yaa salaammm wallahy umetukumbusha 90's enzi hizo taarab za kina swabah salum,mwana hawa ally na malkia mwenyewe Asha abdoo kwa jina lingine maarufu ni Malika. duh time imeenda sana
Hata iweje,watake wasitake Hadija kopa ndo malikia wa taarabu afrika nzima wengine wanajikongoja tuu kwanguvu za soda,lakini wewe ni habari ya mjini au ww ni Habari nyingine bigup mama.
Jamani ni mm ama ninawenzangu mumemuona nzuchu ndu ama kweli mola akitaka kukupa umarufu mpaka mda autakaoo nyimbo niyanzamani Sanaa ila nzuchu amejulikana 2020 Corona days
Respect taarab music, love Khadija kopa
This takes me back to the 90 growing up in Mombasa and mom would always be listening to her taarab, nostalgia ❤️
Subhanallah. This is the greatest best song ever!!
Kama umemuona zuchu hapo weka like yako...
Zuchu kumbe wa siku nyingi
Aloo nimemuona😂
Angetoa video ya kisasa nyimbo kali sana
🤣🤣🤣🤣
My favourite gwiji unajidai maarufu kumbe anajikashifu..........Khadija living Legend of Taarab music love you
yaa salaammm wallahy umetukumbusha 90's enzi hizo taarab za kina swabah salum,mwana hawa ally na malkia mwenyewe Asha abdoo kwa jina lingine maarufu ni Malika. duh time imeenda sana
zamani sana Nairobi Kenya...Mzee Shebe Issa Machakos na watu wote Majengo Pumwani Nairobi.. mnakumbuka hii...
khalfan Tambwe
I feel in heaven whenever I listen to taarab. Is it only me??
It's only you am an atheist but Taarab is my antidote.
It's not only you. Let's just hope there's taarab in heaven too.
@@MarcoPolo-vo2on😂😂😂
Yes only you
Eh tuko wengi taarab pozo la moyokutingisha maungo tu mdogomdogo
Nani kamuona zuchu jmny 😍❤💃
The song is legendary so soothing
Naipenda hii nyimbo sana japo niya kitambo bado yatamba. Nani anasikiza aeke like apo tuende sawa haaaaayaaaa mamboooo
Mariam Keah sisi tuliozaliwa 2000 hii mbona hatuijui
My name ali suwed natokea znz mm mwenyewe naipends sana
@@Pedeshee01 ndo. Zakale hiyo silaum
Tuko pamoja
Noma sana naipenda mpaka naumwa
2020 Piga kelele kwa mama zuchu akeee👌👌👌👌👌
Me leo nmependa hii kwa sana... Sijui nmeiskiza mara ngapi...
Heard this one in 1997 courtesy of my friend late Ngugi wa Mbugua
my fvrt of all the time khadija kopa... reggae my fvrt bt coming to taarab shez the best . much lov from kenya mamaaa
Zilizopendwa na ndio zinadumu mpaka leo zani kumbusha 80s and 90s Taharab ilikuwa kitu 👌
Eti ngwinji atambe,atambie kitu gani
Eti nae ajigambe,ajigambe ana nin??
Old is gold taarab de Zanzibar
One of the best taarab classics
Hata iweje,watake wasitake Hadija kopa ndo malikia wa taarabu afrika nzima wengine wanajikongoja tuu kwanguvu za soda,lakini wewe ni habari ya mjini au ww ni Habari nyingine bigup mama.
Wamesikia
Habari. Asha Abdow. Wapi wapi vidonge vyao
Daa nikickia uwimbo uwa namkumbuka Sana mama angu alikuwa anaupenda Sana
Kweli kabisa
Kweli kabisa
Gwinji 🔥🔥🔥still trending big up mama..
The Best of the best of my malkia khadija big up 💪♥️
2021 still the hit🔥
Non so che dire... la nostalgia mi uccide dentro!!!
😭😭😭
Il Meglio!!!
2020 bado naskliza kopa ni nouma
2019 nabado naangalia......from Mombasa Kenya
Nakuona bro 😊😊🇰🇪🇰🇪
naitafuta nyimbo ya kopa... amelowa nimelowa na wangu fulani.. pls upload this song kama unayo
Sijai jua kuna ngoma mali safi ivi. Watu wa Nairobi rada manze?
ajigambe ana niiini.hahaaaa love this song.
Mamma mia...ancora mi viene la pelle d'oca ogni volta che l'ascolto!!
questo mi ricorda mombasa e malindi... bellisime giornate
IT IS such a lovely song..very great
Eti nae ajisifu kammiliki fulani.... Old is gold kopa ur da best
haloooooo pambeeeeee anajisifu kamiliki fulani nakupenda sana hadija kopa
santeeee
Dollar dollar...dollar za kimarekani..eeeh ngwinji eeeh ngwinji atakupa nani.
2019 bado namsikiza ngwinji kweli Zilipendwa na bado zapendeza
Uko juu wakopa
love this song too much..husema anaspendi dollar za kimarecani ...lol..please tuwekee na nyimbo yake kinyangunya please
BB lionne des lionnes, je t'aime bi khadidja. ipvangamudu comoros
Unmatched vocals🤩🤩🤩🤩🤩
HAWAKUWEZI MAA KHADIJA WATAKWENDA MBIYO SANAA
THANKS KWA KUTUWEKEYA OLD IS GOLD
Old is gold
hongera hadija kopa wimbo mzuri sana,eti ngwinji nae jamani
eti nae ajisifu kammiliki Fulani hujidai mzuri hapa mjinii u rock khadija kopa
This will cure all your depressions and lowliness
Tupigeniiii keleleee kwa mkweweeee wa mondiiiiiyyyy weeeee weeee
Haaawaaakuuuweeeziii baaabuuu weeee hao wengine ni maaapaaraaaziii na wakatafute mabuuzii was kuwaaeenzi
Kama umemuona zuchu like hapa yujuane
Still enjoying this song in September 292018.
up now September 2024
I like the songs 🌺🌺🌺🌺🌺❤️🌹✌️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 big up khadija kopa 💪💪💪💪💪💪💪💪
Safi sana Khadija kopa
kopa hoyeeeee 👌siachi kuisikiliza mie
nimeshukuru kwa hii upload..please give us more of TOT Taarab..Nyama ya bata-Ally Mwanahawa, Alipuke and the rest
Ngwinji una nn chakutushulisha huna ulokua na tatizo nyota hatufananiiiiii
Old is gold penda sana huu wimbo
Lov song ilove be khadija kopa
Legend wa taarab Africa Mashariki
2021 nabado nyimbo iko mpya from Mombasa likoni kenya
ngwinji mwacheni atambe ajitia hisabuni, kuwa kammiliki fulani hata aibu haoni kwani atambia kitu gani? heko dada Khadija kopa
1992 duh...... Aysee nimekumbuka mbali huyu dada kweli ni malkia wa taarab
The very best, soulful and soothing music
kwenye watu wapendwao ngwinji humo hesabuni!!!! my god!
Kujidai maharufu, mzuri hapa mjini👌😜
Jamani ni mm ama ninawenzangu mumemuona nzuchu ndu ama kweli mola akitaka kukupa umarufu mpaka mda autakaoo nyimbo niyanzamani Sanaa ila nzuchu amejulikana 2020 Corona days
Kwanza, nyimbo hii inatoka Zuchu hajazaliwa mana imetoka 1992... izo ni picha za matukio tu
Still number one❤❤
Aisha Oman asante mama unarindima big up iyo nyimbo ni balaa tandale kwa tumbo palikuwa hapatoshi ngwinji 🙄
Mama umenikosha 2020
Dis song still 🔥
If you still listen to this Taarab piga like
😘
Ndo namcklz hp ngwinji
Nakubali
Shogaangu😂me replying 5 yrs later😂😂😂😂😂
Yanikumbusha mbali sana
KhadijaKopa Queen 👑
Very very nice mum khadija❤️❤️💋
Hujidai maarufu mzuri hapa mjini
Ngwinji..... naupenda sana wimbo huu
Kopa hiyo nyimbo poa watambia nini wewe si kama mimi poa kopa😂😂😂🖐🖐🖐
Mmwaaaa mama yangu....mfundishe zuchu poz zako....tatizo Andover confidence ndio maana watu wanamponda.anatakiwa afanye kujiamini kwakiasi sio anajionesha kamaliza kilakitu....iyo overconfidence inawaboa watu....
Old is gold.
2020 bado twasikizaaaa
Khadija Kopa nakupenda mamaa
2021 piga kelele wewe 👌👌🥰🥰🥰
Jl like that tarabu
Maa khadija uko juu......
azar hokarani hhghhhghhjhhjjjjhjujjjhhjjjjjjhuhh
Viva Africa
2023 Mambo Bado pambee tyuuu Ngoma inaishiii
The song is so sweet 😘😘 you're great
kopa uko juu sanaaa
Nice one oldies the great always
90s oyeeeee...
Thanks Khadija, always my fav
I love khadjah
Khadija gwingi are so many God know am not gwnji
Gwinji
Njwingi atambie Nani
2020 bado namuangalia
ahsante khadija umenikunaje
Uwwwww rahaaaa
Zanzibar ya wakat wake tupo wadogo tukiisikia wimbo huu kwenye radio ya unguja kipindi cha burudani....
Mmmh'Ama kweli zama hazirudi !!!
Kweri
2019
2020 from +254.
Hata ajiremberembe ngwinji amtake nani...
2019🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Minai Rose Blog gwinji old school
Minai Rose Blog gwinji hoyeee
Allah is great
Nakumbuka zamani sana miaka ya
1992 zama hazirudi day!
Asante malkia wa taarab
Nimemuona Zuchu hapa 2020
Hehehe kujidai maarufu mzuri hapa mjini hehe gwiji ata aibu huoni
Dola za Merikani Kwinji akupe nani? Niko Merikani labda nikupe mimi
Khadija kopa homa ya jiji,we! Chezea kopa weye!?
2020 tujuane kwa likes
Omar from Mombasa
2021 wapi kelele za Mama Zuchuuuu
Penda sana bi khadija kopa zanzbar oyeee
Gwinji 🔥🔥🔥2022💃💃💃
Ngwinjiiiii ngwinjiiii apendezeeee nn