Jinsi ya Kuepuka Msongo wa Mawazo (Stress) Katika Maisha - Joel Nanauka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 38

  • @glory34495
    @glory34495 2 місяці тому +2

    Nayaweza mambo yote katika yeye anitiae nguvu🙏

  • @IshisangoDemusombe
    @IshisangoDemusombe Місяць тому +2

    Ushauri wako kaka Sita usaau nasizani kama mwenye stress nita muacha afe lazima nitajituma niwape moyo walio na mapungufu

  • @FredyMolley-zq3em
    @FredyMolley-zq3em Місяць тому +2

    Kweli kabisa mm nkaribu nikate tamaa lakini leo nimepata funzo mungu akulinde

  • @cornerbrezz1207-lc6rg
    @cornerbrezz1207-lc6rg 5 місяців тому +2

    Amen kaka Joel nanauka MUNGU akubaliki sana I love you so much ❤️❤️

  • @HadijaRajabu-i8h
    @HadijaRajabu-i8h 6 місяців тому +2

    Asante Kwa kunipatia maarifa,, Mungu akupe afya njema,,hakika Mimi ni mwanamke mpambanaji

  • @monicamonic8823
    @monicamonic8823 3 місяці тому +1

    Mm nitafaulu,naenda mbali,sitashindwa,sitaongopa,

  • @FidelisMsuta
    @FidelisMsuta 6 місяців тому +1

    God bless you kak nanauka I'm going to be forwarding thinking in my life for your education 🙏

  • @DionisiaSostenes-k8k
    @DionisiaSostenes-k8k Місяць тому

    Asante sana kaka Joel mungu akubaliki

  • @MagrethLucian
    @MagrethLucian 6 місяців тому +1

    Mm ni mtu tajiri Sana

  • @janetfrancis7180
    @janetfrancis7180 6 місяців тому +1

    Mimi ni mbarikiwa 😂 see you at the top Joel

  • @dorahmatitu2554
    @dorahmatitu2554 6 місяців тому

    Ubarikiwe sana Kaka. Mungu akubariki sana wallah ❤

  • @christinensimba476
    @christinensimba476 4 місяці тому

    Kaka maneno Yako n kiboko yanatupeleka sehemu sahihi Sana one love kaka Joel nanauka mungu akupe nguvu na akubariki Kwa kipawa alichokupa❤

    • @hamasikatv
      @hamasikatv  4 місяці тому

      Asante kwa maoni yako tuendelee kujifunza

  • @fridamossony2821
    @fridamossony2821 6 місяців тому +1

    Nayaweza mambo yootee ktk yeye anitiaye nguvu

  • @SarahMunisi-fz8xo
    @SarahMunisi-fz8xo 4 місяці тому +1

    Sitakat tamaa me n wajuu

  • @shedrackabeli4745
    @shedrackabeli4745 Місяць тому

    furaha yangu hipo mikononi mwangu

  • @NaomyNelly-jv2qv
    @NaomyNelly-jv2qv 6 місяців тому

    That is wonderful I get it

  • @RehemaMsuha
    @RehemaMsuha 7 місяців тому

    Barikiwa sana brother joel

  • @PaulMuriithi-p9j
    @PaulMuriithi-p9j Місяць тому

    Thanks Joel

  • @DaniellaDancan
    @DaniellaDancan 24 дні тому

    Me naumwa sana na sijiamini kabisa kunawakati nahisi kama nakimbizwa na kukosa kabisa amana hofu mashaka sawsaw na nilienda kupima nikaambiwa presh ipo chini sana lakin hali ya mashaka na wasws bado ipo had mwili unakuwa hauna nguvu nifanyaje

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 6 місяців тому +3

    Kama mimi kwa sasa nakula maisha sitaki stress maana yakuona maisha ni yangu. Nafanya ninayoweza

  • @juliusmarwa7369
    @juliusmarwa7369 6 місяців тому

    Kaka nakubali sana

  • @AgnessBajuta
    @AgnessBajuta 4 місяці тому

    Mimi ni bora sana

  • @fridamossony2821
    @fridamossony2821 6 місяців тому

    Asante kaka

  • @DorikaKipala-ds5vl
    @DorikaKipala-ds5vl 6 місяців тому

    Thank you 😊😊

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 6 місяців тому

    Asante sn 🙏

  • @sudimtawa1337
    @sudimtawa1337 6 місяців тому +1

    Furaha yangu ipo mikononi kwangu💪💪💪💪

  • @kabulabenjamin8634
    @kabulabenjamin8634 Місяць тому

    Mim sitakata tamaa kwenye maish yangu japo changamoto ni nyingi ila nitafanikiwa

  • @florakimario873
    @florakimario873 6 місяців тому

    Amina

  • @happypeter7766
    @happypeter7766 6 місяців тому

    Mimi ni mshindi

  • @vonandrew8945
    @vonandrew8945 5 місяців тому

    mkulima mkubwa

  • @alphoncestumbi908
    @alphoncestumbi908 6 місяців тому

  • @msyetnovatv6936
    @msyetnovatv6936 5 місяців тому

    Mimi ni bora kuliko yeyote
    Mimi najiamini
    Mimi nawezaa

  • @AsiaYusuph-ev3ze
    @AsiaYusuph-ev3ze Місяць тому

    Naomba nomba yako unisaidie

  • @dynesdaud564
    @dynesdaud564 6 місяців тому +1

    Mimi ni mshindi mimi ni mtu bola

  • @LightnesMbise
    @LightnesMbise 6 місяців тому

    Mimi ni mfanya biashara mkubwa

  • @KishaVerus
    @KishaVerus 6 місяців тому

    Mimi ni nimfanya biashara mkubwa

  • @Thomas-w3v
    @Thomas-w3v 6 місяців тому

    09