Bonge laujumbe nyimbo haichuji hii yaan inaniumaga mpaka Leo najiliwazaga japo mistari mingine inanishindaGa kuskiza naumzaiga sana ila inaniliwaza sanaa Ubarikiw mtunzi namuimbaji piaaa ❤❤❤❤
2014 Hizi ndio taarabu za mwisho mwisho kuhit haikuchukua hata mda mwenye taarabu zake akaamua kuachana na mziki hatimaye zikabak historia tu haitatokea taarabu kuhit miaka hii kama hizi zilivyohitigi
2024 gonga like kama umeisikiliza❤❤
Raha za pwani Raha jipe mwenyewe muko wapi watu 2024
Nani anaamini hu wimbo bado uko on top fatuma mcharuko yuko juu gonga likes kama zote 2023 na bado hu wimbo uko ova 💸 dola ya marikani
mupo 2024 gongo like hap
Kasoro si maumbile au rangi ya mwilini bali kasoro ni vitu vile vilokubali kiimaani ❤️❤️ mie nimependa sana tu 👌👌yaani 🔥🔥🔥 very nice fatma nyoro
Acha kabisa
Asante Dada 😊
2023 tujuane hapa
Though huyu ndo mwimbaji wangu bora wa taharab
Hii nyimbo iko na ujumbe mzito kweli watu hawaoni yakwao wanaoana tu ya wezao
Huu wimbo kila siku mpya mashaallah Fatma mcharuko wapee Nani yupo mami March 2022 tujuane hapa
✌✌✌✌✌✌✌✌
Wow
Am here March 2023 still vibing with the song
Waooooagaintupo pamoja
Kama huupend mzik wa taarabu basi utakua huskiliz kinachoimbwa lakin pale tu ukiamua kuskiliza kinachoimbwa hutoskiliza mzik wowote zaid ya taarab
Ni kweli kabisaaaa!!!
Dah! Huyu dada kasema kweli
@@johnsagala z
Teinnaa
Swadakta
Jan 7-2023 still listening to this favourite song of mine ,love it🥰🥰🥰🥰
Nataka za mwaka wa 2023
Hata mmi❤❤
Same here
Bitter people see the bad in others 😂😂😂 it's a beautiful song ❤️
Huu wimbo uko na ujumbe mzito sana Mashallah
Mm hii nyimbo noliipenda sana bila sababu 💕💓💕💓 kaimba ukweli wa mambo mungu akuinue kipaji Chalo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️
@@rehemaomar7110 Inshallah Mungu azidi kumpa neema na uzima pamoja na nguvu
Mziki watalabu ukoweye dam
❤ love this song
Bonge laujumbe nyimbo haichuji hii yaan inaniumaga mpaka Leo najiliwazaga japo mistari mingine inanishindaGa kuskiza naumzaiga sana ila inaniliwaza sanaa Ubarikiw mtunzi namuimbaji piaaa ❤❤❤❤
Huwa siimalizagi machozii maumivu jamani dinia ina mengii unaeza jizuruu ubarikiwe sana inaniliwaza sana unanipa moyoo wakuishii hongera sana ❤
Mupo 2023 ngonga like apa
Ujumbe ulioletwa kwa njia murwa kibao hichi bado yatamba🔥🔥🔥
Toka 254 🇰🇪 naipenda sanaa ujumbe mzito sanaaa
Never gets old…
Ndoto yatimia uzuri tupu aso kasoro ni Maulana.
2022 (Kasoro) bado nitaaamu 🔥 🔥 🔥
Ukitaka kusema lamwenzio angalia lako kwanza hujakosea dada fatuma
4-4-2023.…tunaotizama TUJUANE APA KWA LIKE ~🥰🔥~
Kweli ujumbe ni mzuri Tena aliyeutunga alikaa chini akatulia mungu amlinde popote alipo amlipe mema duniani pia akhera
Nani alieutunga
2022 still listening to this golden taharab songs from Kenya mombasa❤️💕💕💕
2014 Hizi ndio taarabu za mwisho mwisho kuhit haikuchukua hata mda mwenye taarabu zake akaamua kuachana na mziki hatimaye zikabak historia tu haitatokea taarabu kuhit miaka hii kama hizi zilivyohitigi
Naipenda hii nyimbo
😢😂Aso kasoro ni mungu,sijui wambea wameskia hii wakaelewa,i love the song
Duuh inyimbo imetungwa kwakwel yaan inabonge la ujumbe asokasoro nimungu bahn
Dah namkubal sana b mdada
Yenu hamuyaoni au ndo chogo kuita kengeza
hii ni yangu ya kila siku❤
Huu wimbo una maana yake jameny 🥰
Nice Taarab songs, it reminds of Mzee Yusuph - Big Daddy
♥️♥️♥️♥️
I love this woman.Nikiwa na mawazo muziki yake hunituliza
Aka kadada kaliimba
Jmn napenda hata nikiwa na stress zangu zinapotelea mbaliii
#mcharuko hii nyimbo umeua san lnanikumbusha mbari san
DEC 22 DOHA LOVE THIS LADY FATMA MAHMOUD
Halooooo mambo nomaaaaah
Mashairi yake mazuri yanafundisha hauchuji.
Kasoro yangu ni nini yawa ......Baba Marcus ameuliza kwa upole😦
Album iliweza hii jamani nyimbo zake zote zilikuwa moto wa kuotea mbali🔥🔥🔥🔥
Umeonaeeeeeeeeeeeeeee
My favorite tarab lady ukisika muite FATMA NYORO
Hahaaaa....Mambo yake nyorooooro.....piga kelele Moja kwa Fatma nyoro akeeeeee
Ni kweli kabisa aso na kasoro ni Mungu pekee lkn kwa wanadamu hakuna walokamilika
Nazipendaje nyimbo za b, fatuma, Tisha dada.
Usijipe kk niache na yangu uuuuwiii.
My favourite song ,I really love this song ❤ ❤🔥🔥🔥🔥🔥
Love n i always love you ❤❤❤ mbele yao uko juu wakitaka wasitake wataelewa 2 ......
Moto Sana fatma nyoro nimependa Sana hii❤❤❤
Nyimbo nzuri fatuma nyoro xo talented unajua kucheza na jukwaa linakueshimu
Mashallah
2023 na bado huu wimbo uko juu, kweli kasoro sio maumbile au rangi ya ngozi.
😊😊
Mashaallah 💞💕
Weee from 254 apa moi University very nice song
@@princemadramaz-254 ya,mungu,nii
♥️♥️
Wueeeh! This is danceable.
Damn she is super talented
Absolutely agree
Yimbo zuri sana walijipaga fity mko sawa pogezeni
Ijawahi kuchuja mpk leo😘😘❤️❤️❤️
Aaah sana tu pale viralpark ccm kirumba
2022 burudan iendelee 🔥🔥🔥🔥🔥
2023 stll on 🔥🙌
Napenda taarab sana nitakuja huko zarzibar
Mashallaah
Una baya mam wachapee 🎉🎉🎉🎉🎉
Duuh huuu ni 2025 mwezi wa 7 nipo live 😅
I still love this song
Hit songs ever 🥰🔥🔥🔥🔥
Nampenda sana uyu dada uko juu dada napenda sana ngoma zake kasoro si maumbile jamani kutoka 254
Uziri ni anasema wazi wazi .
Fatma Nyoro,I love this lady wish I could meet her one day somebody connect me please
unatamani bibi ya mtu?
Hhaaaa hatujaona kasoro fatma nyoro🔥🔥🔥💪🙏🙏🙏
My all time favourite taarab
Fatma Nyoro hakuna kama yeye aiseeeee
Napenda sana hii nyimbo Tena sana mtu anaona ya mwezake yake haoni wow
❤haichuji kabisa
Fatma Nyoro love you so much
Teeeinaaa🥰❤ i like it your song
P1
Huna baya dada, wimbo una ni kosha sana🥰🥰🥰🥰🥰
Yan aendelee kuishi tu Hana baya
Nyimbotamu naipenda kinyama
Wow nice song i love it 100%
Nice 👍
ua-cam.com/video/G43nMtl_xF4/v-deo.html
@@salimmumba6800 ua-cam.com/video/G43nMtl_xF4/v-deo.html
Jamani nyie hii taraabu haijawahi isha ladha mpka sasa bdo inawaka😅
Yaan huyu dada sauti yake......natamani nimuoe
Naenjoy 😍
Hiih.taarabu ni kiboko
Umepiga palepaleew
2024 mpo?
Mungu amshinde adui
Chidy boy anajua
Nilitamani nikupate nikuoe Ila nilikosa kupata mawasiliano yako Yani huko vixuri sana
Amina haji
Kwaza yatizame yako
🥰🥰fatma weeee🔥🔥🔥
Mashallah nyimbo tamu,hongera
Nice ,love siz 😘 👌 💖 ❤
Saaaaaanatu
Kweli kabisa hauchuji hata kidogo aso kasoro ni mungu tu ila mwanadamu yoyote hakosi kasoro.
MashaAllah izi nyimbo haziish utamu
This song is 🔥🔥🔥🔥🔥i like listening to it
2023🔥🔥🔥
Umeweza tenaaaa
Masha allah
Mashallah nyimbo tamu sana,,hongera mama👌👍
Jahazi
Nyimbo Safi sn hongera daa
Leyla lashid nimekuona wap mama❤😂😊
love song
Tamu sanaaaaaa
Napenda kweli
Amazing song
2023 love this song
❤❤❤ 2024