CONDOM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2020
  • Pale Mungu anapompambania kiumbe wake asifanye uzinzi, lakini vijana wa sasa walivyo wabishi ili mradi apambane tu afanye...
  • Комедії

КОМЕНТАРІ • 1,2 тис.

  • @megazone515
    @megazone515 3 роки тому +415

    Aliye rudia kuangalia hii mara mbili mbili ... Gonga like hapa tujuane😂😂😂😂🔥

  • @abbynimel-kindy5107
    @abbynimel-kindy5107 3 роки тому +262

    Dah mupo fasta.. naombeni like zenu sijawahi pata hata like 1.

  • @aliharunababa8253
    @aliharunababa8253 2 роки тому +29

    😂😂😂 dah nimeirejea baada ya mwaka na kicheko kiko pale pale. Hapa Joti umevuruga sana mbavu zetu. 🤝 cheers

  • @haronjakait6130
    @haronjakait6130 3 роки тому +106

    Jamani mwenzenu natoka kenya wapi like zangu 😂😂😂

  • @eliasgoodluck9633
    @eliasgoodluck9633 3 роки тому +118

    Noma sana "we kijana VP mbona hunielew naomb like kama zote twende saw"

    • @mushirwcooking
      @mushirwcooking 3 роки тому +1

      ua-cam.com/video/r6KWJHP1t3E/v-deo.html

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 3 роки тому +33

    Sopa leo unauza duka, tajiri wangu😄😄😄😄😄😄😄💞💞💞

    • @gamembk8217
      @gamembk8217 3 роки тому

      ua-cam.com/video/7oHm-ZElJSE/v-deo.html

    • @michaelfocus1515
      @michaelfocus1515 2 роки тому

      Namkubal sana sopa😂😂😂😂😂

  • @kingmwaxoh6420
    @kingmwaxoh6420 2 роки тому +8

    2022 nani anaangalia na anacheka tena 😀😀😀

  • @iddymakoye1432
    @iddymakoye1432 3 роки тому +72

    This is incredible audition in Tanzania 😂😂😂 congratulation mr joti, am your fan from Zambia 🌶

  • @luthakyando8881
    @luthakyando8881 3 роки тому +150

    Wapi like za sisi wakenya
    🇰🇪

    • @mushirwcooking
      @mushirwcooking 3 роки тому +1

      ua-cam.com/video/r6KWJHP1t3E/v-deo.html

    • @bidallahamadi4036
      @bidallahamadi4036 3 роки тому +2

      Tupo wengi

    • @mzeewamjegeje
      @mzeewamjegeje 2 роки тому

      USIOMBE UKUTANE NA AINA HII YA MUUZA CHIPSI🔥🔥👇
      ua-cam.com/video/0C5hnvb5np0/v-deo.html
      KWA HISANI YA JOTI TV

  • @tripleematech9688
    @tripleematech9688 3 роки тому +21

    Clip ya joti Kali kuliko zote...🤣🤣 Asiyecheka Hana bandama🙌🙌🤣

  • @mankeyman022
    @mankeyman022 3 роки тому +26

    Joti wanivunja mbavu kwa kweli am your biggest fun all the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kama wewe ni fun wa joti nipe like hapa kabla kupita

  • @makoyejohn9560
    @makoyejohn9560 3 роки тому +25

    Aisee, nmecheka balaaa. Joti ww ni mchekeshaji namba moja Tanzania

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 3 роки тому +3

    From Mozambique 🇲🇿. Naomba like Kama zote

  • @dustym-o-h8349
    @dustym-o-h8349 3 роки тому +19

    Joti,,, mbavu zangu jamen 🇰🇪 😂😂😂😂😂😂😂😭❤️

  • @sammythevloger408
    @sammythevloger408 3 роки тому +16

    Yani Joti kiboko Yao😆...
    Na mm Leo ..nipeni like😆😆

  • @abubakarihtarimo7660
    @abubakarihtarimo7660 3 роки тому +16

    Like za sister ziko wapi

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 3 роки тому +48

    Joti siku nyingi hujatoa kama hii 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 роки тому +63

    Haka ka clip ka leo katamu ila kanachomaaa!!!!Mtu unacheka huku moyoni unajisuta🙄🙄🙄

  • @jorammessay8487
    @jorammessay8487 3 роки тому +27

    Utakuja kutuvunja mbavu jaman 🔥🔥🔥🔥🔥
    All in all unajua Kaka🙌🙌🙌😆😆😆

  • @josephatmakaranga7043
    @josephatmakaranga7043 3 роки тому +30

    😂😂😂 Dah! Mbavu zangu mimi "nani anataka kubishana na Mungu, nani asafishe meno mchana huu" Jotiiii

  • @jamesokari9787
    @jamesokari9787 3 роки тому +26

    lol these guys have done again!! i love you guys aus canada

    • @mushirwcooking
      @mushirwcooking 3 роки тому

      ua-cam.com/video/r6KWJHP1t3E/v-deo.html

  • @ghost8641
    @ghost8641 Рік тому +9

    The ending is epic 🤣🤣😂🤣😂😂🤣

  • @tembomnyama2310
    @tembomnyama2310 3 роки тому +95

    Ambao Tunahitaji Colgate Tujuane kwa Likes hapa😂😂😂😂😂😂

  • @mohamedabubakar9852
    @mohamedabubakar9852 3 роки тому +11

    😂😂😂all the from kenya Joti..uko juu

  • @paulmgoli4853
    @paulmgoli4853 3 роки тому +120

    Nani sasa anataka kusafisha meno mchana huu..😂

  • @ginyahamwaraunendi4791
    @ginyahamwaraunendi4791 3 роки тому +41

    Duu apo mzee n kumrudia sir God maana🤣🤣🤣mission impossble

    • @mushirwcooking
      @mushirwcooking 3 роки тому

      ua-cam.com/video/r6KWJHP1t3E/v-deo.html

    • @erardmporoto2660
      @erardmporoto2660 3 роки тому

      Yaan hapo tunasema siku ya kufa miti nyani Wote wanateleza

  • @michaeljackson7982
    @michaeljackson7982 3 роки тому +31

    😂😂 from 🇰🇪, much love joti 👊

    • @mzeewamjegeje
      @mzeewamjegeje 2 роки тому

      USIOMBE UKUTANE NA AINA HII YA MUUZA CHIPSI🔥🔥👇
      ua-cam.com/video/0C5hnvb5np0/v-deo.html
      KWA HISANI YA JOTI TV

  • @alexdingo500
    @alexdingo500 3 роки тому +4

    Wapi likes zenu jameni to much love from 256🇺🇬🇺🇬

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 3 роки тому +45

    Jaman watu hamulali,dakika 0 tayari mm wapili, joti ww chizi hahaa...254flow staki likes zote kw joti

    • @gamembk8217
      @gamembk8217 3 роки тому

      ua-cam.com/video/7oHm-ZElJSE/v-deo.html

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 3 роки тому +12

    Daaaah aisee wauza duka kama hawaa aisee wanahalibu kila kitu 😂😂😂😂😂

  • @deivdmahanyu73
    @deivdmahanyu73 3 роки тому +7

    "Nipe ile yenye vipele vipele"😆😀😁😂 joti bhana

  • @allansk1035
    @allansk1035 2 роки тому +12

    This guy is super talented hahahah

  • @ramxoketti7521
    @ramxoketti7521 3 роки тому +82

    Mamaaa😂😂 yan clip inaonyesha now lakini niwa 15 kucomment😂😂

  • @revdrseni
    @revdrseni 3 роки тому +15

    Hahaha.
    Kwa kweli hapa kuna fundisho kubwa sana.

    • @mushirwcooking
      @mushirwcooking 3 роки тому

      ua-cam.com/video/r6KWJHP1t3E/v-deo.html

  • @abdulwadi8667
    @abdulwadi8667 3 роки тому +6

    Mungu wangu simamisha dunia nishuke😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @micahhazard8457
    @micahhazard8457 3 роки тому +16

    dah wallah joti u made my day,😂😂😂😂😂

  • @abdulikadirnarrel2751
    @abdulikadirnarrel2751 3 роки тому +17

    Daaaaah huyu jamaaaaa huyu noma saan dahh big up kwk

    • @mushirwcooking
      @mushirwcooking 3 роки тому

      ua-cam.com/video/r6KWJHP1t3E/v-deo.html

  • @alvinziddie6309
    @alvinziddie6309 2 роки тому +5

    Bro you Got it
    Talent can never be hidden

  • @ibrahimnjohole1684
    @ibrahimnjohole1684 Рік тому +1

    😀😀😀😀 nadhani hii ni moja ya kichekesho pendwa sana kuwahi kukicheza.Aijawahi kuboa kabisa.Ni zaidi ya mara kumi napenda kuiangalia.Daaah....unajua sana mzee baba.

  • @paulmwacha9870
    @paulmwacha9870 3 роки тому +7

    Hahhahhah joti leo umetisha by the way nimependa san message iliyokatika clip hii tumtumikie MUNGU jmn tuachane na anasa

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 3 роки тому +5

    🇹🇿😂😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿joti we mkali sana mpaka anakera 😃🇹🇿😃😃😃😃😃😃🇹🇿😃😃🇹🇿.

    • @patiencerwiza3086
      @patiencerwiza3086 Рік тому +1

      yaani huyu jamaa ni shida yaani nimecheka kwa sauti mpk basii

  • @chiefben4861
    @chiefben4861 3 роки тому +7

    "Afu mbona nimekuambia nataka colgate wew"😅😅😅 huyu ndugu fundi

  • @foibemokola4563
    @foibemokola4563 3 роки тому +15

    Alie sikia saut ya bubu 😂

  • @Cherriechina
    @Cherriechina 3 роки тому +16

    😂😂😂best comedian all time

  • @rukianzalawahe2773
    @rukianzalawahe2773 2 роки тому +10

    😂😂😂😂😂 he is my superstar 🌟🌟🌟

  • @stellapeter8037
    @stellapeter8037 3 роки тому +5

    Nimecheka hadi mbavu zina niuma jmn jot ninoma 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @ngowasimon
    @ngowasimon 10 місяців тому +1

    Hii clip ni Kali Kati ya zote za Lucas Mhuvile.(😂😂)

  • @zpii9317
    @zpii9317 3 роки тому +10

    🤣🤣🤣 you make me laugh so much @Joti

  • @kevinmwamba1009
    @kevinmwamba1009 3 роки тому +26

    From condom to Colgate 😂

  • @paulmgoli4853
    @paulmgoli4853 3 роки тому +13

    Haya ndo mapepo 😁

  • @castoljmwalyego3778
    @castoljmwalyego3778 3 роки тому +1

    Joti kawa bubu ghafla,,,,
    Joti maninaaaaaaa....
    Joti 🙌🙌🙌🙌🙌
    2021 january...💖💖💖💖
    "eeeeeeh eeeeeeeeeeeeeeeeeeehj"

  • @emanueledwin5685
    @emanueledwin5685 3 роки тому +3

    Aaaah leo umezngua hii clip so poaa kabsaaaa

  • @jumahamis227
    @jumahamis227 3 роки тому +6

    Huyo sista mwenyewe ana bonge la shepu hadi gauni limeshindwa kumstiri 😂.

  • @muturarwandainnocent3979
    @muturarwandainnocent3979 2 роки тому +5

    Love from 🇷🇼

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 3 роки тому +2

    Ila mtumishi yuko vzr

  • @jeremiahromward6784
    @jeremiahromward6784 3 роки тому +1

    Napenda kuirudia hii ... Joti ni balaaaa

  • @ezekielevarest9215
    @ezekielevarest9215 3 роки тому +18

    Wapili ku-watch

    • @mushirwcooking
      @mushirwcooking 3 роки тому

      ua-cam.com/video/r6KWJHP1t3E/v-deo.html

  • @eveliuserenest8458
    @eveliuserenest8458 3 роки тому +4

    Piga muuza duka na kondom dah! Joti noma
    Like zenu apo

  • @marryrony3236
    @marryrony3236 2 роки тому +1

    Kwakwli nimecheka hadi mbavu zimekosa nguvu aisee
    Ni, John M'mbekalo kutoka nyumbani Uva-city aksante Mr jotv...

  • @issamakuka2567
    @issamakuka2567 3 роки тому +1

    Jot ananifurahsha sana

  • @hommiemakini8635
    @hommiemakini8635 3 роки тому +8

    All time fav💕😂

  • @stevencharles304
    @stevencharles304 3 роки тому +6

    Nimekubali 🔥🔥🔥

  • @jadujadunga7823
    @jadujadunga7823 3 роки тому +1

    Hii nimecheka sanaa

  • @irenerweyemamu1330
    @irenerweyemamu1330 3 роки тому +4

    hahahaha😂😂😂😂😂😂😂# Nakupenda Joti na clue ako nzima

  • @roseafrael75
    @roseafrael75 3 роки тому +27

    🤣🤣🤣 Jot mjinga sana yani kamfukuza mwenzake kisa kununua ndom mwisho sister kam"bamba 😄kanunua Colgate bila kupenda mpuuzi sana

  • @nuhuchimwefe4415
    @nuhuchimwefe4415 3 роки тому +3

    Nataka calget 😂😂😂like kama zote sijawah pata.

  • @brainmbuya421
    @brainmbuya421 2 роки тому

    Brother nakubali Sana kz zako dah apa kwel ulitia fora

  • @pascaljoseph5529
    @pascaljoseph5529 3 роки тому

    Joti namwelewaga sana uko vzr qaqa

  • @elijahm.muthini
    @elijahm.muthini 3 роки тому +10

    Kila content iko na somo lake, joti you are genius👌

  • @johnziro526
    @johnziro526 3 роки тому +3

    Yani support yangu kwako iko milele good job brother

  • @jacksonrambiro1298
    @jacksonrambiro1298 Рік тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣. It's amazing. Much love from 🇳🇿

  • @agogodimack8314
    @agogodimack8314 3 роки тому +1

    Daaahh joti bana

  • @vanmathia2887
    @vanmathia2887 3 роки тому +3

    daah noma kwel brooo 😂😂 leo Qaly knyamaaaaa

  • @kamanda007
    @kamanda007 3 роки тому +17

    Kama umeona Sister alivyojaza ...gonga like hapa ila msimpigie puchu

  • @kuzimaster3399
    @kuzimaster3399 2 роки тому

    Hakuna COMEDY bongo zaidii ya jot and mpokii hawa jamaa ni shida tz 🤣😂🤣😂🤣😂

  • @fromgascity
    @fromgascity 3 роки тому +1

    Kumbe aliacha chenji kwa kusudi maana alijua atarudi kubadilisha,,,🤣😂😂🤣😂🤣🤣🤣😂🤣you made my day

  • @beatricemshiu2816
    @beatricemshiu2816 3 роки тому +8

    "Hawa ndio mapepo sister.. "

  • @jamesogunya2902
    @jamesogunya2902 3 роки тому +50

    Daaaah!! Aisee mbavu cna, yaan ktk crip za joti ambazo na Amizing this is wonderful...
    Nimeipenda bure, nimecheka mpaka bac...
    Nakumbuka cku moja maza alinifumania duka la jirani kwa mangi nanunua condom afu nimezishika alinikata jicho hilooo...
    Nikajiongeza fasta nikamwambia hz tunapeleka shuleni kwa'jili ya sexal intercourse experiment...
    Mzee nilikunjwa kofi hilooo sijawahi ona nchi hiii...
    😂😂😂🤣🤣🤣

  • @ramadhaniabdi9530
    @ramadhaniabdi9530 3 роки тому

    Kumbe Bubu😀😁Joti Nomaa Sana

  • @bonfacetendeti5959
    @bonfacetendeti5959 6 місяців тому +1

    Nimekwambia nataka Colgate hiyo C imekuchanganya! 😂😂😂

  • @neemacalvin633
    @neemacalvin633 3 роки тому +27

    Nan anaend kusafsha meno mchana et!..

  • @veronicakalondji2375
    @veronicakalondji2375 2 роки тому +25

    😂😂😂 I can’t stop laughing

  • @manirakizaclaude3685
    @manirakizaclaude3685 3 роки тому

    Wew joti Mungu anakuona mbavu zangu jameni

  • @abdulwahidmsellem1964
    @abdulwahidmsellem1964 3 роки тому +1

    Nani anataka kusafisha meno mcha uuu
    Na umembuka joti🙈🤣🤣🤣🤣😂👍👍👍🇹🇿

  • @neemapaul2162
    @neemapaul2162 3 роки тому +5

    Joti na sista 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 doooh

  • @rehemakinande8615
    @rehemakinande8615 3 роки тому +4

    Joti ur the best......say it again

  • @yaedlifemedia3203
    @yaedlifemedia3203 3 роки тому

    safi sana mzee joti burudan zako atuchok

  • @basitamedia1780
    @basitamedia1780 3 роки тому +1

    Joti nomaa sana😂😂😂 Hadi huku uturuki tunamkubali #Basita21 gonga like kama unamkubali zaidi yangu

  • @bintyk5149
    @bintyk5149 3 роки тому +12

    Me napenda uekt mwanaume jot hakiamungu unapendeza uwanawake uwachie wanawake

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 3 роки тому +5

    Jotii jamani, ulicho agiza aukitaki tena😂😂😂

  • @godfreymangalu1940
    @godfreymangalu1940 3 роки тому

    Hii baba umeuaaaaaa. Unaweza joti

  • @budahman2908
    @budahman2908 3 роки тому

    Hii creativity ya leo Kali sana

  • @mapafutv
    @mapafutv 3 роки тому +9

    Atali na nusu 😂😂😂😂😂😂😂

  • @newyambazi4653
    @newyambazi4653 3 роки тому +4

    Wangap wanasema muuza duka kazingua badala akaushe😂👍 gonga like twende sawa

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu 3 роки тому

    Joti hayo matakataka unayovaa hatakufai yanachukiza... vaa nguo nzuri, comedy sio lazima uvae minguo Kama hiyo

  • @mpeularobart7497
    @mpeularobart7497 3 роки тому

    Dah! Huyo DADA Kapendeza sana yani

  • @denisteye9699
    @denisteye9699 3 роки тому +7

    Nimekwambia nataka Colgate!!!Hiyo C imekuchanganya😂😂

  • @omaryomary1042
    @omaryomary1042 3 роки тому +5

    Hahahaaa like nyingi saana

    • @mushirwcooking
      @mushirwcooking 3 роки тому

      ua-cam.com/video/r6KWJHP1t3E/v-deo.html
      🚨

  • @darhymes2340
    @darhymes2340 3 роки тому

    😀😀😀😀😀😀😂😂😂😂😂😂 we joti fala Sana, sijawahi cheka km leo, we noma

  • @mulava7791
    @mulava7791 3 роки тому +1

    Noma sana mwanangu