WATOTO WA CHRISTINA SHUSHO WAKANUSHA ISSUE YA WASAFI TV | KILA WIMBO UNAKUWA NA MLENGWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024
  • Book us for any event @ferdbird1234@gmail.com or Alobo vibes on social media
    Subscribe to our channel: / alobovibes
    Follow US & GET IN TOUCH
    IG, TikTok and FB: @alobo vibes
    Copyright © Alobo Vibes TV
    #AloboVibes
    #WereAfricans
    #WereHereForAloboVibes

КОМЕНТАРІ • 58

  • @rosemaryowory5710
    @rosemaryowory5710 Рік тому +4

    Good work Christina endelea n kazi ya MUNGU usichoke barikiwa pamoja n uzao wa tumbo lako

  • @stephaniakanka8178
    @stephaniakanka8178 5 місяців тому +5

    Mungu wa huruma mtoto ka fanana baba yake jamani ❤❤😢

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial Рік тому +9

    Wamejibu vizur ukiona wimbo huajuelewa ujumbe sio wako congratulations 👏

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 5 місяців тому +9

    Binti anafanana na baba yake❤❤❤🎉

  • @davidmgaya801
    @davidmgaya801 Рік тому +4

    Sasa mbona camera iko kwa mtangazaji na sio MTU anaehojiwa si tunataka tumuone huyo anaehojiwa

  • @lawimichaelwerewere7619
    @lawimichaelwerewere7619 5 місяців тому +6

    Mteule uwe macho hizi ni siku za mwisho Leo Giza na Nuru zimechanganyana na watu wanashangilia hi ni hatari Sana kwa waovoku wapya Ila Bwana anawajua walio wakwake

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 6 місяців тому +17

    Huyu ni copy ya mzee shusho. Hapa christina shusho alikua hajapata bado assignment ya MUNGU 😅😅😅😅😅

  • @mumbijpearl5060
    @mumbijpearl5060 5 місяців тому +3

    Watoto Wana sauti ya baba, sura za baba ila kijana ana sura ya mama Kwa mbali....

  • @hurumamushi1059
    @hurumamushi1059 Рік тому +1

    Mungu tusaidie Ameen

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm 6 місяців тому +4

    shatani huwa akikupa assigmnt mwisho anaangusha familia. naombea hawa watoto wasije kuwa wasagaji. fatilieni wasanii wakubwa marekani watoto wamegeuka mashoga

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 Рік тому +4

    Ushirikiano baina ya mtumishi Christina na wasafi. Sisi watu wa nje hatuwezi kufahamu unahusu nini. Hivyo kila mmoja atabeba mzigo wake mwenyewe. Vitu vingine unavitazama kisha unaacha kama vilivyo. Maana kwa upande wangu sioni sababu ya Christina kumshirikisha diamond kwa kiwango kikubwa namna hiyo kwa sababu hata kila mmoja ana aina yake ya mziki kushirikiana hakukataliwi bali mfanane malengo yenu ktk kushirikiana.

    • @pamelaayieta6071
      @pamelaayieta6071 7 місяців тому +1

      Where does shusho and diamond share ideals in music,shusho is a mere business woman not mtumishi as you are cailling her.

    • @immaculatendinda3900
      @immaculatendinda3900 5 місяців тому +1

      Hixi nyimbo zake tulizijua kwa tv na hixo tv wamiliki hatujui huusiano wao na Mungu ...sasa kwa nini asikue na partnerships na wasafi kisa ni media ya diamond...nyinyi mko nyumba sana

  • @NataliaKenny-vb6os
    @NataliaKenny-vb6os Рік тому +2

    Watoto wamekua sana awa

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 5 місяців тому +1

    UNAJISKIAJE KUONA MAMA YAKO KUVUNJA NDOA NA BABA YAKO KUISHI SINGLE WAKATI MAMA YAKO YUPO?

  • @jennifermmanyema6693
    @jennifermmanyema6693 Рік тому +2

    Waaaah kumbe ana mtoto mkubwa hivyo hongera sana kwa christina shusho

    • @mumbijpearl5060
      @mumbijpearl5060 5 місяців тому

      @jennifer ana watoto wakubwa jamani sio mmoja tu mbona!

  • @namelockmaasailady8002
    @namelockmaasailady8002 Рік тому +8

    Kafanana na baba ake hatari

    • @Youngchimodzi823
      @Youngchimodzi823 5 місяців тому

      Wapi wanafana ni mbingu na nchi,DNA test ndio muarobaini the rest utapeli TU.

  • @gracemwangi4880
    @gracemwangi4880 5 місяців тому

    Odyssey yu afanana na Babake .George naye copy Mama kabisa. 🙏 MWENYEZI MUNGU WABARIKI WATOTO WETU. 🙏 ❤
    🙏 GOD CONTINUED BLESSINGS MAN OF GOD PASTOR JOHN SHUSHO
    🙏 GOD BLESS YOU ABUNDANTLY MY SISTER IN THE LORD MRS.CHRISTINA SHUSHO ❤ 🙏
    🇺🇸 🇰🇪 TWAKUPENDA ❤ 🙏

  • @AngelAfric
    @AngelAfric 5 місяців тому +1

    Watoto wamefanana na baba Yao Hawa duh

  • @RachelMwaipopo
    @RachelMwaipopo 5 місяців тому

    Watoto nao tayarii jaman Daaaaaa😢😢😢😢

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 5 місяців тому

    Mama yenu akaimbe singeri au taatabu , zitampendeza zaidi !!

  • @ClementinaNgulo-tz3gk
    @ClementinaNgulo-tz3gk Рік тому +1

    Hun lolote bimdada, lkn ukweli mamaako yupo ki_biashara

  • @SabrinaChanga
    @SabrinaChanga 2 місяці тому

    Kijana hajui kutangaza

  • @VirginiaMuthoki-wt6ig
    @VirginiaMuthoki-wt6ig 5 місяців тому

    Light and darkness where to where? Fame and money. Your mother like a true she left your dad? U as children where are u

  • @pamelaayieta6071
    @pamelaayieta6071 7 місяців тому +1

    Is christina shusho a gospel musician or a secular one because diamond isnt a gospel musician,if anything ge us doing business.

  • @agnesmbula5261
    @agnesmbula5261 5 місяців тому +1

    Beautiful girl

  • @paulvimbamvula9508
    @paulvimbamvula9508 6 місяців тому

    Mambo ya shatana yanavuta sana...zamani alikuwa hajulikana alikuwa busy na mambo ya mungu sasa wameya za kuwa .arufuku na watoto kwenye mtandawonna mbere ya camera

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 5 місяців тому +1

    She is quite

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 Рік тому +2

    Ndio anafanana na baba yake

  • @marthakadope
    @marthakadope 5 місяців тому +1

    Uyu WA kiume copy mama

  • @SamsonEzekiel-or9xc
    @SamsonEzekiel-or9xc 5 місяців тому

    Mh kazi ngumu hii yaliyomo wanajua wenyewe

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 6 місяців тому

    Mwandishi huhoji vizur

  • @Perfect-migomigo
    @Perfect-migomigo 9 місяців тому

    🎉🎉

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 5 місяців тому +1

    Alifana nbabayake sura mbaya

  • @NiyizigamaClaudine
    @NiyizigamaClaudine 5 місяців тому

    Christina unaumiza watoto

  • @alphasamwel
    @alphasamwel 6 місяців тому +1

    Watoto wameambatana na mama yao,wamekaa na style zao za kidunia kabasa yaani 😢😢😢😢
    Ndo watoto wa watumishi hawa kweli?
    Ama kweli neno hili?
    Yohana 6:44
    Hakuna mtu awezaye kuja kwangu, asipovutwa na Baba aliyenipeleka; nami nitamfufua siku ya mwisho.
    Mzee shusho anaumia sana anavyoona hali halisi

    • @kakanicodemus3632
      @kakanicodemus3632 6 місяців тому +1

      Mtumish hazai malaika bado wanaitaj na vijana so wana safar ndefu tuwaombee

    • @nsiamasawe4578
      @nsiamasawe4578 5 місяців тому +1

      Kweli kabisa

    • @DorisZephania-ci8ym
      @DorisZephania-ci8ym 4 місяці тому

      Kwani unataka waweje, ili watambulike ni watoto wa mtumishi?

  • @GloriaSindjala
    @GloriaSindjala 4 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @naomidaud1780
    @naomidaud1780 Рік тому

    Sorry naomba nsaidie namb y zuwena Mohammed inayopatkana .

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 5 місяців тому

    Kafanana na baba yake kweli kweli

  • @leonardmakwela5551
    @leonardmakwela5551 6 місяців тому

    Hakuna kitu hapa

  • @LukaLenard-wd3ms
    @LukaLenard-wd3ms 6 місяців тому

    Mbona unajichekesha vidada vya siku hizi

  • @JoselineKadeyi
    @JoselineKadeyi 6 місяців тому

    George anakomaa saanaa

  • @thepatriot-hbk5255
    @thepatriot-hbk5255 5 місяців тому

    Copy ya babake

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola 5 місяців тому

    Safiiiii kafanana na baba

  • @marthakadope
    @marthakadope 5 місяців тому

    Kamefanana na baba yake

  • @heriethsamwel7190
    @heriethsamwel7190 6 місяців тому

    Ubana sana pua

  • @jovanafidelis2802
    @jovanafidelis2802 5 місяців тому

    Baba mtupu

  • @Jonathankaghese
    @Jonathankaghese Рік тому

    ❤❤