Shukrani na Allah' akupe subra vitabu vimetajwa lkn ndio uelewa.....Alihamdullilah wengi tunanufaika na mafunzo yako na hayana shaka Allah akulinde na kila shari
Kama unaona darsa hulielewi ama hutaki ama hupendi watu wapate faida hauna ulazima wa kuingia humu na kutoa maneno ya tasnifa.. waache wanaohitajia elimu hiyo wapate faida
Insha Allah, sitachoka kufundisha kichache ambacho nimejifunza kwa Walimu wetu ili tufaidike sote. Miye naandaa video na fahamu fika ya kwamba kuna wale wataona kinyume na ufahamu wao. Elimu ni kama bahari kila mmoja anachota kiasi alichoafiqiwa na Allah Tabaraka Wa Taala.
Toba ya rabbi toba ya rabbi toba ya rabbi hii tena kali yaani unasoma Quran kwenye sijida hii😂😂😂alafu Sasa rafiki yangu hebu tuseme kitu kimoja mbona ni maisha tu mazuri ndio unalenga? Basi hamna watu kutaka pepo? Yaani ni watu kutaka dunia tu? Toba ya rabi bwana wewe umesoma wapi hebu tusaidie na sisi mbona mambo ya ajabu rafiki
Assalam alykm shekh mimi ni mtoto wa kike hii swala nilishawahi kuiswali nikiwa na umri wa miaka 13 ,na swala hii niliipata katika kitabu cha mkweli mwaminifu
Mimi sina elimu sana nawala sikusoma sana kutokana na mazingira niliokua nayo na maisha lakini nilijibiwa na nilipata majibu, lakini sijawahi kuirudia na ilinitoka kabisa kutokana na mitihani nilioipata baada ya kuolewa
Nan kakwambia anavurg uislm na kupotosh uslm wallah!!!! Wakt sisi moja kati ya kuwa karibu na Allah zaid kuliko chocht lecturer wet kachangy saaan zaid ya san kutokan na mafunz yak bora zaid, Hasidi mkubwa, chuki na choy Ndio maisha yak yot jirekbish!!!!!
Shukrani na Allah' akupe subra vitabu vimetajwa lkn ndio uelewa.....Alihamdullilah wengi tunanufaika na mafunzo yako na hayana shaka Allah akulinde na kila shari
Barakillah Feek. Allah (SWT) Akufungulie milango yote ya kheri. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
MashaAllah sheikh wetu usichoke kutuelimisha .mwenye kuamini atafanya na asie amini atabishana .
Tabarakallah! Insha Allah. Barakallahu Feek! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
وَعَلَيْكُم السَّلَام وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ shukran shekhe Allah Akuhifadh
Afwan! Barakallahu Feek! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
قبلت الإجازة بصلاة الحاجة
مرحبا يا حبيبي. 😁😁😁😁
Shekh naomba Ile video ya sura za kusoma katika swala hii
Waweza soma surah zozote fupi. Lakini ukisoma Surah Al-Kafirun na Ikhlas ni bora. Afwan.
Tumefundisha na tushukur elim hko asieamini naache kwa ksb kila kitu niimani,sisi tutafanya insha'Allah
Alhamdu Lillah! Allah (SWT) Atuoneshe matunda ya faida haraka ili tuzidi kujenga imani yetu. Ameen! Shukran.
Kama unaona darsa hulielewi ama hutaki ama hupendi watu wapate faida hauna ulazima wa kuingia humu na kutoa maneno ya tasnifa.. waache wanaohitajia elimu hiyo wapate faida
Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Sheikh nisaidie na hio dua ya salat hajja ya rakaa 12 .
Angalia Ipo kwa description Box ameeleza vizuri..
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Dua ndio hii:
«لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ وَحْدَهُ لَا شَرِيْكَ لَهُ، لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيْرٌ» 10 مرات.
«اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ بِمَعَاقِدِ الْعِزِّ مِنْ عَرْشِكَ وَمُنْتَهَى الرَّحْمَةِ مِنْ كِتَابِكَ وَاسْمِكَ الْأَعْظَمِ وَجَدِّكَ الْأَعْلَى وَكَلِمَاتِكَ التَّامَّةِ» - (ثم سل حاجتك).
@@Habybty BARAKALLAHU FEEK YA HABIBTY! 🙏
Sheikh usichoke tutumie hiyo dua tafadhali
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Dua ndio hii:
«لَا إِلَهَ إِلَّا اللَّهُ وَحْدَهُ لَا شَرِيْكَ لَهُ، لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيْرٌ» 10 مرات.
«اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ بِمَعَاقِدِ الْعِزِّ مِنْ عَرْشِكَ وَمُنْتَهَى الرَّحْمَةِ مِنْ كِتَابِكَ وَاسْمِكَ الْأَعْظَمِ وَجَدِّكَ الْأَعْلَى وَكَلِمَاتِكَ التَّامَّةِ» - (ثم سل حاجتك).
Sheikh usichoke kutuelimisha,watu kama hao hata enzi za Mtume wetu walikuwepo wanabishana wanataka mpk Mungu wamuone ili wamuamini Mtume,
Insha Allah, sitachoka kufundisha kichache ambacho nimejifunza kwa Walimu wetu ili tufaidike sote. Miye naandaa video na fahamu fika ya kwamba kuna wale wataona kinyume na ufahamu wao. Elimu ni kama bahari kila mmoja anachota kiasi alichoafiqiwa na Allah Tabaraka Wa Taala.
shekhe hivyo visomo ni katika rakaa mbili za mwisho au kila baada ya rakaa mbili?
Katika rakaa mbili za mwisho katika kikao cha tashahhud ya mwisho.
TUNA KUOMBENI TUWE WASTARABU WA KAULI NA MANENO TUTUMIE LUGHA NZURI NA TUWE WENYE IKHLASI TUKITAKA KUMKOSOWA MTU
BARAKALLAHU FEEK. ALLAH (SWT) ATUFUNGULIE MINGO YA KHERI NA ATUPE MAISHA MEMA DUNIANI NA KESHE AKHERA. AMEEN YA RABBAL 'ALAMEEN! 🤲🤲🤲🤲🤲
unatia nia kila rakaa au unatia nia mwanzo tu
Unaweza tia nia mwazo wa au kila ukiswali rakaa mbili. Zote ni sawa. Afwan.
Sheikh suali muhimu tafadhal, nauliza suali langu raka mbili × 12 as equal 24 raka? am raka mbili x 6 as equal 12 raka tafadhali tueleze tafadhal.
Rakaa mbili mbili 2 x 6 = 12.
Toba ya rabbi toba ya rabbi toba ya rabbi hii tena kali yaani unasoma Quran kwenye sijida hii😂😂😂alafu Sasa rafiki yangu hebu tuseme kitu kimoja mbona ni maisha tu mazuri ndio unalenga? Basi hamna watu kutaka pepo? Yaani ni watu kutaka dunia tu? Toba ya rabi bwana wewe umesoma wapi hebu tusaidie na sisi mbona mambo ya ajabu rafiki
Wewe kama hunamini tuachie sisi, kwani sisi twa amini
@faizhassan8423 tatizo sio kuamini hii dini haikuja kipumbavu kwa watu kijipangia ibada zao acheni ujinga
Assalam alykm shekh mimi ni mtoto wa kike hii swala nilishawahi kuiswali nikiwa na umri wa miaka 13 ,na swala hii niliipata katika kitabu cha mkweli mwaminifu
Mimi sina elimu sana nawala sikusoma sana kutokana na mazingira niliokua nayo na maisha lakini nilijibiwa na nilipata majibu, lakini sijawahi kuirudia na ilinitoka kabisa kutokana na mitihani nilioipata baada ya kuolewa
Naliswali kwa ajili ya wazazi wangu na mimi kunusurika na majanga
Bwana wewe muogope mungu umefundiashwa kuuvuruga uislam na kupotosha watu muogope Allah muogope Allah hayo mafundisho umetowa wapi bwana achaa hizo
WEWE NAWE USIJIFANYE UNAJUA KILA KITU SI UMETAJIWA KITABU KATAZAME ACHA SIFA HUKUITWA
@msafiriduwiya7765 sio kila kitabu kinasomwa hayo mambo ni ya uwongo bwana na uzushi
BARAKALLAH FEEK KWA MAONI YAKE. ALLAH (SWT) AYAJALIE KATIMA MIZANI YAKO YA MEMA. AMEEN! 🤲🤲🤲🤲🤲
@@selemankishema5780 sasa wewe humu unafanya nn SI utoke tu