TAJRIBA ADHIMU YA AL-ISTIGHFAR KATIKA KUPATA UTAJIRI MKUBWA | SIRI ZA QURAN TUKUFU | Mohamed Alidini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 тра 2024
  • TAJRIBA ADHIMU YA AL-ISTIGHFAR (الاستغفار) | KATIKA KUPATA UTAJIRI MKUBWA | SIRI ZA QURAN TUKUFU | Mohamed Alidini
    Katika video hii tunaelezea Siri miongoni mwa siri za AL-ISTIGHFAR katika kupata utajiri mkubwa. Hii ni Siri kubwa kwa kuwa inafungamana na Quran ambayo ni kitabu cha Allah (SWT) kisichokuwa na shaka yoyote. Ni matumaini yangu kuwa utafwata maelezo yake ili uweze kufikia malengo yako ya kupata ukwasi.
    Maelezo yake:
    Surah: Nuh (71)
    Ayah: 10-14
    -----------------------------------------------------------------------------------------
    Utaratibu wake:
     Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu
     Kariri Al-Istighfar kwa matamshi yoyote yalosahihi kwa mujibu wa Qur’an na Hadith, kama Allah (SWT) anavyotufundisha ndani ya Qur’an akisema:
    فَقُلْتُ ٱسْتَغْفِرُوا۟ رَبَّكُمْ إِنَّهُۥ كَانَ غَفَّارًۭا. يُرْسِلِ ٱلسَّمَآءَ عَلَيْكُم مِّدْرَارًۭا. وَيُمْدِدْكُم بِأَمْوَٰلٍۢ وَبَنِينَ وَيَجْعَل لَّكُمْ جَنَّـٰتٍۢ وَيَجْعَل لَّكُمْ أَنْهَـٰرًۭا. مَّا لَكُمْ لَا تَرْجُونَ لِلَّهِ وَقَارًۭا. وَقَدْ خَلَقَكُمْ أَطْوَارًا.
    ------------------------------------------------------------------------------------------
    Shukran kwa kujisajili Channel yangu!
    **********************************************************************

КОМЕНТАРІ • 164

  • @user-oj1yp1tt1t
    @user-oj1yp1tt1t 2 місяці тому +4

    Shukran yaa sheikh Mwenyezi Mungu akuepushe vijico na hasidi 🙏🙏🙏🙏🇷🇼🇷🇼🇷🇼

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Ameen ya Rabbal 'Alameen. Sote Insh Allah Taala. 👐

  • @user-ws6jq4in7q
    @user-ws6jq4in7q 2 місяці тому +4

    Naam shekhe wetu Allah akujaalie kher zaidi mm naamini sana kuruani inasir nyingisan kwaweny kuamini

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +2

      Bila Shaka. Shukran sana kwa maelezo na maoni yako. Allah (SWT) Akubariki. Ameen!

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 2 місяці тому +7

    shukran sana sheikh wetu

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Tabarakallahu. Barakallahu Feek! 🙏

  • @husseinshaibu5239
    @husseinshaibu5239 2 місяці тому +5

    Jazakallahu kheir Al habib, Hili kama mtu hajafanya huweza kuona kama Masikhara lakini Allah kisha sema, ukifanya hivyi Allah atakupa kadhaa wa kadhaa n.k, Mie ni moja wa Watu ambao Allah alinifanyia mambo makubwa kabisa kwa Istighfar tu Sina Shaka na hilo.. Jenga Yaqini sasa kisha kaa chini utaona Maajabu yake..

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Barakallahu Feek ya Habiby. Nakubaliana nawe 100%. Maneno yako yanazidisha ladha katika mazungumzo haya. Kuwa na yaqeen ndio kufaulu. Allah (SWT) azidi kutupa mazuri duniani na akhera. Ameen! 👐

  • @zahramsangi3632
    @zahramsangi3632 2 місяці тому +3

    Maa Shaa Allwah…kwa faida hii uliyotupatia, Allwah akupe umri mrefu wenye manufaa hapa duniani na kesho akhera, na akuruzuku kwa kila unalo muomba bi-idhinilah In Shaa Allwah

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Ameen ya Rabb! Insha Allah. Allah (SWT) atupe mazuri hapa duniani na kesho akhera. Ameen!

  • @saidam.k213
    @saidam.k213 2 місяці тому +3

    MashaAllah ...Allah atufanye tuwe miongoni mwa wenye kumkumbuka na wenye kutubia kw wingi

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Tabarakallah! Ameen ya Rabbal 'Alameen! 👐

  • @hadijaismail3619
    @hadijaismail3619 Місяць тому +1

    Jazakallah heri,Allah akulipe heri duniani na akhera huna choyo na elimu yako

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 2 місяці тому +4

    Allahu akbar ❤❤❤

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Alhamdu Lillah! Shukran dadangu 🙏

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 місяці тому +3

    Shukran sheikh kwa ukumbusho
    Allah akuhifadhi

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Ameen ya Rabb! Afwan. Allah (SWT) atuwafiqie kheri zote. Ameen!

  • @fauziamussa381
    @fauziamussa381 2 місяці тому +2

    Aa ww ni kweli kabisa, jazaka Llahu kheir from Msa, baraka Llahu fiq

  • @AshuraKhamis-qv3ld
    @AshuraKhamis-qv3ld 2 місяці тому +2

    Shukran shukran shukran shukran 😢😢😢

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Afwan! Afwan! Afwan Sana. Barakillahu Feek 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed 2 місяці тому +2

    ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH Kheri sana.

  • @xhilingiibra3571
    @xhilingiibra3571 Місяць тому +1

    Mashaallah

  • @saumsaum712
    @saumsaum712 2 місяці тому +2

    Shukran jazeelan

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Waiyyaak Ukhtiyal Azeezah! Barakillahu Feek.

  • @ZubedaSorsa
    @ZubedaSorsa Місяць тому +1

    Shukran jazza yako Kwa Allah sheikh

  • @sangokipozi4611
    @sangokipozi4611 2 місяці тому +1

    Allahumma Ameen. Jazaak Allahul kheir

  • @user-ju1pl7rr8n
    @user-ju1pl7rr8n 2 місяці тому +1

    Aslm alkm ww.... Allah Kareem. Jazakallah kheir 🙏 Masha Allah!!!

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Allah Akramul Akrameen. Barakallahu Feek.

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 2 місяці тому +3

    Mashallah ❤️ ❤️ allsh atujaalie tuwe ni miongoni mwao

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому

      Tabarakallahu! Ameen ya Rabbal 'Alameen. Shukran sana.

  • @Dafetty
    @Dafetty Місяць тому +1

    Shukran sana sheikh

  • @bisharmohamed2275
    @bisharmohamed2275 2 місяці тому +1

    God bless you

  • @AsnatyMshamu
    @AsnatyMshamu Місяць тому +1

    Allah akuzidishie,nimekuelewa mno kama unagroup wattsap naomba kuingizwa ili nipate faida zaidi inshaallah

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  Місяць тому +1

      Ameen Ya Rabbal 'Alameen! La sina group. Insha Allah, nitaanzisha. Shukran! 🙏🤲

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv 2 місяці тому +1

    Ameen thumaanin

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Ya Rabb! Ya Rabb! Ya Rabb! Qabul! Shukran.

  • @nasraddinkadiir5115
    @nasraddinkadiir5115 2 місяці тому +1

    Wlh alhamdunillah ISTIGHFAR my change your life

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +3

      Masha Allah! May Allah (SWT) Give us Yaqeen about Qur'an so that we can apply in life 🤲🙏🙏🙏🙏🤲

  • @fatmamafazy8999
    @fatmamafazy8999 2 місяці тому +2

    Mashaallah mafunzo mazuri sana. Tafadhali kidogo harakisha katika kueleza. Shukran

    • @NO1LIKES2FAIL
      @NO1LIKES2FAIL 2 місяці тому

      Mshkuru Allah umepata hio elimu bure kabisa hata kama anaelezea taratibu …

  • @UmmuMunawarAliy
    @UmmuMunawarAliy 2 місяці тому +3

    Asalam alaikum waramtullah wabarakatuh. Ostaz jazakallahulghair

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Waiyyaak! Barakillah Feek! 👐🙏

  • @raidataty8502
    @raidataty8502 Місяць тому +2

    Shukran and Ameen for the last dua you made . I went through the comments and some people talk trash here may Allah guide please sheikh don’t take it personal wasamehe kwaajili ya Allah.
    Allah azidi kukuhifadh
    To be clear: is saying istighfar “ استغفرالله…?

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  Місяць тому +1

      Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. I understand that and I always guided by this Ayah 199 of Surah Al-A'raf:
      خُذِ ٱلْعَفْوَ وَأْمُرْ بِٱلْعُرْفِ وَأَعْرِضْ عَنِ ٱلْجَـٰهِلِينَ ١٩٩
      Meaning: Be gracious, enjoin what is right, and turn away from those who act ignorantly. May Allah (SWT) Bless us abundantly. Ameen! 🤲🤲🤲

  • @FIRDAUSAWADH
    @FIRDAUSAWADH 2 місяці тому

    Ameen yaraabil Alameen

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому

      Taqabbala Allah Minna wa minkum swalihal A'maal.

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 2 місяці тому +2

    MashaAllah shukraan sheikh

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 місяці тому +1

    Ma sha llah
    Shukran sheikh
    Allah akubariki

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Tabarakallah! Afwan. Allah (SWT) atuwafiqie kheri zote. Ameen!

  • @abdoulsissoko4855
    @abdoulsissoko4855 2 місяці тому +2

    Jazak'Allahu Khairan

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому

      Afwan. Barakallahu Feek ya Akhylkareem!

  • @HassanAboud-gh5re
    @HassanAboud-gh5re 2 місяці тому +1

    Mashallh mungu akuzidishie kheri Inshallah

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Tabarakallah! Ameen! Sote ya Rabb! 👐

  • @user-qv8uo3bc6o
    @user-qv8uo3bc6o 2 місяці тому +1

    Shukran jazaqa Allah khayra

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +2

      Waiyyaak. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🙏

    • @user-qv8uo3bc6o
      @user-qv8uo3bc6o Місяць тому +1

      @@mohamedalidini Aamin yarabbi laalamiin

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  Місяць тому +1

      @@user-qv8uo3bc6o Ya Rabb! Barakillahu Feek. 🤲🙏🙏🙏

    • @user-qv8uo3bc6o
      @user-qv8uo3bc6o Місяць тому

      @@mohamedalidini Aamin yarabbi laalamiin kwasote pia

  • @user-tw8qr3ns6r
    @user-tw8qr3ns6r 2 місяці тому +1

    استغفر الله العظيم

  • @aminaalidini1705
    @aminaalidini1705 2 місяці тому +2

    Mashaa Allah, shukran sheikh

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +2

      Tabarakallahu. Shukran Dadangu! 🙏

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 2 місяці тому +1

    Swadkta wallahi shukrani

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Barakillahu Feek ya Ukhtyal Azeezah!

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 місяці тому +1

    Shukran d

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Afwan. Allah (SWT) atuwafiqie kheri zote. Ameen!

  • @TatusuleimaniShauri
    @TatusuleimaniShauri Місяць тому +1

    Shehe Mimi kwanza nashukuru sana halafu ninashida Moja kubwa naomba msaada wako

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  Місяць тому +1

      Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Nakushukuru sana kuwa mfuasi mkubwa wa channel yangu. Allah (SWT) Akupe kheri zote. Naomba unielezee tatizo lako huenda Allah (SWT) Akatupa Tawfiq na tukaweza kulitatua.

    • @TatusuleimaniShauri
      @TatusuleimaniShauri Місяць тому +1

      Asante nashukuru nimekaribia naomba Dua zako maana nimekua mzito wa kufanya mambo yaheri

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  Місяць тому +1

      @@TatusuleimaniShauri Allah (SWT) Akufanyie wepesi katika mambo yako yote. Ameen 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @letuslearn7548
    @letuslearn7548 2 місяці тому +3

    اللهم صل علي محمد و علي آل محمد كما صليت علي إبراهيم و علي آل إبراهيم إنك حميد مجيد و بارك علي محمد و علي آل محمد كما باركت علي إبراهيم و علي آل إبراهيم إنك حميد مجيد بقدر عظمة الله و قدر جلال الله و كماله عدد الشفع والوتر وكلمات الله التامات الطيبات المباركات

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      آمين يا رب العالمين. بارك الله فيك وجزاك الله خير الجزاء.

  • @HapsaHaji-bg5jk
    @HapsaHaji-bg5jk 2 місяці тому +1

    shukran

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому

      Afwan. May Allah (SWT) Bless you abundantly. Ameen.

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 2 місяці тому +1

    Amiin yaarabi

  • @anyeresa928
    @anyeresa928 2 місяці тому +1

    Shukran sheikh ..dua ya kuondoa hasad tafadhali ukipata mda inshaaAllah

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Afwan. Insha Allah, nitakutumia hiyo Dua. Shukran.

    • @anyeresa928
      @anyeresa928 2 місяці тому +1

      Ntashukuru Allah akuzidishie elm na kutuletea faida inshaaAllah

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      @@anyeresa928 Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Insha Allah utasoma dua hii kila siku baada ya swala ya Subhi na Ishaa mara moja moja. Kwa uwezo wa Allah, Allah (SWT) atakuondolea na kukukinga hasadi ya aina yoyote. Na hii ndio Dua:
      بِسْمِ اللهِ أَرْقِيْ نَفْسِيْ مِنْ كُلِّ شَيْءٍ يُؤْذِيْنِيْ، وَمِنْ شَرِّ كُلِّ نَفْسٍ أَوْ عَيْنٍ حَاسِدٍ، بِسْمِ اللهِ أَرْقِيْ نَفْسِيْ اللهُ يَشْفِيْنِيْ، مَا شَاءَ اللهُ كَانَ، وَمَا لَمْ يَشَأْ لَمْ يَكُنْ، وَلَا حَوْلَ وَلَا قُوَّةَ إِلَّا بِاللِه، أَسْأَلُ اللهَ الْعَظِيْمَ رَبَّ الْعَرْشِ الْعَظِيْمِ أَنْ يَشْفِيَنِيْ وَيَشْفِيَ مَرْضَى الْـمُسْلِمِيْنَ .اللَّهُمَّ احْفَظْنِيْ يَا خَيْرَ حَافِظٍ مِنْ كُلِّ شَرٍّ، وَمِنْ كُلِّ حَسَدٍ وَعَيْنٍ، وَاجْعَلْنِيْ فِي ضَمَانِكَ وَحِرْزِكَ وَأَمَانِكَ يَا أَرْحَمَ الرَّاحِمِيْنَ. اللَّهُمَّ اصْرِفْ عَنِّي كُلَّ مَنْ أَرَادَ بِيْ شَرّاً، وَأَشْغِلْهُمْ فِي نُفُوْسِهِمْ، وَكُفَّ أَيْدِيْهِمْ. اللَّهُمَّ إِنِّي أَعْلَمُ أَنَّهُ لَمْ يُصِبْنِيْ إِلَّا مَا كَتَبْتَهُ عَلَيَّ، وَإِنِّيْ لَا أَخَافُ أَحَداً مِنْ خَلْقِكَ مَا دُمْتَ أَنْتَ مَعِيْ، فَاللَّهُمَّ احْفَظْنِيْ وَاحْرُسْنِيْ. اللَّهُمَّ إِنِّيْ وَكَّلْتُكَ أَمْرِيْ، وَأَنْتَ حَسْبِيْ وَنِعْمَ الْوَكِيْلِ، اللَّهُمَّ أَخْرِجْ كُلَّ دَاءٍ أَصَابَ جَسَدِيْ، وَرَدِّ كَيْدَ كُلِّ عَيْنٍ نَظَرَتْ فِي رِزْقِيْ، وَاكْفِنِيْ شَرَّ خَلْقِكَ الْـحَاسِدِيْنَ. اللَّهُمَّ لَا تَجْعَلْ نَفْسِيْ حَاقِدَةً حَاسِدَةً، وَارْزُقْنِيْ الرِّضَا وَالْقَنَاعَةِ، وَلَا تَجْعَلْنِيْ أَمَدَّ بَصَرِيْ إِلَى غَيْرِيْ، وَرَضِّنِيْ بِمَا رَزَقَتَنِيْ يَا أَرْحَمَ الرَّاحِمِيْنَ. اللَّهُمَّ بَارِكْ لِي فِيْمَا رَزَقْتَنِيْ، وَاصْرِفْ عَنّي شَرَّ الْأَشْرَارِ، وَكَيْدَ الْفُجَّارِ، وَطَوَارِقَ اللَّيْلِ وَالنَّهَارِ. اللَّهُمَّ احْرُسْنِيْ بِعَيْنِكَ الَّتِي لَا تَنَامُ، وَاكْلَأْنِيْ بِمُلْكِكَ الَّذِيْ لَا يُضَامُ، وَاحْفَظْنٍيْ يَا حَيُّ يَا قَيُّوْمُ. اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ بِكُلِّ اسْمٍ هُوَ لَكَ أَنْ تَصْرِفَ عَنِّيْ كُلَّ عَيْنٍ، وَتُعَافِيْنِيْ مِنْ كُلِّ حَسَدٍ . وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وسلم والحمد الله رب العالمين.

  • @user-js2gt2bf6n
    @user-js2gt2bf6n 2 місяці тому +1

    Aminaana

  • @AshuraKhamis-qv3ld
    @AshuraKhamis-qv3ld 2 місяці тому +1

    Masha Allah tabarakallah ❤️🫰🏾

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Tabarakallah. Barakillahu Feek 🙏🙏🙏

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 2 місяці тому +1

    MashaAllah shukran ngoja ni subscribe nizid kupata faida

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Tabarakallah. Bila shaka! Faida utazipata insha Allah. Karibu sana dadangu mpendwa.🙏

  • @MayiNtunzwenimana
    @MayiNtunzwenimana 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому

      Shukran Sana 🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏

  • @fauziamussa381
    @fauziamussa381 2 місяці тому +1

    Aa ww ni kweli hta mimi istighfr na S. A nnby iminipeleka umra Alhamduli Llah jazaka Llahu kheir

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Masha Allah! Tabarakallah! Allah (SWT) Atuafiqie kheri zote. Barakillahu Feek!

    • @herryhabibu9258
      @herryhabibu9258 2 місяці тому +1

      Ameen

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      @@herryhabibu9258 Ya Rabbal 'Alameen. Shukran.

  • @zenasalum2231
    @zenasalum2231 2 місяці тому +2

    Shukran ya sheikh

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Waiyyaak. Allah (SWT) atupe kheri zote. Ameen! 👐

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 2 місяці тому +1

    Hio ALSTIGHFAAR ni dua upi ama unaisoma vp,,,,mwenye kuifaham namba anijuze inshaallah

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Shukran kwa swali lako. Kinachohitajika kufanya ni kufuata yafuatayo:
      Utaratibu wake:
       Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu
       Kariri Al-Istighfar kwa matamshi yoyote yalosahihi kwa mujibu wa Qur’an na Hadith, kama Allah (SWT) anavyotufundisha ndani ya Qur’an.

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 місяці тому +4

    The miss understood religion

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +2

      Allah Akbar! Allah (SWT) is Great! Kindly. See my comments below 👇. Barakallahu Feek ya Habiby!

    • @user-oj1yp1tt1t
      @user-oj1yp1tt1t 2 місяці тому +1

      Alhamdulillah sheikh nayapenda mawaidha yako na I ivi kwa Sasa naanza kuyaona mabadiliko kwa duaa hiz na adhkar namuomba mungu mwingi wa Rehema akujalie afia nzuri na mafanikio mazuri fii dunia wal akhera 🙏🇷🇼mashallah tabaraka Allah 🙏

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      @@user-oj1yp1tt1t Ameen ya Rabbal 'Alameen. Sote Insha Allah Taala. Shukran.

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +1

      @@user-oj1yp1tt1t Ameen! Ameen! Thumma Ameen! Barakillahu Feek!

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 місяці тому +6

    Quran haikuja kuwatafutia watu utajiri hebu ifike wakati hii dini tuwaachie wanaojua hii dini watufundishe haya ukishajuwa tajiri ndio inakuwa nini?

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +27

      Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh. Kwanza nakushukuru kwa maoni yako na tunayaheshimu sana. Ila ni kwamba maneno yako yatufahamisha kiwango chako cha elimu. Nadhani ni busara kubwa kutorevusha ujumbe wangu kwako. Kwa ufupi Qur'an imeletwa kwa manufaa ya wanadamu. Nawe una khiyari ya kunufaika au la. Usiwe mbishi kwa mambo yalobainishwa wazi ndani ya Qur'an na wanavyuoni wakubwa wakayathibitisha na kunufaika. Qur'an inatutaka tujue, tuizingatie na kufwata. Na hizo ayah ziko wazi. Allah (SWT) ni mjuzi wa yote! Shukran sana Kakangu na nakupenda kwa ajili ya Allah (SWT).

    • @FayeezAlbahassaney
      @FayeezAlbahassaney 2 місяці тому +12

      Acha chuki kaka hiy ni sifa ya hasid Allah akulind my lecturer

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 місяці тому +3

      @@FayeezAlbahassaney Ameen ya Rabb. Shukran Habib!

    • @FayeezAlbahassaney
      @FayeezAlbahassaney 2 місяці тому +8

      Angaliya kaka ktk surat Nuh aya ya 10 -12 inaelz waz waz inasema aya 10 “ Nikisema ombeni msamaha kwa mola wenu mlezi,hakika yeye ni mwingi wa kusamehe. Aya 11 “ Atakuletea mvua inyeshe mfululizo. Yan kwa man ya kwamba mvua iwe rutuba ktk ardh tuwez kupat mazao ambay sisi ni chakula kwet. Aya ya 12 Atakupeni mali mali, na wana (watoto) na atakupeni mabustani na atakufanyieni mit na pia nakuongzy aya ya 13 Mna nini hamuweki heshima ya M/mung? Pmj na Aya ya 14 Na hali yeye kakumbeni darja baada ya darja

    • @FayeezAlbahassaney
      @FayeezAlbahassaney 2 місяці тому +3

      @@mohamedalidini Allahumma amin Yarabby:InshaAllah my lecturer