hakika kazi ya kuombea madhabahu ni dangerous mission inatakiwa kweli mtu ujue unaombea nini na una maelekezo ya Mungu mwenyewe na uhakika kwamba ni Mungu amesema na sio mihemko ya kihisia
Kwakweli hata mm napata shida jamani kanisa la kweli lipo wapi ambapo mtu akitenda zambi tu akiwa anaingia kanisani anajikuta anapiga kelele za kutubu tumekaria tu tama zetu wenyewe tunamuendea MUNGU kwakuitaji atutende mambo yetu na sio kuingia mbingun YESU kirsto tuosaidie watoto wako
Watumishi wa Mungu Bwana Yesu awatunze zaidi nawafatilia maombi na kuomba kwa nafasi yangu pamoja nanyi. Ufunuo ambazo Bwana anawapa zinatisha zinahitaji kuomba toba. Watching you kutoka Israel,🔥🔥🔥
@@tengwatv Tanzania ni Nchi ya Agano. Makabila yaliyomo Tanzania ni Uzao wa Yakobo uliokimbilia Afrika baada ya uharibifu wa Nebkadneza, Uharibifu wa Tawala ya Rumi Kwahiyo agano hilo unalosema limefungwa katika uzao wa yakobo pia
Kweli nazidi kuelewa MUNGU akuinue sana sana
Mwalimu Tengwa Mungu akubariki.Amina
Hakika nimetoa machozi huu ni ukweli mtupu dunia imebadilika. Mungu tusaidie pia wasimamie watumishi wako. Wape ulinzi Baba wao na familia zao.
Ahsante mtumishi ,Mungu akutie nguvu na maarifa katika huduma
Bwana YESU awe nanyi na DAMU YA YESU iwafunike
Injili ya kweli na ihubiriwe ulimwenguni kote nimeipenda hii injili
😢😢 hallelujah kenyan here nasoma jamani huu ndio ujumbe
hakika kazi ya kuombea madhabahu ni dangerous mission inatakiwa kweli mtu ujue unaombea nini na una maelekezo ya Mungu mwenyewe na uhakika kwamba ni Mungu amesema na sio mihemko ya kihisia
Mungu awabariki sana , awatie nguvu na Alinde familia zenu. Damu ya Yesu iwafunike
MUNGU awatunze na kuwabariki sana. Injili hii ya kipekee .🙇🙌🇹🇿
Hiyo kweli kabisa Hiyo meseji nilipata mwaka 2019 mwezi wa kuminamoja kabla ya Corona 2023-2031 nibaraa tupu
Hii injili ni ya kweli imetoka mbinguni direct .wueh!
Mungu akumbariki mtumishu
Yaani ndiyo maana naogopa sana kupigana vita sio yangu
Eeeeeeee Mungu aturehemu
Kwa neno hili,,tuanze upya kanisa ,wakunena kwa rugha wapo kupambanua roho hawapo mda wa maombolezo tunaimba nyimbo za kusifu
Na huyo ni yale yale kesho tu atapotea
ubarikiwe mtumishi kwa ujumbe huu
Kwakweli hata mm napata shida jamani kanisa la kweli lipo wapi ambapo mtu akitenda zambi tu akiwa anaingia kanisani anajikuta anapiga kelele za kutubu tumekaria tu tama zetu wenyewe tunamuendea MUNGU kwakuitaji atutende mambo yetu na sio kuingia mbingun YESU kirsto tuosaidie watoto wako
Ahikamoo MUNGU nimekubali nazidi kukubali kweli ya BWANA IMEFUNULIWA HAKIKA SIRI ZOTE ZA MUNGU WAZI SASA
Watumishi wa Mungu Bwana Yesu awatunze zaidi nawafatilia maombi na kuomba kwa nafasi yangu pamoja nanyi. Ufunuo ambazo Bwana anawapa zinatisha zinahitaji kuomba toba. Watching you kutoka Israel,🔥🔥🔥
Amen, Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, kwa kuendelea kufuatilia mafundisho yetu.
@@tengwatv
Tanzania ni Nchi ya Agano. Makabila yaliyomo Tanzania ni Uzao wa Yakobo uliokimbilia Afrika baada ya uharibifu wa Nebkadneza, Uharibifu wa Tawala ya Rumi
Kwahiyo agano hilo unalosema limefungwa katika uzao wa yakobo pia
Amina
Mungu asante kwa kutuamsha tena
Tuko pamoja mtumish ubarikiwe
Mungu aturehemu
+254 Mtumishi tuko pamoja. Yesu atutie nguvu,
Skola nakupenda kutoka Tanzania @kariuki
Mungu akutie nguvu tuwe kitu kimoja wanamaombi wa kweli
Asante 🙏 🙏
❤ watching from Asia call me MANAs 🇰🇪
Tuko pamoja mtumishi
Ameeen tukopamoja 🙏🙏🙏
Mwanzo na mwisho mwema
MUNGU KWANZA MENGINE BADAE
akuna mafuta ya upako apo ni yesu tu aliye hai
Hakika unafunua code language za Bible ,
Asiyekuelewa shauri yake
Amina mtumishi wa mungu
Mtumishi naungana nanyi,miye niko sengerema mwanza,natamani kuwa mmoja wenu ila nafungwa na kazi.
Unachosema ni sahihi.