Bismillah Rahman Rahim Allahuma inni as aluka bismika Al azwami almaktubi min Nur wajhika Al aalal muabat aldaim albaki almughalat fil kalbi nabiykaa wa rasulika Muhammad wa as aluka bismika Al azwami lilwahid biwahadat bil ahadat almutaalii an wahadat kamii walwadad al mukadas alkul ahad wabihaki Bismillah rahman rahimu kulhuwahu ahad allahu swamad lamuyalide walamu yulade walamu yakula hukufu wan ahad antu swaliya alasaydina Muhammad swalatan tuswabitu fill kalbii yail imana yatuhafziinii alkur anaa watuhafiminii bil ayat wataftahil biha nura janat wanura naimuu wanura nazwar. Ila wajihika azwimu waalaalihi waaswabihi wasalamu
Jazaka Llahu L-khair sheikh!Allah akujaalie akulipe malipo mema hapa duniani na kesho akhenaten akakuingize katika people ya FIRDAUS KWENYE DARAJA YA MATABII TABIINA.Na sisi uliotuelimisha Allah atuwezeshe kuifanyia kazi katika maisha yetu yote ! AAMYN!
Jazakallahul-khayr al_akhy unatufunua macho mengi tumeyajua kupitia hii channel ictoshe pia umekuwa unatujibu maswali yetu tunayokuuliza tft na channel nyngn mungu akulipe kheri zaid na zaid
Shukran sana shaykh kwakwel tunafaidika sana na mafunzo yako Allah akupe bora ya dunia na akhera auepushe na kila shari tunazozijua na tusizozijua za dunia na akhera akufungulie milango ya kher Amin
This is an english translation: In the name of Allah, the Most Gracious, the Most Merciful: O Allah, I ask You by Your greatest name, written from the light of Your highest, eternal, everlasting, everlasting, immortal face, in the heart of Your Prophet and Messenger Muhammad, and I ask You by Your greatest name, the One in the unity of the One, the Exalted above the unity of quantity and number, the Holy above all One, and by the right of In the name of God, the Most Gracious, the Most Merciful: Say, He is God, the One (1) God, the Eternal Refuge (2) He neither begets nor is born (3) And there is none comparable to Him (4): That you send blessings upon our master Muhammad, the secret of the life of existence, and the greatest cause of all that exists, a prayer that will establish faith in my heart, and will make me memorize the Qur’an, And make me understand the verses from it, and open for me through it the light of the gardens, the light of bliss, and the light of looking at Your great face, and upon his family and companions and peace.
@@mohamedalidini Masha Allah shukran sheikh itakua hukuni elewa vizuri niliomba kutu andikia Dua hiyo kwama ndishi ambayo siya kiarabu lakin na kushukuru jitihada zako Allah akuweke kwenye munzan wamema leo na kesho Akhera
@@UwumuremyiKhurusumu Sote Insha Allah! Elimu yatoka kwa Allah (SWT). Ni wajibu wetu kuwaelimisha wengine ili wafaidike. Mwenzako akifaidika Allah (SWT) Anakulipa malipo yasio na kiwango.
As salam alaikum wa rahmatul Allah wa barakatuh kwanza niseme Jazzaka Allah Khair kwa kile unaco kifundisha hakika twaifidika saana mie nilipelea niweze kufaham vitabo mnavyo tumia kutokana na hili fundisho ili nasi tuweze kufaidika zaidi . Shukran
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Vitabu ninavyotumia kufanya utafiti na kutoa mafunzi ni vingi. Insha Allah, nitakutumia link ili uweze kupitia baadhi yake. Afwan.
mashallah ila mie nashauri editing sifikirii kama ilikua na haja ya kuweka picha za wanawake hata kama wamejistiri,editing kwa ujumla wake haikua na haja kwa jambo la imani na kheri kama hili,sisi tunahitaji elimu tungelitazama tu hata bila ya kuweka vitu vyengne, kama nimekosea mtanisamehe
Assalama alaykum warahmatullah wa barakat sheikh hio swahala ukiandika kwa ajili ya kubandika kat8ka ukuta wa biashar unaandik kma ulivoandik ww hapo aya ya sura unawek na hzo namba
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Dua kwa Kiswahili ndio hii: Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu Wewe ni Muhammad, nakuomba kwa jina lako, uliye peke yake, ambaye ndiye aliye sawa, na yule aliye sawa. Ambaye ni Mmoja, Mwingi wa Rehema: Sema: Yeye ni Mungu, Mmoja (1) Mungu, Milele, Milele (2) Hakuzaa wala hakuzaliwa (3) na hakuna anayelingana Naye (1) 4)1: Kutuma baraka kwa Bwana Muhammad ni siri ya maisha ya kuishi, na sababu kubwa zaidi ya yote yaliyopo, sala ambayo imebaki imara katika moyo wangu, na unifundishe Qur'an. nifahamishe Aya zake, na unifungulie nuru ya Pepo, nuru ya neema, na nuru ya kuutazama uso wako mkubwa Na amani iwe juu ya jamaa zake na maswahaba zake.
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Kindly find the below translation and transliteration: Bism allh alrrahman alrrahimi: alllahumm 'inni 'as'aluk biasmik al'aezam almaktub min nur wajhik al'aela almuabbadi, alddayim albaqi almukhalladi, fi qalb nabiik warasulik muhammadin, wa'as'aluk biasmik al'aezam alwahid biwahdat al'ahadi, almutaeali ean wahdat alkamm waleadadi, almuqaddas ean kull 'ahadin, wabihaqq bism allh alrrahman alrrahimi: uٱ qul hu ٱlllah 'ahad (1) ٱlllah ٱlssamad (2) lam yalid walam yulad (3) walam yakun llahuۥ kufuan 'ahad (4) a: 'an tusalli eala sayidina muhammad sirr hayat alwujudi, walssabab al'aezam likull mawjudin, salat antuthabbit fi qalbi al'iimani, watuhaffizuni alqurana, watufahhimuni minh alayati, wataftah li biha nur aljannati, wanur alnnaeimi, wanur alnnazar 'iila wajhik aleazimi, waeala alih wasahbih wasallim. In the name of Allah, the Most Gracious, the Most Merciful: O Allah, I ask You by Your greatest name, written from the light of Your highest, eternal, everlasting, everlasting, immortal face, in the heart of Your Prophet and Messenger Muhammad, and I ask You by Your greatest name, the One in the unity of the One, the Exalted above the unity of quantity and number, the Holy above all One, and by the right of In the name of God, the Most Gracious, the Most Merciful: Say, He is God, the One (1) God, the Eternal Refuge (2) He neither begets nor is born (3) And there is none comparable to Him (4): That you send blessings upon our master Muhammad, the secret of the life of existence, and the greatest cause of all that exists, a prayer that will establish faith in my heart, and will make me memorize the Qur’an, And make me understand the verses from it, and open for me through it the light of the gardens, the light of bliss, and the light of looking at Your great face, and upon his family and companions and peace.
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Hii Swala utaisoma baada ya kuswali rakaa mbili za haja kwa nia yako. Hili swali lako la kejeli. Miye nimefunzwa adabu na siwezi kukujibu vibaya. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲
Shekhe wangu sina hakika kama clip wakati wakuiweka ndio imecrop haya maneno au ni kwa vipi, lakini nikijaribu kusikiliza unavyotusomea na nikisoma maneno ya kiarabu yanayotokea chini yake, ulipofika kwenye ANTUSWALLIYA, 3ALAA SAYYIDINA MUHAMMAD, maneno yanayofata kutokana na maandishi ya kiarabu yanayotokea chini, yalitakiwa yawe ni ****SIRRI HAYATIL WUJUUDI, WASSABABIL A3DHWAMI LIKULLI MAUJUUD** kisha ndio ije SWALAATAN TUTHABBITU.... lakini shekhe umeyaskip hayo imekuja moja kwa moja kuendelea na SWALAATAN TUTHABBITU..... tunaomba irekebishwe tafadhwali. Wengi tunashida lukuki tunatamani tufaidike na dua mujarrab kama hizi, hivyo nakhofia wasiojua kusoma maandishi ya kiarabu wataisoma dua kwa mapungufu. Niwie radhi kwa kukosoa.
@@jamilashabani8580 Ni kweli kabisa ikiwa utatumia Google Translator kutafsiri. Lakini ikitafsiriwa na mtaalamu atakupa tafsiri sahihi. Shukran sana kwa maoni yako.
Asalam aleikum?kama mimi nilikua mgojwa biashara kila kitu changu kimeharibika naendelea na suratl baqara siku ya tano nashukuru nafuu yaingia kidogo kidogo naweza kuandika swala ya mtume manake sina ofisi nafanyia nyumbani nikae nayo kipochini nanyengine niiweke kabaini kwa ndani?
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Waweza andika na kuweka kipotini na kuiweka nyumbani kama unauza bidhaa zako mitandaoni. Pia ukiisoma kila siku mara moja ni sawa.
Swala za Mtume alayhissalam amezifundisha Mtume mwenyewe ktk hadithi tofauti tofauti sjui hadithi ilokuj kuelezea swala hii imesimuliwa na nani na imepokelewa na nani
AsalamuAleikum sheikh hini swala ya mtume nawaza kusoma kwachombo kikubwa tukanywa family sote nikatumia kusoma kwa Mara 7 suratul fatiha n Swala 7 au kila mtu yake? Na nina suala plz wazijuwa aya za kuunguza majini kwenye Quran nimeskia kuwa Quran mzima ina aya 7 plz ikiwa wazijuwa plz nijulishe shukran.
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Kuhusu swali la kwanza ni ndio unaweza kufanya hivyo kwa nia yako na Allah (SWT) Atakutimizia kwa nia yako. Kuhusu swali la pili, kwa hakika najua aya moja pekee. Nayo ni Ayat Al-Kursy ukiisoma mara 99. Insha Allah, nitaangalia kwenye vitabu na nikizipata nitakufahamisha. Afwan.
Shukran sana Sheikh Allah azidi kukulinda
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Waiyyaak! 🤲🤲🤲🤲🤲
Swala ndio hii:
بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: اللَّهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْـمَكْتُوْبُ مِنْ نُوْرِ وَجْهِكَ الْأَعْلى الْـمُؤَبَّدِ، الدَّائِمِ الْبَاقِيْ الْـمُخَلَّدِ، فِيْ قَلْبِ نَبِيِّكَ وَرَسُوْلِكَ مُحَمَّدٍ، وَأَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْوَاحِدِ بِوَحْدَةِ الْأَحَدِ، الْـمُتَعَالِيْ عَنْ وَحْدَةِ الْكَمِّ وَالْعَدَدِ، الْـمُقَدَّسِ عَنْ كُلِّ أَحَدٍ، وَبِحَقِّ بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: ﱡﭐ قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ (1) ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ (2) لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ (3) وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌ (4)ﱠ: أَنْ تُصَلِّيَ عَلى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ سِرِّ حَيَاةِ الْوُجُوْدِ، وَالسَّبَبِ الْأَعْظَمِ لِكُلِّ مَوْجُوْدٍ، صَلَاة ًتُثَبِّتُ فِيْ قَلْبِيَ الْإِيْمَانِ، وَتُحَفِّظُنِي الْقُرْآنَ، وَتُفَهِّمُنِيْ مِنْهُ الْآيَاتِ، وَتَفْتَحُ لِيْ بِهَا نُوْرَ الْـجَنَّاتِ، وَنُوْرَ النَّعِيْمِ، وَنُوْرَ النَّظَرِ إِلى وَجْهِكَ الْعَظِيْمِ، وَعَلى آلِهِ وَصَحْبِهِ وَسَلِّمْ.
@@mohamedalidini Allah akubariki
@@RadjabuNiyonkuru-bf9bq Ameen! Sote Ya Rabb! 🤲🤲🤲🤲🤲
Mashaalaah Allah akupe utakalo duniani na akhera.
Jina la swala hii inaitwaje?
@@twarisyshaby4890 Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shekhe Allah Akulipe kheri alafushekhe uko nchi gani?
Bismillah Rahman Rahim
Allahuma inni as aluka bismika Al azwami almaktubi min Nur wajhika Al aalal muabat aldaim albaki almughalat fil kalbi nabiykaa wa rasulika Muhammad wa as aluka bismika Al azwami lilwahid biwahadat bil ahadat almutaalii an wahadat kamii walwadad al mukadas alkul ahad wabihaki Bismillah rahman rahimu kulhuwahu ahad allahu swamad lamuyalide walamu yulade walamu yakula hukufu wan ahad antu swaliya alasaydina Muhammad swalatan tuswabitu fill kalbii yail imana yatuhafziinii alkur anaa watuhafiminii bil ayat wataftahil biha nura janat wanura naimuu wanura nazwar. Ila wajihika azwimu waalaalihi waaswabihi wasalamu
Shukran Sana kwa usaidizi wako. 🙏
@@rashidabdulrahman6784 sijakuelewa hii ni Dua ya nin
Maana yake kwa kiswahili
@@johanyoka5231 Katika comments kuna msamaria mwema ameitafsiri vizuri. Naomba uiangalie. Afwan
Shuqraan sanaa
Mungu akujarie her na mm pia na waislam wote amin,🙏🙏🙏🙏
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Nawe pia! 🤲🤲🤲🤲🤲
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh shekhe Allah akulipe kheri Ila ni naomba utuandikie kwenye comment hiyo swala ya mtume
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Swala ndio hii:
بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: اللَّهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْـمَكْتُوْبُ مِنْ نُوْرِ وَجْهِكَ الْأَعْلى الْـمُؤَبَّدِ، الدَّائِمِ الْبَاقِيْ الْـمُخَلَّدِ، فِيْ قَلْبِ نَبِيِّكَ وَرَسُوْلِكَ مُحَمَّدٍ، وَأَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْوَاحِدِ بِوَحْدَةِ الْأَحَدِ، الْـمُتَعَالِيْ عَنْ وَحْدَةِ الْكَمِّ وَالْعَدَدِ، الْـمُقَدَّسِ عَنْ كُلِّ أَحَدٍ، وَبِحَقِّ بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: ﱡﭐ قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ (1) ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ (2) لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ (3) وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌ (4)ﱠ: أَنْ تُصَلِّيَ عَلى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ سِرِّ حَيَاةِ الْوُجُوْدِ، وَالسَّبَبِ الْأَعْظَمِ لِكُلِّ مَوْجُوْدٍ، صَلَاة ًتُثَبِّتُ فِيْ قَلْبِيَ الْإِيْمَانِ، وَتُحَفِّظُنِي الْقُرْآنَ، وَتُفَهِّمُنِيْ مِنْهُ الْآيَاتِ، وَتَفْتَحُ لِيْ بِهَا نُوْرَ الْـجَنَّاتِ، وَنُوْرَ النَّعِيْمِ، وَنُوْرَ النَّظَرِ إِلى وَجْهِكَ الْعَظِيْمِ، وَعَلى آلِهِ وَصَحْبِهِ وَسَلِّمْ.
Allah akutilie barka katika umri wako uendelee kutuelimisha ! امين
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Jazaka allah kheir inshallah kwa kutuelimisha shekhe
Waiyyaak. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Sheikh shukran naomba uniandikie Allah skulinde tunakupenda kwa ajili ya Allah
Swala ndio hii:
بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: اللَّهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْـمَكْتُوْبُ مِنْ نُوْرِ وَجْهِكَ الْأَعْلى الْـمُؤَبَّدِ، الدَّائِمِ الْبَاقِيْ الْـمُخَلَّدِ، فِيْ قَلْبِ نَبِيِّكَ وَرَسُوْلِكَ مُحَمَّدٍ، وَأَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْوَاحِدِ بِوَحْدَةِ الْأَحَدِ، الْـمُتَعَالِيْ عَنْ وَحْدَةِ الْكَمِّ وَالْعَدَدِ، الْـمُقَدَّسِ عَنْ كُلِّ أَحَدٍ، وَبِحَقِّ بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: ﱡﭐ قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ (1) ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ (2) لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ (3) وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌ (4)ﱠ: أَنْ تُصَلِّيَ عَلى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ سِرِّ حَيَاةِ الْوُجُوْدِ، وَالسَّبَبِ الْأَعْظَمِ لِكُلِّ مَوْجُوْدٍ، صَلَاة ًتُثَبِّتُ فِيْ قَلْبِيَ الْإِيْمَانِ، وَتُحَفِّظُنِي الْقُرْآنَ، وَتُفَهِّمُنِيْ مِنْهُ الْآيَاتِ، وَتَفْتَحُ لِيْ بِهَا نُوْرَ الْـجَنَّاتِ، وَنُوْرَ النَّعِيْمِ، وَنُوْرَ النَّظَرِ إِلى وَجْهِكَ الْعَظِيْمِ، وَعَلى آلِهِ وَصَحْبِهِ وَسَلِّمْ.
MashaAllah! JazakAllah kheyr
Tabarakallah! Waiyyaak! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Mashallah.JazakAllah kheyr
Waiyyaak! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Jazaka Llahu L-khair sheikh!Allah akujaalie akulipe malipo mema hapa duniani na kesho akhenaten akakuingize katika people ya FIRDAUS KWENYE DARAJA YA MATABII TABIINA.Na sisi uliotuelimisha Allah atuwezeshe kuifanyia kazi katika maisha yetu yote ! AAMYN!
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Masha Allah hem tuchangamkieni hizi nyirad kwani malipo yake ni hapa Dunian nakesho akhera
Tabarakallah! Bila shaka. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Allah akulipe kila la kher shukran
Ameen Ya Rabbal 'Alameen. Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
جزاك خير انشاء الله
Waiyyaak!
Mashaallah jazakaallahu kher
Tabarakallah! Waiyyaak! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran sana kiongozi
Nakupenda sanaa kwa ajili ya Allah
Afwan! Miye kadhalika. Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran sana sheikh wetu
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Jazakallah kheir
Waiyyaak! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Asalam alaikum warahmatulahi wa barakatuh....shehe tupe zingine faida za hi swala..Shukran
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Insha Allah! Shukran.
Masha Allah 🙏🙏🙏
Tabarakallah! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Jazakallahul-khayr al_akhy unatufunua macho mengi tumeyajua kupitia hii channel ictoshe pia umekuwa unatujibu maswali yetu tunayokuuliza tft na channel nyngn mungu akulipe kheri zaid na zaid
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Jazakallahu kheri
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran sana shaykh kwakwel tunafaidika sana na mafunzo yako Allah akupe bora ya dunia na akhera auepushe na kila shari tunazozijua na tusizozijua za dunia na akhera akufungulie milango ya kher
Amin
Ameen! Sote Ya Rabb! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran saana
Waiyyaak! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
BarakaAllah fikum sheikh Mungu Akupe maisha Marefu yenye Mafanikio ,barka , Na Amani
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Mashaallah maalim asante sana
Tabarakallah! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Asm shekhe tunashukuru alhamdullila zidi kutusaidia ..
Www. Masha Allah! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Jazaka llahu kheir Allah akuzidishie ilmu na khri za duniani na akhera Amin.
Ameen Ya Rabbal 'Alameen. Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
M.mungu akubariki.
Na atutakabalie dua zetu ishaallah.
Amiin yarrabillaalamiin 🙏
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Eu peço Allah abençoē sempre você ❤❤❤
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh Shekh wetu tuandikie swala hio
Waalaikumussalm Warahmatullah Wabarakatuh. Swala ndio hii:
بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: اللَّهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْـمَكْتُوْبُ مِنْ نُوْرِ وَجْهِكَ الْأَعْلى الْـمُؤَبَّدِ، الدَّائِمِ الْبَاقِيْ الْـمُخَلَّدِ، فِيْ قَلْبِ نَبِيِّكَ وَرَسُوْلِكَ مُحَمَّدٍ، وَأَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْوَاحِدِ بِوَحْدَةِ الْأَحَدِ، الْـمُتَعَالِيْ عَنْ وَحْدَةِ الْكَمِّ وَالْعَدَدِ، الْـمُقَدَّسِ عَنْ كُلِّ أَحَدٍ، وَبِحَقِّ بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: ﱡﭐ قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ (1) ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ (2) لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ (3) وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌ (4)ﱠ: أَنْ تُصَلِّيَ عَلى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ سِرِّ حَيَاةِ الْوُجُوْدِ، وَالسَّبَبِ الْأَعْظَمِ لِكُلِّ مَوْجُوْدٍ، صَلَاة ًتُثَبِّتُ فِيْ قَلْبِيَ الْإِيْمَانِ، وَتُحَفِّظُنِي الْقُرْآنَ، وَتُفَهِّمُنِيْ مِنْهُ الْآيَاتِ، وَتَفْتَحُ لِيْ بِهَا نُوْرَ الْـجَنَّاتِ، وَنُوْرَ النَّعِيْمِ، وَنُوْرَ النَّظَرِ إِلى وَجْهِكَ الْعَظِيْمِ، وَعَلى آلِهِ وَصَحْبِهِ وَسَلِّمْ.
Shukran jazakallah kheir sheikh samahan twandikiya kwakizungu tuweze patafaida
This is an english translation:
In the name of Allah, the Most Gracious, the Most Merciful: O Allah, I ask You by Your greatest name, written from the light of Your highest, eternal, everlasting, everlasting, immortal face, in the heart of Your Prophet and Messenger Muhammad, and I ask You by Your greatest name, the One in the unity of the One, the Exalted above the unity of quantity and number, the Holy above all One, and by the right of In the name of God, the Most Gracious, the Most Merciful: Say, He is God, the One (1) God, the Eternal Refuge (2) He neither begets nor is born (3) And there is none comparable to Him (4): That you send blessings upon our master Muhammad, the secret of the life of existence, and the greatest cause of all that exists, a prayer that will establish faith in my heart, and will make me memorize the Qur’an, And make me understand the verses from it, and open for me through it the light of the gardens, the light of bliss, and the light of looking at Your great face, and upon his family and companions and peace.
@@mohamedalidini Masha Allah shukran sheikh itakua hukuni elewa vizuri niliomba kutu andikia Dua hiyo kwama ndishi ambayo siya kiarabu lakin na kushukuru jitihada zako Allah akuweke kwenye munzan wamema leo na kesho Akhera
@@UwumuremyiKhurusumu Kwa maandishi ya herufi za Kinzungu ndio hii: Bism allh alrrahman alrrahim: alllahumm 'inni 'as'aluk biasmik al'aezam almaktub min nur wajhik al'aela almuabbadi, alddayim albaqi almukhalladi, fi qalb nabiik warasulik muhammadin, wa'as'aluk biasmik al'aezam alwahid biwahdat al'ahadi, almutaeali ean wahdat alkamm waleadadi, almuqaddas ean kull 'ahadin, wabihaqq bism allh alrrahman alrrahimi: uٱ qul hu ٱlllah 'ahad (1) ٱlllah ٱlssamad (2) lam yalid walam yulad (3) walam yakun llahuۥ kufuan 'ahad (4) a: 'an tusalli eala sayidina muhammad sirr hayat alwujudi, walssabab al'aezam likull mawjudin, salat antuthabbit fi qalbi al'iimani, watuhaffizuni alqurana, watufahhimuni minh alayati, wataftah li biha nur aljannati, wanur alnnaeimi, wanur alnnazar 'iila wajhik aleazimi, waeala alih wasahbih wasallim.
@@mohamedalidini Naam Alhamdulillah shukran kwakujitolea Allah akupe baraka
@@UwumuremyiKhurusumu Sote Insha Allah! Elimu yatoka kwa Allah (SWT). Ni wajibu wetu kuwaelimisha wengine ili wafaidike. Mwenzako akifaidika Allah (SWT) Anakulipa malipo yasio na kiwango.
Assalamu alaikum sheikh wangu.shukran san . Allaah akuzidishie ilmu na barka akulipe kila la kheri akupe umri mrefu weny kheri amiin yaarabby
Ameen
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Nawe pia. 🤲🤲🤲🤲🤲
Amiin yaarabby
Shukran san
@@MasoudAlsaify-bc2qk Ya Rabbal ' Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukrani sheh always akupe umli mlefu,mm cjaelewa swalatu alanabiii ni hiii ,Allha hummaswali alamuhammadi au kuna nyingine? 😢
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Unaweza mswalia Mtume (SAW) kwa lafudhi tofauti bora liwe ndani ya mizani ya Kisheria ya Uislamu. Afwan.
As salam alaikum wa rahmatul Allah wa barakatuh kwanza niseme Jazzaka Allah Khair kwa kile unaco kifundisha hakika twaifidika saana mie nilipelea niweze kufaham vitabo mnavyo tumia kutokana na hili fundisho ili nasi tuweze kufaidika zaidi .
Shukran
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Vitabu ninavyotumia kufanya utafiti na kutoa mafunzi ni vingi. Insha Allah, nitakutumia link ili uweze kupitia baadhi yake. Afwan.
mashallah ila mie nashauri editing sifikirii kama ilikua na haja ya kuweka picha za wanawake hata kama wamejistiri,editing kwa ujumla wake haikua na haja kwa jambo la imani na kheri kama hili,sisi tunahitaji elimu tungelitazama tu hata bila ya kuweka vitu vyengne, kama nimekosea mtanisamehe
Sawa Alhabib. Jazakallahu kheiran.
@@mohamedalidini وايّاك علي هذا العلم والفوائد،
@@mohamedalidini وإياك على هذه الفوائد، العلم
@@ahmedmwalim4200 Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
7 or 100 any time
It depends on the ways of applying this Dua. All these ways are mentioned in the video.
Shukran shekh
Karibu sana. Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@@mohamedalidini amiin
@@mohamedalidini shukran
@@Catherine-mh8sw Ya Rabbal 'Alameen!
@@Catherine-mh8sw Afwan
Jazaka llah kheir Allah akulipe mema Inshaallah
Ameen Ya Rabbal 'Alameen. Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Assalama alaykum warahmatullah wa barakat sheikh hio swahala ukiandika kwa ajili ya kubandika kat8ka ukuta wa biashar unaandik kma ulivoandik ww hapo aya ya sura unawek na hzo namba
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Unaweza andika namba za ayah au ukaacha haina shida. Afwan.
Aslaam alaykum.
Ni vizuri huzo dua zikaandikwa ili puzipate na kuzifanyia kazi inshaAllah. Shukran.
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Dua ndio hii:
بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: اللَّهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْـمَكْتُوْبُ مِنْ نُوْرِ وَجْهِكَ الْأَعْلى الْـمُؤَبَّدِ، الدَّائِمِ الْبَاقِيْ الْـمُخَلَّدِ، فِيْ قَلْبِ نَبِيِّكَ وَرَسُوْلِكَ مُحَمَّدٍ، وَأَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْوَاحِدِ بِوَحْدَةِ الْأَحَدِ، الْـمُتَعَالِيْ عَنْ وَحْدَةِ الْكَمِّ وَالْعَدَدِ، الْـمُقَدَّسِ عَنْ كُلِّ أَحَدٍ، وَبِحَقِّ بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: ﱡﭐ قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ (1) ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ (2) لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ (3) وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌ (4)ﱠ: أَنْ تُصَلِّيَ عَلى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ سِرِّ حَيَاةِ الْوُجُوْدِ، وَالسَّبَبِ الْأَعْظَمِ لِكُلِّ مَوْجُوْدٍ، صَلَاة ًتُثَبِّتُ فِيْ قَلْبِيَ الْإِيْمَانِ، وَتُحَفِّظُنِي الْقُرْآنَ، وَتُفَهِّمُنِيْ مِنْهُ الْآيَاتِ، وَتَفْتَحُ لِيْ بِهَا نُوْرَ الْـجَنَّاتِ، وَنُوْرَ النَّعِيْمِ، وَنُوْرَ النَّظَرِ إِلى وَجْهِكَ الْعَظِيْمِ، وَعَلى آلِهِ وَصَحْبِهِ وَسَلِّمْ.
@@mohamedalidini
Shukran .
Allah akubariki na akupe kila lenye heri inshaAllah.
Aminnnn.
@@nassirameir5662 Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Asalmu Aleikum warkmatullahi taala wabarakatuhTafadhali taandikie kwa kiswahili.
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Dua kwa Kiswahili ndio hii: Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu Wewe ni Muhammad, nakuomba kwa jina lako, uliye peke yake, ambaye ndiye aliye sawa, na yule aliye sawa. Ambaye ni Mmoja, Mwingi wa Rehema: Sema: Yeye ni Mungu, Mmoja (1) Mungu, Milele, Milele (2) Hakuzaa wala hakuzaliwa (3) na hakuna anayelingana Naye (1) 4)1: Kutuma baraka kwa Bwana Muhammad ni siri ya maisha ya kuishi, na sababu kubwa zaidi ya yote yaliyopo, sala ambayo imebaki imara katika moyo wangu, na unifundishe Qur'an. nifahamishe Aya zake, na unifungulie nuru ya Pepo, nuru ya neema, na nuru ya kuutazama uso wako mkubwa Na amani iwe juu ya jamaa zake na maswahaba zake.
🇲🇿🇲🇿🇲🇿😎sawa
Shukran.
Asalam alykum. Je utakiwa kusoma mara ngapi au mpaka uone majibu
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Unaweza rudia kwa idadi unayopenda mpaka uone majubu. Haina shida.
how many times
I have mentioned them in the video. Kindly listen to it carefully Insha Allah, you ill find it.
Assalamualaikum shekhe nakuomba utufundishe kutibu sihr hasad na vijicho kupitia ayatul kursyu
Waalamaikumussalam Warahamtullah Wabarakatuh. Insha Allah! Afwan.
Asw sheikh mimi nimeifanyia kazi sana swala hiyo na nyenginezo lakini sipati feedback yyt mpaka nimekata tamaa nazo hebu nisaidie
Kuwa na subra usikate tamaa
Kuna mambo mawili hapa. 1) Allah (SWT) Anakupima Imani yako ya haya. 2) Kuwa na ya Yaqeen. Kwa uwezo wa Allah (SWT) utafanikiwa.
Please translation and transliteration ya hii sala kwa comments
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Kindly find the below translation and transliteration:
Bism allh alrrahman alrrahimi: alllahumm 'inni 'as'aluk biasmik al'aezam almaktub min nur wajhik al'aela almuabbadi, alddayim albaqi almukhalladi, fi qalb nabiik warasulik muhammadin, wa'as'aluk biasmik al'aezam alwahid biwahdat al'ahadi, almutaeali ean wahdat alkamm waleadadi, almuqaddas ean kull 'ahadin, wabihaqq bism allh alrrahman alrrahimi: uٱ qul hu ٱlllah 'ahad (1) ٱlllah ٱlssamad (2) lam yalid walam yulad (3) walam yakun llahuۥ kufuan 'ahad (4) a: 'an tusalli eala sayidina muhammad sirr hayat alwujudi, walssabab al'aezam likull mawjudin, salat antuthabbit fi qalbi al'iimani, watuhaffizuni alqurana, watufahhimuni minh alayati, wataftah li biha nur aljannati, wanur alnnaeimi, wanur alnnazar 'iila wajhik aleazimi, waeala alih wasahbih wasallim.
In the name of Allah, the Most Gracious, the Most Merciful: O Allah, I ask You by Your greatest name, written from the light of Your highest, eternal, everlasting, everlasting, immortal face, in the heart of Your Prophet and Messenger Muhammad, and I ask You by Your greatest name, the One in the unity of the One, the Exalted above the unity of quantity and number, the Holy above all One, and by the right of In the name of God, the Most Gracious, the Most Merciful: Say, He is God, the One (1) God, the Eternal Refuge (2) He neither begets nor is born (3) And there is none comparable to Him (4): That you send blessings upon our master Muhammad, the secret of the life of existence, and the greatest cause of all that exists, a prayer that will establish faith in my heart, and will make me memorize the Qur’an, And make me understand the verses from it, and open for me through it the light of the gardens, the light of bliss, and the light of looking at Your great face, and upon his family and companions and peace.
Swala hiyo y'a bwana mtume ukiiswali raka yakwanza unasoma sur à gani.? Na raka yapili unasoma sura gani ? Jibu
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Hii Swala utaisoma baada ya kuswali rakaa mbili za haja kwa nia yako. Hili swali lako la kejeli. Miye nimefunzwa adabu na siwezi kukujibu vibaya. Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲
Sheikh kwa anayefanya biashara online n hana duka anafanyaje?
Utaisoma hiyo Swala ya Mtume (SAW) kila siku japo mara moja na ukisoma mara 3 ni bora.
Asalamuelekum Shekh jee kipo kitabu chahiyo swala ? kwasababu nidefu kama hujaihfadhi
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Hiyo Swala iko kwa description nimeandika si lazima kuihifadhi. Afwan.
shehewangu naomba nambayako
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Namba yangu ni hii: +254 700047708. Afwan.
Shekhe wangu sina hakika kama clip wakati wakuiweka ndio imecrop haya maneno au ni kwa vipi, lakini nikijaribu kusikiliza unavyotusomea na nikisoma maneno ya kiarabu yanayotokea chini yake, ulipofika kwenye ANTUSWALLIYA, 3ALAA SAYYIDINA MUHAMMAD, maneno yanayofata kutokana na maandishi ya kiarabu yanayotokea chini, yalitakiwa yawe ni ****SIRRI HAYATIL WUJUUDI, WASSABABIL A3DHWAMI LIKULLI MAUJUUD** kisha ndio ije SWALAATAN TUTHABBITU.... lakini shekhe umeyaskip hayo imekuja moja kwa moja kuendelea na SWALAATAN TUTHABBITU..... tunaomba irekebishwe tafadhwali. Wengi tunashida lukuki tunatamani tufaidike na dua mujarrab kama hizi, hivyo nakhofia wasiojua kusoma maandishi ya kiarabu wataisoma dua kwa mapungufu. Niwie radhi kwa kukosoa.
Waalaikumussalam warahmatullah Wabarakatuh. Ndio niliona. Ndio maana nikaweka hiyo Swala kwenye Description ili tupate kamili. Wanadamu ni wapungufu. Kinachotakiwa ni kutumia hiyo Swala iliyopo kwenye description nayo ni:
بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: اللَّهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْـمَكْتُوْبُ مِنْ نُوْرِ وَجْهِكَ الْأَعْلى الْـمُؤَبَّدِ، الدَّائِمِ الْبَاقِيْ الْـمُخَلَّدِ، فِيْ قَلْبِ نَبِيِّكَ وَرَسُوْلِكَ مُحَمَّدٍ، وَأَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْوَاحِدِ بِوَحْدَةِ الْأَحَدِ، الْـمُتَعَالِيْ عَنْ وَحْدَةِ الْكَمِّ وَالْعَدَدِ، الْـمُقَدَّسِ عَنْ كُلِّ أَحَدٍ، وَبِحَقِّ بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: ﱡﭐ قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ (1) ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ (2) لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ (3) وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌ (4)ﱠ: أَنْ تُصَلِّيَ عَلى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ سِرِّ حَيَاةِ الْوُجُوْدِ، وَالسَّبَبِ الْأَعْظَمِ لِكُلِّ مَوْجُوْدٍ، صَلَاة ًتُثَبِّتُ فِيْ قَلْبِيَ الْإِيْمَانِ، وَتُحَفِّظُنِي الْقُرْآنَ، وَتُفَهِّمُنِيْ مِنْهُ الْآيَاتِ، وَتَفْتَحُ لِيْ بِهَا نُوْرَ الْـجَنَّاتِ، وَنُوْرَ النَّعِيْمِ، وَنُوْرَ النَّظَرِ إِلى وَجْهِكَ الْعَظِيْمِ، وَعَلى آلِهِ وَصَحْبِهِ وَسَلِّمْ.
Kiswahili Na kiarabu haifani huwa inabadilika au ww waongeleajee hapo
@@jamilashabani8580 Ni kweli kabisa ikiwa utatumia Google Translator kutafsiri. Lakini ikitafsiriwa na mtaalamu atakupa tafsiri sahihi. Shukran sana kwa maoni yako.
Asalam alaykum warahmatuAllah wabarak sheikh naomba utuandikie kwa msg hii sala
Swala ndio hii:
بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: اللَّهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْـمَكْتُوْبُ مِنْ نُوْرِ وَجْهِكَ الْأَعْلى الْـمُؤَبَّدِ، الدَّائِمِ الْبَاقِيْ الْـمُخَلَّدِ، فِيْ قَلْبِ نَبِيِّكَ وَرَسُوْلِكَ مُحَمَّدٍ، وَأَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْوَاحِدِ بِوَحْدَةِ الْأَحَدِ، الْـمُتَعَالِيْ عَنْ وَحْدَةِ الْكَمِّ وَالْعَدَدِ، الْـمُقَدَّسِ عَنْ كُلِّ أَحَدٍ، وَبِحَقِّ بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: ﱡﭐ قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ (1) ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ (2) لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ (3) وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌ (4)ﱠ: أَنْ تُصَلِّيَ عَلى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ سِرِّ حَيَاةِ الْوُجُوْدِ، وَالسَّبَبِ الْأَعْظَمِ لِكُلِّ مَوْجُوْدٍ، صَلَاة ًتُثَبِّتُ فِيْ قَلْبِيَ الْإِيْمَانِ، وَتُحَفِّظُنِي الْقُرْآنَ، وَتُفَهِّمُنِيْ مِنْهُ الْآيَاتِ، وَتَفْتَحُ لِيْ بِهَا نُوْرَ الْـجَنَّاتِ، وَنُوْرَ النَّعِيْمِ، وَنُوْرَ النَّظَرِ إِلى وَجْهِكَ الْعَظِيْمِ، وَعَلى آلِهِ وَصَحْبِهِ وَسَلِّمْ.
Shukran
@@nassrasalum8001 Afwan.
Asalam aleikum?kama mimi nilikua mgojwa biashara kila kitu changu kimeharibika naendelea na suratl baqara siku ya tano nashukuru nafuu yaingia kidogo kidogo naweza kuandika swala ya mtume manake sina ofisi nafanyia nyumbani nikae nayo kipochini nanyengine niiweke kabaini kwa ndani?
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Waweza andika na kuweka kipotini na kuiweka nyumbani kama unauza bidhaa zako mitandaoni. Pia ukiisoma kila siku mara moja ni sawa.
@mohamedalidini shukra jazakallah kheir
@@MomoMusa-dn8zz Waiyyaak! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@mohamedalidini sote inshallah
@@MomoMusa-dn8zz Ya Rabb! 🤲🤲🤲🤲🤲
A.alaykum.shukran
Ikiwa mtu anaumwa na anahis kuwakwa na moto kwenye mwili anaweza kunywa.au matatizo ya tumbo na was was?
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Ndio anaweza kunywa maji baada ya kuyasomea kisomo hichi.
Shukran sana
@@SaidAbdallah-i6f Karibu. Barakallahu Feek!
Na Kama unafanya biashara online?
Na kama unafanya biashara mitandaoni tia nia na usome hiyo mara moja kila siku. Kwa uwezo wa Allah (SWT) utaona siri na faida zake. Afwan.
Naomba namba yako sheikh
Assalam Alaikum Warahmatullah! Namba yangu ni hii: +254 700047708.
@@mohamedalidini shukran
Ndio nauliza kuhusu hii ya mtume uliotufundisha ,kwa shida za kawaida kama pesa ao kitu tunatakiwa tuisome kwa idadi ya ngapi kwa siku?
@@RadjabuNiyonkuru-bf9bq Afwan
@@RadjabuNiyonkuru-bf9bq Mara 100 kwa usiku na mchana. Ni vizuri utangulize Surat Al-Fatiha mara 1.
Swala za Mtume alayhissalam amezifundisha Mtume mwenyewe ktk hadithi tofauti tofauti sjui hadithi ilokuj kuelezea swala hii imesimuliwa na nani na imepokelewa na nani
Bila shaka. Jaribu kepukuwa vitabu zaidi na Insha Allah utaiona.
Assalamu alaikum wa rahmatullahi wa barakatuhu, shekh tuandikie hiyo insha'Allah
Dua ndio hii:
بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: اللَّهُمَّ إِنِّيْ أَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْـمَكْتُوْبُ مِنْ نُوْرِ وَجْهِكَ الْأَعْلى الْـمُؤَبَّدِ، الدَّائِمِ الْبَاقِيْ الْـمُخَلَّدِ، فِيْ قَلْبِ نَبِيِّكَ وَرَسُوْلِكَ مُحَمَّدٍ، وَأَسْأَلُكَ بِاسْمِكَ الْأَعْظَمِ الْوَاحِدِ بِوَحْدَةِ الْأَحَدِ، الْـمُتَعَالِيْ عَنْ وَحْدَةِ الْكَمِّ وَالْعَدَدِ، الْـمُقَدَّسِ عَنْ كُلِّ أَحَدٍ، وَبِحَقِّ بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ: ﱡﭐ قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ (1) ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ (2) لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ (3) وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌ (4)ﱠ: أَنْ تُصَلِّيَ عَلى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ سِرِّ حَيَاةِ الْوُجُوْدِ، وَالسَّبَبِ الْأَعْظَمِ لِكُلِّ مَوْجُوْدٍ، صَلَاة ًتُثَبِّتُ فِيْ قَلْبِيَ الْإِيْمَانِ، وَتُحَفِّظُنِي الْقُرْآنَ، وَتُفَهِّمُنِيْ مِنْهُ الْآيَاتِ، وَتَفْتَحُ لِيْ بِهَا نُوْرَ الْـجَنَّاتِ، وَنُوْرَ النَّعِيْمِ، وَنُوْرَ النَّظَرِ إِلى وَجْهِكَ الْعَظِيْمِ، وَعَلى آلِهِ وَصَحْبِهِ وَسَلِّمْ.
Nina swali tafhahali naweza kuprint copy ya swala ya mtume ama lazima niandike ..
Unaweza print hii Swala ya Mtume (SAW) lakini uhakikishe unaifanya kwa wakati ulokusudiwa. Afwan.
AsalamuAleikum sheikh hini swala ya mtume nawaza kusoma kwachombo kikubwa tukanywa family sote nikatumia kusoma kwa Mara 7 suratul fatiha n Swala 7 au kila mtu yake? Na nina suala plz wazijuwa aya za kuunguza majini kwenye Quran nimeskia kuwa Quran mzima ina aya 7 plz ikiwa wazijuwa plz nijulishe shukran.
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Kuhusu swali la kwanza ni ndio unaweza kufanya hivyo kwa nia yako na Allah (SWT) Atakutimizia kwa nia yako. Kuhusu swali la pili, kwa hakika najua aya moja pekee. Nayo ni Ayat Al-Kursy ukiisoma mara 99. Insha Allah, nitaangalia kwenye vitabu na nikizipata nitakufahamisha. Afwan.
JazakaAllahul kheir sheikh
@@mohamedAli-sh9si Waiyyaak!
Shukran sana sheikh wetu
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran shekhe
Karibu Al-Habeeb! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲