AYO TV YAFIKA NYUMBANI KWA MZEE MAKOSA TAJIRI ALIYEFILISIKA IRINGA “NDOTO YANGU IPO PALEPALE”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 15

  • @markovuruga86
    @markovuruga86 2 місяці тому +2

    Respect to my brother diamond platnumz 🎉🎉🎉

  • @Kizotta
    @Kizotta 2 місяці тому +3

    Makosa

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 2 місяці тому +2

    Uanze na shamba la mboga

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 2 місяці тому

    Mshaurini asitumie zile hela alizopewa na diamond platnumz asitumie vibaya hakuna wakumpa tena bora afungue biashara

  • @matikowambura7657
    @matikowambura7657 2 місяці тому +1

    Mzeee ukichengwa tulia

  • @kennycathles
    @kennycathles 2 місяці тому

    Vipi na I Trees??

  • @kageclemence7096
    @kageclemence7096 2 місяці тому +2

    Makosa umesha kosa mda wa funyanya ayo

    • @Hapygideon
      @Hapygideon 2 місяці тому +1

      Mda upo sana tuu

    • @aliceudoba3672
      @aliceudoba3672 2 місяці тому +1

      ​@@Hapygideon upo Sawa bado atafanya mengi hicho kisima tu ni jambo kubwa sana 🎉🎉🎉🎉mwenyenzi Mungu akupe uhai mrefu mzee makhosa

    • @Hapygideon
      @Hapygideon 2 місяці тому

      @aliceudoba3672 ni mzee wetu tunamjua,hapa Cha mwingi maombi ya mzee wa upako yawe yamemuingia azingatie dawa alizopewa,afu aache pombe hiyo hela kweli atafanyia kitu Cha maana,akianza kunywea tuu zote zitaisha,maana hela ni nyingi kapewa,na kitu walicho fanya ayo TV mungu awaongezee kwa kweli

    • @directorbitofirms
      @directorbitofirms 2 місяці тому

      😂😂😂

    • @IddiHasani-vq4rd
      @IddiHasani-vq4rd 2 місяці тому

      Shida majina mengn Yana weza sababisha matatzo