FAIDA YAA KUANZA - JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @masudibaja
    @masudibaja Рік тому

    Kaka Joel Mungu akuongezee maarifa zaidi

  • @gloriakawago6223
    @gloriakawago6223 Рік тому

    Asante sana Kwa mafundisho yako mazuri yananijenga isivyo kawaida mpaka na mm nimelipia China bidhaa kutoka kiwandan haikuwa rahis nilikuwaga hivyo hivyo nitaanza lkn nimeshaanza Rasmi see you at the Top

  • @FrankSikale
    @FrankSikale Рік тому

    Asante kwa kila somo lako Bro.

  • @ChristinaKembe
    @ChristinaKembe Рік тому +1

    Kaka Joel, nakushukuru sana, kaka nilitamani sana kushirikisha jambo langu muhimu sana Ili unishauri Sasa sijui nakupataje

  • @ShaniMwamba
    @ShaniMwamba Рік тому

    Good brother

  • @EmanuelEsopa
    @EmanuelEsopa Рік тому +1

    See you at the top

  • @ramadhanalmashamza3458
    @ramadhanalmashamza3458 Рік тому

    Asante kaka kwa somo zuri kwanzia sasa nitaanza haijalishi changamoto za kukatishwa tamaa ninazopitia

  • @MozaHamad-d5x
    @MozaHamad-d5x Рік тому

    Asate sana kaka joel kwakutufundisha❤😊

  • @KhamisJuma-e7s
    @KhamisJuma-e7s Рік тому +1

    Dahaa kaka nakuwelewa sna wew umefnya maish yangu umeya badilka San umekuwa mwalmu kwenye maish yangu n

  • @HeriethSylvester-dm3nb
    @HeriethSylvester-dm3nb Рік тому +1

    Huyu mm kabisa kaka Joel ila npo kwenye hatua za mwisho kuelekea kuanza Mungu anitangulie

  • @jacobsichone2891
    @jacobsichone2891 Рік тому

    Kwali kabisa kaka Joel Nanauka, naendelea kujifunza kupitia masomo yako.

  • @mwanaidihassan5868
    @mwanaidihassan5868 Рік тому

    Nakua mgumu wa kulipa gharama. But naahidi kubalisha mindset yangu Ili nianze leo

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 Рік тому

    ASANTE

  • @vitrahbongz9420
    @vitrahbongz9420 Рік тому +1

    Nataka nianze sasa

  • @AnnastaziaSamwel-t4k
    @AnnastaziaSamwel-t4k Рік тому

    Asante sana kaka kwa somo zuri limenihamasisha kuanza kwa kidogo nilicho nacho. Barikiwa sasa kaka Joel.

  • @Kombevisuals
    @Kombevisuals Рік тому +1

    Tuanze sasa

  • @bushambalvenasbushambal-ot3eh

    shukurani Sana

  • @martinnsuhuje7821
    @martinnsuhuje7821 Рік тому

    Asante kwa Somo zuri

  • @emmanuelmashaka1769
    @emmanuelmashaka1769 Рік тому

    Anhsantee sana kaka Joel Kwa masomo mazuri na ya kujenga🙏

  • @hassanomary7353
    @hassanomary7353 Рік тому

    😊asante sana kwa kupata faida

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    Ubarikiwe sana😢nanauka

  • @gsmunlockedgsm377
    @gsmunlockedgsm377 Рік тому +1

    Mi ni mmoja ya watu nakuaga na mawazo ya kuanza kitu kizuri lakn huwaga najishangaa kwann sichukui hatua ya kuanza najikuta napoteza lile wazo

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj Рік тому

    Asante sana

  • @edsonedmond6919
    @edsonedmond6919 Рік тому

    Kaka joel mimi uwa na vyanzo vingi hila uendelevu ndo unakuwa afifu nisaidie nifanyeje?

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 Рік тому +1

    Mbona umo katika mawazo yangu?

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 Рік тому

    Safi sana

  • @damaridaudi9785
    @damaridaudi9785 Рік тому

    naitaji ushauri kaka nipo mbali kidog na tzania na naitaji kujiwekeza kwa mifugo sasa nitaanza aje ili nikue

  • @damaridaudi9785
    @damaridaudi9785 Рік тому +1

    naitaji ushauri kaka nipo mbali kidog na tzania na naitaji kujiwekeza kwa mifugo sasa nitaanza aje ili nikue