata comment na view tu huku UA-cam. Watu tunataka contentent htutaki porojo lake sie. Kamwambieni ashushe hoja za kieleimu tena ziwe sahihi .

    • @makamemakame2603
      @makamemakame2603 7 місяців тому

      Innalillah wainnailayh raaj'un. Dunia ya sasa watu hawazinduki bali wanapotea zaidi. Rudi kafanye utafiti tena ni zipi zana bora?. Hizi kaumu zinazopotea zaidi

    • @AhmedmadaiAli
      @AhmedmadaiAli 7 місяців тому

      😂😂😂😂babaaa saluu umesom lini ???? Umesom wapi???? Kua na adabu kijana

    • @AhmedmadaiAli
      @AhmedmadaiAli 7 місяців тому

      Shekh anatoa istidlaal Waseem upuuzi ! 😮 Salum penye ikhtilafu busara tumia kasome hisr y masahaba walipo khtalifiana sehemu y kuswali banuu quraydhwa haijtumk kaul yyte y upuuzi haizd wot walikua sahihi إنماالأعمال بالنيات . والله يضاعف لمن يشاء cmamia unaloliamini uctumie maneno y kejeli n mijadala hakuna malipo elim Kwa mweny kuisom kwaajili y midahalo mtume asema akhy اتق الله😢

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 7 місяців тому +1

    Hamna point hapo sasa hivi habari zinasafiri kwa umeme mzeee sio dunia ya zamani hiii habari kutoa Amerika mpaka Afrika kusini inachukua sekunde moja na Allah alijua ndio maana akatutayarishia urahisi wa kueleka habari

    • @zimammbaruk4231
      @zimammbaruk4231 7 місяців тому

      Kumbe mnaendesha dini kwa Umeme, poleni sana

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 7 місяців тому

      @@zimammbaruk4231 kwani kwa akili yako umeme umeumbwa na nani? na umeletwa hapa ulimwenguni ili utumiwe na nani ? na kwafaida ipi ? nyie itabidi muache uvivu wa kusoma na kuuelewa Uislaam uislam sio dini ya mabubusa ni dini ya Ulil-Albabu(wenye kutumia akili) akama alivyosema mwenyewe Allah

    • @muhammedaloufy4086
      @muhammedaloufy4086 7 місяців тому

      kwaiyo ni Bid'a? au bid'a ni Maulid tu? maana wakati wa Mtume hapakuwa na kitu hicho wala masahaba wake!

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 7 місяців тому

      @@zimammbaruk4231 sio dini tu hata wewe unaendeshwa kwa umeme Allah hawezi kuumba kitu kisichokua na manufaa kwa binaadamu na dini yake

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 7 місяців тому

      Shida sio habari inaenezwa je, shida ni kwamba itabidi Tanzania tusiangalie mwezi kwa sababu haiwezekani Tanzania ione mwezi kabla USA au Uarabuni nk. Hoja yako ingekuwa sahihi kama mwezi unaonekana "randomly" yaani tuulizane duniani kote mwezi umeonekana wapi, lakini kwa hivi inabidi kila siku Watanzania wawaulize wengine. Kila mmoja afuate alichoamini!

  • @SideMjerumani-ct7oy
    @SideMjerumani-ct7oy 7 місяців тому

    Mi sjaerewa kwani mtu akisafiri siku saba ndiyo hawezi kufika kwa mtume wakati wa insha na VP kuhusu hijja tutafuata mwezi gani mi nimeona shida kwa shehe wetu huyo anavojiapiza kuwa yeye atafuata anachokijua Hadi kufa uislam hauko hivyo uislam inapokujia haki ni kuifuata