Uongozi wa studio za Love Dot Music Studio tuna kushukuru sana kuchangua kufanya kazi hii kubwa nasi. MUNGU akubariki na azidi kukutumia kwa namna kubwa sana. Karibu tena mtumishi wa Yesu Kristo
Good song🎉❤ Love dot music studio 💃 Ubarikiwe kaka kwa kurekodi studio zetu. Tumefurahi sana karibu tena na tena.Mungu akushikilie milele na akutetee tena na tena 🎵🤝🙏
Nyimbo zako kaka nizabaraka kwangu kiukweli mungu azidi kukuinua🎉🎉🎉❤❤❤
Asante sana Mtumishi wa Mungu Namba Baba akwinue zaidi wewe na familia yako Mungu akubariki
Nice song
My Daily Prayer 😢 Nishike mkono mungu wangu🙏🙏🙏
Great..nishike mkono mungu wangu..barikiwa sana 👏👏
Natamani mungu afanya njia unisaidie korbo mtumishi wamungu,
Mungu akutie nguvu kwa kazi ya mikono ya bwana amen❤❤❤
🎶🎶Ni kheri lawama kuliko kuacha wokovu mim siwezi🎶 napenda hii verse
Unajua kuimba mtumishi MUNGU akuvushe ng'ambo nyingine
Wimbo wa maombi yangu Mungu anishike mkono...Asante kwa ufunuo huo
Hongera sana mtumishi wamungu kazi nzur sana mungu akuongezee zaidi,
hongera sana wimbo mzuri sana mtumishi wa MUNGU
Powerful song enjoy from Zambia ❤❤❤❤ may God bless you Sir
Wonderful song,God bless you
More grace mwabuka
Uongozi wa studio za Love Dot Music Studio tuna kushukuru sana kuchangua kufanya kazi hii kubwa nasi. MUNGU akubariki na azidi kukutumia kwa namna kubwa sana. Karibu tena mtumishi wa Yesu Kristo
Wimbo mzuri ❤❤❤❤❤❤
amina
Asante mwimbaji wanguu mungu akupe maicha marefuuu❤
amina
Mungu akuvushe kwa kila kitu mtumishi wa Mungu.
Amen God bless
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Your songs has been a blessing to me Sir ❤️❤
amen
Mungu aendelee kuku tetea
Amen ubarikiwe
Good song🎉❤
Love dot music studio 💃
Ubarikiwe kaka kwa kurekodi studio zetu. Tumefurahi sana karibu tena na tena.Mungu akushikilie milele na akutetee tena na tena 🎵🤝🙏
Na mim nataka kurekodi mnaniluhu na mnapatikana wap
@@Migapogospel678 tupo mafinga ihongole
amen
Karibu sana dear 🎉❤@@Migapogospel678
Ameen
Amen
Mbona nyimbo zako ni zakubalikiwa tu imba nyimbo za kuwapereka mbingun 2:28
Amen